MAPENZI YA BODABODA YAME MPONZA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 18 июн 2024
  • Bodaboda katupeleka ka amua kuwakutanisha wanaume wawili wa dada mmoja

Комментарии • 407

  • @Rehmathathman23
    @Rehmathathman23 5 дней назад +3

    Aniii nimecheka hapo mwishoni eti "Marry hatujui wootee"😂😁🤣🤣🙌

  • @EstherMulindwa-fp3ml
    @EstherMulindwa-fp3ml 8 дней назад +4

    Daaa hu mkaka namuoneya uruma, mapenzi Yana uma😢😢 anagoma kuongeya, Mungu atampatiya mke mwingine bora mwenye anajielewa❤

  • @EstherMulindwa-fp3ml
    @EstherMulindwa-fp3ml 8 дней назад +5

    Kesho ya mtu inajuwa mungu😢😢 Mr Uky ipo Siku uta posty huu mdada akiomba msama tena kwakupiga magoti, andika iyo😢

  • @user-rm1uz6lm8r
    @user-rm1uz6lm8r 8 дней назад +5

    Jamani wew kaka mwenye jezi jekundu mstaharabu nimekupenda bure jamani 😘😘😘

  • @darenhussein7839
    @darenhussein7839 8 дней назад +3

    Hiii ata mimi siamini kama ni kwelii watu wana roho mimi mbona huo mda siwezi kua nao wa kumfata mtu hivi nakudhalilika kote uko ila wanawake hapana 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌

  • @SoohiedavidMasika
    @SoohiedavidMasika 8 дней назад +5

    Njoo kwangu kaka mi yatima ya mapenz😂😂😂

  • @elibarikimwanyama7246
    @elibarikimwanyama7246 9 дней назад +7

    Daah imeniuma sana yan wanawake ndo mana mnauwawa na kutupwa kwenye vipreft

  • @enockmaige8936
    @enockmaige8936 9 дней назад +8

    Mary,Maria😂😂 duuh hata kwenye Jua Kali Kuna Maria huko anasumbua

  • @RaymonDbertha
    @RaymonDbertha 9 дней назад +3

    Huyu mdada namwonea huruma sana, kitakacho mkuta hata amin kwenye maisha yake

  • @FatmahAnwar-fp9wq
    @FatmahAnwar-fp9wq 9 дней назад +2

    Sawasawa nyinyi wanaume si pia nihivohivo mukipta mschana mpya wazamani wasahau gud work mery🥳

  • @diva_20162
    @diva_20162 9 дней назад +5

    Sema huyo kaka wa Man U mstaarabu sana,,, ila huyo mwanamke litamkuta jambo aseee

  • @user-wp3hw5hd2e
    @user-wp3hw5hd2e 9 дней назад +6

    Mwana man u anatia huruma na kasaut kake jaman ila ni handsome

  • @user-pp9mp1pz9f
    @user-pp9mp1pz9f 9 дней назад +3

    Maskin huyo mkaka namuonea huruma ni mpole sana😢wanawake wengine bhna dah,yaan c wengine tunavyo teseka na mapenz mtu anapta mwanaume bdo anahangaika tu,kwel kweny miti hkuna wajenz lkn atakuja kujuta na huyo marasta.

  • @angelsaid7869
    @angelsaid7869 3 дня назад

    Marasitarasita ya ajabu 😂😂😂 tokeni nyumbani kwangu nyot awajui😊

  • @GraceNgido
    @GraceNgido 9 дней назад +5

    Jamn leo nimeamini wanawake kwann tuliitwa ndugu wa shetani jamn ...😂😂

  • @marymanoni5536
    @marymanoni5536 9 дней назад +5

    Hii ni michezo waandishi hawa mnatulia NB acheni ujinga

  • @AsenathBeganio-oc8tf
    @AsenathBeganio-oc8tf 9 дней назад +2

    Hiv nikweli jaman au move na kama kweli njoooo unifanye challenge na mimi mpenz wangu jaman

