MABEYO AONGEA KWA UCHUNGU, ATOA KAULI NZITO KWA RAIS SAMIA, "WANAHANGAIKIA AJIRA, WAMEKOSA MWELEKEO"

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 5 фев 2025
  • #UhondoTV #Uhondo

Комментарии • 282

  • @GeorgeNtauka
    @GeorgeNtauka 7 месяцев назад +9

    Best is best ever ,be blessed mabeyo umesema facts sana na kiongozi imara mara zote daima.

  • @cefr.1gstat621
    @cefr.1gstat621 7 месяцев назад +10

    Kweli yaani mtu kila siku unakuta unaenda kuangalia taarifa ya habari labda kuna ajira, unanunua bando kila siku upo mtandaoni labda kuna Updates za ajira ila wapi,God bless you 💪 Generali mstaafu Mabeyo

    • @raymondmilanzi
      @raymondmilanzi 4 часа назад

      Jiajiri tu Elimu ikusaidie kutumia fursa

  • @daviddidas6659
    @daviddidas6659 3 месяца назад +3

    Mkuu wa Majeshi ulitukosea Sanaa hii nchi ungeshika wewe mpaka 2025 ndio uchaguzi ungekuja kufanyika tungepata Rais!

  • @CHARLESMASANJA-h5o
    @CHARLESMASANJA-h5o 3 месяца назад

    Congratulations you have given to Tanzanians an eye opener to see what you have said and done on your chairmanship position bravo

  • @PhilemonElisha-zt8bp
    @PhilemonElisha-zt8bp 5 месяцев назад +1

    UNGETUSIKILIZA SISI MABEYO UNGECHUKUA NCHI KIPIND KILE YOTE YASINGETOKEA HAYA UMETUKOSEA SANA WATZ😢

  • @johnmalembo6464
    @johnmalembo6464 8 месяцев назад +47

    Huwezi tengeneza ajiri huku ukibinafsisha na kukodisha na kuuza maliasili tulizo nazo......lasilimali ndizo huzalisha ajira nyingi....ziko wapi lasilimali zilizo mikononi mwa nchi na wazawa sasa....ni ndoto kufanya mageuzi ya kiuchumi na ajira kwa fikra za kukaribisha wawekezaji wakwapuaji

    • @eddynaeem6708
      @eddynaeem6708 7 месяцев назад

      a hapo bado sijaona jipya

    • @athumanfuko199
      @athumanfuko199 7 месяцев назад

      kweli ila kama una miaka 40+ hauna haki ya kuhoji kitu hii nchi kwasababu umeshaona marais wote na kama hatuna pesa tutulie by Chalamila.

    • @salehothman6144
      @salehothman6144 7 месяцев назад +1

      Akili yako bado haijapevuka au bado una umri mdogo hufahamu mtizamo wa ubinafsishaji!

    • @AbdulRahmanAliy-sr7gw
      @AbdulRahmanAliy-sr7gw 7 месяцев назад +1

      Shida haipo apo kaka
      Niboresha mfumo wa elumu tu bc tukisha kua na uelewa mzur kila ktu tutaweza kukifanya kwa ubora

    • @mamboshepea8888
      @mamboshepea8888 7 месяцев назад

      @@salehothman6144 😢😢😢

  • @ThomasMcha-jk5yt
    @ThomasMcha-jk5yt 8 месяцев назад +22

    Very Softly/Politely Spoken BUT The Message delivered is Very Strong!!...You can feel the Silence & Attention from the Audience.

    • @geey7893
      @geey7893 7 месяцев назад +3

      Best Boy in Tanzania. General VSM

    • @damianmcba9525
      @damianmcba9525 7 месяцев назад

      He is not a boy he's a Man​@@geey7893

    • @jacobd.kasofu2204
      @jacobd.kasofu2204 7 месяцев назад +2

      Abusolutely....This Man is A Gentleman❤❤❤

    • @ZambweYandu
      @ZambweYandu 4 месяца назад +2

      Nlikuwa Nataka Kuona Mtu Aliye Litambua Hili Kumbe Pia Umeliona Asante👊🏿👊🏿👊🏿

  • @obedmghase5238
    @obedmghase5238 7 месяцев назад +3

    Yupo vizuri sana,Mungu azidi kukuoigania

  • @JumaSafari-x5l
    @JumaSafari-x5l 7 месяцев назад +12

    Uko vizuri sana ungefaa kuwa raisi wa tz tungekua vizuri sana tugenenepa

    • @jumamohamed3168
      @jumamohamed3168 7 месяцев назад +1

      Hayo ni mawazo yako .

