Mim nataman sana ujasiri wa COURAGE TO STAND ALONE nataka kufanya mambo pekee yangu nisimame mim kama mim.. unajua kwanin nimetaka hivi baadhi ya ndugu ukiwaeleza nin unataka kufanya baada ya kushindwa au mafanikio wanalete ile changamoto ya kusema tulikwambia hichi kitu hutofika mbali na ukifanikiwa watasema kama sio ushauri wetu usingefika mbali wew.. ndio mana nataka kuwa na ujasiri wa kusimama peke yangu.. I believe 👏👏👏 Thank you kaka joel
Washirikishe, na uwasikilize lkn uamuzi wa mwisho ni kichwa chako, hata wengine tulipingwa sana familia lkn tulismamia msimamo wetu na kuendelea na yetu
Mungu akubariki sana umeniongezea kitu nitakuwa nakufuatilia.ujasiri wa kuvumilia maumivu ndo ninaoukosa sasa naamua kuwa na ujasiri wa kuvumilia maumivu
Braza nimekusikiliza huku machozi yakinilenga, nilipitia kipindi kigumu sana kipindi nimeacha kazi Serikalini na nikiwa nimefungua biashara, mwezi wa kwanza niliyumba nilisemwa vibaya hata ndugu zangu lkn baada ya bao namshukuru Mungu nimefanikiwa sana kwa kufungua duka lingine la Vipodozi, baada ya awali kufungua duka la Fenicha, na kilimo kidogo hakika maneno yako yamepita kwenye maisha, Ni Mungu na roho ngumu yangu na mke wangu tulisimama hivi sasa tunaangaika kufungua CENTRE YA Airtel Kiwilayaaa
Mungu akubariki kwa mafundisho mazuri ambayo kwa neema ya Mungu imeniwezesha kufungua duka la reja reja ila Mimi hapo naona nahitaji ujasiri wa kuendelea na kushinda maumivu.
Kaka Joel nakushukuru sana ,kwa kusikiliza tu masomo yako,tangu 15 may nimepiga hatua ,na nimelipenda sana hili somo maana ujasiri ninao na pia umeniongezea nguvu,"the courage to stand alone" I like it.
Kaka joeli nakuombea Mungu uzidii lutoa masomo zaidi nami nipate nguvu kuelekeza nguvu ya ndoto yangu kakika njia sawia nategemea sanaa mawazo mengi kwako.godfrey napenda biashara nifanye sana bro Joeli
The courage to continue (consistency). "Unapokuwa ni m2 unayeanza lkn hauna ujasiri wa kuendelea, huwezi kufika mbali". very beautiful statement, I need this courage
Thanks u ok joel🙏🙏 Me natamani unasiri wa encouraged to Star na encourage to engue pain. Kuna wakati ktk maisha inatubidi mtyu kusimama peke yako ili kufikia pale unapotamani kufika,wapo wataokupinga na kusema uwez chcht lkn Kama unaamini mungu pekee anaweza kukufanya ukasonga mbl zaid🙏🙏 Thanks kk💯💯
Hello kaka...Naomba hili somo litafutiwe kitabu,ujue katika maisha watu wengi tuna malengo,mipango na mawazo mazuri ya kuweza hata kuhamisha bahari...lakini ujasiri wa kuanza,kuendelea,kuvumilia aibu ,kusimama peke yetu na kukubaliana na kila jambo ,ndio changamoto inayotawala fikra zetu! Kaka nadhani hili somo ni kubwa zaidi ,na linahitaji kurudiwa zaidi,nahis ni kitovu cha mafanikio,kwa hayo mambo 5,somo linahitaji muda kaka...tafadhali lifikirie zaidi.Asante.
