GABO ASHINDWA KUJIZUIA AFANYA YACHUMBANI HADHARANI BAADA YAKUFANYIWA SUPRISE NA MKE WAKE KWENYE B..

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 4 янв 2025

Комментарии • 264

  • @samiraazad4963
    @samiraazad4963 2 года назад

    Mashaallah nakumbuka Gabo alinifundisha elimu ya dini nikiwa shule yamsingi kipindi hicho kabla ajawa msanii pale shule ya Chang'ombe mashaallah Bado naona yupo vizuri me mwanafunzi wangu big upo umenikumbusha taifa mazoezi Chang'ombe nadhani unakumbuka

  • @jestinastephano1592
    @jestinastephano1592 3 года назад +15

    duh kumbe gabo upo vizur na kuran mashalll

  • @tumainichidunga4653
    @tumainichidunga4653 2 года назад +3

    Very wonderful congratulations gabo I love you brother your Good actress

  • @itsvickie6426
    @itsvickie6426 2 года назад +2

    happy birthday live long much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @aminajuma717
    @aminajuma717 3 года назад +7

    dahhh.. hii suprise nimeipenda, hongera sana mama Gabo.

    • @gottalentextra4703
      @gottalentextra4703 3 года назад

      huyu mke.wa gabo ana mapenzi yakweli haoni shida kuingia gharama kufanya part kwaajili ya usingizi wake.

    • @superdeeboy6100
      @superdeeboy6100 3 года назад

      @@gottalentextra4703 na ivi ndivo inavotakiwa kwenye mapez inapendez san

  • @superdeeboy6100
    @superdeeboy6100 3 года назад +16

    Maashallah nataman na mie nipate mume nije kumfanyia kam ivi kwakweli mapenz rah mkiwa mnapendan kwa dhat

  • @joymsupagladysijeya8384
    @joymsupagladysijeya8384 3 года назад +5

    Aki Gambo amekuwa handsome sana 😍😍😍😍😍

  • @jullypendo966
    @jullypendo966 3 года назад +15

    Hii familia naipenda bule 😘😘mungu amueke jamani

  • @zznbnuru8510
    @zznbnuru8510 3 года назад +2

    Mashaallah..Mola akuzidishie maisha mengi marefu yenye baraka tele sana sana,🤲🏾Aamin Aamin

  • @jescajulius8023
    @jescajulius8023 3 года назад +6

    Mungu anijalie nami nipate mapacha

  • @jokhamohammed976
    @jokhamohammed976 3 года назад +1

    Hongera Sana Gabo Kwa kuongeza mwaka M/mungu akupe umli mrefu wenye baraka Tele Afya njema na Amani

  • @ZainaB-vt6uv
    @ZainaB-vt6uv 3 года назад +7

    Kumbe wasaninii wengine mmesoma dini vizuri mimefuraji sana gabo usiache kumuomba mungu kila kukicha

  • @zainabujuma7870
    @zainabujuma7870 3 года назад +2

    Nawapenda sana yani huyo mkaka nampenda yupo vizuri

  • @fatumasuleimanfatuma8575
    @fatumasuleimanfatuma8575 2 года назад +2

    Mashaallah nampenda sana gabo❤❤❤❤❤

  • @asmaafamau8307
    @asmaafamau8307 3 года назад +2

    Mashaallah tabarakallah mngu akuzidishie umri mrefu kaka gabo

  • @hawwasandale1935
    @hawwasandale1935 3 года назад +2

    Kupendwa raha jamani hongera sana Gabo wetu

  • @awatifalghanim1106
    @awatifalghanim1106 3 года назад

    Mashaallah kumbe Sheikh mwenyewe Bw. Harusi.

  • @edinafulgence5660
    @edinafulgence5660 2 года назад

    hongera kuongeza mwaka god bless you

  • @happynescostat7420
    @happynescostat7420 2 года назад

    Ongera Sana,awanaga skendo

  • @zayyanahatungimana5374
    @zayyanahatungimana5374 2 года назад

    ahsabtum kW dua sheikhna alfu mabrouk maashallah😍😘😘😘

  • @glorymacha1885
    @glorymacha1885 3 года назад +2

    Mashallah jmn love xo much gabo miaka mingiii

  • @irenemrua8205
    @irenemrua8205 3 года назад +1

    I wish to do this to my hubby on 6 Nov. Yaa Allah naomba utuzidishie upendo na maelewano mazuri

    • @tikitvog
      @tikitvog  3 года назад

      Kama utakuwa tayari tualike Tiki Tv wasailiana nasi +255 654 980 556 kwa maandalizi zaidi.

