SHEKH DIWANI ASOMESHWA TENA//ALETA TAFSIR YA UONGO//Ust. Baqir@ABJAD ACADEMY

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 3 янв 2025

Комментарии • 70

  • @YahyaYahya-vp2pp
    @YahyaYahya-vp2pp 13 дней назад +1

    Allah akuhifadhi ndugu yangu

  • @twaibumikidadi7377
    @twaibumikidadi7377 14 дней назад +1

    DIWAN KUJIFANYA MSOMI WA SARF CJUI NAHW KUMBE AMESOMA HAJAELEWAA SASA
    JAZAKUM ALLAHU KHAYRAN SHEKH

  • @seifsaid9905
    @seifsaid9905 14 дней назад +2

    YEYOTE ANAE SEMA KUWA DIWAN YUPO KATK HAK BAS MTU HYO YUPO KISHABIK NA S KUTAKA LADHI ZA ALLAH

  • @AbbasFadhiliAbdallah
    @AbbasFadhiliAbdallah 14 дней назад +1

    Tulishamuelewa Muhammad Bachu vzr sana, Yusuf Diwan ni mlaghai ktk dini . Njaa mby sn

  • @iddimutua420
    @iddimutua420 14 дней назад +4

    A.aleikum
    Muacheni Yussuf Diwani kila akishindana ndio anazidi kua ubao wetu sisi tunasomeshwa na Sheikh letu au mwalimu wetu M.bachu.
    Diwaniiiiieee usikubali kirahisi shikilia hapohapo.Shiekh Bachuee endelea kumtumia kumtumia kama ubao ili sisi tustafidi inshaAllah.

  • @samirrubeya2379
    @samirrubeya2379 12 дней назад +1

    Mganga Yusuf Diwani anaonekana mweupeee kila akiinuwa kinywa chake...

  • @HassanIddy-v1b
    @HassanIddy-v1b 14 дней назад +3

    Namshauri yusufu diwani aende akagombee udiwani bado ajachelewa kwenye dini huku haweziiii😅😅😅😅😅😅😂😂😂😂

    • @geographicalworld1994
      @geographicalworld1994 14 дней назад +1

      😅😅😅

    • @RamadhaniShembilu-l1e
      @RamadhaniShembilu-l1e 14 дней назад

      Hahahahahaa 😂😂😂 kweli kaka yani kilasiku anazidi kudidimia

    • @RamadhaniShembilu-l1e
      @RamadhaniShembilu-l1e 14 дней назад

      WALLAHI KATKA SIKU NIMECHEKA NILEO, KUMBE MTU AKISEMA UONGO HALI ANAJUA ANABABAIKA ANATOKWA NAJASHO ILEMBAYA YANI HADI NIKACHEKA KWASAUTI, YANI HATA MKIRISTO ANAJUA KWAMBA YUSUFU DIWANI ANATULISHA MATANGOPORI HAPA

    • @RamadhaniShembilu-l1e
      @RamadhaniShembilu-l1e 14 дней назад

      Kaka alla azidi kukupa afya uzidi kubainisha naomba uangalie yaleo kisha UJE umuwekesawa, manake naona jasho lamtoka hadi kanzu imeloa naikiwa yupo kwenye ic

    • @HassanIddy-v1b
      @HassanIddy-v1b 14 дней назад

      Hahahaa😂😂😂😂 diwani kalikoroga sharti alinywe😊😊😊😊😊

  • @geographicalworld1994
    @geographicalworld1994 14 дней назад +3

    Diwani anadhalilika wallahi😅😅😅

  • @YaziduIddy-u7p
    @YaziduIddy-u7p 14 дней назад

    Yani kila mkiona neno rabbi mnachanganyikiwa kabisi

  • @geographicalworld1994
    @geographicalworld1994 14 дней назад +2

    Jamani watu wa kigoma ni wagumu kuelewa (Baadhi yao kama Diwani)

  • @mohagurey2214
    @mohagurey2214 14 дней назад +2

    Angekuwa anazijibu maswali aloulizwa labda angeona haqi, lakini shida yake ajifanya hajaona maswali elfu aloulizwa na Mohamed Bachu

  • @khamismussa6258
    @khamismussa6258 14 дней назад +1

    Ati tango pori,masheikh tumieni maneno mazuri

    • @zuberimussa5508
      @zuberimussa5508 14 дней назад +1

      Diwani anakera hasa maana kichwa chake KIMEBANA, sijui wewe ndugu yangu nako uko hivo?