You so sweet God keep you for a long time we need you to us life .be bless Joel👐👐👐👐👐 nahitaji jinsi ya ku fight with my life and how to open my third eye
Asante kwa somo nzuri kwa upande wangu mimi katika ujasili Aina 5 zote nipo sawa japo huu wa mwisho huwa unaumiza sana lakini alhamdulillah napambana na vyote hii yote kwa sababu natamani ndoto zangu zitimie nataka watu waone kweli naweza Asante kwa mafunzo yako unanipa nguvu sana na nikiwa Nakusikiliza huwa nakuwa makini zaidi
thnx teacher!!please nataman kama kuna group za whasap pia niungwe na kama kuna njia nyingine pia.nahitaji kuwa karibu sana umenifanya nimechang ndani ya muda mfupi wa kufanyia kazi masomo kaka
Nimejifunza mengi sana namimi pumzi ili niishia maana nilikosa ujasiri wa kuendelea .Naamka tena Ahsante!Kaka Joel Nanauka napenda sana umenitia moyo wa kufanya kazi upya
Hongera sana mwalimu Nanauka nmeanza kukufatlia cku za karibuni na nnafurahi sana maana kuna kitu nnakipata...mimi nnahitaji kuanzisha kampuni yangu binafc
Hapa ni kweli MUVUMILIVU HURA MBIVU, tuko pamoja najipanga hapa umefungua kira njia kwangu hua namtanguliza MUNGUpia shure yako hio itanifikisha bira sababu zozote.
Kaka unanisaidi ninajifunza vitu vingine Sanaa kutoka kwako,Hakika Mungu ni mwema .Na ninaamini huu ni wakati muafaka sijachelewa na Wala sijawahi machoni pa Mungu
Kwa upande wangu ujasili wa kuvumilia maumivu daa hapa nahitaji kujitoa muhanga maananina maumivu makubwa sana ya kupotza pesa nikiyakumbuka nashindwa kuendelea naumia sana ila naamini kuna siku nita yamaliza hay maumivu na kufika nitakapo ,,,,nashukulu sana kwa hii somo imeniweka sawa kwa kiasi chake najiona naweza endelea mbele zaidi
asante sana mkufunzi, hakika ubarikiwe sana maana unasaidia watu wengi. BINAFSI NAKOSA SANA courage to start,,,, mipango ni mingi na mizuri, but shida ni ujasiri, napata shida sana.
asante sana brother #Joel Nanauka kwa chakula kizuri cha ubongo hakika Umenifunza mengi mazuri nitakuombea kwa Mungu akulinde uishi miaka mingi Amen 🙏🙏 #MimiMmasai
Ahsante sana kaka kwa kwel nafuraha ya kileke najivunia kukutana na ww mambo niliyo jifuxa kwako km sitakuwa jasiri basi tena yan kupitia elimu yako ni zaidi ya utajir nimepata taya umr mrf kwako
Thank you Joel, was late to listen but I had to make it, thanks for the courage ya kusaidia zaidi, Courage ya kuvumilia is very important kwa Mimi sasa. Mungu akupe hekima zaidi
Mtu wa Mungu kila leo Mungu akubariki nakufatiliy sana kwa elemu yako unanipa ujasiri kila leo hasa kwa kule kitabu c ha ngvu ya mwana muke imenipa ujasiri mukubwa wakusimamiya maisha yangu
haswaa 1 adi 5 ninatakiwa kuvichukulia hatua maan zote Zina umuhimu San kwangu maan ninatakiwa kuwa jasiri maali popote endapo tu jema kwangu ... Asante San kaka Joel aurth nanauka kwa kutupatia mawazo mapya ya kutufungulia mafanikio yetu hakika Ni utelekezaji tuu nifanye!!!!
Dah bro kwakweli mungu akulipe course madarasa yako ninjia ya mafanikio yangu hata hivyo Nina ujasiri wa kusimama mwenyewe kwasababu nimetengwa kwasababu ya changamoto yangu ya zamani.
nashukuru kaka Joel yangu nianze kukusikilza we nimekuwa MTU was tofauti sana mpak wananishangaaa hapo mengi sana umenijengea ila kubwa zaidi ni kujiamini na kuwa na malengo thenks a lot ukiwa na kongamano lolote please to inform nitakuw wa kwanza kununua tiketi,,,,,,,and vitabu vyao please,,,,,
Joel asante sana kwa video zako kweli wewe una tia moyo watu wengi ambao wamekata Tamaa kwa ajili ya mambo tofauti tofauti, mimi pia hapa nilipo niko na changamoto ni kwamba mimi natafuta driving licence nishaenda shule ya driving lakini kila nikifanya mtihani wa pratical na feli kufikia sasa nime feli mara tatu mfululizo hata wendani wangu wameanza kuni kejeli na kuni zomea.Nahisi vibaya sana kwa hiyo naomba msaada kutoka kwako kaka joel asante sana!