  • @twitysaalim2608
    @twitysaalim2608 3 года назад +2

    Mnachezea neno ra Allah babu kweli wanawake wapo uchu unasoma dua kk

  • @asheryngaiti5549
    @asheryngaiti5549 3 года назад +27

    Waigizaji bwana mpaka kwenye birthday mnaigiza yaani siku nzima asijue kama ni birthday yake jamani!! Kama unaamini walipanga wote weka like twende sawa

    • @kiri5807
      @kiri5807 3 года назад +1

      itakuwa alikuwa anajua kuwa ni siku yake lakini kuhusu hiyo parry ndio surprise.

    • @zaifatishengoma2364
      @zaifatishengoma2364 3 года назад

      Hiyo inawezekana wanawezakutayalishia vitu sehemu nyingine hapo ikawa nikuhamishia tu.

    • @mwajabukaseke8710
      @mwajabukaseke8710 3 года назад +1

      🤣🤣🤣🤣

  • @sadasalum8778
    @sadasalum8778 3 года назад +1

    Maashaallah meme penda sana gabo kwaajil ya allah

  • @officialbntrasool5223
    @officialbntrasool5223 3 года назад +3

    Npenda vile gabo anacheka🤗🤗

  • @haithamawadh8711
    @haithamawadh8711 3 года назад +3

    Happy birthday Gabo🎁🎁🎁

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 5 месяцев назад

    Gabo Mauwa yako❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @anynawilliam6737
    @anynawilliam6737 3 года назад

    hongera sana kaka kwa kutimiza miaka hy

  • @qatardoha5357
    @qatardoha5357 2 года назад

    haki hii suprise ni Moto hongereni

  • @haphsamaulid304
    @haphsamaulid304 3 года назад +1

    🤣😂😂Jamani adi raha, gabo amefurahi yani adi unauyona furaha yake machoni wooooow, simpo but shua 😍

  • @makkamakka9171
    @makkamakka9171 Год назад

    Kumbe Gabo muislam jaman nilikuwa sijui

  • @mwahijahamis1586
    @mwahijahamis1586 3 года назад +10

    Kugusa chupa shida wakati nyele umeacha waz kaz kwel

  • @frdausmwawughanga9047
    @frdausmwawughanga9047 3 года назад +1

    Amin mashallah hongera Kaka MOLA atupe waume wakher inshallah

  • @imelidastevesteve5127
    @imelidastevesteve5127 3 года назад +1

    Waoooo NI njema sana

  • @OmanCom-ky8tn
    @OmanCom-ky8tn 3 года назад +5

    Mashaallah gabo hongera sna

  • @deborahassan6409
    @deborahassan6409 3 года назад

    Hongera kwa kupendana na mkeo ni agizo la mungu

  • @mwachipangahalima2504
    @mwachipangahalima2504 3 года назад +1

    Me nisingekubal alishe wanawake😂😂😂😂ak Gabo nakupenda hatar🙆

  • @nahimanamayassa8305
    @nahimanamayassa8305 3 года назад +6

    Many many many years 4 u my Brother🥰

  • @gottalentextra4703
    @gottalentextra4703 3 года назад +11

    hadi raha, naona Gabo amepatwa na muhaho gafla.

  • @salmaissa8384
    @salmaissa8384 3 года назад

    Hawa mapacha jamani...Kama nawaona wanangu vileee ewe Allah nakuomba unikuzie vijana wangu katika maadili mema aaaamiiin.

  • @pendosamwel9289
    @pendosamwel9289 3 года назад +1

    Maisha maref Gabo,ongera San umependeza mno

  • @lylyjaydia3714
    @lylyjaydia3714 3 года назад +2

    HBD,hadi raha

  • @rehmaahmad1709
    @rehmaahmad1709 2 года назад

    Mmmmh Mie ata nimekodoa macho kwahao vijana wawili hivi nimtu mmoja huyoo au nimapacha kiukwel

