ALIYEZALIWA SIYO YESU, HILO ANDIKO WAKRISTO WANAPOTOSHWA, NI SAMSON | UST SULEIMAN MBOGO

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 16 янв 2025

Комментарии • 85

  • @Chw_Kdmn83
    @Chw_Kdmn83 21 день назад +2

    Siku watu watakapo jua ukweli ndipo watakapo juta kumdhiaki Mungu. Majuto mjukuu...

  • @OmariShuli
    @OmariShuli 22 дня назад +2

    Hata Isaya 7:14 si utabiri wa kuzaliwa kwa Yesu. Mathayo hapo alichomekea tu.

  • @DavidLintari-y1v
    @DavidLintari-y1v День назад

    Hayo mafunzo peleka msikiti kwa wafuasi wa Muhammad, sisi ni wakristu.

  • @Jamal22-o5n
    @Jamal22-o5n 22 дня назад +7

    WAKRISTO WOTE WANAOFUATA YESU MASIHI LIKE BASI TAFADHALI, TUWAONYESHE WAISLAM KUWA BILA WAKRISTO HAKUNA WAISLAM, BILA BIBLIA HAKUNA QURAN

    • @HusseinMungumbele
      @HusseinMungumbele 22 дня назад +1

      Bila biblia hakuna Quran!!!!! Kwanza ujiulize biblia ni nini?
      Biblia ni mkusanyiko wa vitabu.
      Tourati. Dhaburi. Injili. na mikono ya watu.

    • @TheAlman
      @TheAlman 22 дня назад +2

      Kilaza kweli ww kasome kwanza uelewe😂😂😂😂😂😂😂

    • @ZayyanaBamuni
      @ZayyanaBamuni 22 дня назад +1

      😂Na bila Kanisa hakuna ndoa za jinsia moja

    • @Jamal22-o5n
      @Jamal22-o5n 22 дня назад

      @@ZayyanaBamuni mimi ninachoshukuru umekubali bila WAKRISTO hakuna uislam na BIBLIA hakuna quran. Baada ya hapo search NDOA za jinsia moja za waislam alafu nambie walifunga kanisani? Na tabia yenu ya kuingiliwa KINYUME na maumbile ili muolewe na BIKRA ili mupate mahali kubwa wadada wa KIISLAM ACHENI.

    • @Jamal22-o5n
      @Jamal22-o5n 22 дня назад

      @@TheAlman ww si ndo yule mgonjwa unaeandika comments za kiingereza tukuone umesoma. Mm sio chizi kama wewe. Na uyo mwalimu wenu kinachompa ujasiri wa kuongea uongo ni kwa sababu anajiona amesoma. Acha kukariri chalii. Njoo kwa Yesu achana na nabii alieoa mjukuu wake.

  • @cristianoprincegabrielles3951
    @cristianoprincegabrielles3951 19 дней назад

    Wewe umechanganyikiwa Sheikhe, kunywa maziwa lala ukakojoe ulale..... Hata sio Samson aliyezaliwa 25th Dec..... Isaiah 7.14 -15 Ni utabiri wakuzaliwa Yesu Kristo. Nyie Mashekhe niwabishi na upotoshi....
    Sasa kwa Mungu Mambo ni tofauti na vile Unatazama, Mungu hapo anaongelea lijalo kwa Mwanadamu ila kwake Limetendeka already. .....

  • @MicheepaulKoheleth
    @MicheepaulKoheleth 21 день назад

    Huyu mbogo kumbe ni mujinga kiasi hicho sasa kama siyo Yesu nani mwengine ambaye ni Mfalme wa amani na wapi huyo wake wa mufukoni aliitwa Mungu mwenyi nguvu ama wapi ule aliitwa Baba wa milele, mbone musiba kwa hawa wahaziri wasiyo kuwa na elimu.

  • @ismailsoud3634
    @ismailsoud3634 22 дня назад +1

    Watu wengine wamebobea kufanya biashara ya uwongo.. Hawana uhakika wa wanayo yasema. Ila mradi kasema.

  • @babazungu3180
    @babazungu3180 22 дня назад +1

    Tatizo la hawa ndugu zetu watu wa roho mtakatifu lugha pia shida😂😂😂

  • @MichaelMbugi-m5c
    @MichaelMbugi-m5c 13 дней назад

    Yesu ndiye aliye leta amani duniani watu wengi walimsubili ili kuleta amani duniani amani iwe nanyi badala kupambana na shetani magombana nyinyi kwa nyinyi shetani anawacheka 😂😅😅😅😅

  • @Frankgamanuel
    @Frankgamanuel 22 дня назад +1

    Nilikuwa Nasikiliza kwa Makini kumbe mtu mwenyewe anaye toa mafundisho Naona anachanganga Maarage,kunde,karanga,maindi,chna choroko

  • @kassu9930
    @kassu9930 20 дней назад

    zanzibar wanaotembea uchi wengi wao ni watu kutoka tanganyika, na sasa wanatuathiri sana kwa keli

