Mme mwenywe ndo huyo bora kachit Big up sister ,,,,me ningeila na boi wangu nimpendae ndo maan namiliki chombo cha moto kwa matukio kama haya yaan strong dogs
Sasa unamcheat wa nimi si uachane na mtu kama humpendi ? Kucheat sifa? Imagine mtu wako anakuambia nina haki yakukucheat? Mmeo utapenda? Anyways hakuna chetu dunia hii
Jamani wekeni sehemu ya voice . Mbona kaka anarembua sana 😂😂😂 ila mimi au basss 😂😂😂huu gomvi mtamu yaan mvulana huyu na macho yake sasa ndevu ndgo ila nywele nyingi Vpi nani analipa kodi kwa mdada😂😂
Najua like sio hela ila naomba hata moja nitambe❤❤
Tamba 😂
❤@@WemaRashidmsengule
Sema kiredio na Mr urky ni wanafki sanaa.. Eti message za kutongozana 😂😂😂😂 sema nawakubal sana endeleeni kutembeza dozi
Hiyo ni nzuri nimeipenda sana hongera kiredio umeweza ❤❤❤❤
😂
mko vizuri cake mmeijazaaa mate
Sijawahi kupata likes ata1 naomba ata kumi 10 tu:
Uzipeleke wapi😅
Mkona ujinga mnaomba likes
Haha usiwe mnyonge chukuwa na ❤iyo
Like
❤️
Jmniii iii kitu isikie tu kwa mwenzio🤣🤣🤣🤣 kiredio nipo n ww adi wakuuwe baba❤️
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂
,😂😂😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂
🤣🤣🤣 ila kiredio kweli una penda kazi Yako,, una furah na kufurah kabisa 😂 upew maua Yako tu 🎉
kiredio nakupenda sema watakuloga et ufe😂😂😂
Kumbe mna miezi miwili😂😂
Hajasahau hata ex zake
Kijana huna uvumilivu😂😂
😂
We kiredio mwambie huyo mwanaume anyoe hizo nywele huenda akapata mwilii😅😂 maan si powa
Yan kiredio mpaka anajaa mate ya uchu wa umbea...hahahahah....Dah..I love this show yako aiseee
Hahaa
😅😅😂 et tunasoma mara ya mwisho ila kiredio mnafk sana😂😂
Kiredio npo na wew mpka wakuuwe ❤❤
😅😂😂😂du
@@FatmaChezo yaaap anafundisha una kuta mwanaume kinganganiz au mwnamke saiz nmwendo wa kuu mbua tuu wasaliti
😂😂😂wakimuuwa atutopata umbea
@@nedcopascal4640 😂😂 hawawez muua bhn
@@nedcopascal4640 😂😂 apan usiseme hvoo bdo yupo sana atukomeshee wasaliti sugu
Mme mwenywe ndo huyo bora kachit Big up sister ,,,,me ningeila na boi wangu nimpendae ndo maan namiliki chombo cha moto kwa matukio kama haya yaan strong dogs
Ndg yangu kiredio nipo na ww sambamba kwa kazi zako nzuri Hadi wambea wote tutakapopigwa
Dah na mimi jamani hizo like dah naombeni
kiredioo una pigwaa lakn ukomiii 😂😂😂 nime kupendaaa buree 🎉🎉🎉
😂😂
Niwapi kuna nyumba mbili ukuuuu my brother Kiredio nakubali 🙌🙌🙌
mmmh kiredio ni mnafiki jamani anasoma mara mbilibili khaaaa niko na wewe mpaka wakukate miguuu😄😂🤗😂😂😂😂😂
Ila michael😂😂😂😂 ebu kaa smart kwanza bana me miwan na nywele hoi😂😂😂😂😂
Hapa hii nimeipenda sanaaa😂😂😂
Huyu michael mwenyewe kusema screenshot hawezi😂😂😂 dunia hii😅😅😅
😅😅😅😅😅😅bora aandike
Kabsa
Hujamshow poa lkn 😂😂😂
Hujamshow poa lkn 😂😂😂
😂😂😂 kumbe na wewe ume notice
Miez miwil unamfumaniaje mtu kama we nd mchepuko je😂😂
Ndio hapo sasa 😅😅😅
Ndo Ilivo Hata mimi nahic jamaa ndo mchepuko ila hajijui 😂
Kweli na mm nipeni like ❤❤❤❤ mchepuko hoye
Hahahahaha daah hii Kali sicheat tena nimekoma😅😅
😂😂😂😂 kumbe wachiti
😅😅😅😅😅😅😅
Kijana mwenyewe vituko😂😂hiv wanawake mnapend kuwa na vijan wa hovyo hovyo😂😂😂 ndo maana ana chitiwa shezy kabisa😂😂
Ukute yy ndo alikua na upendo wa kweli..