  • @issaabdallah1205
    @issaabdallah1205 14 дней назад +2

    Diwani hataki dini diwani ni muhubiri wa ushirikina tu na ndo maana tauhidi uluhiyya hawaitaki ...

  • @feizalmas
    @feizalmas 14 дней назад +1

    Sheikh diwani ni mwalimu Bora sana na mwenye elimu. Acheni porojo Mawahabi muogopeni ALLAH

    • @seifsaid9905
      @seifsaid9905 14 дней назад +1

      Kwa ushaid up anaotumia hta Kwa wema walio tangulia hasomi MANENO ila ni MATUS tu TAILA hyo

    • @OmariOmari-y8h
      @OmariOmari-y8h 14 дней назад +2

      Kwa ubora hana ukinambiya diwani nimshirikina hapo ntkuelewa

    • @sahabatwalbu9586
      @sahabatwalbu9586 14 дней назад

      ​@@seifsaid9905ushahidi ni hadithi za mtume anazo soma wapi hawa washirikina wenzio wanathibitisha hizo tauhid 3 kwa hadithi ya mtume kama sio upumbavu ulio wajaaa vichwani

    • @sahabatwalbu9586
      @sahabatwalbu9586 14 дней назад +1

      ​@@OmariOmari-y8hkwakua kichwa chako kipo kama mfuniko wa mwili unahaki ya kusema hivo

    • @samirrubeya2379
      @samirrubeya2379 12 дней назад +1

      Labda Uganga

  • @samirrubeya2379
    @samirrubeya2379 12 дней назад +1

    Mpaka kafunga comments

  • @matendupiterngoge8707
    @matendupiterngoge8707 14 дней назад +1

    Diwani mganga hawezi kukubali hata mara Moja mganga na qoran na hadithi niwapi na wapi kaenda Oman kutafuta wateja wa kuagua ili apate pesa nae aonekane kua anamaisha mazuri Kumbe mganga

  • @nabiljumaothman5912
    @nabiljumaothman5912 14 дней назад

    Camera yako hapo vzr sauti ipo nyuma ya kitendo

  • @mohagurey2214
    @mohagurey2214 14 дней назад

    Sheikh Yusuf Diwani hajawaji kosea kamwe

  • @hassanmohamedlaizer569
    @hassanmohamedlaizer569 14 дней назад +1

    Ktk Hali na mazingira kama haya anaibika kweupee😂 . .. mganga mzee wa matango. Pori😂😂

  • @rashidjuma9169
    @rashidjuma9169 14 дней назад

    Nimridi alikuwa na tawhidi gani?

  • @feizalmas
    @feizalmas 14 дней назад

    Sasa ww umekiri unafaidika na elimu ya balagha na umekuri ni mwalimu wako. Acha kutumiwa na mawahabi muogope ALLAH

  • @HamisiJob
    @HamisiJob 14 дней назад +1

    Hapa ndipo mnapomuumiza kichwa Yusuf diwani anapata tabu adili na wew kukujibu au aendelee na bachu 😂

  • @issaabdallah1205
    @issaabdallah1205 14 дней назад +1

    Mawahabi wanafunuwa vitabu vya maulamaa wakongwe kabisa na kuwasomesha watu tafsiri sahihi ya qurani Diwani adanganya watu kwa sababu diwani hataki dini ....

