VIWANGO SITA VYA MAOMBI || PASTOR GEORGE MUKABWA || 22-06-2023

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 18 янв 2025

Комментарии • 369

  • @rebeccaKerio
    @rebeccaKerio 3 месяца назад +5

    nasi tumshukuru Mungu, wale tunaona online tuko pamoja kiroho katika jina la yesu Asante yesu

  • @Miriana-v9e
    @Miriana-v9e 11 месяцев назад +8

    Nabarikiwa sana na mafunzo yako yameinua imani yangu kwa kiwango cha juu sana.

  • @pelesmsigala4647
    @pelesmsigala4647 9 месяцев назад +2

    Amia mtumishi

  • @suzanakiwele1832
    @suzanakiwele1832 Год назад +95

    Sidhani kama hili kanisa linatambua kuwa wanamtumishi ambae anaviwaango vya UKUU wa namna ya ajabu,mafundisho yake yamenibadilisha sana yameniongoza sana kuwa karibu na MUNGU 🙏

  • @CatherineMakokha-dg6ws
    @CatherineMakokha-dg6ws 11 месяцев назад +9

    Very powerful teaching in spiritual life pastor receive more wisdom and happiness and prosperity in your ministry, it's really blessed messages 🙏🙏🙏

  • @getruderasi
    @getruderasi 11 месяцев назад +30

    Bwana yesu asifiwe kanisa......kama umebahatika kuskia mafundisho haya basi mungu ako na mipango mizuri na wewe usione kama ni kawaida

  • @jacklineumbisa4934
    @jacklineumbisa4934 Год назад +6

    Following keenly from Nairobi Kenya,,I m blessed man of God

  • @emilykariuki1455
    @emilykariuki1455 Год назад +9

    Av been watching these messages from Kenya and for sure these messages av brought impact in my spiritual life ,,,,u are blessed man of God more grace

  • @puritynkirote5097
    @puritynkirote5097 Год назад +7

    Mtumishi mungu akupee maisha marefu kwa maana wewe nikama mtume wa mungu kwa maisha yangu nasaidika sana kiroho kupitia unduma zako

  • @josphatmwazighe7972
    @josphatmwazighe7972 2 месяца назад +1

    Nashukuru mungu Sana pastor George Kwa mafunzu YA Safari hii yakumtafuta mungu Kwa kweli watumishi wale anaolisha kondoo vyakula vya mungu baba yetu sijaona kama wewe ubarikiwe shetani asijaribu kukuona .unanibariki Sana Kwa maombi Niko kenya

  • @Patience763
    @Patience763 10 месяцев назад +4

    Amina nimebarikiwa na kutoka mahali nilikua MUNGU akubariki mchungaji George neema hio ya uchungaji uzidi ndani yako ili kufundisha tuliokua tunapotea na kumrudia bwana yesu kristo through haya mafundisho Amina

  • @FloraMwaikenda
    @FloraMwaikenda 2 месяца назад +1

    Nimechezewa sana mwili wangu Mungu nirehemu

  • @AliceMakori-bs1ik
    @AliceMakori-bs1ik 2 дня назад +1

    Nikujue nikuelewe,nikufahamu bwana nakuabudu.amen

  • @filorammbaga5710
    @filorammbaga5710 10 месяцев назад +2

    Asante Yesu Kristo kwa ajili ya Mtymishi huyu uliyeweka neno lako kwake asante kwa kunibadilisha,Mungu naomba roho mtakatifu awe juu yangu anitawaleeeeeee!

  • @grolyjohn366
    @grolyjohn366 11 месяцев назад +4

    Mungu amekupa kitu cha tofauti sana hasa nyakati hiz tulizonazo mungu akubark sana mtumishi wa mungu 🎉🎉🎉🎉🎉🎉

    • @JacksonKibona-d8i
      @JacksonKibona-d8i 5 месяцев назад

      Ukimsikiliza huyu pasta lazma uvunne kitu hatakama hausal na mungu ambalik kwa kaz take.