  • @gladysreuben2991
    @gladysreuben2991 3 года назад

    Kali cn

  • @عليالجبوري-م5د5ب
    @عليالجبوري-م5د5ب 3 года назад

    maimuna nikiwa iraq hongera sana gabo unajua sana kuakti bila masiara

  • @anahbelamina7214
    @anahbelamina7214 3 года назад +2

    Hio Dua umefanya ninyanyuke nisali sunnah mashaallah

  • @abooshabubble582
    @abooshabubble582 2 года назад

    Happy birthday 🎂 gabo my brother

  • @psj1564
    @psj1564 3 года назад +1

    Mashallah kwa dua

  • @maulidmalik5364
    @maulidmalik5364 2 года назад

    Gabo umesoma mbona mkeo hajistir

  • @calisteladislaus8319
    @calisteladislaus8319 2 года назад

    Dah mke mzee mbona au makeup jamani dah

  • @janepatrickmesso7487
    @janepatrickmesso7487 3 года назад +2

    Maskin kaka mzuri huyu halafu muislam 😔

  • @alimatambwe3402
    @alimatambwe3402 2 года назад

    MashaAllah Jazakhallahu kheiri

  • @sophiamfikwa7340
    @sophiamfikwa7340 3 года назад +2

    MashaAllh wooooh

  • @halimakalinga7764
    @halimakalinga7764 3 года назад +2

    Mapacha MashaaAllah

  • @elizabeth3d565
    @elizabeth3d565 3 года назад

    Ongera unamke mzuri sana

  • @OmarMohamed-tp4uf
    @OmarMohamed-tp4uf 3 года назад

    Du Gabo ni usitadi MashaAllah

  • @saumuajabaluambano2761
    @saumuajabaluambano2761 3 года назад

    Nice...ila cake kwa muonekano hajaitendea haki jmn cjui radha .

  • @rahmarajab3688
    @rahmarajab3688 3 года назад

    Penda sssanaaa Gabo, Duuh,

  • @awatifalghanim1106
    @awatifalghanim1106 3 года назад

    Na huu ni USHABA kulishwa watu wooteeeee cake...

  • @namirihamisi3899
    @namirihamisi3899 3 года назад +6

    Mashallah Heluwa.

  • @SharmallaMossi
    @SharmallaMossi 5 месяцев назад +1

    ❤❤❤❤❤❤❤😊

  • @BukuruIbrahim-o3m
    @BukuruIbrahim-o3m 5 месяцев назад

    Alhamdulilah❤

  • @munatwalib2808
    @munatwalib2808 3 года назад

    Mashaallah Allah barik

  • @dainessremmy9478
    @dainessremmy9478 3 года назад +1

    Happy birthday brother zigambo

  • @ezraamasawe6423
    @ezraamasawe6423 3 года назад +1

    Nimeipenda kinomaa

  • @itsvickie6426
    @itsvickie6426 2 года назад

    Those twins ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @najmajoseph1800
    @najmajoseph1800 3 года назад

    Gabo ukimuacha Huyu dada ntakuchukia maisha yote km fulan

  • @nzarahamis458
    @nzarahamis458 3 года назад

    Masha Allah tabaraka Allah 🤲🤲🤲🤲 ameen yarabi Allah awape upendo daima insha Allah 🙏🙏🙏❤️❤️❤️💞💞

  • @omarsaid4661
    @omarsaid4661 3 года назад

    Mashallah kaka.

  • @nasrahassanmasesa3745
    @nasrahassanmasesa3745 3 года назад +4

    Heluwa wagidi gabo mashaallah

  • @mary5162
    @mary5162 3 года назад

    💕💕💕💕💕💕💕Gabo 🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @aviwaomar439
    @aviwaomar439 3 года назад