    • @walidmgonja3644
      @walidmgonja3644 7 месяцев назад +1

      Akili Huna wewe,kila anayeongea vizuri kwako anafaa kuwa rais

    • @hemed4064
      @hemed4064 7 месяцев назад

      Nae akiwa rais mtamlaumu kuliko samia

  • @lucaschisamalo2852
    @lucaschisamalo2852 7 месяцев назад +4

    Mungu ibariki tanzania huwa naumia Sana inchi inakila kitu lakini watu wake wanaishi maisha magumu Sana

    • @gloryshayo9966
      @gloryshayo9966 7 месяцев назад

      Yaani sijui mwisho wa haya mateso ni lini??

    • @walidmgonja3644
      @walidmgonja3644 7 месяцев назад

      Kafanye kazi,Acha kulalamika hutatoboa

    • @lucaschisamalo2852
      @lucaschisamalo2852 7 месяцев назад

      @@walidmgonja3644 sawa mwenye Kazi

  • @jogoomohamed2652
    @jogoomohamed2652 7 месяцев назад +4

    Safi sana nchi yangu/yetu.Safi sana mhe Rais mama yangu/yetu.Hongera sana mkuu mstaafu(Mabeyo)Afande Mabeyo kwa speech nzuri.

    • @abdulhakeem959
      @abdulhakeem959 7 месяцев назад

      Ni mama yako sio mama yetu.mm nina mama yangu anaitwa Mariath sio samia

    • @jogoomohamed2652
      @jogoomohamed2652 7 месяцев назад +1

      Bro mi mama yangu,coz kanitangulia kuzaliwa napia kiongozi wa nchi yangu.So nampenda napia namuheshimu sana kwenye maisha yangu.

    • @herbethanchama733
      @herbethanchama733 4 месяца назад

      ​@@abdulhakeem959😂😂😂

  • @EnockKisigo
    @EnockKisigo 7 месяцев назад +1

    Mkuu wetu wa Chuo Mungu Akubariki Amen

  • @sebastiansalamba313
    @sebastiansalamba313 8 месяцев назад +13

    Haya ndio maneno sasa

  • @malakisilas6523
    @malakisilas6523 4 месяца назад

    Yes!

  • @johnsonchonja4032
    @johnsonchonja4032 7 месяцев назад +5

    Mabeyo once again 💯

  • @faustinombilinyi9809
    @faustinombilinyi9809 7 месяцев назад +5

    Mh. Mabeyo umestaafu umefanya kazi zako vizuri lkn ongea ukweli nchi sahiz iko ovyo hakuna chamageuzi wakati nchi inaizwa hiii

  • @Carolina-sm5zt
    @Carolina-sm5zt 7 месяцев назад +2

    Mungu akupe maisha marefu Mabeyo🎉🎉🎉🎉

  • @MichaelMugheny-l9c
    @MichaelMugheny-l9c 4 месяца назад +1

    Hafrey. Polepole

  • @KishaKisha-ux4ul
    @KishaKisha-ux4ul 5 месяцев назад

    Umeongea ukweli kabisaaa mungu akubariki sanaaa

  • @nathanmmasi3890
    @nathanmmasi3890 13 дней назад

    Wewe Mungu alikuchanguwa kuwa Rais ila ukapingana na Mungu ila unazungumza pwenty nchi imekuwa maskini pesa akuna zipo kwa viongozi waserekali tu

  • @stephenndagalla8183
    @stephenndagalla8183 8 месяцев назад +43

    Tamko zito kutoka kwa Generali Mstaafu Mabeho, "Tz ibadirike iendane na mabadiliko ya Kimataifa ya Dunia ya Kiuchumi, tusifanye kimazoea...". Kumbuka Generali Mabeho amenukuu mwanafalsa mwanajeshi wa Kichina, ambayo nchi yake (China) ndio inaongoza kwa sasa Kiuchumi Duniani. Hivyo Generali Mabeho anaishauri Tz (kupitia Rais Samia), kubadilika na kuachana na kukumbatia Mashirika ya fedha ya Kimagharibi ya IMF na WB.