  • @nailanteikesire
    @nailanteikesire 4 месяца назад +1

    I'm from kenya lakini staki mafundisho yake inipìte barikìwa pastor kwa kweli ni mungu anakutumia

  • @TundaEmanuel-ns8kj
    @TundaEmanuel-ns8kj 21 день назад

    Mungu mtunze Mpe miaka mingi sana mtumish huyu akomboe wengi km alivyoniinua mimi ❤❤❤🙏

  • @ElizabethMakwaia
    @ElizabethMakwaia 5 месяцев назад +2

    Namshukuru Mungu kwa ajili yako mtumishi wake. Nina siku tatu tu tangu nianze kukusikiliza, lkn nimeshapata kitu kikubwa sana. Mungu aendelee kukutumia.🙏

  • @HoglaWawuda
    @HoglaWawuda 7 месяцев назад +5

    Watanzania Mmebarikiwa na Kila kitu...Mm nko Kenya Mtumishi Mungu Akubariki Roho yangu inakuwa Kila siku nkiskiliza Mafundisho Yako...

  • @princesssidi9635
    @princesssidi9635 2 месяца назад

    Wow! Somo hili limenifariji sana, na kunipa amani na tumaini jipya maishani.

  • @charlesmassawe4119
    @charlesmassawe4119 Год назад +9

    Thank you so much Pastor for opening my eyes regarding the dimensions of prayer. May God keeps on anointing you Sir with more grace and favour to lift milions around the globe.🙏🙏

  • @oman5875
    @oman5875 2 месяца назад

    Hakika pastor George najifunza mengi sana juu ya madhabahu hii na mengi nimeona kwenye maisha yangu ya kubadilika kiimani na maombi unanigusa sana na Mungu azidi kukuinua katika viwango vya juu zaidi na zaidi 🙏🏿.

  • @mwajayjunior2871
    @mwajayjunior2871 Год назад +1

    Amen ubarikiwe Sana mtumishi wa Mungu 🙏

  • @eliudminga6085
    @eliudminga6085 Год назад +3

    Bwana yesu apewe sifa , MUNGU awabariki sana kiukweli mchungaji mafundisho yako yamentoa sehem, leo mmepata swali hivi kwanini hili neno linasomwa tofauti "Isaya 59
    2 : lakini maovu yenu yamewafarikisha ninyi na Mungu wenu, na dhambi zenu zimeuficha uso wake msiuone, hata hataki kusikia. " yamewafarakanisha badala ya yamewafarikisha
    Maana dhambi huleta mauti

    • @felistervenance8863
      @felistervenance8863 9 месяцев назад

      Amen,,
      SUV inasema " maovu yenu yamewafarikisha na Mungu"
      Ukisoma bible za kingereza kwa tafsiri tofauti tofauti inasema
      " maovu yenu yamewatenga na Mungu " nyingine inasema " maovu yenu yamewafarakanisha na Mungu"
      Treasury of Scripture Knowledge
      TSK :: Isa 59:2
      Isa 59:2 (KJV)
      But your iniquities have separated between you and your God, and your sins have hid his face from you, that he will not hear.
      Isa 59:2 (HNV)
      but your iniquities have separated between you and your God, and your sins have hidden his face from you, so that he will not hear.
      Phrase(s) from KJV
      your iniquities
      Isa 50:1; Deu 32:19; Jos 7:11; Pro 15:29; Jer 5:25
      hid
      or, made him hide. Isa 57:17; Deu 31:17,18; Deu 32:20; Eze 39:23,24,29; Mic 3:4
      Correlated Passages Using HNV
      your iniquities
      Deu 32:19
      The LORD saw it, and abhorred them, Because of the provocation of his sons and his daughters.
      Jos 7:11
      Yisra'el has sinned; yes, they have even transgressed my covenant which I commanded them: yes, they have even taken of the devoted thing, and have also stolen, and dissembled also; and they have even put it among their own stuff.
      Pro 15:29
      The LORD is far from the wicked, But he hears the prayer of the righteous.
      Isa 50:1
      Thus says the LORD, Where is the bill of your mother's divorce, with which I have put her away? or which of my creditors is it to whom I have sold you? Behold, for your iniquities were you sold, and for your transgressions was your mother put away.
      Jer 5:25
      Your iniquities have turned away these things, and your sins have withheld good from you.
      hid
      Deu 31:17
      Then my anger shall be kindled against them in that day, and I will forsake them, and I will hide my face from them, and they shall be devoured, and many evils and troubles shall come on them; so that they will say in that day, Haven't these evils come on us because our God is not among us?
      Deu 31:18
      I will surely hide my face in that day for all the evil which they shall have worked, in that they are turned to other gods.
      Deu 32:20
      He said, I will hide my face from them, I will see what their end shall be: For they are a very perverse generation, Children in whom is no faithfulness.
      Isa 57:17
      For the iniquity of his covetousness was I angry, and struck him; I hid my face and was angry; and he went on backsliding in the way of his heart.
      Eze 39:23
      The nations shall know that the house of Yisra'el went into captivity for their iniquity; because they trespassed against me, and I hid my face from them: so I gave them into the hand of their adversaries, and they fell all of them by the sword.
      Eze 39:24
      According to their uncleanness and according to their transgressions did I to them; and I hid my face from them.
      Eze 39:29
      neither will I hide my face any more from them; for I have poured out my Spirit on the house of Yisra'el, says the Lord GOD.
      Mic 3:4
      Then they will cry to the LORD, But he will not answer them. Yes, he will hide his face from them at that time, Because they made their deeds evil."