Kak binafs kunasehem umenitoa na kuna sehemu unanipeleka kupitia the power to stand alone. because of the knowledge I gained through I shall follow you
Ujasiri wa kuendelea aise hii kwangu ni changamoto kubwa sana inapotokea nimetaliwa na watu nahisi kukata tamaa kabisa pili ni huo ujasiri wa kusimama peke yangu nisaidie hapo 🙏
U give me the power to continue brother. Ingawa changamoto ni nyingi zaidi hasa pale unapokua na watu ukiamini una support nyuma lkn kumbe yakikufika una baki peke yako.
Mim nataman sana ujasiri wa COURAGE TO STAND ALONE nataka kufanya mambo pekee yangu nisimame mim kama mim.. unajua kwanin nimetaka hivi baadhi ya ndugu ukiwaeleza nin unataka kufanya baada ya kushindwa au mafanikio wanalete ile changamoto ya kusema tulikwambia hichi kitu hutofika mbali na ukifanikiwa watasema kama sio ushauri wetu usingefika mbali wew.. ndio mana nataka kuwa na ujasiri wa kusimama peke yangu.. I believe 👏👏👏 Thank you kaka joel
Vizuri Sana
Usikate Tamaa Songambele
#SeeYouAtTheTop[
Kwli kabsaa damamu mm mwenyewe yamenitokea mdasimrefu nikaambiwa tulikwambia so now natka kusimama mm Kama mm
@@winfridarelia7938 ni kweli kabisa tunaweza WIN kikubwa kablda ya kuanza tunatakiwa tujikabidhi kwa Mungu pia tutafanikiwa 👏👏
@@joelnanauka sante sana👏👏
Washirikishe, na uwasikilize lkn uamuzi wa mwisho ni kichwa chako, hata wengine tulipingwa sana familia lkn tulismamia msimamo wetu na kuendelea na yetu
Mungu akubariki sana umeniongezea kitu nitakuwa nakufuatilia.ujasiri wa kuvumilia maumivu ndo ninaoukosa sasa naamua kuwa na ujasiri wa kuvumilia maumivu
Samahani nitakipataje kitabu hiki cha aina za ujasiri?
Ujasiri nilionao hadi sasa ni WA kuvumilia maumivu tena makali Sana ...Ila ninaamini nitafika Mungu aliponipangia kuwa 🙏🙏🙏🙏
Asante baba, kwa ushauri wako
Braza nimekusikiliza huku machozi yakinilenga, nilipitia kipindi kigumu sana kipindi nimeacha kazi Serikalini na nikiwa nimefungua biashara, mwezi wa kwanza niliyumba nilisemwa vibaya hata ndugu zangu lkn baada ya bao namshukuru Mungu nimefanikiwa sana kwa kufungua duka lingine la Vipodozi, baada ya awali kufungua duka la Fenicha, na kilimo kidogo hakika maneno yako yamepita kwenye maisha, Ni Mungu na roho ngumu yangu na mke wangu tulisimama hivi sasa tunaangaika kufungua CENTRE YA Airtel Kiwilayaaa
Kaka Noel umenielimisha sana hasa kuwa na aibu ya muda mfupi ili kuwa na utukufu wa muda mrefu thanks
#SeeYouAtTheTop
Asante sanaa kwa kukufanya nizidi kua mkakamavu kwa mchango wako
#SeeYouAtThetop
safi sana nataka kusimama mm km mm kuna wakati wa kuwa sijubiwi message za ngu cpokelewi cmu
Najifunza kuwa jasiri wa kubeba aibuu . Langu moyonii nini natafuta . Asantee
Asante brooo tunafaidika na elimu yako Nina kitabu cha timiza malengo ni kitamu balaa
#SeeYouAtTheTop
Kwa hii mada ujasiri wa aibu umenigusa Sana.... ASANTE Sana kwa kunifumbua
Asante sna kaka nakupata sana
#SeeYouAtTheTop
Somo zurii kakaa ubarikiwae,changamoto ya kuanaza, na changamotoo ya kubebaa aibuu,imekuwa ni tatzo sanaa
#SeeYouAtTheTop
Ni mwezi sasa tangu nimeanza kukufatilia, sijui nilikua wap, ila nashukuru sana MUNGU AKUBARIKI
Mungu akubariki kwa mafundisho mazuri ambayo kwa neema ya Mungu imeniwezesha kufungua duka la reja reja ila Mimi hapo naona nahitaji ujasiri wa kuendelea na kushinda maumivu.
