Yes I was rejected with everyone including my parents and even Rose told me I can't have a man as you because you're poor but today I have my own school in Johannesburg,South Africa. I'm Tanzanian.
Binadamu tuna thamani kubwa sana.Mungu anatupenda tujibidishe kutumia uwezo tulionao kwa mafanikio yetu.tusome sana vitabu ili tuongeze maarifa na ujuzi.heshima kwako Joel nanauka kukataliwa kusitukatisha tamaa.ni Hosea hapa na vile vile ni inspirational speaker pia.
The best revenge you can give in life is massive success!! Kaka Joel hakika unanifungua akili kwa kias kikubwa sana.Ningependa nkutane na wewe kwa ushauri zaid wa kimaisha
Asante sana nashukuru sana Joel umefanyika baraka sana katika maisha yangu na kusudi la kuletwa wewe DUNIANI ni kubwa sana. Naamini Africa inakwenda kupata mabadiliko makubwa sana kupitia wewe.
tukopamoja toka mda mrefu sana mimi nakufatilia sana masomo yako Mara kwa mara tupoweng sana lakin hatuvum kwenye kucomment ndio maan baadhi yetu tunakufuatilia t
Dah.. Asante bro na ubarikiwe.. Kwa upande wangu niliwahi kukataliwa na mpenz na nikaweza gundua kipaji changu cha kuwa makeup artist na sasa naendelea kupambania ndoto yangu... Naamini nitafikia malengo makubwa mnoo
Mm dada wa3 na mkubwa wng namuishi sana mm simtokaji ovyo nimeshika dini vzr.najiishimu.kikubwa kinacho niuma nimeshindwa kujizui ndio nasema.nihivi mkubwa wng daima yuwanipa laana yuwasema mungu atakulani maisha yte mpaka nife yaniuma sijamkosea nna adabu ya hali ju sayote yuwaniliza
Much respect bro, nilianza kuku sikiliza kwa radio#Clouds, kipindi Sina smartphone nilitumia note book kunote madini #For now I can react to different things in a smart way
nimeshakataliwa kazini.na Boss wangu akasema mimi siwezi kufanya usimamizi wa ofisi yake lakini nilipo noa usimamizi vizuri basi akaniamini na kuniona bora kuliko hata yeye
Wewe kipaji unacho kama unamkubali Joel kama mm au zaid ya mm please gonga like yako!!
Asante Kujifunza Na Usiache Kujifunza.Kama Bado Haujasubscribe Channel Hii Fanya Hivyo Sasa.#SeeYouAtTheTop
Joel ni talented and gifted
Tunabishana kwa vitendo now days
Mathias vicent yuko vzr sana
Ni kweli nimeshakatalíwa sana
Yes I was rejected with everyone including my parents and even Rose told me I can't have a man as you because you're poor but today I have my own school in Johannesburg,South Africa.
I'm Tanzanian.
Baba yangu Mungu akutunze daima, kwauwezo wa Mungu unasaidia nyoyo za watu wengi barikiwa sana kipenzi cha watu
Am so inspired with this person, be bless
Be Blessed Too.Thanks For Your Support.Help Me To Share My Video & Please Do Not Forget To Subscribe
#SeeYouAtTheTop
Asante kaka JOEL. nazidi kukomaa kiakili kwa Elimu unayonipa Mungu akusimamie kwenye maisha yako. Inshaallah
Asante Kujifunza Na Usiache Kujifunza.Kama Bado Haujasubscribe Channel Hii Fanya Hivyo Sasa.#SeeYouAtTheTop
Nimekataliwa yakutosha Joel na Asante kutujulisha canzo God bless you
Ahsante sana ubalikiwe najifunza mengi kupitia kwako pia unanifungua naendelea kuona zaidi sante sana mwalimu 🙏
Asante kaka Jo. Nimeelewa sana Mimi ni muhanga wa kukataliwa sana. Lkn kweli nitawaonyesha nikiwa pamoja na mungu. God bless u
Rehema Bonza Ameen kabisaa
Usipigane kwa maneno,Pigana kwa vitendo ktk maisha......Utafika mbali
Asante Kujifunza Na Usiache Kujifunza.Kama Bado Haujasubscribe Channel Hii Fanya Hivyo Sasa.#SeeYouAtTheTop
@@joelnanauka Siku hizi unatupa moyo sana tunavyo comment na kutujibu kama hivi tunajisikia amani sana
Ni kweli iyo clip ilinisaidia Sana nilipoachwa,kwa Sasa Niko sawa,Asante Joel pokea baraka🙏🙏
Binadamu tuna thamani kubwa sana.Mungu anatupenda tujibidishe kutumia uwezo tulionao kwa mafanikio yetu.tusome sana vitabu ili tuongeze maarifa na ujuzi.heshima kwako Joel nanauka kukataliwa kusitukatisha tamaa.ni Hosea hapa na vile vile ni inspirational speaker pia.