  • @beautypesh7121
    @beautypesh7121 Год назад +2

    I love your preaching so much so much you have the anointing may GOD bless u

  • @shshygibb2236
    @shshygibb2236 2 месяца назад

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ Ameeeeen Amen oooh Goodness yess❤❤❤❤❤❤❤God Bless you soo much ❤❤❤❤❤

  • @BethMwaniki-hk2xy
    @BethMwaniki-hk2xy Год назад +2

    Am so blessed by your messages to meet you online was such an honour learning so much from your posts

  • @PhilipinaMakundi-r5r
    @PhilipinaMakundi-r5r 10 месяцев назад +1

    Watching from Tanzania Kilimanjaro I am very blessed and God bless you pastor

  • @ElizabethNyamai-me2id
    @ElizabethNyamai-me2id Год назад +1

    Mtumishi Mungu akuweke siku nyingi usaidie wakristo walio tayari kwenda mbinguni

  • @rizikimarie6765
    @rizikimarie6765 Год назад +10

    🌹🥀🌷🌻🔥🔥🔥🔥 mpeni mtumishi wa Mungu mauwa yake jamani anastahi mauwa tumebarikiwa kweli kweli 🔥🔥🔥🌺🌹🌷

    • @hellenmuhando3860
      @hellenmuhando3860 Год назад

      🎉🎉🎉🎉🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

    • @rizikimarie6765
      @rizikimarie6765 Год назад

      🌷🌷🌷🌹🌹🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🙏

    • @veronicankhwazi7954
      @veronicankhwazi7954 Год назад

      🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

    • @Daniella249
      @Daniella249 Год назад +1

      🌹🌹💐💐💐💐💐🌹🌹Huyu mtumishi Mungu amemuandaa kweli kweli Mungu ampe Maisha marefu Na kumuongezea hekima Zaidi ktk hudumu yake 🙏

  • @hagailumbwe9146
    @hagailumbwe9146 Год назад +7

    Viwango sita vya maombi ubarikiwe sana Baba najua lilikuwa kwaajiri yangu na nategemea kuona mabadiriko ktk utu wangu wa ndani namna ya kumtafuta Mungu

  • @puritykathure-su1lo
    @puritykathure-su1lo Месяц назад

    A very powerful man of God God bless you

  • @estherwanjiku831
    @estherwanjiku831 Год назад +9

    Ubarikiwe zaidi mchungaji 🙏 mwenyezi mungu azidi kutia mafta kichwani pako 🙏nimebarikiwa sana ameeen 🙏

  • @RogatiKundi
    @RogatiKundi Год назад +2

    Tufungue mungu atakubariki pasta ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤mungu akulinde na waovu amen