    • @edsonnelson4464
      @edsonnelson4464 8 месяцев назад +2

      Ahh!! kumbe na G. Mabeyo naye ameongea

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 8 месяцев назад +3

      Wenzie ndo wanapata ulaji humo, hiyo misaada na mikopo inakuwaga accounted for? Huyo cig huwa anakagua hiyo mikopo na misaada? Huko ndo raisi na mawaziri husika wanakula hela tena wanazipiga kweli kweli.

    • @adelinelyaruu3036
      @adelinelyaruu3036 8 месяцев назад +1

      Wanataka kusikia kilichopo moyoni mwake

    • @mekajamtv9603
      @mekajamtv9603 7 месяцев назад +1

      unahuakika na ulisemalo😮

    • @husseinmkanga7794
      @husseinmkanga7794 7 месяцев назад +1

      Mabeyo hana kitu kipya zaidi kumsifia Rais na kufurahiya nafasi aliyopewa. Mashirika gani anayosema yapo vizuri? Zaidi ya sasa wamepewa nafasi ya kuiba. CIG anasema mashirika fedha zinapotea hata shirika la ndege ambalo limenunuliwa ndege za kutosha ambazo zimekuwa za kupanda viongozi. Hawa viongozi walikuwa wazalendo wakati wa Magufuri kwa sababu ilikuwa lazima upewi nafasi. Sasa hivi kigezo ni kumsifu Rais na kumshauri vizuri. Kama tumasema hatuwezi hata kuendesha bandari tunawezaje kuendana na mabadiliko ya kidunia ambayo mabeyo anasema? Yanayotoka moyoni huitaji kuandika kwenye kalatasi mabeyo amepewa kalatasi asome ili watudanganye. Sio mabeyo yupo kwenye bodi au kamati ya kuamisha na kuandaa wamasai bandia kusema wamasai wamekubali kuamishwa wakati sio kweli? Maneno hayatudanganyi wakati matendo tunayaona.

  • @MaulidyMadyo
    @MaulidyMadyo 5 месяцев назад

    Kamanda mabeyo. Big up

  • @williamboniphace5887
    @williamboniphace5887 7 месяцев назад +2

    Wanajeshi sku zote wamenyooka sana
    Hawataki uchawa chawa🙏🙏

    • @MahdouMomba
      @MahdouMomba 7 месяцев назад +1

      Na ndio maana wale jamaa watatu pale Sahel,AES hawataki uchawa, hawataki unafiki, they are disciplined and well straight

  • @MasumbukoNgata
    @MasumbukoNgata 7 месяцев назад +20

    Asante mabeo nyinyi ndo wazarendo awamu hii haitaki wazarendo

  • @namsifubwana2152
    @namsifubwana2152 7 месяцев назад +20

    Bandari zimeuzwa, misitu imeuzwa, unasema nini Gereli😢😢😢watu wananyanyaswa kwenye ardhi zao wanafukuzwa kwenye ardhi yao😥😥😥

  • @susanndanshau1185
    @susanndanshau1185 7 месяцев назад +1

    Hapo muhusika hata hajakuelewa. Woiiiiii😢😢😢

  • @TitoRufizi-xb2ub
    @TitoRufizi-xb2ub 7 месяцев назад +1

    Hapo kazi ni kusifiana tu hakuna laziada

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 8 месяцев назад +23

    Ameuza mali za Inchi ya Tanganyika mnasifu nini? Mnasifu ili muendelee kuwa wenye viti vya board. Acheni kutufanya watumwa wenu. Inchi hii ni yetu wote.

    • @ndukulusudikucho_
      @ndukulusudikucho_ 7 месяцев назад +5

      Kunyamaza ni hekima, ukiona mtu analalamika saana ujue anakwepa majukumu yake, fanya kazi Kijana acha Malalamiko, Bakharesa amepewa hela na nani? Familia ya MO dewji wamepewa hela na Serikali? Acha hizo kuwa serious na maisha

    • @ladislausngoyinde4384
      @ladislausngoyinde4384 7 месяцев назад +2

      ​@@ndukulusudikucho_we ni mpumbav kabisa, mnaturudisha kwenye utumwa

    • @jesusiscoming237
      @jesusiscoming237 7 месяцев назад

      Duu

    • @simonmalegesi414
      @simonmalegesi414 7 месяцев назад

      ​@@ndukulusudikucho_kweli aisee😂😂😂❤❤❤

    • @mimiraia2531
      @mimiraia2531 7 месяцев назад +1

      @@ndukulusudikucho_ Unaongea usenge

  • @agastokissatu2667
    @agastokissatu2667 7 месяцев назад +10

    ........tunataka fomu mbili za uchaguzi ndani ya cCm ya afande na mama wa bandari