  • @franciscakija1702
    @franciscakija1702 9 дней назад +4

    Hii inaitwa tatu mzukaaa 🏃🏿‍♀️🏃🏿‍♀️🏃🏿‍♀️🏃🏿‍♀️🏃🏿‍♀️ shkamoni wadada

  • @user-pz5xd2fc5d
    @user-pz5xd2fc5d 9 дней назад +1

    Hii Dunia bilaa sisi hawezi kunoga na sio salamaaaa🎶sisi sasa😂😂😂😂

  • @hashimrweabula9
    @hashimrweabula9 8 дней назад +2

    Baadh ya Wadada wasengee sana duuh noma sanaaa

  • @garigajoelgesegeti6493
    @garigajoelgesegeti6493 9 дней назад +1

    Kijana wa manchester united tafuta pesa hao wapo wengi wamejaa wengine bado hawajazaliwa . najua kaumia sana. MAPENZI WEWE😊😊😊😊

  • @josephshayo5493
    @josephshayo5493 4 дня назад

    Hakika Mary kamzingua boda wake. Asingesnitch 😂😂😂😂 "kaseme unazan naogopa"

  • @alfredngido9807
    @alfredngido9807 8 дней назад +1

    hiii Mr uky umetupigaaaaaa mbaya acheni kutengeneza story

  • @user-wh6bs7cm5p
    @user-wh6bs7cm5p 9 дней назад +6

    Najiuliza tu huyo bodaboda kamtafuta Mr UK sangap na mwenye mpenzi sangap had waende kufumania

    • @user-cv4jb1bm6i
      @user-cv4jb1bm6i 9 дней назад

      Sikuhizi wameshakuwa wadananda ye ns kiredio

    • @user-wh6bs7cm5p
      @user-wh6bs7cm5p 9 дней назад +2

      Kwakwel ya Leo cjailewa but bando langu huwa linaishiwa kwao so wajitahid kufanya vzur

    • @avilamatsuva3358
      @avilamatsuva3358 9 дней назад +2

      Eti kumsindikiza kwenye chocho zote hizo apo tumepigwa 😂😂

    • @AgnesDavid-et3zn
      @AgnesDavid-et3zn 9 дней назад

      Namba si zipo dk zako tu unampata

    • @user-pk4ov4cy5c
      @user-pk4ov4cy5c 8 дней назад

      hapo mmetudanganya jamani mr uky

  • @rosemilingi7860
    @rosemilingi7860 9 дней назад +3

    Cjui ni seme nn from Kampala

  • @officialijang
    @officialijang 9 дней назад

    Hahahah Mr UK 😀😀 Merry Hatujui wote

  • @Aisha-qg5mj
    @Aisha-qg5mj 9 дней назад +1

    😂😂😂😂😂 kaacha mume mzurii rasita iposiku nawe utageukiwa tu

  • @AggyMusoma-wb2kn
    @AggyMusoma-wb2kn 8 дней назад

    😁😀😀tembeaaaaa robotiii Eunice mwayaaaa wasijeee kukuuaaaa lafikiii yangu

  • @glorymanga3650
    @glorymanga3650 9 дней назад +2

    Etii usiifunge mlangoo😀😀😀😀😀

  • @ElizafidelisEliza
    @ElizafidelisEliza 8 дней назад +1

    Jmn nmecheka kaka mbav zinauma mr uky et Mary hatujui wote😂😂😂😂

  • @user-wd6wh2cl8n
    @user-wd6wh2cl8n 9 дней назад +1

    Jamani mapenzi yaacheni2 ila mie nitabaki nitabaki na mapenzi ya mwenyezi Mungu maana mapenzi ya wanadamu nfo kama hayo mnayoona leo GALINDE kesho YUSUPHU😅