  • @HappinessIsaay
    @HappinessIsaay 2 месяца назад

    Ubarikiwe Mchungajn na Mungu akutunze milele

  • @CollinsKibaki
    @CollinsKibaki 4 месяца назад

    Hakika mchungaji wa mungu barikiwa zaidi Mafunzo yako yamefanya nianze Hata kuubiri na nikiomba mambo yanatendeka.God bless you pastor.n Collins kibaki from Kenya

  • @VenturraMagoma
    @VenturraMagoma Год назад +1

    Mungu akubariki pst George Mukabwa nimebarikiwa kwa mafunzo yako be blessed in Jesus name

  • @ivonneketenge-4155
    @ivonneketenge-4155 11 месяцев назад

    Amina kubwa mtumishi wa MUNGU ubarikiwe 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌. Namiye nimebarikiwa

  • @pienciagoldian
    @pienciagoldian 3 месяца назад

    Mungu akubariki sana pastor umenitoa mbali sana nakushuru sana Mungu azidi kukufundisha zaid ili kutufindisha, akuna somo ambalo umefundisha nimetoka bure nashukuru kwa kukujua ubarikiwe mno , Mungu ndo anajua zaid

  • @SarahTsuma-g3r
    @SarahTsuma-g3r 10 месяцев назад +1

    Very powerful teaching be blessed postor

  • @kisangprisca8328
    @kisangprisca8328 4 месяца назад

    I am blessed by this teaching pastor. May God continue to use you in Jesus name.

  • @peresitani8071
    @peresitani8071 8 месяцев назад +1

    Listening from Busia county Kenya..ahsante Mungu

  • @EmmanuelMakoye-b9b
    @EmmanuelMakoye-b9b 21 день назад

    Jaman tuendelee kusikiliza mafundisho na tumfatilie tutavuka mahal mm binafsi nafurahia Sana Mungu amubariki🙏🙏🙏🙏🙏

  • @Lilian-fs7wr
    @Lilian-fs7wr 2 месяца назад

    Mungu akuongeze kiwango ingine hakika kupita kwa maubiri yako pasta sai niko karibu sana na mungu ubarikiwe sana

  • @norahigweta6082
    @norahigweta6082 7 месяцев назад

    God bless general,am much lifted to another level of prayers through you're teaching.following from Naivasha Kenya

  • @Mwx-zd4ov
    @Mwx-zd4ov 10 месяцев назад +3

    Amen karibu yesu moyoni mwangu unitawale

  • @bisneth3507
    @bisneth3507 5 месяцев назад

    ❤🎉🎉🎉🎉 MUNGU aibariki huduma yako

  • @AnneCherop-kn6lb
    @AnneCherop-kn6lb 5 месяцев назад

    Amen 🙏 you're powerful mtumishi wa mungu waja tu niseme hii kanisa na mafundisho imenifunza mengi sana 😢Mungu akuongoze mtumishi wa Mungu 😢😢😢

  • @BiankeRaphael
    @BiankeRaphael Год назад +1

    ❤❤❤niko Bujumbura napenda jinsi Mungu anavyokutumia

  • @JosephineSimba-w1n
    @JosephineSimba-w1n 3 месяца назад

    Amina baba ubalikiwe sana Kwa mafundisho Yako nataman nifike kanisa liko wap

  • @samwelrobeth7763
    @samwelrobeth7763 8 месяцев назад +1

    Amen pastor hakika nabarikiwa..❤

  • @BhatyBhaty
    @BhatyBhaty 4 месяца назад

    Mwenyezi mungu akulinde,azidi kukutumia na akupe maisha marefu na yenye baraka tele.

  • @DianaDeclass-lz7yg
    @DianaDeclass-lz7yg 6 месяцев назад +1

    Amina baba Mungu azidi kuatamia huduma yako Ameen

  • @rosebuyabo9654
    @rosebuyabo9654 8 месяцев назад

    Thank you so much for the true teaching you give us on this forum. I am personally growing in faith. Following from Nairobi
    May God expand your territories.