Mungu azidi kukubariki sana coach Joel kw mafundisho yko 🙏🙏...yana...gusa...wtu ..n...kubadilisha...muelekeo wa... maisha asante...
The best revenge you can give in life is massive success!! Kaka Joel hakika unanifungua akili kwa kias kikubwa sana.Ningependa nkutane na wewe kwa ushauri zaid wa kimaisha
Asante Kujifunza Na Usiache Kujifunza.Kama Bado Haujasubscribe Channel Hii Fanya Hivyo Sasa.#SeeYouAtTheTop
Fantastic thanks brother ulikuwa,umekuwa na utakuwa Mwalimu wangu ila sikumoja mpka tuonane kijana wangu upo vizur sana !
Asante Kujifunza Na Usiache Kujifunza.Kama Bado Haujasubscribe Channel Hii Fanya Hivyo Sasa.#SeeYouAtTheTop
Mungu akubariki Kakangu nikama mungu ameona hii message ifike kwangu leo ili nipone asante kwa kunifunguwa macho yangu
Janet Saidi nashukuru kwa mrejesho,Mungu atakusaidia utavuka salama kwa ushindi mkubwa
Asante sana nashukuru sana Joel umefanyika baraka sana katika maisha yangu na kusudi la kuletwa wewe DUNIANI ni kubwa sana. Naamini Africa inakwenda kupata mabadiliko makubwa sana kupitia wewe.
Asante Kujifunza Na Usiache Kujifunza.Kama Bado Haujasubscribe Channel Hii Fanya Hivyo Sasa.#SeeYouAtTheTop
Thanks kwa somo zuri be blessed
Thanks For Your Support.Help Me To Share My Video & Please Do Not Forget To Subscribe
#SeeYouAtTheTop
Shukran kwa somo Mwalimu Nanauka
chris massawe karibu sanaaa
Somo nzuri .asante mada ya nne nitazingatia kwa kweli,
Asante sana kwa somo , ndo hali napitia kwa sasa lkn naiman ipo sehemu Mungu kaniandalia
Shukrani sana Allah akubariki hatamimi nimepitia hiyo khali .
Ubarikiwe sana Kaka Joel,
Ubarikiwe Pia Rafiki
shukran sana bro
Asante Kwa Support Yako
Naomba Unisaidie Kushare
#SeeYouAtTheTop
Ahsante sana kwa mafunzo yako. Kipaji ninacho nadhani nahitaji kukinoa zaidi ili niweze kuki-expose kwa kujiamini na kuninufaisha vzuri.
Ahsante naendelea kujifunza mengi kupitia wewe ubarikiwe sana
Ubarikiwe Pia Rafiki Yangu
Naomba Unisaidie Kushare Video Hii Na Kusubscribe Channel yangu
#SeeYouAtTheTop
Ujumbe mzuri sana Kaka Mungu nimwema sana
Asante Kwa Support Yako
#SeeYouAtTheTop
na Mimi nimmoja wao salio kataliwa nakuona mimi cfai kwasasa nashukurur mung maan mm sifananinao kimawazo kifikra na kimafanikio pia
Asante Kujifunza Na Usiache Kujifunza.Kama Bado Haujasubscribe Channel Hii Fanya Hivyo Sasa.#SeeYouAtTheTop
tukopamoja toka mda mrefu sana mimi nakufatilia sana masomo yako Mara kwa mara tupoweng sana lakin hatuvum kwenye kucomment ndio maan baadhi yetu tunakufuatilia t
Dunia inamitihan ila nitakutafuta unielekeze Kwa ufasaha zaid
Asante Kujifunza Na Usiache Kujifunza.Kama Bado Haujasubscribe Channel Hii Fanya Hivyo Sasa.#SeeYouAtTheTop
Halleluyah Halleluyah nimegundua kuwa natakiwa kunoa kipaji zaidi (Zaburi 119:121-128,165)
Kazi nzri kk
Yussuf Mbuko nashukuru sanaa
Heshima yako mkuu, nimekuelewa vzr sana.