    • @David-if6nk
      @David-if6nk 7 месяцев назад +1

      Afande atamgaragaza traveller hadi huruma. Matokeo yatakuwa kama ifwatavyo;
      Afande 98.9%
      Traveller 1.1%

  • @MphilipinoFilmsTv-bs4mw
    @MphilipinoFilmsTv-bs4mw 7 месяцев назад +1

    RAISI ALIKUWA MAGU TU,, NDO MZALENDO NA MWENYE UCHUNGU NA NCHI TAKE, sasahiv ni madudu TU,, Kila sekta upumbavu,,apo Tazara kwenye TRENI NDO huozo kabisaa,,mijitu inajipangia TU Leo tunaenda kesho atuendi,,kifupi AUNCLE NDO RAISI WA KWELI ...

  • @agastokissatu2667
    @agastokissatu2667 7 месяцев назад

    .... well said bro afande

  • @modrikabdallah
    @modrikabdallah 7 месяцев назад +1

    MMi ni mzalendo wa tanzania kutoka Tanga tanzania 2sije tukaungana na NATO wala kufanya biashara yeyote ile maana wzungu wanatunyonyasan wa africa sana Haswa haoo wmarecani na Engeland 2sikubali watutawale kivyovyote vile 2kiamua Tanzania 2naweza ASANTE, 8:56 iv

  • @pauloropian2367
    @pauloropian2367 8 месяцев назад +6

    Ndugai Mungu akubariki popote ulipo, Mungu ibariki Tanzania mungu ibariki Africa.

    • @Mumewangu
      @Mumewangu 8 месяцев назад

      Kampe na mkundu

    • @emanuelleopod3949
      @emanuelleopod3949 7 месяцев назад

      ​@@Mumewangu ukimpa wewe inatosha

    • @MiriamAziz-z5t
      @MiriamAziz-z5t 7 месяцев назад

      AIBU NA FEDHEHA KUTOA MATUSI...MDOMO MCHAFU!

    • @Mumewangu
      @Mumewangu 7 месяцев назад

      @@emanuelleopod3949 wewe ndie shoga manake unampenda mwanaume mwenzako na kumsifia

  • @rosetreffert4179
    @rosetreffert4179 7 месяцев назад

    Kauli tulinlvu na ujumbe nzito 🎉❤❤❤❤❤

  • @MohamedHassan-w6f9z
    @MohamedHassan-w6f9z 8 месяцев назад +4

    Bukina Faso ndo ina uongozii Bora majeshii ndo Kila kitu

    • @TibihikaGerad
      @TibihikaGerad 7 месяцев назад +2

      Idd Amin hakuwa mwanajesh Nkurunzinza hakuwa mwanajesh Kabira hakuwa mwanajesh Mzee kikwete hakuwa mwanajesh Mzee mseven sio mwanajesh hacha kukalili

    • @David-if6nk
      @David-if6nk 7 месяцев назад

      Ni bora wajeshi kuliko hawa raia wapuuzipuuzi

  • @MPOYOLAFILMS
    @MPOYOLAFILMS 7 месяцев назад

    I love you my father...

  • @richkaja3317
    @richkaja3317 7 месяцев назад +2

    Mkuu kwani kuchua nchi unashindwa nini nyumba baba mama moyo akae nyumbani alee watoto kalia kiti mkuuu

  • @AlbathiLyuvale
    @AlbathiLyuvale 7 месяцев назад +1

    Hakika , vijana wengi tushapotea , hatuoni umuhimu wa elimu ,zaidi ya maumivu tu ya kusota na makaratasi ya vyeti😢🇹🇿🙌

  • @joycemkeka3769
    @joycemkeka3769 7 месяцев назад

    Pamoja na kujiamini lakini umejaliwa unyenyevu nakupendaga sana mkuu venance mungu akutunze na ikimpendeza natamani siku mona uwe rais wa Tanzania 🙏🙏