  • @josephmuigai7465
    @josephmuigai7465 11 месяцев назад +1

    Blessed from kenya

  • @Jedidahnyawira-vs3es
    @Jedidahnyawira-vs3es 10 месяцев назад +1

    Wisdom if high level servant of God

  • @blessedmiritis1054
    @blessedmiritis1054 8 месяцев назад +1

    Mungu akubariki na akutunze....uje ututembelee kenya.

  • @carolinChambangwe
    @carolinChambangwe 3 месяца назад

    Amen be blessed pastor 🙏🙏

  • @MathaZingwa-c9h
    @MathaZingwa-c9h Месяц назад

    Mungu akitunze mtumishi wa Mungu

  • @charlotteobaga6183
    @charlotteobaga6183 Год назад +1

    Powerful msg🙏🙏🙏

  • @hellenjoseph3800
    @hellenjoseph3800 10 месяцев назад

    Amina Mchungaji. Hakika ninaona kubadilishwa sana kwa siku hizi tatu nimeuona ukuu wa Mungu

  • @KanMer-gr6nc
    @KanMer-gr6nc 8 месяцев назад

    Bwana asifiwe sana❤❤❤🎉🎉kutoka nimjue mambo yangu sio ya kawaida kama mbereni.more blessing🎉🎉

  • @catenkatha3413
    @catenkatha3413 7 месяцев назад

    Following keenly from Isiolo Kenya,You are a blessing man of God

  • @JaphetJohn-dt2cl
    @JaphetJohn-dt2cl 8 месяцев назад +1

    Ubarikiwe mtumishi mafudisho yako ni mazuri sana

  • @esthermunene5282
    @esthermunene5282 6 месяцев назад

    Thank you pastor George for teaching us about prayers .may God bless u for that revelation

  • @anishamgallah6449
    @anishamgallah6449 Год назад +1

    Amen,Mungu akubariki sana Pastar unafanyika baraka kwenye Maisha yangu..Asante kwa mafundisho yako mazuri🙏🏾

  • @rhodamaganga8308
    @rhodamaganga8308 Год назад +8

    asante sana Mungu Kwa kumleta huyu baba !kwenye maisha yangu ananibariki sana japo ni RUclips! IPO siku ntamuona live!

  • @TeleziaSimbeye-fm3zw
    @TeleziaSimbeye-fm3zw 6 месяцев назад +1

    Mungu akuzingile akuongoze yy tu si vinginevyo

  • @WitnessNathanael
    @WitnessNathanael Год назад

    Napenda mafundisho ya Pastor yanainua Imani yangu Sana. thanks Pastor. Natamani kuwa miongoni

  • @marionrobi
    @marionrobi 6 месяцев назад

    Thank you Jesus for the Grace prosperity Blessings and favour locate me Ohh LORD. Hallelujah Shalom 🙌

  • @lydiammassy4634
    @lydiammassy4634 11 месяцев назад

    Ninabarikiwa sana na wewe Pastor,Mungu azidi kukutia mafuta yake uzidi kutulisha chakula cha kushiba.❤

  • @RogatiKundi
    @RogatiKundi Год назад

    Hata Mimi pasta wewe ni mwalilim baba Asante sana unanifariji Toka asubuhi takuangalia baba

  • @catherinejabeya4455
    @catherinejabeya4455 11 месяцев назад

    Thanks so much mtumishi wa mungu nimebarikiwa na mafunzo yako

  • @bellahgift3948
    @bellahgift3948 11 месяцев назад

    Powerful teaching ♥️ be blessed pastor 🙏

  • @agnesmartin8382
    @agnesmartin8382 5 месяцев назад

    Nimebarikiwa hallelujah
    Mungu andelee kukupa neema

  • @MarryOrigenesi
    @MarryOrigenesi Год назад

    Pastor unanibariki na umenipa hatiua hizo sita za maombi kiukweli umwalimu na Mungu kakupa makusudi huduma hiyo tusiangamie kwa kukosa maarifa.BARIKIWA SANA

  • @verasikawa6382
    @verasikawa6382 Год назад +1

    Mungu akubariki sana mtumishi wa mungu aliye hai nimepokea nanimepiga ya kiroho na kimwili.