Ndo mwanaume gani huyo sasa😂😂😂😂mi ningefurahi kwanza kama angeniacha
Huyo maiko mwenyew sasa😂😂😂😂😂 kweny part 2 huyo demu atuoneshe bwanaake huyo mpya bila shaka atakuwa anaunafuu kdg lkn huyu maiko mhhhhh majanga,minywele kama chizi,haki yako kumchit
Sasa unamcheat wa nimi si uachane na mtu kama humpendi ? Kucheat sifa? Imagine mtu wako anakuambia nina haki yakukucheat? Mmeo utapenda? Anyways hakuna chetu dunia hii
@@lelekilele2 yaan kiufupi huyo maiko alionewa huruma,Hana hadh ya kudate na bint nzur kama huyo📌
@@glorymhanga8718 acheni kuonea watu huruma date na unaempenda mtulie mbona simple 😂😂 unamuonea huruma wewe mother terressa ?
😂 jamn kwahy yeye ana nn nywele tu izo 😂😂@@glorymhanga8718
Ni u Malaya tuu muonekano hauna shida mbona alimkubali Toka mwanzo
uyo kaka mbona kama boda wa ple karibu kitambaa cheupee huyo bwana wa dada ahahahahah
The way wanavyo nesa kwa hiyo gari dah...😅😅😅🙌
KIREDIO I'm From Mombasa Kenya nakufwatilia sana ndugi yangu...one love brother❤❤
Kiredio kaz yako mm nko support sanaa wakikupga niite 😁😁
Kiredio you are too much mmbea😂😂😂😂
Huyo Michael akili mingi sana na ndio wanawake wanapaswa kuachwa hivyo kama hutaki kumbe ndio imeisha hiyo😂😂😂
Safi kabsaaaa
@@kuruthumahmed3045 na inaonekana ni mtu wa karibu
Wallah hata m ningekuchit nyambuziii 🤣🤣🤣🤣🤣🤣✋ usaf wenyew zero🤣👌
Upate mwanaume gani hutomchiti
Hahahahh kiledio mnafiki sana 😂😂😂😂😂 eeti una jiamini auna wapenzi wengi 😂😂😂😂 heshimanyako kaka
😅😅😅😅😅😅😅😅 kiredio ujuwe mimi mpaka naogopa mno na anaweza kuelekeza yesu
Umbea mtamuuuuu...ila kiredio kazi yako ngumuuuu mhh ungetumia kazi hii pia kuunganisha mahusiano ya watu aisee ungepiga hela sana😂😂😂😂😂
Noma sana mademu hawajui nini wanapenda na nini wanataka
Lkn ww ukicheat unasamehewe😅
Kweli
❤❤😂nawapenda sana jamn hawa watu kiredio + mr uky ❤❤
Hyo cake automatic itakuwa chachuuuuuuuuu😂
😅😅😅😅😅
Yaaan mm ntadili na ww kiredio kwanza alafu baadae ndo uyo ex..,..ntakunyongaaaaa 😂😂😂😂😂😂😂😂
Mko vizuri cake mmeijazaa mate😮
😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂aiseeee kiredio na dylan ni wanafki ety aaaa maiko😂😂😂
Nakupenda sana kiredio ukija zenji naomba unitafute please
Mtt kautaka
Dah mmetisha sanaaa😂😂😂😂alooooo alooooo aloooooo🎉chunguuuuuuuuu kumeza nakutema
Mitandaoni ni kwa kupotezea stress😂😂😂😂
Kwakweli, mtandaoni una refresh akili.