  • @TM-zs3rm
    @TM-zs3rm 8 месяцев назад +3

    Nakusifu ndugu Mabeyo kwa kuwa mkweli ingawa umekuwa too polite katika risala yako. Ungekuwa more direct kusudi Raisi apate picha kamili na mazito uliyoyasema. Raisi kazi hikes na watu wengi ambao hawapo serious na maisha ya Watanzania. Hawajaisoma dunia ni wapi inaelekea na nini au vipi tutumie raslimali zetu kuboresha maisha ya watanzania. Raisi umetukosea sana kuwapa mataifa ya nje raslimali zetu kuu na wazichukue burebure kwao na wakazichakate huko. Ungepigilia msumari tujenge viwanda Tanganyika, tuongeze thamani ya maligafi yetu badala ya kuwaruhusu wakachakate kwao na kukosesha Watanganyika wengi ajira nchini hasa vijana wa Somali a kazi. Kuwafukuza Wamasai na kupora ardhi na mifugo yao na kuwaruhusu wageni kuchukua ardhi zetu na kuwekeza huko. Hızı na haya maeneo ambayo ni Prime nchini kiuchumi ni makosa makubwa sana sana bila hata kuwahusisha wamasai ambao ndizo ardhi zao ni ki yüme cha sheria kikatiba ya nchi yetu na ningeshauri zirudishwe kwa Wamasai. Tumetoa raslimali kuu zote na bado hatuna dola na hii haieleweki hata kidogo.
    Mungu ibariki Tanzania. Wabariki viongozi wetu wakuu na kuheshimu madaraka yao na kufanya maamuzi magumu wakimtumainia Mungu kwa manufaa ya watanzania kwanza kabla ya mtu meingine yeyote. Mungu wabariki watanzania , uwalinde na kuwaongoza vyema.
    Amina.

  • @nurumohammed1310
    @nurumohammed1310 4 месяца назад +1

    Jmn mabeo gombea Uraisi inchi imekuwa haina Amani kabisa tumekuwa kama panya tukiona paka tunakosa amani

  • @faustinombilinyi9809
    @faustinombilinyi9809 7 месяцев назад +1

    Mama Samia sio kila mtu anaweza kuwa mkurugenzi wa ikulu hiyo nafasi muhimu mno angalia huyo mtoto anavyojikanyaja hapo ovyo kabisa unajaza teuzi zako zingine HAZIELEWEKI kabisa

  • @MarryShirima-p4u
    @MarryShirima-p4u 4 месяца назад

    2025 kura kwa mabeyo hata kama hatagombea😂

  • @Udakuwapwani
    @Udakuwapwani 4 месяца назад

    ❤❤❤

  • @suleimansadalla5606
    @suleimansadalla5606 7 месяцев назад

    Asante mzee mimi sikusoma sana lakini nimekuelewa sanaaa,

  • @kakamau0384
    @kakamau0384 7 месяцев назад +1

    Kuna mda kwa uchache wa akili yangu ninahisi kama UZARENDO upo JESHINI je ni mimi tu au hata nyinyi wenzangu???? Maana huyu jamaa anaongea point lkn kwa upole na utii wa hali ya juu

    • @MahdouMomba
      @MahdouMomba 7 месяцев назад

      Uko sahihi 100%, mfano mzuri ni akina Traore, Tiani na Goita pale Sahel States,

  • @sawegasper9670
    @sawegasper9670 7 месяцев назад +1

    “Natumaini umeelewa vyema”😂

  • @stanmasnon5152
    @stanmasnon5152 7 месяцев назад

    Asante kwa maneno mazuri mheshimiwa maana kauli MBIU ya kupata ajira wasema nasafi za kazi vigezo uwe na uzoefu wa miaka mitatu sasa vijana wamesomea kazi husika badala ya kupewa nafasi wanaambiwa uzoefu miaka mitatu je uzoefu huo unapatikana wapi

  • @leodegarfoyanshaw7111
    @leodegarfoyanshaw7111 6 месяцев назад

    Kwa Mara ya Kwanza natamani CDF mstaafu huyu ateuliwe kuwa waziri, ni atakusaia Sana Mh. Rais, hatakosa kwenye the best three ktk baraza

  • @frankalfredy4991
    @frankalfredy4991 7 месяцев назад

    Great

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 7 месяцев назад +1

    Na hilo gaiwo ni kwa kila mtanzaniaa au ni kwe nyinyi wenyewe wenye nnchi.

  • @MichaelKingazi-wm7xj
    @MichaelKingazi-wm7xj 7 месяцев назад

    Mungu akutunze baba padre, Amen sana.

