MIAKA 5 YA TIFFANY STORE NDANI YA NDOA NA GABO ZIGAMBA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 1 янв 2025

Комментарии • 126

  • @teedullah5708
    @teedullah5708 Год назад +3

    Kwa Hali hi qabo hata km Ana mchepuko bc Ana chepuka kwa adabu mashallah bi Dada kwa kumsifiya mumeo🇰🇪

  • @nailaomar4810
    @nailaomar4810 Год назад +62

    Mm nakupa nasaha tu kama mdogo wangu usipendele kusema kheri zako wala mazuri ya mumeo dunia hii tulonayo hasad nyingi mungu akuhifadhi roho yako mzuri mashaallah lakini siku hizi hakuna mtu anasema kheri zake Allah akupe maskilizano na furaha daima inshaallah inshaallah

    • @sophiakassim6784
      @sophiakassim6784 Год назад +1

      Hakika watu wana roho mbaya hakuna anaependa kuona mwenziwe ana mazuri huku yy anateseka

    • @shaaonga4894
      @shaaonga4894 Год назад +2

      Ana baya anawapa hamasa wenziweee.

    • @najmasaid7057
      @najmasaid7057 Год назад

      Naam ni kweli habibty Allah atuhifadhi

    • @tatusadiki6880
      @tatusadiki6880 Год назад

      punguza story,utaharibu Kila kitu mdogo wangu dunia hi utajuta

    • @swabihiharuna6333
      @swabihiharuna6333 Год назад

      Duuh umempa kitu kitamfaa maisha yke yote waja awapendi kukuona na furaha

  • @pendosimbeye4866
    @pendosimbeye4866 Год назад +2

    Nyi watu mna upendo sana...the way gabo naemjua kwenye tamthilia na gabo OG tofauti...imagine leo hii for the first time..nmemuona kaja apo ofcn nikisubiri percel..kanisalimia na kiroba changu cha shangazi kaja kwa upendo na heshima..sikutegemea aisee..nmewaza...sana mshamba mimi wa mbeya nmesalimiwa vzr na huyu msanii as if ananijua....? Kweli usimjidge mtu asiemjua...at tje end..mkewe tiffany akanihudumia kwa upendo...nyi watu..nawapenda sana..Mungu awabariki ,abariki uzao..wenu..adi vitukuu..mkawe vichwa c mikia...❤❤

    • @wardagogodigo1111
      @wardagogodigo1111 5 месяцев назад

      Gabo katokea mbali namjua kindakindaki kwahyo Hawez kuzarau mtu

  • @ZuhuraAthuman-u2i
    @ZuhuraAthuman-u2i 9 дней назад

    Muombee sana mumeo maana Kuna mtu huko anajimaliza kisa kuachwa ..Sijuh kwann Waja uwa atutambui kwamba Allah anatoa Qadar zake Kwa amtakae..Hongereni sana wewe na mumeo Kwa kuvuka viuzi vya waja

  • @nurusaidi3642
    @nurusaidi3642 Год назад +4

    Ukisema hivyo nakuelewa kabisa mwanaume muoaji anaga mambo mengi nakupenda Sana Tiffany

  • @theresiamartin3150
    @theresiamartin3150 Год назад +12

    Wanaume warefu wanajua kuhandle sana wake zao let's proud of our hubby❤❤

  • @fatma1farid159
    @fatma1farid159 Год назад +2

    Habibty ukionqea mambo.yko yabiashar au mume wako jitahidi kusema mashallah nikinqa nzri na hasadi

  • @fatumaomary9635
    @fatumaomary9635 Год назад +3

    Hongera dada tifa....unapatikana wapi duka lako ,,mie nipo kigamboni ..naitaji nifike dukani kwako namaitaji yangu ya urembo..🥰✌️

  • @NassourBimkubwq
    @NassourBimkubwq 5 месяцев назад +3

    Allah akulinde wewe na mume wako na hasadi za majini na watu, ❤

  • @UpendiOmary
    @UpendiOmary Год назад +3

    Mungu aibariki ndoa Yako na familia Yako Mamie🙏🏾 na pia AKULINDE na husda za walimwengu mdogo wangu....... team Manyoni! Much love to you♥️♥️♥️

  • @Ismail-m4o
    @Ismail-m4o Год назад +2

    Shukuran sana kwakutupa moyo sisi wapambanaji mwenzezimungu akupe maisha marefu yenye furaha

  • @dhudhumnemo1490
    @dhudhumnemo1490 5 месяцев назад +1

    MashaAllah dadangu Kwanza roho yako inaonekana Safi na uzuri unachangia ila ningepata Pacha wako basi NAMI ningelichukua jiko, ongera Mr. Gabo! Umepata tunda.

