MAISHA YA NJE TUKIWA SAFARI ZA BIASHARA/TUCHEKE KIDOGO

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 14 авг 2023
  • I looveee cooking for my husband, do you have any idea ya vyakula simple ninavyoweza kupika kwa haraka? Kindly share na mm through whatsapp
    0783840811 and i will share on my page na alonifundisha with full video, asantee🙏🏻 #makeuptutorial
    Usisahau kuSUBSCRIBE na Kuweka Notification ON Kwa Video Nyingi Zijazo🙌🏾.
    Unaweza Kutufatilia katika Mitandao ya Kijamii Kwa Kubonyeza LINK Zifuatazo.
    INSTAGRAM @tiffany_store_tz
    LINK: tiffany_store_t...
    TIKTOK @tiffany_store_tz
    LINK: vm.tiktok.com/ZMNDeHnxe/
    Kwa Mahitaji yote yanayohusiana na Masuala ya Urembo Unaweza Kuwasiliana nasi kama ifuatavyo.
    CALL/WHATSAPP
    +255783840811
    LOCATION : Sinza Kamanyola , Shekilango Road
    GOOGLE MAP : Tiffany Store , Shekilango Road
  • ХоббиХобби

Комментарии • 21

  • @littlepie5914
    @littlepie5914 10 месяцев назад

    Maashallah hongera

  • @user-zt6wr6ch5m
    @user-zt6wr6ch5m 10 месяцев назад

    Nawapenda Sana jaman❤❤

  • @radhiyageorge2204
    @radhiyageorge2204 10 месяцев назад

    Masha Allah 😊😊😊

  • @ukhutfatumah1154
    @ukhutfatumah1154 10 месяцев назад

    Mie nawapenda sna jmn Mr&mrs❤😊

  • @ishaommy5636
    @ishaommy5636 10 месяцев назад

    Hapa hapa you tube mfatilie shunna kitchen... Anafundisha vizuri saana ma shaa Allah💕

  • @hajirarashidi1999
    @hajirarashidi1999 10 месяцев назад

    Mashaaallah

  • @ashaali6125
    @ashaali6125 9 месяцев назад

    Pole dear.mwanamke lake jiko jitahid ujue mapish

  • @ZubedaKhalfani
    @ZubedaKhalfani 5 месяцев назад

    Utajua inshaallah jitahidi

  • @teedullah5708
    @teedullah5708 6 месяцев назад

    Mashallah ni kweli chapati ya kwanza huwa hivo

  • @VickKulekana-si1ib
    @VickKulekana-si1ib 9 месяцев назад

    Napenda mekapu na kupika vyote najuwa

  • @lightnessgoodluck8123
    @lightnessgoodluck8123 8 месяцев назад

    Mna maishaa doooh

  • @gamgangweesechota3589
    @gamgangweesechota3589 10 месяцев назад

    😅😅😅😅😅😅 nawapenda ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️

  • @glorymuro5411
    @glorymuro5411 10 месяцев назад +1

    Conteiner za kupaki vyakula kwa fridge ni muhimu,fridge inaharibu hotpot shogangu,ushakuw staa mpnz...tunataka tuone mpangilio mzur kwa fridge...sekta zingine uko vzur snaa ila hapo tu dr

    • @tiffanystore_tz
      @tiffanystore_tz  10 месяцев назад +1

      Sikiliza vzuri tangu mwanzo utaelewa

  • @VickKulekana-si1ib
    @VickKulekana-si1ib 9 месяцев назад

    Kama chapat za kaji za mwanzo ndo zinasumbuwa

  • @azizachoyo6958
    @azizachoyo6958 3 месяца назад

    Raha sana mume ambae bora ale lkn anakupa moyo unakuwa na jitihada

  • @jumasalum9041
    @jumasalum9041 9 месяцев назад

    Hahahah nifundishe makeup na mm nikufundishe mahanjumati 😂😂😂

  • @ishaommy5636
    @ishaommy5636 10 месяцев назад +1

    Chapati ya kwnza inakuaga na kisiran sjui ndo mapozi disappointed kma zote🤣🤣🤣🤣

  • @user-id9tk1cr9w
    @user-id9tk1cr9w 10 месяцев назад

    Your good wife material maaaashaallah

  • @VickKulekana-si1ib
    @VickKulekana-si1ib 9 месяцев назад

    Kumbe anapenda mekapu kana mimi