Ni kweli kaka... Hapo kwenye ujasiri wa kubeba aibu.. Daah😇😇 nilitengeneza keki nikaharibu na kuharibu.. Woooiii
Kuna kitu kikubwa sana nimejifunza nashkuru sana bro Joel kuna naenda kukianza mwakani ntakuja kutoa ushuhuda
Vizuri Sana Ndugu
#SeeYouAtTheTop
@@joelnanauka asante broo
Ahsante sana kaka Joel elimu yako inanifanya niwe imara sana katika kila nilifanyalo. Mungu akubariki sana
No 5 kuvumlia maumivu ili ndoto itimie nahitaji niitengeneze iwepo ndani yangu mungu anisaidie
Asante kakaaaa upo poaaaaaa napenda mafunzo yako hakika Mungu amekupa kipawaaa.
Mm nimshukuru tu mungu kwa kukuleta duniani kwa ajili yakuwaponya watu. Mungu akubariki na akulinde
Nimesikiza motivational speaker wengi lakini kaka Joel wewe ni mwisho wa mawazo
Blessings
Hongera kwa kutupa chakula ya fikra
#SeeYouAtThetop
Kaka Joel nakushukuru sana ,kwa kusikiliza tu masomo yako,tangu 15 may nimepiga hatua ,na nimelipenda sana hili somo maana ujasiri ninao na pia umeniongezea nguvu,"the courage to stand alone" I like it.
#SeeYouAtTheTop
Mimi.kuna.bosi.wangu.nimeka.nayo.mda.mlefu.lakini.nikitaka.kwashana.naye.ananifatilia.nikipata.kzi.sehem.nyingine.aniambia.niendele.na.yeye.atanipandishiya.mshala
Pia.alinipa.nyumba.ya.kuka.saiv.ananiambia.nitoke.atakuja.kuka.ndugu.yake.kisa.nimewowa.ko.yeye.apende.niowe.
Ujasiliiii w kuanzaaa mm ndo nilikuwaaa sina ila ninaaa ideal nyng n kubwa tyuuu
Duuuh we mtu kweli hiyo ni zawadi kutoka kwa mungu asante
Asante Nashukuru
#SeeYouAtTheTop
Ubarikiwe sana Kaka,, Mim nahitaji ujasili wa Kuaza
Anza Leo
#SeeYouAtTheTop
Ahsante Sana broo Mungu akubariki zaidi uzidi kutuelimisha
Dah!!!! Kwel tatz watu wanakatsha tamaa kaka unapohtaj ushaur wa ziada
Ahsante kwa ushauri wako taufanyia kazi
Ujasili wa kukabiliana na aibu ni tatizo langu kuu naona aibu kupoteza mafanikio kidogo niliyo nayo kwa ajili ya mafanikio makubwa
Anza Leo
#SeeYouAtTheTop
@@joelnanauka on my way to the top joh
Nmependa aina zako zote za ujasili kwan zmenipa moyo maan mm ni MTU nlokata tamaa lakin umenipa moyo
Kaka joeli nakuombea Mungu uzidii lutoa masomo zaidi nami nipate nguvu kuelekeza nguvu ya ndoto yangu kakika njia sawia nategemea sanaa mawazo mengi kwako.godfrey napenda biashara nifanye sana bro Joeli
Thanks natamani sana hiyo hatua ya mwisho, ujasiri wa kuvumilia pain
Unaweza Anza Leo'
#SeeYouAtTheTop
The courage to continue (consistency). "Unapokuwa ni m2 unayeanza lkn hauna ujasiri wa kuendelea, huwezi kufika mbali". very beautiful statement, I need this courage
Kaka nimekufollow Jana tu umenifunguwa akili kabisa nahitaj kusimama peke yang na pia lazima niwe jasiri kuvumilia maumivu Asante Sana kaka
Thanks u ok joel🙏🙏
Me natamani unasiri wa encouraged to Star na encourage to engue pain.