  • @lightnessgoodluck8123
    @lightnessgoodluck8123 Год назад +1

    Kipenzi changu kumbe niendelee kupambnaa eeeh asante ❤❤

  • @floramlowe7078
    @floramlowe7078 Год назад +2

    Hongera hakika una mume mwema na anayejitambua

  • @GraceMalley-ly2xn
    @GraceMalley-ly2xn 5 месяцев назад +1

    Hongera na Mungu awape Msaada zaid na awalinde umewapa watu wengi fundisho toka uliporoka Mpaka hapo ulipo

  • @ShufaaAdhallah
    @ShufaaAdhallah 9 месяцев назад

    Mashaallah mungu awazidishie upendo namaelewano alafu nikitaka vitu vya mekaup ntavipaje nawauzaje full nawauzaje

  • @nurusaidi3642
    @nurusaidi3642 Год назад +2

    Muombee Sana mumeo Mungu ampe maisha marefu

  • @ReshimaaChitende
    @ReshimaaChitende Год назад +5

    Asante kwakunipa moyo ndugu 🙏nishapanga mabox sana🤣

  • @wifematerial8943
    @wifematerial8943 Год назад +1

    Mashaa ALLAH daa Tiffany ALLAH awazidishie mapenzi mdumu katika ndoa yenu mpaka kifo kitakapo watenganisha,nawapenda sana wewe na shem salim

  • @gradnessshitindi3694
    @gradnessshitindi3694 Год назад +2

    Hongera sana dada n mzuri na unaonekana hauringi, utafika mbali sana 🥰

  • @ShadyaIssa-gs2ej
    @ShadyaIssa-gs2ej 5 месяцев назад

    Jamn mke wa gabo kumbe mzuri hivyo mashallah 🥰

  • @ZaytoonaKarama
    @ZaytoonaKarama 5 месяцев назад

    Mashallah tabarakallah Allah awahifadhi kwenye ndoa yenu na awazidishie mahaba na maendeleo yenu

  • @khadijarashid5533
    @khadijarashid5533 5 месяцев назад

    Masha allah Allah awalinde ww na mume watoto na hadi za watu na majini

  • @rukiamashaka7577
    @rukiamashaka7577 4 месяца назад

    MashaAllah MashaAllah MashaAllah TabarakAllah Allah azidi kuwapa masikizano amiin thumah amiin

  • @annahulilo6719
    @annahulilo6719 Год назад

    Oooh.... Mungu azidi kuwalinda na kuwaongoza, mdumu kwenye upendo wa kweli, mzidi kufanikiw katika shughuli zenu, awalee watoto wenu na zaidi ya yote daima mumtegemee na kumtii yeye.

  • @mossyhamza7750
    @mossyhamza7750 Год назад +1

    Nimependa sana interview yako na hustling zako.. Maashaallah

  • @salmaalkyumi6030
    @salmaalkyumi6030 Год назад +1

    Allah akubarikie kila kheri ktk maisha yko
    Ameen🤲

  • @Munaa1994
    @Munaa1994 Год назад +1

    Masha Allah umeweza Allah awazidishie na awaepushe na hasad za watu

  • @khadijasalum2302
    @khadijasalum2302 Год назад

    Alhamdullillah Allah akuzidishieni maisha mzuri na kizazi chema mukhitimishane yarrab

  • @maryedward4471
    @maryedward4471 5 месяцев назад

    Story yak imeniliza sana for real na imeni motivate sana ❤

  • @teacher-esy
    @teacher-esy Год назад +2

    Your also beautiful none of bad things can meet😂❤❤❤

  • @NeemaKenneth
    @NeemaKenneth Год назад +2

    Hongera sana 🎉

  • @SurprisedDumplings-pt1bb
    @SurprisedDumplings-pt1bb 5 месяцев назад

    Hongera sana na Mungu aendelee kuwalinda

  • @leylaabuu7025
    @leylaabuu7025 Год назад

    MashaAllah tabarakAllah, asante dear mungu akubariki aki story yko inatia moyo mtu azidi kupambana

  • @FaaniAli-jg5zh
    @FaaniAli-jg5zh 3 месяца назад

    Hii nguo nimeipenda sijui itakuaj

  • @ashurajengela3926
    @ashurajengela3926 Год назад +2

    Shukrani sana na Asante kwa kushare dia ubarikiwe 😍😍

  • @frankngoloka2589
    @frankngoloka2589 Год назад

    Hongera kwa upambanaji

  • @teedullah5708
    @teedullah5708 Год назад +1

    Mashallah honqera qabo funqu lako utalikuta kwa munqu

  • @yasinta1589
    @yasinta1589 Год назад +3

    ❤❤❤😢😢wow good job napenda unavyoongea vizuri hadi unaonekana una moyo nzuri sana.