Asante Kujifunza Na Usiache Kujifunza.Kama Bado Haujasubscribe Channel Hii Fanya Hivyo Sasa.#SeeYouAtTheTop
Dah ndg yangu nime subscribe muda mrefu sana darasa zako zinanisaidia sana kaka kiukweli nashukuru sana.
Asante sana kwa somo nzuri
Nikwr Mimi imenitokea sana naleo nilipo nimepata mazur zaidi nikwr kabisa
Asante Kujifunza Na Usiache Kujifunza.Kama Bado Haujasubscribe Channel Hii Fanya Hivyo Sasa.#SeeYouAtTheTop
Safi sana mwalimu wangu
Asante Kujifunza Na Usiache Kujifunza.Kama Bado Haujasubscribe Channel Hii Fanya Hivyo Sasa.#SeeYouAtTheTop
Broo kukataliw kumenifanya nigundue kipaji changu cha kuimba na sasa ni mwanamuziki nmetunga nyimbo y napambana, na never give up
#SeeYouAtTheTop
Ni ukweli kaka yanatokea sna katika Jamii thanks brow
Mungu akutunze joel
Upo sawa Kabisa Mkuu
Nakukubari ndugu yangu vizuri Sana unanipa moyo
Thanks Too
#SeeYouAtTheTop
Ahsante sana kwa somo safi,im proud of u,May God bless u
SEE U AT THE TOP!
Blessed Too
Please Suscribe My Channel & Share My Videos
#SeeYouAtTheTop
Dah.. Asante bro na ubarikiwe.. Kwa upande wangu niliwahi kukataliwa na mpenz na nikaweza gundua kipaji changu cha kuwa makeup artist na sasa naendelea kupambania ndoto yangu... Naamini nitafikia malengo makubwa mnoo
Kwa kweli Ni SoMo zuri sana na linatia moyo wa kuendelea
Ubarikiwe sana
Ally Mchume Ameeen
Nakukubal sana br mungu akubari
Ni kweli kabisa asante
Bora walinikataa, walinisaidia kufata njia sahihi ya mafanikio yangu. Rejection brings redirection🎉
So much appreciation to you Nanauka, i learn alot from you🙌🙌🙌🙌
Thanks For Your Support.Help Me To Share My Video & Please Do Not Forget To Subscribe
#SeeYouAtTheTop
@@joelnanauka 0
Brother uko vizuri endelea kutupatia vitu kama ivo
Shukran kwa somo zuri kaka
Asante Kwa Support Yako
Naomba Unisaidie Kushare
#SeeYouAtTheTop
Shukran 🙏
Asante mpendwa nimejifunza mengi
Asante Kujifunza Na Usiache Kujifunza.Kama Bado Haujasubscribe Channel Hii Fanya Hivyo Sasa.#SeeYouAtTheTop
@@joelnanauka kitambo sana kaka
Nimepata kitu hapa
#SeeYouAtTheTop
Asante kaka joel mungu akubarik sana
Mm dada wa3 na mkubwa wng namuishi sana mm simtokaji ovyo nimeshika dini vzr.najiishimu.kikubwa kinacho niuma nimeshindwa kujizui ndio nasema.nihivi mkubwa wng daima yuwanipa laana yuwasema mungu atakulani maisha yte mpaka nife yaniuma sijamkosea nna adabu ya hali ju sayote yuwaniliza
Bigup broo. Hakika unaongea kiu halisia💪💪
Good massage Mr Joel
Massive success...💪
#SeeYouAtTheTop
Nakuelewa vizuri kaka
Shabani Magogo karibu sana na nisaidie kushare na wengine
Asante kaka darasa lako siachi kuingia ili nisome kitu kipya nizidi kupiga hatua
Thanks Teacher be bless
Thanks Too
#SeeYouAtTheTop
Ni kweli kka unasom zuri sana unatufungua wengi akili zetu
Ohhh Yes boss God bless you
Much respect bro, nilianza kuku sikiliza kwa radio#Clouds, kipindi Sina smartphone nilitumia note book kunote madini #For now I can react to different things in a smart way
Thanks For Your Support.Help Me To Share My Video & Please Do Not Forget To Subscribe
#SeeYouAtTheTop
You are welcome #Subscribed
Nimekataliwa Na mademu wengi sana mpaka sasa nimeamua huu mwaka nataka kuoa kabsa niachane Na uzinzi
Phanuel Paul hahahaha
Na Mimi ni muhanga wa iyo mungu akubaliki nitaonyesha kuwa mungu wetu halali
Mm nimewahi kukataliwa Na hapo umenifumbua kidogo we acha tu joel
Fatoma Eid karibu sana,tushare na wengine
I like you Brother Joel Nanauka
Asante kaka yangu
Kila mafunzo yako utadhani unaniongelea mm kaka na ndomana nakufuatilia sana ubarikiwe sana
Nzuri pia.