  • @edsonmnego4030
    @edsonmnego4030 7 месяцев назад +2

    Haya majitu ndo yanatakiwa yawe marais

  • @ShaidaAfati
    @ShaidaAfati 4 месяца назад

    Hayo ndiyo maneno siyo mipasho mama maongezi yake yote inakuwa kuchamba watu mabeyo una faa kuwa raisi wa nchi hii

  • @ArsihubKimonje
    @ArsihubKimonje 4 месяца назад

    Jeshi linge kuwa na mfumo wakuwasimamia viongozi wote mpka raisi anapofanya ujinga na kumchukulia hatua,

  • @KajunaMathayo
    @KajunaMathayo 6 месяцев назад

    Mabeyo ongea ukweli na ongea kwa utaifa ulio fundishwa jeshini nchi yetu aina maendereo na inazidi kushuka kiuchumi

  • @AbdallahBakar-oc3ue
    @AbdallahBakar-oc3ue 8 месяцев назад +14

    Na tatizo la watu wengi hawataki kustafu wanangangania madalaka wao vijana hawatapata ajira kamwe

    • @sskondopoleani9616
      @sskondopoleani9616 7 месяцев назад +2

      Wewe kwa mtazamo wako, wazee gani waondoke, na vijana gani ambao wewe unaona wana faa kuchukua hizo nafasi unazozisema? Baada ya kulaumu toa Ushauri.

  • @daudibukwimba4226
    @daudibukwimba4226 7 месяцев назад

    Plan is key to success

  • @MaridadiRashidilikwesoLikweso
    @MaridadiRashidilikwesoLikweso 7 месяцев назад

    nchi ya ahadi 😭😭📞💔
    duuh

  • @joelgabrieljuma1906
    @joelgabrieljuma1906 7 месяцев назад

    Point muhimu

  • @Bim941
    @Bim941 4 месяца назад +1

    Alitakiwa awe raisi

  • @edsonmwinami3187
    @edsonmwinami3187 8 месяцев назад +12

    Kwa nini Mabeyo usichukuwe nchi???? Hakuna waziri yeyote anayeelewa anachofanya zaidi ya kupenda vyeo tu, inakuwaje nchi haina $$??? Wafanya biashara watafanyaje kazi???? Kama BOT hawana pesa za kuwawezesha wafanya biashara kuendeleza nchi kiuchumi??? Hizo Dollars haziko available kwa wananchi lakini wao wanazo za kutumia Dubai, Uingereza na hapa Marekani wanakuja kila mara kwa matumbuzi tu hakuna la maana, something need to be done

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 8 месяцев назад +1

      Raisi ndo kiongozi mkuu kama halioni hilo, wasaidizi wake wanajilia hakutaka kuyachukua mazuri ya aliyemuachia akaamua kuwakumbatia mafisadi. Watu WA kupato cha chini wanaumia kulipa Kodi na maisha magumu walio juu wanateleza, machawa nao ndo wanabugia hela za nchi kila kukicha. Angechukua nchi Magu alivyofariki kama alishindwa ndo basi tena.

    • @AbdulRahmanAliy-sr7gw
      @AbdulRahmanAliy-sr7gw 8 месяцев назад +2

      Uyu anafaa kua rahisi au Ata awe mshauri wa raishi pia itasaidia nchi kwenda mbele

    • @AbdulRahmanAliy-sr7gw
      @AbdulRahmanAliy-sr7gw 8 месяцев назад

      ​@@MsAggie5
      Raisi anajitahid sana lkn mitazamo inatofautiana ila umeongea ktu cha maana sanaa

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 8 месяцев назад

      @@AbdulRahmanAliy-sr7gw hilo la awe msaidizi wake hata Mimi naliunga mkono, angemsaidia vzr

    • @husseinmkanga7794
      @husseinmkanga7794 7 месяцев назад

      ​@@AbdulRahmanAliy-sr7gwAnajitahidi kufanya nini ndugu ? Kilasiku tunakopa nini umekiona?