  • @najmajite2935
    @najmajite2935 Год назад +4

    Nimependa sana hii interview na umenipa nguvu sana kwamba tusikate tamaa pia imekua interview ya baraka kwangu ❤❤

  • @ziadajoisa8752
    @ziadajoisa8752 Год назад

    Mashallah hongera sana

  • @nyangiibrahim9356
    @nyangiibrahim9356 Год назад

    Mungu akubariki dada mzurii

  • @fatumakale7004
    @fatumakale7004 4 месяца назад

    Wow maashallah

  • @mwizaluchiba6264
    @mwizaluchiba6264 Год назад

    Mungu awabariki tunawapenda sana🙏🏻

  • @GetrudeShoo-fm6xd
    @GetrudeShoo-fm6xd Год назад +1

    Hongera sanaa

  • @tommyomar2672
    @tommyomar2672 Год назад

    Oohh so cute I like it jaman😍😍❤️❤️🤗

  • @lightnessgoodluck8123
    @lightnessgoodluck8123 Год назад

    Kipenzi changu❤❤

  • @alicekadzo340
    @alicekadzo340 Год назад

    Nice content, God bless your hustles

  • @niriacatering172
    @niriacatering172 Год назад +1

    Hongera sana na Asante kwa kushare

  • @NeemaKenneth
    @NeemaKenneth Год назад +2

    And you husband He's my favorite actor in Tanzania happy anniversary to both of you nafatilia sana video zako kwa ajili ya kujifunza nikija Tanzania lazima nifike dukani kwako kwa ajili ya manunuzi ya vifaa❤ god bless you family 💕🙏

  • @tommyomar2672
    @tommyomar2672 Год назад

    Mashallah tabaraka Allah I love the way you have faith baby girl 😍🙏

  • @samweltarimo2478
    @samweltarimo2478 Год назад

    Umenipa saaaaa ❤ nakupenda

  • @NeemaSaidi-l6v
    @NeemaSaidi-l6v Год назад +1

    ❤❤❤❤❤ hongera sana

  • @HasnaHsin
    @HasnaHsin Год назад +1

    Nakupnda sana dada yangu

  • @DidaAlRawahy
    @DidaAlRawahy 4 месяца назад

    Bora utufundishe upambanaji

  • @Jin.Jhope.Suga7
    @Jin.Jhope.Suga7 Год назад

    Natoka kenya naeza order mummy

  • @RahmaAlly-r6x
    @RahmaAlly-r6x 5 месяцев назад

    Kuna kitu nimejifunza kutoka kwako'nakushukuru'mungu akulipe

  • @gladnessrwegalurila3843
    @gladnessrwegalurila3843 4 месяца назад

    Nimekupenda Mrs Gabo. Na pia mimi ni mdau wa movies za Gabo. Nakushauri usipende kusimulia mafanikio yako kwenye mitandao ya kijamii. Si kila mtu anafurahia kuona mafanikio yako.

  • @ubakabwire3385
    @ubakabwire3385 Год назад

    MashaaAllah❤

  • @nahlahassan-fd6le
    @nahlahassan-fd6le Год назад

    Maashallah tifany❤❤❤❤

  • @KhadijaAhmed-eu1
    @KhadijaAhmed-eu1 Год назад

    Hongera dear

  • @collinlukeye9258
    @collinlukeye9258 Год назад

    Daaaaah hongera sanaaa Dada

  • @dayana5513story
    @dayana5513story Год назад

    God bless you love 💓

  • @khadijauledi3293
    @khadijauledi3293 Год назад

    JAMAN MADADA ZETU ALLAH AWAJALIE SANA MAANA NI WENGI TUNAPITA MIKONONI MWAO

  • @AshaMakame-zg9xi
    @AshaMakame-zg9xi Год назад +1

    Nami natamani nipate bahati hiyo Inshaallah 💕💕💕

  • @hanifaa1487
    @hanifaa1487 Год назад +1

    Mashalla

  • @SophiaIssa-n6t
    @SophiaIssa-n6t 5 месяцев назад

    Nikweli mumeo ni mzuli sana alafu ana tamaa mimi na mpenda sana kama kaka ananikosha sana anapoigiza kimakonde❤😂❤😂❤😂Mungu awape maisha malefu sana 100 ,100