JOEL KAKA WEWE SIO WA SAYARI HII
Thank you Kaka JOEL.
Thanks Too
#SeeYouAtTheTop
Broo nakukubali mafundisho yako yanijenga nimejifunza vingi kweli naomba namba yako ya simu kunaushauli binafs nahitaji kutoka kwako nitashukuru
kaka Mimi nilikataliwa mda fulan,lkn kwa huo ujumbe nimeona mwanga mbeleni
Joel be blessed my brother
Asante Kwa Support Yako
Naomba Unisaidie Kushare
#SeeYouAtTheTop
Kaka Joel umenigusa Leo nimetoka kukataliwa na Bos kisa nimefanya Kaz hajaipenda anasema cwez
Asante Kujifunza Na Usiache Kujifunza.Kama Bado Haujasubscribe Channel Hii Fanya Hivyo Sasa.#SeeYouAtTheTop
Nashukuru sana mi nakufatilia kila Sikh asubuhi lazima nijifunze kitu toka kwako
nimeshakataliwa kazini.na Boss wangu akasema mimi siwezi kufanya usimamizi wa ofisi yake lakini nilipo noa usimamizi vizuri basi akaniamini na kuniona bora kuliko hata yeye
Hakika najifunza daima bro
Asante Kwa Support Yako
Naomba Unisaidie Kushare
#SeeYouAtTheTop
Nmejkta napg ad makofi nmefarika mñooooo bro Mungu akupe maono Zaid
thanx i will join in your class
Rejection is redirections
Thanks For Your Support.Help Me To Share My Video & Please Do Not Forget To Subscribe
#SeeYouAtTheTop
namba 4
Kwa jinsi unavyo nijenga"asante" nishindwe mim tu kuelekea kwenye mafanikio
Asante Kujifunza Na Usiache Kujifunza.Kama Bado Haujasubscribe Channel Hii Fanya Hivyo Sasa.#SeeYouAtTheTop
Kweli kaka
Upo saw kak unayo sema
Thanks u so Much....
Thanks Too
Daaah thanks bro there is need to get more skills for massive success in my life
Thanks For Your Support.Help Me To Share My Video & Please Do Not Forget To Subscribe
#SeeYouAtTheTop
Point mkuu naona najikuta narudia rudia apa mwisho
Ukweli mweupe
Kweli kaka hatamimi yamenikuta.nimekataliwa .lakini imekuea kheri kubwa
Asante Kujifunza Na Usiache Kujifunza.Kama Bado Haujasubscribe Channel Hii Fanya Hivyo Sasa.#SeeYouAtTheTop
Naitwa kashindi Kasukulu nakataliwa na kuchukiwa na watu
Nimependa NA limetia nguvu somo hili
Asante Kujifunza Na Usiache Kujifunza.Kama Bado Haujasubscribe Channel Hii Fanya Hivyo Sasa.#SeeYouAtTheTop
Nmebadilishwa sana an masomo yako nahtaj vitabu vyako nsaidie kuvipata
kweli kaka namm ata kwangu ishatokea ila ww kichwa
Asante Kujifunza Na Usiache Kujifunza.Kama Bado Haujasubscribe Channel Hii Fanya Hivyo Sasa.#SeeYouAtTheTop
Asante
Ubarkuwe sana kaka,,,unaipa majbu mazuur kW izi video zako,,,
Ubarikiwe Pia Rafiki Yangu
Naomba Unisaidie Kushare Video Hii Na Kusubscribe Channel yangu
#SeeYouAtTheTop
Brother keep it up cause. You help negative minds to perish.
Thanks
Thanks Too
#SeeYouAtTheTop
Well said, Joel. God Blessing
Blessed Too
Please Suscribe My Channel & Share My Videos
#SeeYouAtTheTop
Keep it up joh
Nilikataliwa kazini nikajiajiri, kwasasa naona mafanikio
#SeeYouAtThetop
@@joelnanauka Ahsante Sana Mkuu
Nilikataliwa nikajitahidi kusoma baadae nikaongoza mitihani yote
#SeeYouAtTheTop
Thank you
#SeeYouAtTheTop
Ila kukataliwa kunauma sana asikwambie mtu!!
UMENIFANYA NIWE NAJIAMINI KATIKA MAMBO YANGU NA MBELE ZA WATU NKIWA NAONGEA.🙏