ni kweli kaka joel kutoku jiamini kumenichelewesha kufikia kwenye ndoto yangu rakini kupitia somo hili linanifungua macho kumbe naweza...I CAN DO IT...AND I CAN REACH TO THE MY GOALS
Naam umenifundisha vitu vya msingi na sijawahi kujutia kuweka bundle ktk simu yangu kwaajili ya kukusikiliza kaka Joel, najiamini na ninaamini "sitabaki kama nilivyo" ahsante
Ahsante sana kaka Joel. Mim nna malengo yangu. Yapo baadhi nimeanza kufanya lakin kwa kukatishwa tamaa na watu wananifanya nisiamini kuwa nitaweza kufanya na yakawa kama vile nilivyopanga yawe. Kwa sasa naona hilo ndo tatzo langu.
Shukran Kaka Umenifundish Kitu Mi Ttzo Lngu Nina Plan Nying Sana Za Biashara Lkn Kabla Cjaanz Naanza Kupata Wasi Wasi Kwamba Ntafanikiw Kwel Si Nitapata Hasara Mwishoe Nashwimd Kuanza Ttzo Hili La Ukisef Wa Iman Lmekuw Kubw Kwngu Naitaj Sana Mawazo Na Ushaur Wko
mimi ni mama,na tangu niingie channel hii,walahi nimeona tofauti kubwa sana,yaani nilikuwa nimekata tamaa ya maisha kwamba siwezi kitu,lkn sasa mwanangu nashukuru sana,Mungu akupe afya
Kiukweli najifunza vingi kutoka kwko nimekuwa mtu ninaekufuatilia kila leo kwenye mitandao naamini naamini kwa uweze wa mungu bs nitaweza kutimiza ndoto zangu
Ndugu yangu mpka nahisi ww ni mganga maana kila ninavyo fata mafunzo yako naona matokeo Ahsante sana brother #joelnanauka ila mm nina tabia ya kutokuwa serious na jambo ambalo nataka kulifanya nitafamyaje kuacha hii hali??? Naomba msaada kaka 🙏🙏🙏🙏
Asante nashukulu mungu akuhifadhi
Gonga like hapa kama umemuelewa joel
Asante Sana nijiona mwenye furaha toka nianze kufwata unacho tufunza maishani
Kaka Joel kupitia wewe nimekuwa mtu wa tofauti Sana Asante na Mungu azidi kukutunza
ni kweli kaka joel kutoku jiamini kumenichelewesha kufikia kwenye ndoto yangu rakini kupitia somo hili linanifungua macho kumbe naweza...I CAN DO IT...AND I CAN REACH TO THE MY GOALS
Kabisa kaka Joel,maisha yang hakuna anaeamin, ila mimi nasema nitajatoka ktk maisha haya kwakua naamin ktk uwezo wang,,,, tuko pamoja
Duuuuuuu!!!!!sijapoteza mda wangu kbs
Naam umenifundisha vitu vya msingi na sijawahi kujutia kuweka bundle ktk simu yangu kwaajili ya kukusikiliza kaka Joel, najiamini na ninaamini "sitabaki kama nilivyo" ahsante
Unaelimisha sanaa bro big up
Kaka yani nakuombea uishi maisha marefu. Huo ulio nao ni zaidi ya wito.unafundisha uhalisia kbs. Nakupenda sana mwl wangu.
Shukran Sanaa kwa dozi unazotoa ni Babukubwaaa thank you brother
Amen kakaa,naaid najiamn kuanzia leo
Ahsante kwa mafunzo mazuri
Mungu akubarik sana
Kaka somo zuri sana hili ahsante kwa kunisaidia.
Asante sana kaka Joel kwa hakika unazidi kunikomaza kiakili na naamini nitafika mbali.
Asante kaka Joel.
Nasumbiliwa sana na hofu
Mungu azidi kukuzidishia hekma pamoja na fikra bro
Ahsante sana kaka Joel.
Mim nna malengo yangu. Yapo baadhi nimeanza kufanya lakin kwa kukatishwa tamaa na watu wananifanya nisiamini kuwa nitaweza kufanya na yakawa kama vile nilivyopanga yawe.
Kwa sasa naona hilo ndo tatzo langu.
Mungu akutunze bro
kila ulichoongea hapo ni perfect brother kwa asilimia mia
Ahsante sana kaka Joel kwa ushari wako,be blessed
Ahsante sana broo kwakuzd kutuelimisha nakututia nguvu zaid zakusonga mbele god bless you
👏👏👏 kaka joel topic ya leo imenigusa sana naamin siku moja nitakuwa pale ninapopafikiria magumu mengi nayapitia lkn sijakata tamaa naamin ninawezaa👏👏👏
👏👏👏
Shukran Kaka Umenifundish Kitu Mi Ttzo Lngu Nina Plan Nying Sana Za Biashara Lkn Kabla Cjaanz Naanza Kupata Wasi Wasi Kwamba Ntafanikiw Kwel Si Nitapata Hasara Mwishoe Nashwimd Kuanza Ttzo Hili La Ukisef Wa Iman Lmekuw Kubw Kwngu Naitaj Sana Mawazo Na Ushaur Wko
Joel joel joel kka Daaah una nigusa sana maisha yang i really love u broo
Bro nashukulu sana munguakubariki kunakitu kikubwa umekifanya kwenye maisha yangu
Asante na Mungu azidi kukubariki. Naamini imani ndiyo dawa ya kila kitu!
saizi naamini nacho kifanya na nitafika mbali kwa uwezo wa mungu
Kaka Joel nimekuwa mtu wa tofauti sana tangu nimekusikiliza. Nimefungua Non government organization naomba unisaidie njia ya kuendesha organization.
