HIVI NDIVYO WANAUME WANAVYOWAUMIZA WANAWAKE KATIKA NDOA ZA UKE WENZA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 21 янв 2025

Комментарии • 41

  • @AlkafaaMarket
    @AlkafaaMarket 3 месяца назад +3

    Mashallah sheikh Leo zamu ya upande wa pili hii ndio raha isiiegemee upande mmoja

  • @maryamadam5622
    @maryamadam5622 3 месяца назад +1

    Mashallah.Tunafaidika sana kwa haya. Mengu magumu. Yanasababishwa na wanaume kwa kutojali umuhimu wa ndoa kuwa ni ibada. Kujali zaidi matamanio yao tu. Athari kwa kizazi pia. Watoto pia wanaathirika sana ikiwa hakuna maadili. Shukran zenu waalim

  • @thehumblediti4939
    @thehumblediti4939 3 месяца назад +1

    Maa shaa Allah, 🎉jazakallahu khairan, wakenya 🇰🇪 wenzangu mpo humu ndani ❤

  • @saadaseif8081
    @saadaseif8081 3 месяца назад +1

    Mashallah sheikh allah akuzidishie kheri umechambuwa kila kotu hukubK8sha

  • @maryamhassan1154
    @maryamhassan1154 3 месяца назад

    Mashaallah kipindi kizuri zaidi Dr Hassan umeongea point na umegusa uhalisia wa maisha yng shukrani Sana Mungu akuzidishie upeo na elimu zaidi ya hii inshaallah

  • @SaadaMd
    @SaadaMd 3 месяца назад +1

    Allah Akuhifadhi❤❤❤

  • @aramm474
    @aramm474 3 месяца назад +1

    SubhanaAllah umeongea mambo mazito maasha Allah

  • @fatimasaid9469
    @fatimasaid9469 3 месяца назад

    Alhamdulilah ❤❤❤❤.
    Maalim hassan huyu awesome sana hapa anapia kwenye misingi mizuri dini sycologia kawatibu wengi leo

  • @fatmahamdoun74
    @fatmahamdoun74 3 месяца назад +1

    Nimempenda Hulu Maalim Sana maashallah 🎉🎉🎉🎉

  • @salmahaji-i6n
    @salmahaji-i6n 3 месяца назад

    Maalim Hassan big up sana huyu mwamba yupo vizur sana

  • @ashaidd2912
    @ashaidd2912 3 месяца назад +1

    Mashaalllah arudi tena❤❤

  • @FatuNahimana
    @FatuNahimana 3 месяца назад +1

    Kaka yetu yani na kuku bali uko vizuri

  • @halimamfaume1925
    @halimamfaume1925 3 месяца назад +1

    MashaAllah ❤❤❤

  • @RahmaRashid-lc6nw
    @RahmaRashid-lc6nw 3 месяца назад +2

    Mashallah Mashallah Maalim ana madini na raha zaid anaenda na Quran nimempenda sana

  • @SaidHamad-i6x
    @SaidHamad-i6x 3 месяца назад +1

    Mashaaallah shekh kaongea point muhim ambazo wengi hatuzijui😊

  • @ashaidd2912
    @ashaidd2912 3 месяца назад +1

    Aje tena na tena jmn somo zuri sana

  • @MonoMono-q7s
    @MonoMono-q7s 3 месяца назад +1

    Sauty km shekh msabah masha Allah

  • @FatumaKingi-n7p
    @FatumaKingi-n7p 3 месяца назад +1

    Hapo kwa ukali kaa umenitaja mm sheik wangu 😢

  • @absaarjusa3557
    @absaarjusa3557 3 месяца назад

    Ahsante sana umenifunua macho na kurudi nyuma hatua 10 nifikirie tena na tenaaa

  • @fatmahamdoun74
    @fatmahamdoun74 3 месяца назад +1

    Huyu aje kila Siku 🎉🎉🎉

  • @MyasaAbdullah
    @MyasaAbdullah 3 месяца назад

    Mashaallah shekh nimekufahamu

  • @SaadaMd
    @SaadaMd 3 месяца назад

    Allah akuhifadhi

  • @HalimaNasser-l9g
    @HalimaNasser-l9g 3 месяца назад

    Mashallah uhakika nameno juu yamsitari yani mpaka natokwa namachozi yani ayo maneno yamenigusa Kwenye moyo😢

  • @bahidispensary2786
    @bahidispensary2786 3 месяца назад +1

    Tumekuelewa sana ustadh.
    Nina shida na no ya sim ya ustadh hassan

  • @azizaaziza7996
    @azizaaziza7996 3 месяца назад

    As, allaykum warahmatullah wabarakatu hapo ktk kuelewa semu tofauti kama itakua nimoja ya ya hizo sababu bc Mimi Nina hitaji msaada kutoka kwenu maana Hadi pressure nime ipata nahaishuki 😊

  • @salamasaidi6620
    @salamasaidi6620 3 месяца назад

    😢 tupen namba za huyo sheikh

  • @FatuNahimana
    @FatuNahimana 3 месяца назад +1

    Nilicho jifunza kwa kaka yangu yani ina takiwa wahubiri wa dini wawe wataalam wa scologie ili wawa weke sawa wa umini wawo

  • @AminaSalim-i6j
    @AminaSalim-i6j 3 месяца назад +2

    😢 mtu ataka kunioa mke2 lakini aniambia nampenda sana mkewangu n nataka kukuoa tu mke wa 2 lakini sinamatatizo n bimkubwa.. je uyu n mkubali ama 😊

    • @MWANAHAMISIOTTO
      @MWANAHAMISIOTTO 3 месяца назад

      Indio yupo sahihi

    • @salwasuleiman3525
      @salwasuleiman3525 3 месяца назад

      Muombe Allah ikiwa kuna heri

    • @emmadora7848
      @emmadora7848 3 месяца назад

      Baadaye usije kuja kulia hapa ,hata hivyo kwani wanaonaga mke wa pili ikiwa hawawapendi au wamewachoka wake wa kwanza?

    • @rukiasalim3376
      @rukiasalim3376 3 месяца назад +2

      Kasema ukweli, ulitaka akudanganye???, au mnapenda mtu aseme ana tofauti na mke wake wa kwanza?? Amekwambia hivo ili uende na adabu zote na kama ukimvunjia heshima bimkubwa bas jibu unalo

    • @Ayuminchasi
      @Ayuminchasi 3 месяца назад

      Bac haina haja ya kuongeza mke wa pili kwa sababu mke wake hana matatizo yoyote ​@@rukiasalim3376

  • @abdulkidau3178
    @abdulkidau3178 3 месяца назад

    Dah jamaa nimesoma nae nasari huyu na madrasa pamoja 😂😂😂 maisha haya

  • @SaadaMd
    @SaadaMd 3 месяца назад +1

    Ama wewe nimeongea ukweli mtupu maana namimi yamemegusa hayo yote unayosema

  • @AlkafaaMarket
    @AlkafaaMarket 3 месяца назад +1

    Nikweli mavazi yakiletwa na mume unajiskia faraja lkn leo wapo niwachache baada ya mapembe bas