  • @aishafrancis7714
    @aishafrancis7714 2 дня назад

    Mbona hii imepooza au ya mchongo😂😂😂

  • @LilanKerubo
    @LilanKerubo 4 дня назад

    🤣😂😂😂amesema hawajui nyote

  • @ndetamarisolebure6301
    @ndetamarisolebure6301 3 дня назад

    😢mapenzi nyoso uyo mwanamke ana moto wa peke yake ata huruma jaman kaah

  • @hassanissah7141
    @hassanissah7141 6 дней назад

    Akasema na huyu mr uk simjui 😂

  • @alexramadhani6660
    @alexramadhani6660 9 дней назад +1

    Hii move inaitwaje wazee😂😂

  • @JeanneKiza-zy9wr
    @JeanneKiza-zy9wr 7 дней назад

    Kuna play a boy afu kuna uyu play a girl 😂😂

  • @rahymaaa4357
    @rahymaaa4357 9 дней назад

    Dah wallah eti tokeni nyumban kwangu na maji kamwangiwa aiseeeh 😢nimeumia saaana alafu kijana msitaarabu tu vizuri jmn maskini

  • @user-lx8nl8hh3f
    @user-lx8nl8hh3f 7 дней назад

    Daah! Pole kaka angu maskini anaupendo mwenyewe

  • @user-bi9lh1kk1i
    @user-bi9lh1kk1i 8 дней назад

    Uyu si ni mama anatakiwa awe kwenye ndoa jamani 😂

  • @Mahershalalhashbazi-kf6xi
    @Mahershalalhashbazi-kf6xi День назад

    Huyo boda boda maisha yake mafupi sana kwa tabia yake

  • @moureennyarusai536
    @moureennyarusai536 8 дней назад

    Kaka mweny tshirt nyekundu ❤❤

  • @beatrcidavid3318
    @beatrcidavid3318 9 дней назад +4

    Huyu mery atakuja kujuta maisha yake yote

    • @AshaKache-nr5fz
      @AshaKache-nr5fz 8 дней назад

      Merry anakaa mtu mkubwa lakin wanaume wake wote watto 😊

  • @user-ln4he3yp5l
    @user-ln4he3yp5l 9 дней назад

    Merry hatujui wote nimecheka sana

  • @Mrsmasandunje
    @Mrsmasandunje 9 дней назад +11

    Nimeruka kukimbilia comment alafu mi ndo wa6 nimeliaaaaaaaaaaaaaaaaa😢😢😢😢😢😢

  • @felicianboss6953
    @felicianboss6953 9 дней назад +1

    duuh huyo dada kamkataa jaman 😂😂😂ila anacomfidance°°kama zote

  • @Humanity21216
    @Humanity21216 8 дней назад

    Mr Uky ;Mary hatujui wote 😂😂😂🤣,, kauli imekaa kinafki sana

  • @kelvinchadulaga310
    @kelvinchadulaga310 5 часов назад

    Eeeeeh mwanamke mkavu kabisa😅😅😅

  • @user-fm1vq3iy1q
    @user-fm1vq3iy1q 7 дней назад

    mishangazi kiboko🙌😅😅

  • @simonlungu8930
    @simonlungu8930 9 дней назад +1

    Sio kweli ni ya kutengeneza

  • @DeboraChediely
    @DeboraChediely 3 дня назад

    Merry atujui wote😂😂😂

  • @user-gc8qo3qc1q
    @user-gc8qo3qc1q 5 дней назад

    Wadada wenye makomwe wanatabia za kishetan mno, Ila wanawake tutafika mbinguni tumechoka

  • @user-vw5bz6eh8s
    @user-vw5bz6eh8s 8 дней назад

    Uyo Dem Ana Nyodo mamae Kuna Wakuudumia na Wakupewa mahaba

  • @BrightLewis
    @BrightLewis 8 дней назад

    Huyu dada mkavu khaaaa 😂😂😂

  • @user-zv2rw1sm1s
    @user-zv2rw1sm1s 9 дней назад

    Duh pole sanaaa kak ake jamni mwanamke mkavu huyu

  • @abdultandala6576
    @abdultandala6576 8 дней назад

    Unakataliwa harafu bado unashangaa shangaa heeee! Utamwagiwa hata mafuta ya moto 😂😂😂😂😂😂

  • @user-vv5pf4rj9w
    @user-vv5pf4rj9w 8 дней назад

    Miwivu tu tuogaa aaaah😅

  • @NeemaMdachi
    @NeemaMdachi 9 дней назад

    nimepaliwa naombenu maji😂😂

  • @OmanOman-ru4eu
    @OmanOman-ru4eu 9 дней назад +1

    😂😂😂😂😂 mr uky

  • @ClaraMhoro
    @ClaraMhoro 9 дней назад +1

    Safi sana Marry..walitaka wakuumbue umewanyoosha.