Asante Kaka unazidi kunipanuaakili
mimi ni mama,na tangu niingie channel hii,walahi nimeona tofauti kubwa sana,yaani nilikuwa nimekata tamaa ya maisha kwamba siwezi kitu,lkn sasa mwanangu nashukuru sana,Mungu akupe afya
Bro nashukuru kwa mafundisho yako mazuri
Tatizo ...Watu..tuko..tofauti...kwamaamuzi...Nafrikra..
Asante bro najiamini Kwanziya leo
Kiukweli najifunza vingi kutoka kwko nimekuwa mtu ninaekufuatilia kila leo kwenye mitandao naamini naamini kwa uweze wa mungu bs nitaweza kutimiza ndoto zangu
asante kaka mwenyezi mungu amfanyie wepesi kwakila jambo uzidi kutuelimisha😘
Ahsante kaka ninandoto nyingi na ninataka kuanzisha na kufanya mambo makubwa naomba kuwasiliana nawe
asante kaka unazid kunisaidia ku boost congruence yan.....
Bro! Wewe ni life coach wangu kwa kila iitwapo Leo👊👊
Safi Sana bro.
Napenda sana kujiamini,lakini huwa nakuwa na hofu kubwa,nakuwa nahisi nikifanya kitu Fulani,ntachekwa
Amina kaka ...Mimi ninauwezo
Asante saana kaka
Vidéos zako zinaninga
Zinanîjenga.....nimeandika vibay
Kwenye Eneo la Biashara yangu
True..kujiamini ni kitu muhimu sana katika maisha...great content
asante sana kaka
bro Joel Yesu akuhifadhi daima
Hakikia bro Joel hatua ya tatu kiukwel nimeptia sana
daaah nimekuelewa kaka asante
Asante Sana Ni Zaidi ya darasa
Some hili linamenipa nguvu sana
Kaka UBARIKIWE SANA KUPITIA HUDUMA HII TUNABARIKIWA SANA
yea ni kwelii kbx broo %
Tuko pamoja kaka,tunazidi kuimarika kwa elimu yako.
Naamin sana ninacho kifanya
Kabisa bro 👍
Asant my brother mimi nimfa biashara mdogo wa mitandio ila wana nambia napoteza pesa
Ndugu yangu mpka nahisi ww ni mganga maana kila ninavyo fata mafunzo yako naona matokeo Ahsante sana brother #joelnanauka ila mm nina tabia ya kutokuwa serious na jambo ambalo nataka kulifanya nitafamyaje kuacha hii hali??? Naomba msaada kaka 🙏🙏🙏🙏
Sanaaa
Nakupenda kaka
umenipa ujasiri kaka
Hofu ya kufeli au kuachwa au kuumizqa mpaka inanifanya nashindwa kuendelea
Thanks bro for educate us,I just want to be motivation speaker but I don't know how to start
Daaah nakuelewaga sana kka love u
Totally true, big up Joe
Naomba mawasiliano yako kaka
Asnt kaka
Kazi njema.
KAKA JOEL NAKUELEWA SANA KATIKA SHULE YAKO YA MAISHA , NAHITAJI MAWASILIANO YAKO ILI NIKUTAFUTE
Asantee Sana
Good brooo
Ubarikiwe sana
Respect brother
Ubarikiwe kaka
naamaini katika self confidence. ndio kikwazo
Me natamn kufnya biashara...lkn tatzo n cjiamin. Kufanya peke angu...mpk nfanye collabo na wtu..nifanyeje I want to stand on myself
Kaka sina la kusema hila ubarikiwe sana but I promise myself to day and always nitakua vile ninavyotaka
sawa kaka
Siamini kuhusu kuanzisha campuni yangu mwenyewe
Dah kweli kabisa
Be blessed brother
tungepata mawasiliano mfn watsp kunavitu twahitaji kusaidiwa ila hatuwez zungumzia kwenye comment tupatie namb watsp kaka utusaidie Kwa kina
Kweli umeongea 👍👍
Nikweli kwenye comment hatuwezi kuuliza kila kitu
Benjamini Gwaku kweli benjamin umeongea
0718903195
simple eka namba yako kama hivo afu muombe mwalimu akutafute private... hii huenda ikawa rahisi kidogo😁😁
Asante Kaka👏👏👏
Sasi sana
kaka Mimi si kusoma .
shabiki wako , nakukubali sana nahitaji kitabu chako nitakipataje? nipo dar buguluni.
Dah,so emotion lesson bro
Safi
Kupitia mada ya leo nimejifunza kitu ila kunasehemu nakwama
ni kwel brother
Mbna iki chakula umetupatia jioni Kaka , ??
Thanks bro that's true..🙏
Nice
nisaidiye namba ya whathat itakuwa vizuri zaidi
Naamini
yani kaka umenibadilisha sana kiakili na marifa
kweli kabisa kk
Kiukweli napata ufaham Mkubwa sana pindi ninapokuskiliza bro
thank you so much brother Joe.😁
Hiyo ya point ya pili imenigusha unga na group itakuwa nzri
Mm naitwa ramadhan abirah niko masasi mkoa Wa mtwara Je nakipataje kitabu cha timiza malengo na sh ngapi?