  • @Sali-dr3xx
    @Sali-dr3xx 6 месяцев назад

    Pastor mungu azidi kukuenua kwa mana n kiingia kwa ibada zako uwa roho yangu inabubujika n kuwa naamani

  • @robertjeremiah7521
    @robertjeremiah7521 7 дней назад

    Kwa kweli Mz mnahazina,niko Geita namfuatilia mtumishi

  • @elizabethsalila2262
    @elizabethsalila2262 10 месяцев назад

    Asante sana pastor George, napata nguvu za kuomba kwa mafundisho yako,MUNGU akuinue kwa viwango vya huu.

  • @naomimbele8500
    @naomimbele8500 11 месяцев назад

    Asante mtumishi wa Mungu nimebarikiwa sana na mahubiri

  • @magdalenampanda1426
    @magdalenampanda1426 8 месяцев назад +1

    Hakika Mtumishi wa hali ya JUU, namshukuru Mungu kufahamu channel hii. SHETANI hunipati

  • @wilsonkahuthu6604
    @wilsonkahuthu6604 3 месяца назад

    He is a Great Prophet

  • @MariamMweri
    @MariamMweri 7 месяцев назад

    Mungu akubariki mtumishi, akupe maisha marefu umekuwa msaada Kwa wengi

  • @YvonneMusyoka-z1d
    @YvonneMusyoka-z1d 11 месяцев назад +2

    Mafundisho Yako yamenibadilisha kabisa kupitia kwayo nimepokea moto wa kiroho wa Kila siku....kabisa hili limebarikiwa sana

  • @reginak3204
    @reginak3204 Год назад +1

    God bless you man of God

  • @WakilongoElisha
    @WakilongoElisha 8 месяцев назад +1

    Asante mwalimu kwa mafindisho

  • @IsayaMeikasi
    @IsayaMeikasi Год назад

    Amen hakika Mungu kwa kupitia katika mafundisho haya umenifungua.
    Mtumishi wa Mungu uzidishwe mara dufu.

  • @CarsSellers1
    @CarsSellers1 Год назад +1

    Hallelujah mtumishi we are so more blessed by your teaching

  • @ChristopherSibale-f3u
    @ChristopherSibale-f3u 8 месяцев назад +1

    Mungu akubaliki huduma yako ninjema sanaa

  • @naomikungu386
    @naomikungu386 Год назад +3

    This is a very powerful message.God bless you very much.

  • @monicawayuanzule516
    @monicawayuanzule516 Год назад +2

    Pastor be blessed, may God use you to reach out to many souls all over the world, you have made me see things differently, am believing God to change my prayer life full circle. Am watching from Kenya. I have tried sending my offering through Mpesa it didn't go through.

  • @haikamshana3712
    @haikamshana3712 Год назад

    Nimebarikiwa sanaa…Mungu azidi kukuinua mtumishi🙏

  • @ZainaSingano
    @ZainaSingano Год назад +1

    Barikiwa sana Mtumishi

  • @JelemayaJaphet
    @JelemayaJaphet Год назад +1

    Mungu akusaidie ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @FLORIDADOTTO
    @FLORIDADOTTO 11 месяцев назад

    Ubarikiwe pastor may God help u na uendelee mbele

  • @VincentKathele
    @VincentKathele Год назад

    Pastor mungu akubariki sana naedelea kubarikiwa n mafunzo yako

  • @elishaester7987
    @elishaester7987 Год назад

    Asante sana baba Nimebadilika kwakweli
    Mungu amekutuma kwangu

  • @marysangadikiongo3102
    @marysangadikiongo3102 5 месяцев назад

    Napenda sana mahubiri yake, Mungu azidi kumuinua kwa viwangu vya juu sana

  • @MusaFanuel-v4j
    @MusaFanuel-v4j Год назад

    Asante mtu wa mungu mafundisho yako yananitengenesa upwa kiimani barikiwa sana mtumishi