😂😂 miezi 2 tu ndio ufanye hayo yote kuaibishana tu😂😂😂ungemuoa si ungeenda kuua kabisa
Mr uk anapenda umbea ila nimuoga 😂😂😂😂
😅😅
😂😂
😂😂😂😂😂
😂😂
😂😂😂😂
Jamani wekeni sehemu ya voice .
Mbona kaka anarembua sana 😂😂😂 ila mimi au basss 😂😂😂huu gomvi mtamu yaan mvulana huyu na macho yake sasa ndevu ndgo ila nywele nyingi
Vpi nani analipa kodi kwa mdada😂😂
Kwann lakn uyo kaka ana izo nywele angenyoa angekua handsome sana
Neema mchome uyu wa handeni au
😂😂😂😂😂😂😂 nimejikuta nacheka baada ya shemej kuingia mmmmh nasubili sini ya mdada😂😂
Huyo maiko mwenyewe sasa 😂😂😂😂😂😂ndomana dem wake kachapiwa sasa miezi miwili 2
Hahahahahhahhha 😂😂kiredio punguzeni sifa mnarudia kusoma mara mbili mbili
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Ila wadada bhan eti mwanaume mwenyew ndo huyi haki achitiwe uwiiiiiiiii
Mm mwenye nimesema hivyo hivyo kwa kweli
Siyo kwa hayo manywele
@@FridaThobias kama hujapenda manywele yake kwann umkubalie muwe kwenye mahusiano halafu badae umchiti huoni kama ni ujinga huo 🤔
@@lakasid3860 unajua kila mtu na chaguo lake mm kwangu hapana isee
Hata ingekua mimi,mwanaume hana unadhifu
Ww mzuri jaman kiredio ila uyo wa keki lazma 2 ahachwe make muonekano wenyewe mmmmmmh😂😂😂😂😂😂😂
Uyu kaka wa cake katishaaà🔥🔥
😂😂Hii Dunia haina usawa kabisa😂Kila mtu anateswa na mapenzi kudadeki😂
mwanaume mwenyewe ni huyo😂😂😂😂😂😂 haki achitiwe
Bora umesema wew😂😂😂😂
😂😂😂😂
Nakupenda Sana kiredio na mr uky jamani❤❤❤❤❤
Mungu wangu izo nywele hatari ndomna kaachwa siangenyoa 😂😂😂😂
😂😂😂
Jamaa mwenyewe ni mimi😂😂😂
Hizo nywele ana haki aachwe
😅😅
Kwa kwelii
Ata wewe utaachwa na komwe lako
😂😂
Na ayo marasta kichwan ndo maana kaachwa😂😂💔msinshambulie lkn😂😂
Kaka mwenyew anae macho mazuri
8:13 mmmmm maiko mwwnyewe kama ndo huyooo acha achitiwe ,yuko rafuuuuuuuuu
Kweli kiredio muongo jamnii 😂😂mumbea😂😂
Ila mr.uky jamanii eti amuone sura😂😂😂😂
Dada unacheet mpk siku ya jumaatano kweli 😂😂😂😂😂
Duuh! huyo michael sasa😂😂😂
😂😂😂😂tunasoma Mara ya mwisho
Hahaha, Nyie wazee kwa Matukio. Mmeshindikana. Mbaka mwili unasisimka
Kwa hiko kisogo hata mimi ningechit😂😂😂😂
Na izo nywele ndo kabis 😂😂😂
Weeee..huyo ndo maiko😂😂😂
Ningekoment ila ndugu zangu wataona 😂😂😂
😂😂😂 kaka umetisha eeh sarun huko tabata hakuna au😮
Ila mama chanja,. Eti watu wa tabata ni wazinzi😅😂😂😂
Hahahah nimecheka saaaana na Nama chanja eti watu wa TABATA is not MASHAALLAH 😂😂😂😂
@@ndayisengaamissi6102 😂😂😂😂😂
😂😂😂😂 watu wa tabata mmefikuwa sasa
@@suzanjonathan9879 yaani😂😂😂
Sio sote😂😂😂😂
Mwanaume mwenyewe ss😂😂hata mm namchiti tu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Sa kwnn analamba midomo jamani na hizo nywele😂😂😂😂😂
Ulitaka alambe Pua?