  • @ibbu-tz
    @ibbu-tz 13 дней назад

    😂😂

  • @feizalmas
    @feizalmas 14 дней назад

    Uje mtu asie kua na akili timamu kwenye mada ya tauhid 3 ndio atafata tauhid 3. Mwenye akili timamu na muelewa anapofundishwa hawezi kufata tauhid 3. Sheikh diwani ALLAH Allah kampa elimu kubwa. Acheni kupotosha watu

  • @ahmadSeif860
    @ahmadSeif860 14 дней назад

    Wala sheikh yussud diwan hapotez muda kumjibu mpumbavu huyu wa kikatolik, anashoboka tu, hamna ktu apo

  • @ahmadSeif860
    @ahmadSeif860 14 дней назад

    Eti munamjadili sheikh diwa kwamba amefunga comments!!! Kwani alowambia nani kwamba ili uwe sheikh mpk upewe comment na wajinga kama hawa? Kafunga comments kwasababu ya matusi yenu makafir wa kiwahabi, ww kama una hojanae namba yake ya cm imewekwa pale chukua na umpigie nasio umtukanae ktk comments, makafiri wa kiwahabi ninyi

  • @ahmadmzoa74
    @ahmadmzoa74 14 дней назад +2

    Yusuf amefunga comments, hii ni kuonyesha hana uwezo wa kukabiliana na ukweli dhidi ya madai. Tunamnasihi aachane na matusi, kejeli na uwongo.

    • @MB-yq3ty
      @MB-yq3ty 14 дней назад

      Yusuf Diwan hafanyi uchambuzi wa kina yeye anachojali ni kwamba ionekane kajibu amemparuza mtu haraka haraka khalas. Amefanya uadilifu au hajafanya yeye hilo hana haja.

    • @sahabatwalbu9586
      @sahabatwalbu9586 14 дней назад +1

      Kati ya yusuf kufunga comment na hii mbwa yako inayo futa comment za watu wengine lipi bora tumia akili kufikiria usitumie kichwa kama makalio

    • @ahmadmzoa74
      @ahmadmzoa74 14 дней назад

      @sahabatwalbu9586 Sikulaumu,matusi ndo majibu ya watu wenye wasiojua kitu, wasijitambua. Pole sana kwa kukosa malezi mema. Vumilia.

    • @MB-yq3ty
      @MB-yq3ty 14 дней назад

      @sahabatwalbu9586
      Matusi ndo Sunna kwako eti?

    • @ahmadmzoa74
      @ahmadmzoa74 14 дней назад

      @sahabatwalbu9586 Matusi ya nini ndugu yangu? Ukiwa huna kauli au hoja nzuri kwani lazima useme??? Pole kama umeumia vumilia. Upo huru kutoa hoja ila nnakunasihi usipende kutukana kwani matusi ni laana.

  • @sahabatwalbu9586
    @sahabatwalbu9586 14 дней назад

    Hio ni hadithi ya mtume ndio kafundisha huo upuuzi wako wa imani 3 (tauhid 3) kama miungu ya kikiristo?? Tunataka mafundisho ya mtume katika hizo tauhidi 3 acha ukafiri wako wewe mkatolic mchanga

  • @darajanida
    @darajanida 14 дней назад +1

    yani tumdharau yeye kwakuwa nyinyi mawhabi muna nini rabda kejeli tu

    • @HamisiJob
      @HamisiJob 14 дней назад +1

      @@darajanida lazima tumdharau si ni mganga,tapeli Kaz kuwaibia waislam na Dua zao za uongo na elimu zao za mchongo Sasa anadhalilika mpk kiama ndio maana mashekh wenzie hawaingilii wanajua kaisha chafua Hali ya hewa

    • @darajanida
      @darajanida 14 дней назад +1

      @HamisiJob sasa waingilie kwa hoja hani mnaoyowa mawahabi zaid ya porojo tu tauhid tatu ni bidaa dhwalala kama imethibit leten naswi basi tushachoka porojo

    • @HamisiJob
      @HamisiJob 14 дней назад +1

      @@darajanida mfano wa anaetaka nasw ya tauhid kugawanyika ni mfano wa anaetaka dalili ya shart za swala mtume aseme