    Na machampeni tenaaa

  • @marryjhamis5770
    @marryjhamis5770 3 года назад +1

    Ni mala yakwanza kumuona anatabasamu kbs

  • @joymsupagladysijeya8384
    @joymsupagladysijeya8384 3 года назад +1

    Mke mrembo kweli cheupe 😂😂😂😂📯📯

  • @brendamatemba7075
    @brendamatemba7075 3 года назад

    Happy birthday gabo

  • @sikukuuchuo3093
    @sikukuuchuo3093 3 года назад

    Umri Twaweel our dear brother

  • @jenifajuma5395
    @jenifajuma5395 3 года назад

    Hadi raha 👏👏👏👏👏

  • @hafidhinchimbi4474
    @hafidhinchimbi4474 3 года назад +3

    Gabo is so cute 🥰 ilike him so much

  • @zakaliajoseph7705
    @zakaliajoseph7705 Год назад

    Ushamba tu huo na ndoa za ivi ndo zile huwaga hazidum

  • @paulkazungu401
    @paulkazungu401 3 года назад

    pongezi gabo

  • @لينا-ظ1ك
    @لينا-ظ1ك 3 года назад +1

    Hbd hongera nakupenda bure gabo

  • @wifiwifi1407
    @wifiwifi1407 3 года назад

    Mashallah habit

  • @azmedmtwana8135
    @azmedmtwana8135 3 года назад

    Ningemshaur angeenda kusherehekea na watoto ya tima ingekuwa bora zaid

  • @mohameeddoaan2296
    @mohameeddoaan2296 3 года назад +1

    MashaaAllah MashaaAllah mpaka machoziyanitoka

  • @فاطمةال-ص8ن
    @فاطمةال-ص8ن 3 года назад

    Mashaallah kwa dua

  • @zainabujuma7870
    @zainabujuma7870 3 года назад +1

    Mungu awalinde sana kwenye ndoa yenu

  • @seremenikibwene8633
    @seremenikibwene8633 3 года назад

    Wengine Kumbe Mna Elimu ya Dini Halafu Mnafuata Mila za Makafiri dah! Inna Lillah Wainna Ilayhi Raajiun. (Allah Atuongoze)

  • @ajimalmtumb9896
    @ajimalmtumb9896 3 года назад +1

    Huyu gabo amesoma Dini Chuo cha Tanga cha kiislamu

  • @MwajumaOkudo
    @MwajumaOkudo 5 месяцев назад

    ❤❤❤❤❤❤❤🎉

  • @estherkimario7940
    @estherkimario7940 3 года назад +3

    Mapacha❤️❤️❤️

  • @jenifajuma5395
    @jenifajuma5395 3 года назад +12

    Sasa huyo dem anajishauwa hataki kugusa shampen kama unajijua umeshiba dini umeenda kufanya Nini hapo kwenye sherehe na mamiziki ya kidunia ungekaa home tu ukatulia

    • @rosetembe3785
      @rosetembe3785 3 года назад

      Demu fala tu,nyoko zake anajinata

    • @muznarashid8181
      @muznarashid8181 3 года назад

      Na kwa kuongezea asingweka hizo nywele bandia

    • @minakhamiskhamisi6193
      @minakhamiskhamisi6193 3 года назад

      Ndio hap ss ushangae MI nywel wazi kavaa nguo y ajab Alf anajifany htk kushik

    • @estersteven1720
      @estersteven1720 3 года назад

      Umeonaaaaa kwan akigusa anakuwaje

    • @saidymparee0135
      @saidymparee0135 3 года назад

      Haahaaaaaaaa swala 5 jaman af mara ya mwisho kuchukua uzu hakumbuki

  • @liliankhavakali3878
    @liliankhavakali3878 3 года назад

    Happy birthday to you mr Gabo

  • @alirukia1777
    @alirukia1777 3 года назад +1

    Good job ❤️🌷

  • @naimaathumani2538
    @naimaathumani2538 3 года назад

    Usishangae uka mkuta gabo peponi ukamkosa shekhe ulie mdhania ataingia wakwanza

  • @nasrajumwwmitigatingsana7164
    @nasrajumwwmitigatingsana7164 3 года назад

    iyo ciyo. Pom be dada 🤣🤣

  • @evadjuma8103
    @evadjuma8103 3 года назад

    Cool

  • @namirihamisi3899
    @namirihamisi3899 3 года назад +4

    Wamekukose sana gabo umetoka kuomba dua sasa hivi kisha unakubali kukabidhiwa pombe ili uwanyweshe uliowaombea duwa siku nyengine usirudie hayo ni majaribu ya shetwani.

    • @winfridagama2042
      @winfridagama2042 3 года назад +2

      Mbona wamesema none Alchol kama soda tu.

    • @namirihamisi3899
      @namirihamisi3899 3 года назад +3

      @@winfridagama2042 Labda maana mm sijawahi kuinywa ila nashukuru kwa kunifahamisha kama ni kweli hayo unayoyasema.

    • @pendopendojoshua7624
      @pendopendojoshua7624 3 года назад +1

      Hapana hiyo Haina alcohol yaana Haina kileo uwe na Aman

    • @zuhurambonde1982
      @zuhurambonde1982 3 года назад

      Sio pombe no alcohol

    • @ningapirapilly2389
      @ningapirapilly2389 3 года назад

      @@namirihamisi3899 zipo za pombe na za kawaida Kama juis wanaandika pemben ya chupa

  • @joharishabani2893
    @joharishabani2893 3 года назад +2

    Na muona aisha mashauzi lahaaha jaman

  • @ifgodsayyes.nobodycansayno1796
    @ifgodsayyes.nobodycansayno1796 3 года назад +4

    HIYO SONG YA ANJELA NA HARMONIZE H BABABABABABABAAAA NA AWILO 💃🍾🥂