  • @MarksevenTz
    @MarksevenTz 7 месяцев назад

    Points mbili MUHIMU
    1. Ajira
    2. Namna ya kupata wajumbe wa Bodi
    Lakini MHUSIKA hajaelewa japo Amejitahidi kupiga makofi

  • @FridayMwakaehalile
    @FridayMwakaehalile Месяц назад

    Xema bana

  • @ArsihubKimonje
    @ArsihubKimonje 4 месяца назад

    Tanzania viongozi wengi sio wabunifu wanatalawa nchi kwa mazoea sna, wanapeana kwa kijuana,

  • @salehesalehe2967
    @salehesalehe2967 7 месяцев назад +1

    Mama hongera sanaaaaa

  • @halimakhalid134
    @halimakhalid134 7 месяцев назад

    Wanakua howi kweli wasaidie mkuu nimefulahi kuona umepewa nafas mkuu wetu good you

  • @usembiphonedar5632
    @usembiphonedar5632 7 месяцев назад +3

    Nchi inauzwa,rasilimali zinauzwa ninyi mpo kusifia tu kupongeza uozo unaofanywa na serikali ya ccm!

  • @AthanaseKiyoja
    @AthanaseKiyoja 7 месяцев назад +1

    Huyu di ndiyo alikuwa anamuuguza magufuli ?

    • @jimodefighter
      @jimodefighter 7 месяцев назад

      yeah ndo uyo apo..umegundua nn😂😂?

  • @dismaschindongo4338
    @dismaschindongo4338 6 месяцев назад +1

    Tanzania nchi yetu ina sikitisha saana hivi hiyo nchi, inashindwaje kuwalipa watu wasio na ajira, Nchi nzima hata kama ni kiasi cha laki 2 kila mwezi,
    Watu walio kwenye makundi maalumu kama walemavu, wa aina zote, kiasi maalumu cha Fedha kila mwezi, pamoja na watoto wadogo hadi kiasi cha miaka 18, Pamoja na Wazee hapo Tz,
    Bila kusahau kutoa huduma za Afyah bora Nchi Nzima pasipo malipo

  • @amonimbalya2779
    @amonimbalya2779 7 месяцев назад

    Mabeyo hoyeeeeeeee

  • @juliusmlula1658
    @juliusmlula1658 7 месяцев назад +1

    Mabeo ni muhujumu wa jeshi hakupandisha wanajeshi vyoo na alikuwa anapendelea jamaa zake tu tunamkumbuka Gen Mwamnyange

    • @TibihikaGerad
      @TibihikaGerad 7 месяцев назад

      Wew ni mwanajesh? Na je kama ndio kwa nn ukwenda kamat za jesh kulalamika? Kama sio unalalamikia vip vyeo vya jesh na wewe ukiwa na shughr nyingne??

    • @emanuelleopod3949
      @emanuelleopod3949 7 месяцев назад

      Apandishe Vyoo gani tena ndugu

    • @TibihikaGerad
      @TibihikaGerad 7 месяцев назад

      @@emanuelleopod3949 soma vizur utaona niliye mjibu Mzee

  • @MtamboMovies
    @MtamboMovies 7 месяцев назад

    Movie mpya

  • @AdamSaffi211
    @AdamSaffi211 7 месяцев назад +1

    Dar ni karibu na Zanzibar, heheeee, Dodoma oyeeeee, DP World oyeeeee, musukuma oyeeeee!

  • @nurumohammed1310
    @nurumohammed1310 2 месяца назад

    Hapo sasa samia hapendi kuambiwa ukweli atakuchukia na kazi atakufukuza

  • @faidhamyovela179
    @faidhamyovela179 7 месяцев назад

    Vijan upep umegeuk saiv mpo na mabeyoo😂😂😂😂 kisa kagusia ajira za vijan

  • @SaidMussa-k5i
    @SaidMussa-k5i 18 часов назад

    Huyu mama angekua mkanuni hata asingegombea coz wewe umemaliza Magufir alipo fark sasawewe huna uchungu akakaapemben ukapishavuchaguz ila wewe ndio unafirahia kabisa da kwel madalaka

  • @vanessastafford6426
    @vanessastafford6426 7 месяцев назад +2

    Ferry Tu pale kigamboni serikali pana pesa nyingi panahitaji utendaji thabiti

  • @TzwatotowetuAzina
    @TzwatotowetuAzina 7 месяцев назад

    Tatizo wageni wameshika nafasi za vijana wetu wapo kibao mishahara yao mikubwa akiajiriwa mtanzania anapewa mishahara mdogo 😢😢😢 nenda kwenye makampuni uone wageni walivyo wengi wakija wanasimama nyuma ya fundi wakishajua wanakuwa ndio mafundi wakuu