Kuna wakati ktk maisha inatubidi mtyu kusimama peke yako ili kufikia pale unapotamani kufika,wapo wataokupinga na kusema uwez chcht lkn Kama unaamini mungu pekee anaweza kukufanya ukasonga mbl zaid🙏🙏
Thanks kk💯💯
Hello kaka...Naomba hili somo litafutiwe kitabu,ujue katika maisha watu wengi tuna malengo,mipango na mawazo mazuri ya kuweza hata kuhamisha bahari...lakini ujasiri wa kuanza,kuendelea,kuvumilia aibu ,kusimama peke yetu na kukubaliana na kila jambo ,ndio changamoto inayotawala fikra zetu! Kaka nadhani hili somo ni kubwa zaidi ,na linahitaji kurudiwa zaidi,nahis ni kitovu cha mafanikio,kwa hayo mambo 5,somo linahitaji muda kaka...tafadhali lifikirie zaidi.Asante.
Asante Kwa Ushauri
#SeeYouAtTheTop[
You so sweet God keep you for a long time we need you to us life .be bless Joel👐👐👐👐👐 nahitaji jinsi ya ku fight with my life and how to open my third eye
Asante kwa somo nzuri kwa upande wangu mimi katika ujasili Aina 5 zote nipo sawa japo huu wa mwisho huwa unaumiza sana lakini alhamdulillah napambana na vyote hii yote kwa sababu natamani ndoto zangu zitimie nataka watu waone kweli naweza Asante kwa mafunzo yako unanipa nguvu sana na nikiwa Nakusikiliza huwa nakuwa makini zaidi
ujasiri wa kuanza ndio unaonisumbua mkuu now i can start!!
Good Just See You At The Top
thnx teacher!!please nataman kama kuna group za whasap pia niungwe na kama kuna njia nyingine pia.nahitaji kuwa karibu sana umenifanya nimechang ndani ya muda mfupi wa kufanyia kazi masomo kaka
Ujasiri wa kuvumilia maumivu....
Usikate Tamaa Songa Mbele Unaweza Tafuta Video Yangu Hapa Inayosema Kupona Maumivu Ya Moyo
#SeeYouAtTheTop
Nimejifunza mengi sana namimi pumzi ili niishia maana nilikosa ujasiri wa kuendelea .Naamka tena Ahsante!Kaka Joel Nanauka napenda sana umenitia moyo wa kufanya kazi upya
kaka asante
Hongera sana mwalimu Nanauka nmeanza kukufatlia cku za karibuni na nnafurahi sana maana kuna kitu nnakipata...mimi nnahitaji kuanzisha kampuni yangu binafc
Hapa ni kweli MUVUMILIVU HURA MBIVU, tuko pamoja najipanga hapa umefungua kira njia kwangu hua namtanguliza MUNGUpia shure yako hio itanifikisha bira sababu zozote.
thanks bro mi kwa kwel nahitaji ujasiri wa kuendelea......somo zuri sana ubarikiwe
#SeeYouAtTheTop
Kaka unanisaidi ninajifunza vitu vingine Sanaa kutoka kwako,Hakika Mungu ni mwema .Na ninaamini huu ni wakati muafaka sijachelewa na Wala sijawahi machoni pa Mungu
Kwa upande wangu ujasili wa kuvumilia maumivu daa hapa nahitaji kujitoa muhanga maananina maumivu makubwa sana ya kupotza pesa nikiyakumbuka nashindwa kuendelea naumia sana ila naamini kuna siku nita yamaliza hay maumivu na kufika nitakapo ,,,,nashukulu sana kwa hii somo imeniweka sawa kwa kiasi chake najiona naweza endelea mbele zaidi
asante sana mkufunzi, hakika ubarikiwe sana maana unasaidia watu wengi. BINAFSI NAKOSA SANA courage to start,,,, mipango ni mingi na mizuri, but shida ni ujasiri, napata shida sana.
asante sana brother #Joel Nanauka kwa chakula kizuri cha ubongo hakika Umenifunza mengi mazuri nitakuombea kwa Mungu akulinde uishi miaka mingi Amen 🙏🙏 #MimiMmasai
Shukran kaka Joel, Inshallah mungu atuzidishie ujasiri mwema ili tuweze kutimiza ndoto zetu.