  • @user-ce2lm5on3p
    @user-ce2lm5on3p 8 дней назад

    Ila sisi wadada pepo tutaiskiahuyu dada alichkifnya atalipia 😢

  • @sophyliciouzmushi2952
    @sophyliciouzmushi2952 9 дней назад +21

    Mwanamke asiye na akili zinazoteseka ni sehemu zake za siri,yani alivyo mkavu huyo dada loh!mngemtembezea kichapo alafu anaongea kwa jodo pumbafu!😅😅😅

    • @arafajuma4128
      @arafajuma4128 9 дней назад +4

      Mshenz uyo dada

    • @monicambarikiwa9532
      @monicambarikiwa9532 9 дней назад +2

      😂😂😂😂

    • @RobertsonNandime-eo9fp
      @RobertsonNandime-eo9fp 9 дней назад +1

      Kweli kabisa a beauty girl without Brain 🧠 Private party Suffer the most ❤❤❤ nimekibali mkuu

    • @marymanoni5536
      @marymanoni5536 9 дней назад +1

      Mwacheni mary 😂😂😂😂😂😂 je angekuwa yy 😅😅😅

    • @AminaMtui
      @AminaMtui 8 дней назад

      Duuh uyo dada kiboko jamani mhm

  • @IreneGilbert-hb5mb
    @IreneGilbert-hb5mb 5 дней назад

    Mmmh huyo boda ana wivu

  • @sophykivuyo
    @sophykivuyo 3 дня назад

    Huyu nae mwenye sauti mbaya ndo maana kaaachwaa

  • @marymanoni5536
    @marymanoni5536 9 дней назад +1

    Wacheni Mary 😂😂😂😂 kwani chakwenu

  • @Rizikialiamechannel763
    @Rizikialiamechannel763 9 дней назад +4

    Cjui ni coment nn from Oman 🇴🇲

    • @UmayyaNkya-ze3ri
      @UmayyaNkya-ze3ri 9 дней назад

      Kapike tuu kubusi za ucku mwaya😂😂😂make ya huko tz yanaumiza af yanachekesha wabuyeee😀😂😂😂