  • @williamkavuta8066
    @williamkavuta8066 7 месяцев назад +3

    Yan ivi hawez kugombea urais....hawa ndo u magufuli....tumekatishwa...tunataka mtu atakaendeleza ideas za Magu. Ila Mama anajitahid sana ku balance maendeleo na democrasia

    • @David-if6nk
      @David-if6nk 7 месяцев назад

      Mama ni wa hovyo sana

  • @simonphabiano9050
    @simonphabiano9050 7 месяцев назад +2

    He speaks like Philip Mpango

  • @RubenGodfrey-mf6hk
    @RubenGodfrey-mf6hk 7 месяцев назад +2

    Mama alimstaafisha kijanja maana anajua huyu ni mzalendo hataki makando kando

  • @AridiSaid-b9k
    @AridiSaid-b9k 3 дня назад

    Sisi tumepitia mafunzo ya kijeshi ila ajila hatuna tuna hangaika mtaani zinatokea ajila mnapeana wenyewe kwa wenyewe aya leo kongo kume nuka basi tuiteni mbona mnatunyima haki yetu

  • @EsterLucksford
    @EsterLucksford 8 месяцев назад +16

    Mzee ushauri wako nizuri sana tuige kwa kaka wa bukinafaso sisi ni matajir tupambanie nchibyetu

  • @juvenalismnali1901
    @juvenalismnali1901 7 месяцев назад +4

    Na tanesco nao watafutiwe washindani kibiashara Ili serikali ipate Kodi.

  • @barakamusapolekidoti957
    @barakamusapolekidoti957 8 месяцев назад +2

    💪

  • @ArsihubKimonje
    @ArsihubKimonje 4 месяца назад

    Nchi imefika pabaya jamani tuamke kuwa macho na lasilimali zetu muhimu nchi

  • @ednalugano2906
    @ednalugano2906 7 месяцев назад

    Kamanda Mabeyo, umenena vema sana. Tunahitaji wajumbe wa Bodi wenye umahiri, uzoefu na historia ya utendaji wenye ufanisi. ujumbe na uenyekiti wa Bodi kwa mashirika ya umma isiwe 'bakhishishi' au kiti cha kusogezea siku kwa wastaafu.

  • @mosesgodfrey4143
    @mosesgodfrey4143 7 месяцев назад

    5:35

  • @Mpapyrizy
    @Mpapyrizy 7 месяцев назад +1

    👀

  • @lugelosanga5798
    @lugelosanga5798 8 месяцев назад +3

    Tanzaniaaaa korongoniiiii

  • @bonifacerobert2960
    @bonifacerobert2960 4 месяца назад

    Samiah ona huruma kwa Watanganyika kabla ya kuona urais wako 2025. Muweke MUNGU mbele. Vinginevyo huupati urais kihalali. Yaani hupo kulipigania Taifa. Utashindwa hata ukishinda kimabavu.

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 7 месяцев назад

    Ninyi mnaonja kwa kuiba wanainchi wanabaki masikini tu. Endeleeni kutudang'anya wanainchi na kuwa the poorest katika Inchi za Africa ya mashariki. Kwa sababu ya uongozi mbovu.

  • @NelsonMerick
    @NelsonMerick 19 дней назад

    😊 in

  • @Mrnyuki0428
    @Mrnyuki0428 7 месяцев назад

    Unemployment aisee ni kitu kidg alf mataifa yote yenye migogoro chanzo ni iko ndio maana marekani ina vitengo vingii sana vya jeshi ili wengi wenye elimu ya kawaida waendee kujiungaa jeshi. Na kupunguza hatri kubwa uasi kwenye nchi

  • @josiahlwakatare3701
    @josiahlwakatare3701 8 месяцев назад +1

    na mleta roboti😂😂

  • @BoniphasLukas
    @BoniphasLukas 7 месяцев назад

    Duh!yan mung tusaidie umechkua wazalendo umetuachia majambazi yanauza nchi kwafaida zao wenyew

  • @Sakina-pr3ly
    @Sakina-pr3ly 7 месяцев назад

    Sana mwamba umeupiga mwinga umewambiliapo

  • @BayekeFarijala
    @BayekeFarijala 5 месяцев назад

    Angekuwa siyo mwanajeshi angekuwa anaongea Kama Mpango

  • @dismaschindongo4338
    @dismaschindongo4338 6 месяцев назад

    Maisha magumu hadi imefikia mahali vijana wamekata tamaa ndani ya Nchi yao