Usikate Tamaa Songambele
#SeeYouAtTheTop[
Jamani Salama ! Mimi nimeanza kutuoa Elimu Maalamu ya utambuzi kama anavyofanya huyu jamaa nilianza watu 12 karibuni kwa ushauli.
@@joelnanauka naomba mawasiliano
@@joelnanauka namba yangu . 0621871063
Ahsante sana kaka kwa kwel nafuraha ya kileke najivunia kukutana na ww mambo niliyo jifuxa kwako km sitakuwa jasiri basi tena yan kupitia elimu yako ni zaidi ya utajir nimepata taya umr mrf kwako
Asante Nashukuru
#SeeYouAtTheTop
جزجز شكطا courage. To bear shame
Asante sana kaka,
Ninafurahi kupata nondo zenye ujazo mkubwa toka kwako...
Ujasiri wa kuamua
Helpfully
courage to endure the pain. asante kwa somo zuri kaka
Mm nimekatishwa tamaa sana kwenye biashara zangu
Usikate Tamaa Jaribu Tena
#SeeYouAtThetop
Thank you Nanauka wewe MTU muhimu sana ktk Taifa hili
Thank you Joel, was late to listen but I had to make it, thanks for the courage ya kusaidia zaidi, Courage ya kuvumilia is very important kwa Mimi sasa. Mungu akupe hekima zaidi
Usikate Tamaa Songambele
#SeeYouAtTheTop[
Asante sana kaka kwa elimu hii kwakwel umezaliwa kuwajenga na kuwatia moyo wengine Mungu akubariki kaka!
ujasiri wa kusimama mwenyewe halijawahi kunisumbua ,hayo mambo mengine ndio nimejifunza ,blessed broo
Vizuri Atanasi Francis
#SeeYouAtTheTop
Joel Nanauka thanks for reply broo
Mtu wa Mungu kila leo Mungu akubariki nakufatiliy sana kwa elemu yako unanipa ujasiri kila leo hasa kwa kule kitabu c ha ngvu ya mwana muke imenipa ujasiri mukubwa wakusimamiya maisha yangu
asante mwalimu mm nahitaji ujasiri wakuvumilia maumivu
haswaa 1 adi 5 ninatakiwa kuvichukulia hatua maan zote Zina umuhimu San kwangu maan ninatakiwa kuwa jasiri maali popote endapo tu jema kwangu ... Asante San kaka Joel aurth nanauka kwa kutupatia mawazo mapya ya kutufungulia mafanikio yetu hakika Ni utelekezaji tuu nifanye!!!!
Dah bro kwakweli mungu akulipe course madarasa yako ninjia ya mafanikio yangu hata hivyo Nina ujasiri wa kusimama mwenyewe kwasababu nimetengwa kwasababu ya changamoto yangu ya zamani.
Ahsante kun kit nmejifunza....hasa ujasir w kusimama pekee,ujasiri wa kuvumilia maumivu.
Ujasir wa kusimama peke yangu
Anza Leo Usikate Tamaa
#SeeYouAtTheTop
5ujasiri wa kuvumilia maumivu dah asante sana
Brava joe arthur nanauka ahsante ahsante kwa mawazo yako nina faida na ushauri wacko.Godfrey beneth
Hiiii video imenipa kitu in my life ( ujasiri wa kuendelea)........
Yani ule ujasiri wa kuanza ulinisumbua sana huko nyuma ila baada ya kuwa mwalimu joel na ona mambo yangu yanachanganya tuu hakika Mungu akubariki sana
Usikate Tamaa Songambele
#SeeYouAtTheTop[
Joel Nanauka .....apa naitafuta nguvu ya mungu..na mungu mwenyewe...., bwana akubaliki sana ..tz...mbeya...kyela..mr. Motela
Kweli joeli uko sawa kabisa ujasiri ndo k2 cha muhim see u at the top
Ujasiri wa kuendelea/the courage to continue.Mr Nanuka
nahitaji sana hiyo courage to start@joel
Ahsante sana kwa somo zuri,,,Ujasiri wa kuvumilia maumivu kuna kipindi inanishinda ila huwa najipa Moyo.SEE U AT THE TOP!