@@ibrackibrahim6909 anaweza akalamba ata maskio tu😏😏😏😏
Yanii😂😂
Yaliwahi kunikuta aiseeev😅😅😅😅 demu wa kichaga mzeee nkakuta text na jamaaa anamuuliza umekojoa ndanii ooyaaa😅😅😅😅 hii dunia ndogo
Mwanaume mwenyewe kakaaa kama kijogooo kichwani😅😅😅😅Maria roza
😂😂😂
😂😂😂
😂😂😂
😂😂😂😂😂ukorof tu
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Ooooooo father benad 😂 Dada wawatu... Kha... Nikij dar si hit kbs😂😂
Kwa ukichaa huo wa nywele nami ningemcheat😏🙌🙌🙌🤣🤣🤣
Kwann umkubali kama uliona nywele haziko sawa??
Nilikua kichaaaa 😂
😂😂😂😂😂
Kwann usimbadilishe?😁😁😁😁
@@bestmilltz7071 shda unaanza nae vzuri ila anaanza uchizi alaf ukiangalia anakupa pesa so unajikuta ukienda kulala nae unaanza kuona kichaa wako aisee hpna🤣🤣🙌
🤣🤣🤣nmechelewa naomben na mm likes
Mama chanja kanona mashallah 🥰 wapendeza sana mwaya
Mwanamke inatakiwa umgongee mpaka atoe dam msugue kweli kweli 😂😂 had kutembea ashindwe
Ndonini atakuwa akuchit au
Mwanamke anaekupenda atakuambiass bdo my ntka tena
Aaaaah kweli kiredio ni mbea anasoma mara mbili mbili ivi na anafurahia sana mtu akiachwa😂😂
😂😂😂😂😂yanii umbea unaraha yake
@@eldamkwezalamba4447 🤣🤣🤣
@@eldamkwezalamba4447kumbe umemuona 😂😂😂😂😂
Big up brooo kweli unastaili ya kizungu
Humu tu humu tu kubabebekiiiiiiii😂😂😂😂
Miezi miwili tuu unampenda sana unawezaje kumuamini ivo 😂😂 kweli watu wa tabata😂😂
Watu wanao raha yaan wanaachwa na zawadi😹😹
Eti janani😂
@@shancyskitchen3044 inabidi nipige tukio zito nipongezwe 😂😂😂
Nipate bwana kam kiredio ninenepe sas😂😂😂maan ni anapenda umbea had raha had anaruk ruka💃💃😄😄😄daah
Kiredio ww n mbea wafurai 😂kwakuanzisha vurugu😂😂 nakupenda sana kwa uchochez
Sem uyu kaka nae nywel angenyoa kaaah kam chiz😂😂😂 hat me ningemchitii 😊
Mwanaume mwenyew kama kiwewe me mwenyew ningecheat😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂
😅😅😅😅😅😅😅😅😅kwakweli
Akuuu😂😂
Izo nywele jmn😂
Ata mm
😂😂😂😂 yan hii tanzania bn wengine wanaharibu mahusion wengine wanarudisha 😂😂😂😂😂😅
Leo mpenz wangu kanijib vibaya acbh acbh ngja nimkabidh kwa kiredio😂😂😂
😂😂😂😂😂
😂😂shikamoo Tabata yadi, Tabata Matumbi, Tabata Dampo, Tabata relini, Tabata Kimanga , Tabata Shule, Tabata Kimanga , Tabata Mwananchi ,
Ilaaa wAnang 😂😂😂 eeeeehh tuweke mabando mtandaoni tunapunguza mastress kinoma aniiii big up bro kiredio nahisi wanawake mpka wapewe sijuii nni aniii😂😅😅😅
Nimerudia kukoment ety ana mpenz mmj maico hhhhh😂😂😂😂 jmn. Jmb