Mth. Emmanuel Kidago "NGUVU YA SADAKA" Morning Glory 05/10/2018 Livestream
HTML-код
- Опубликовано: 6 фев 2025
- K.K.K.T USHARIKA WA KIJITONYAMA
IBADA YA MORNING GLORY 05/10/2018
"IJUE NGUVU YA SADAKA ILIYOPO KATIKA SADAKA YA FUNGU LA KUMI"
Malaki 3:10
10 Leteni zaka kamili ghalani, ili kiwemo chakula katika nyumba yangu, mkanijaribu kwa njia hiyo, asema Bwana wa majeshi; mjue kama sitawafungulia madirisha ya mbinguni, na kuwamwagieni baraka, hata isiwepo nafasi ya kutosha, au la.
Waebrania 7: 1 - 6
1 Kwa maana Melkizedeki huyo, mfalme wa Salemu, kuhani wa Mungu aliye juu, aliyekutana na Ibrahimu alipokuwa akirudi katika kuwapiga hao wafalme, akambariki;
2 ambaye Ibrahimu alimgawia sehemu ya kumi ya vitu vyote; (tafsiri ya jina lake kwanza ni mfalme wa haki, tena, mfalme wa Salemu, maana yake, mfalme wa amani;
3 hana baba, hana mama, hana wazazi, hana mwanzo wa siku zake, wala mwisho wa uhai wake, bali amefananishwa na Mwana wa Mungu); huyo adumu kuhani milele.
4 Basi, angalieni jinsi mtu huyo alivyokuwa mkuu, ambaye Ibrahimu, baba yetu mkuu, alimpa sehemu ya kumi ya nyara.
5 Na katika wana wa Lawi nao, wale waupatao ukuhani, wana amri kutwaa sehemu ya kumi kwa watu wao, yaani, ndugu zao, kwa agizo la sheria, ijapokuwa wametoka katika viuno vya Ibrahimu.
6 Bali yeye, ambaye uzazi wake haukuhesabiwa kuwa umetoka kwa hao, alitwaa sehemu ya kumi kwa Ibrahimu, akambariki yeye aliye na ile ahadi.
Asante kwa ujumbe mzuri. Neno hili likazaa matunda mionyoni mwetu.
Amen
Amen barikiwa Sana mtumishi Kwa mafuzo yako na kwaufunuo huo mungu akuzindichie ufunua uweze kutubariki 🙏🙏🙏
Hallelujah hallelujah, ninakushukuru MUNGU wa Majeshi uishie milele. Nisamehe kwa kutokutolea fungu la kumi kwa ukamilifu. Naomba nafasi nyingine, mwanzo mpya nikakutolee tena kiukamilifu kwa ajili ya baraka zako na kuongezeka kutokako kwako. Ni matamanio yangu ulivyowachagua walawi kulaa hemani mwako na kuitisha mbingu. Kalitumie nyumba yangu na jamii yangu kwa sifa na utukifu wa jina lako takatifu eeh Mwokozi kwa Damu ya Yesu Kristo aliye hai.
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu mch. Emmanuel. Everytym i hear of Melchizedek nabarikiwa sana just by d mention of tht Name, hallelujah 🙌
Barikiwa mtumishi kwa ujumbe murua.
Mungu akubariki na azidi kukuinua Mtumishi
Amen and Amen
Barikiwa Mtumishi.
Amen Mtumishi 🙏🏻
Leo ninajua Ibrahim alivyobarikiwa umuhimu wa fungu la kumi kwa Kuhani na mfalme Melekizedeki. .. Mungu alimwezesha kufanya yote hayo kama fundisho kwetu kizazi hadi kizazi. Baba nisamehe kwa kutofanya mapenzi ya Mungu. 10% ni kipimo kamili hakikwepeki, ulinzi kutokana na sadaka hii.
Barikiwa sana
Amen
AMEN
amen mtumishi wa Bwana
Amen
Amen
Amen
Amen
Amen