Ooh thanks njia ya tatu imenipa nguvu be blessed Joel Nanauka
Mungu mwema akulinde sana
Thanks alot brother nimefaidika
Nabarikiwa nimafundisho yako sote tunahitaji ujasiri wakusonga mbele ila ninmna gani tuende mbele ndo hatujui
Mary Hewasi Endlea Kufuatilia Mafundisho Yangu
Somo hili Ni zuri Sanaa.kaka joeli naomba lifanyie promotion zaidi hili ndo linaanza kujenga msingi wa mafanikio ya watu iwapo watalisoma
nashukuru kaka Joel yangu nianze kukusikilza we nimekuwa MTU was tofauti sana mpak wananishangaaa hapo mengi sana umenijengea ila kubwa zaidi ni kujiamini na kuwa na malengo thenks a lot ukiwa na kongamano lolote please to inform nitakuw wa kwanza kununua tiketi,,,,,,,and vitabu vyao please,,,,,
Leo umeniongelea mimi kabisa sasa naenda kuzifanyia kazi zote hizo.
Good
Joel asante sana kwa video zako kweli wewe una tia moyo watu wengi ambao wamekata Tamaa kwa ajili ya mambo tofauti tofauti, mimi pia hapa nilipo niko na changamoto ni kwamba mimi natafuta driving licence nishaenda shule ya driving lakini kila nikifanya mtihani wa pratical na feli kufikia sasa nime feli mara tatu mfululizo hata wendani wangu wameanza kuni kejeli na kuni zomea.Nahisi vibaya sana kwa hiyo naomba msaada kutoka kwako kaka joel asante sana!
I need to stand alone with my God.THANKS u so much Joel Nanauka
Ubarikiwe sana najifunza vingi kutoka kwenu naishi burundi naksikiriza san.
Naitaji ujasiri wa kuzunguza aukusema bila uoga nimekuwa muoga sana
Dah ujasir wa kuvumilia maumiv kaka ni muhmu san kwang
Asante sana mr joel una nguvu san ya ushawishi but nachohitaj ni ujasiri wa kupamba na wale vision attractors hao ndo mtihani
Kak binafs kunasehem umenitoa na kuna sehemu unanipeleka kupitia the power to stand alone. because of the knowledge I gained through I shall follow you
Ujasiri wa kuendelea aise hii kwangu ni changamoto kubwa sana inapotokea nimetaliwa na watu nahisi kukata tamaa kabisa pili ni huo ujasiri wa kusimama peke yangu nisaidie hapo 🙏
Ahsanteee kwa somo zuri kaka....limenipa nguvu sana sana..#seeyouatthetop
Thanks bro Joel... Wew Ni wapekee😍😍
Asante Nashukuru
#SeeYouAtTheTop
Aina zote za ujasiri kwangu mm ni muhimu sana,ahsante JOEL
Asante kaka yangu
Asante kaka mm nakuwerewa Sana ujasiri kwenye bishara yang mm
Mwenyezi MUNGU akubariki kaka joeli unazidi kujenga fikra zangu
nahitaji ujasiri wa kukubali aibu, nimefungua biashara na mambo yameenda ndivyo sivyo, nahitaji wa kuvumilia kiukweli, naomba msaada wako
Pole Ukowap ?
+Joel Nanauka niko Makumbusho Dar
Amina mtumish nimependa kipengele cha ujasiri cha muda mfupi
Ujasiri wa kuacha kazi ni mgumu sana
nimekosa sapoti hata kw wazazi wangu lakini stil bado naendelea kukamilisha malengo yangu.inshaalah
Dah! Kw Mamneno haya yamenigusa san ndan y moyo Wang,, mmi in moja wapo yasha nifka ,,,kw ssa umenifungua akili bro ,,asante
U give me the power to continue brother. Ingawa changamoto ni nyingi zaidi hasa pale unapokua na watu ukiamini una support nyuma lkn kumbe yakikufika una baki peke yako.
Naitaji ujasili kesho nitmize Marengo yngu
Chakula cha mafanikio ,thanks bro