  • @ShadyaIssa-gs2ej
    @ShadyaIssa-gs2ej 5 месяцев назад

    Izo bidhaa zako zinapatikana wapi

  • @Shishinaya1554
    @Shishinaya1554 Год назад

    Much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪

  • @neemaduduma9046
    @neemaduduma9046 Год назад

    Urembo mafundisho ya ngozi karibuni sana kwenye page yangu

  • @ShufaaAdhallah
    @ShufaaAdhallah 9 месяцев назад

    Nk kenya

  • @firdausally-tc9fb
    @firdausally-tc9fb Год назад

    Uko sehem gan

  • @zamzamtv10000
    @zamzamtv10000 Год назад +1

    hongera sana

  • @UsuiliNkulu
    @UsuiliNkulu Год назад

    Naomba namba yako dd ninashida ns ngoz yangu 10:17 10:18

  • @Userog254
    @Userog254 Год назад

    Naweza pata namba za ofisi ili niweze kufika

  • @ZainabKebe-f6x
    @ZainabKebe-f6x Год назад +1

    Ongera

  • @SherlyTon-yk3ef
    @SherlyTon-yk3ef Год назад

    Umenigusaa mnoo mpz

  • @tatusadiki6880
    @tatusadiki6880 Год назад +1

    Punguza story utaharibu Kila kitu mdogo wangu dunia hi,upo wapi mi nashida ya ngozi

  • @azizakalikugwa6865
    @azizakalikugwa6865 Год назад

    Mansh'Allah

  • @JosephinaDominick-tp7bo
    @JosephinaDominick-tp7bo Год назад +1

    Keep it up sis😍😍

  • @zawadichalale4047
    @zawadichalale4047 Год назад +4

    Hizo ndio story tunahitaji kuskia changamoto za biashara

    • @zahraabdul9652
      @zahraabdul9652 9 месяцев назад

      Zatia bidii na moyo biashara ni Sabra juu Ina mengi hasara na haitaki asira Wala giving up

  • @AgnessChambo-mx6rd
    @AgnessChambo-mx6rd Год назад

    Nimekupenda sana ila ushauri muombee sana mume wako kuliko kumuweka wazi mitandaoni ni hatari kuna mdudu mbaya anaeharibu ndoa nakufunika kwa damu ya
    Yesu wabaya wasikuone barikiwa

  • @sylviamwanza3009
    @sylviamwanza3009 Год назад

    Great things take time ❤

  • @AshaSheha
    @AshaSheha 3 месяца назад

    🥰

  • @ukhutfatumah1154
    @ukhutfatumah1154 Год назад

    Mashallah

  • @kamikazisalma5209
    @kamikazisalma5209 Год назад +2

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @drmabalansatobingwawawanaw2081

    😄😄😄😄 baby k

  • @annaepmack7270
    @annaepmack7270 Год назад

    😍😍

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 5 месяцев назад

    ❤❤❤🎉🎉🎉

  • @usindemdamo5299
    @usindemdamo5299 9 месяцев назад

    ❤❤

  • @sabihaibrahim143
    @sabihaibrahim143 Год назад +2

    Ukaanza kumuhadithia shida hahahaaa wanawake wepesi kwa kutaja shida huuwii

    • @nahlahassan-fd6le
      @nahlahassan-fd6le Год назад +2

      Sio Kwa ubaya eti, huwez kumhadthia mwanaume mambo Yako Kam Hana akil, lkn yeye tifany alimuelewa na akamhadthia mambo yake

  • @froladickson5255
    @froladickson5255 Год назад +2

    Nakupnda sana ww na mme wako Ila unani inspire sana but one tym nitakuja dukan kuchukua bidhaa then unifundishe biashar ya mitandaon jins ya kufanya

  • @HabibaMtukwao-om4li
    @HabibaMtukwao-om4li Год назад

    Nime yatamani aso Zako Dada umenifunza nisikate tamaa kwenye kutafuta.

  • @hidayaally7059
    @hidayaally7059 Год назад

    Sasa miaka 5 kwani nimingisaana mpaka kushangaa mie nina 13

  • @roqayaro9439
    @roqayaro9439 Год назад +2

    KWAKWELI ATA KWENYE KUINGIZA GABO ANAONEKANA YUPO VZR ATA MIMI UWA NATAMANI NIPETE MWANAUME KAMA YEYE YUPO VZR MSHUKULU ALLAH KWA KUKULETEA MUME BOLA

  • @theresiamwacha7845
    @theresiamwacha7845 Год назад

    Je wewe umefanyiwa Nini na mumewe