    • @sahabatwalbu9586
      @sahabatwalbu9586 14 дней назад

      ​akileta ushahidi utaniambia niko pale nimekaaa hawa hawajui wanacho sema ni kama kasuku wanasema wasilo lijua kwakua lengo nikuuvuruga uislam

    • @HamisiJob
      @HamisiJob 14 дней назад

      @@sahabatwalbu9586 Kama asivyoweza kuleta mtu nasw inaonesha mtume kasema mashart ya swala kadha,nguzo za hija kadha,ndivyo ambavyo huwez kuleta Aya au Hadith inayosema wazi tauhed imegawanyika isipo kuwa kanuni na misingi ilotumiwa na wanawachuoni kutaja nguzo za swala,Sunnah za swala,mashart ya hija nguzo za hija,ndizo zilizotumiwa na wanawachuoni nakutujuza ya kuwa tawheed imegawanyika ktk sehem tatu NA HILI UWEZI LIJUA KAMA UJAELEWA NINI MAANA YA MUJITAHIDUUN KTK USUL AL FIQH NA IPI KAZ YAO KTK MAASAL YA IJMAAA,AU KIYASI AU ISTNBAATW lazima utaona dini inaharibiwa kwa Giza la ujinga lililotanda kichwan kwenu Kama shekh wenu wa HABARI ZENU TUNAZO🤣🤣🤣

  • @iddikayombe166
    @iddikayombe166 14 дней назад +1

    Bacho alichokisema huyo diwani atakuwa ubao kwa wengine kuitambua haki

  • @ahmadSeif860
    @ahmadSeif860 14 дней назад

    Inafika wakat uyo baba yenu mtoto wa bachu eti anaitetea biblia!! Hahahaha kituko kweli huyu

  • @RajabuMsumari-dh5jb
    @RajabuMsumari-dh5jb 14 дней назад

    Mtu mjuzi anamjua mjinga kwa kuwa alikuwa mjinga.ila mjinga hauji mjuzi.sasa wewe mtoto bado nijaahil tena Jaahil murakab

  • @YaziduIddy-u7p
    @YaziduIddy-u7p 14 дней назад

    dogo soma dini acha ushabiki kama umesoma kwajili ya kutafuta umarufu basi utaupata kama Mohammad Bachu alivyopata umarufu maana mwanzo alikuwa anafunga comenti baada ya kupewa kichwa na wafuasi wake akafungua comenti sasa na wew akili zako zinafanana

  • @ahmadSeif860
    @ahmadSeif860 14 дней назад

    Hahahaha, mawahabi ni wajinga sana, hivi uyu mtoto ndo munaona ana elimu ya kumkosoa sheikh yussuf diwani!! Aaaa....., jamani hii sio elimu ni ujinga na ushabiki wa kipumbavu,, kwanza mungejiuluza huyu mtoto Katokea wapi? Kuongea kwake tu kama utamchunguza unabaini kwamba kamezeshwa maneno tu Hana ajualo, uwahabi nisawa na ukristo, ktk uwahabi Kuna tauhid 3 na ktk ukristo Kuna tauhidi zao 3, mako Sawa na wakristo.

  • @KHatibuHamad-k9d
    @KHatibuHamad-k9d 14 дней назад

    Weeeeemtoo umeingia maji marefu yusufu diwani alizaliwa hamuwezi wewe badoelimuyako ni ndogo ikosiku maji yatatokea puani

    • @NaimaAlkithiry
      @NaimaAlkithiry 14 дней назад +2

      😂umetumwa na diwani au

    • @RamadhaniShembilu-l1e
      @RamadhaniShembilu-l1e 14 дней назад

      Kwaelimu aliyonayo huyo diwani ? Kusomea uganga alafu anakuja kutusumbua ukukwenye mambo yamsingi katkahali za namna hio😂😂😂😂

    • @RamadhaniShembilu-l1e
      @RamadhaniShembilu-l1e 14 дней назад

      Shekhe twakuomba usichelewe kuja kuondoa hizi SHUBHA ZA HAWA WAGANGA, alla akupe wepesi na wasaa ktka mamboyako tuzidi kuelimika.