    • @Rizikialiamechannel763
      @Rizikialiamechannel763 9 дней назад

      @@UmayyaNkya-ze3ri😂😂😂😂

  • @doramkolo1745
    @doramkolo1745 9 дней назад

    Mmmh movie hii

  • @user-wh1ri3to8h
    @user-wh1ri3to8h 9 дней назад

    Sema mme igiza vzur

  • @MadenaIphone
    @MadenaIphone 9 дней назад

    😂😂😂meri
    Hawajui wote dadamkavu macho

  • @MuksiniTv-tk2jq
    @MuksiniTv-tk2jq 8 дней назад

    Mr uky unaroho mbaya sana😃..😃😃😃😃😃

  • @LubnaGeorge-re4yp
    @LubnaGeorge-re4yp 9 дней назад

    🤣🤣🤣🤣dah huyu mmke NI Zaid ya kahaba

  • @Sylvestersenkoro
    @Sylvestersenkoro 9 дней назад +1

    Sema wambeaa tupo wengi hahaha watu buku nne kddki 😂😂

  • @Aishatheboss117
    @Aishatheboss117 8 дней назад

    Dhuuu kuna wanawake wakaushiii🤣🤣🤣🤣

  • @sarasaraz-vn1vl
    @sarasaraz-vn1vl 9 дней назад

    😂,😂 ebu ngoja nitafute pesa hayo madude yanaumiza sana

  • @habibaraphael6583
    @habibaraphael6583 7 дней назад

    Mwendelezo 😂😂

  • @SaraFabian-gu7df
    @SaraFabian-gu7df 8 дней назад

    Mr uky kazi unayo utakuja kutolewa miguu😅😅

  • @ukhtymwana40
    @ukhtymwana40 7 дней назад

    Mkavu kama miba ya jangwani 😅😅

  • @Gml-wi5nv
    @Gml-wi5nv 8 дней назад

    Merry hatujui wote😂😂

  • @user-tp4vd9mh2b
    @user-tp4vd9mh2b 9 дней назад +1

    Itakuwa boda boda na Mary waliachana kwa ugomv

  • @alberatuslinus9617
    @alberatuslinus9617 9 дней назад

    Dah mwanetu WA Manchester 😂😂😂😂

  • @mwajumarupia2526
    @mwajumarupia2526 9 дней назад

    D kama ni kweli mary mkavu

  • @ICEELECTRICCOMPANY
    @ICEELECTRICCOMPANY 9 дней назад

    Ila mr uky 😂😂 ety unakazia marry atujui wote hahahahahah 😢😢

  • @edinanestory5569
    @edinanestory5569 9 дней назад

    Mr uk mbea wew😂😂

  • @israeluronu9958
    @israeluronu9958 9 дней назад +1

    Mbona kama nimaigizo???

  • @rehemabakari4150
    @rehemabakari4150 9 дней назад

    Anaonekana na tisheti la kufika kwa rasta man

  • @ZainabSaid-tz7hs
    @ZainabSaid-tz7hs 9 дней назад

    Duh huyo mdada n mkavu 😂😂😂

  • @EstherMulindwa-fp3ml
    @EstherMulindwa-fp3ml 8 дней назад +1

    Nimerudiya tena 😢😢 daaaa inaniuma Sana 😢😢 kunasiku hu mdada atamuliliya.

  • @reginalolo3897
    @reginalolo3897 9 дней назад

    Mr uk mnoko sana ety merry hatujui🤌😂😂😂😂😂😂

  • @jamyabdul4321
    @jamyabdul4321 6 дней назад

    Mbona hii imekaa kiutungaji😢😢 kama sio kweli vile ...

  • @BarakaKisibi
    @BarakaKisibi 8 дней назад +1

    Huyo dada ni yuda mtupu

  • @adelinamaluli4216
    @adelinamaluli4216 8 дней назад +1

    Ila MR Uk eti umeeka chombeza Marry hatujui wote😂

  • @mariakibusi5914
    @mariakibusi5914 4 дня назад

    Kitu Zima Hilo dada halina aibu fyooo mkavuu

  • @PendoDavid-yl7pr
    @PendoDavid-yl7pr 9 дней назад +1

    Heri mchawi kuliko BODABODA mmbeya🤣

    • @youdya
      @youdya 9 дней назад +1

      😂😂

  • @majaliwamussa9268
    @majaliwamussa9268 7 дней назад

    Zinaa imekithiri hadi imekuwa inatangazwa kwa nguvu zote, hakuna aibu siku hizi

  • @muuh_kd2141
    @muuh_kd2141 8 дней назад

    Nilikuwaga najuaga ivi vitu ni kweli kumbe mnaACT bana

  • @NasibuRashid-yp1xd
    @NasibuRashid-yp1xd 9 дней назад +1

    Anasema hamjui Kwa jina la mery hafu Bado anamwita Kwa jina lilelile waongo sana nyie

  • @zinatyben
    @zinatyben 8 дней назад

    Mr uky 😂😂😂😂 et mArry hatujui wotee😂😂😂😂😂

  • @AbdulyMudathir-ol6bt
    @AbdulyMudathir-ol6bt День назад

    Jamani

  • @JohnGembeNyanqura-no7ec
    @JohnGembeNyanqura-no7ec 5 дней назад

    I see 😂😂😂hii Kal sana nimependa bro alivyosema unaniacha kisa marastarasta

  • @SalamaNauthar
    @SalamaNauthar 9 дней назад

    Hamna ukweli wowote hapa' mr Uk hili igizo tu