  • @binseif2216
    @binseif2216 12 дней назад

    Wakristo hawapo kwa kujifunza ila ushabiki tu

  • @Frankgamanuel
    @Frankgamanuel 22 дня назад

    Embu kuweni Makini na mafundisho haya ya Mungu

  • @MichaelMbugi-m5c
    @MichaelMbugi-m5c 13 дней назад

    Kumbe wanajua yesu ni nani ili wanajutoa fahamu imanuel maana mungu pamoja nasi ndiyo yesu ni mungu na baba yake ni mwenyezi mungu mnajijibu lakini hamuelewi

    • @ShabaniWabiga
      @ShabaniWabiga 3 дня назад

      Kwa ufaham wko mungu a amke ili azae

  • @charlesboniphace2249
    @charlesboniphace2249 22 дня назад +3

    Waandishi msiwe mnawauliza waislamu maswali magumu ivo ya kinabiii,
    Waulizeni mepesi kama yale ya je nguruwe ni halali au sio halali ,
    Ila aya mengine mnawafanya wapuyange tu 😂😂😂

  • @ramadhanmahongole9293
    @ramadhanmahongole9293 19 дней назад

    HAYA MAKAFIRI YAMEKOSA KAZI YAKUFANYA YANAZUNGUMZIA SIKUKUU ZA IMANI YA WATU WENGINE HAPO WANATEKELEZA KAZI YA UKAFIRI ALIYO IASISI MTUME WAO WA MAKKA😂😂😂😂

  • @chapchap-oz1ou
    @chapchap-oz1ou 22 дня назад +3

    SIMULIZI WACHA KUWATESA WALIMU WAKIISLAMU.....WAULIZE MAMBO YA KORAN ...YA BIBLIA HAWAWEZANI NAYO....KKKKKKK
    🤣🤣🤣🤣🤣

  • @iddiathumani8181
    @iddiathumani8181 19 дней назад

    Hahaha mashaallah wakristo wame panik

  • @paschalcosmas6093
    @paschalcosmas6093 22 дня назад +1

    Wewe shehe moto unakusubiri Kwa hamu, maana unawapeleka waislamu jehanamu mchana kweupe nao hawashtuki.....kun sehem yyte Samson aliitwa Mungu mwenye nguvu, baba wa milele, mshauri wa ajabu na mfalme wa amani kweli Zaid ya Yesu Kristo?

  • @Mjeda-q1m
    @Mjeda-q1m 22 дня назад +1

    Mkitaka kujua kwamba uislamu ni dini ya mtume na majini sio dini ta mungu someni kitabu cha aya za shetani kilicho tungwa miaka ya 90 na bw lushidie waislamu huko uarabuni wakatoa ahadi atakae muua mtu huyo atalipwa dola 5

    • @ThabitBunga
      @ThabitBunga 22 дня назад

      😂 huyo muhindi alijifanya mzungu na hao wazungu wakamlea na kumkuza ili aje kukichafua kitabu chetu.
      Sio hivyo tu mbona viko vingi

  • @tanzanite9944
    @tanzanite9944 22 дня назад +2

    Huyu ana Akili Matope hata Hiyo Quran haijui maana Quran ilikopiwa kwenye Biblia Halafu stiry zikabadilishwa na kuandikwa Kwa Kiarabu story pungufu na ndio Wanasema Quran ilishushwa. Mijitu kama hii hakuna hata haja ya kuongea naye.

    • @ulimwengumaulid7397
      @ulimwengumaulid7397 21 день назад

      Kama QURAN ilikopiwa kwenye bible mbona kwenye Bible kuna makosa mengi na mikanganyiko mingi hali ya kuwa Quran hakuna hizo vitu??????? Na ndio maana quran inajieleza pale ambapo Mwenyezi Mungu anasema Quran ndio inayobainisha kati ya ukweli na uongo, halal na haramu, haki na batili, ndo maana ni rahisi ukiisoma quran kuona makosa mengi kwenye bible na vitabu vingine vingi

    • @ismailsoud3634
      @ismailsoud3634 19 дней назад

      Uislam ni Dini . Dini ni neno la kiarabu sharti watu wajuww maana yake vinginevyo, nd I yo maana watu wanachanganya mambo. Nimewaita watu waje, Masheikh wote , wanazuoni wanao ona ni wakubwa waje, kwangu, Wapate elimu ya yaliyo fichika. Ila kwa sababu mi ni mtu mweusi wana sharau. Nimetaangaza wazi kuwa masheikh kama kweli wanaijuwa tafsiri ya Quran wanitafsieie surat Tyni aelya 1-4

    • @ulimwengumaulid7397
      @ulimwengumaulid7397 19 дней назад

      @@ismailsoud3634 Andika vizuri kwanza sura gani hiyo

    • @zuberisalum2004
      @zuberisalum2004 18 дней назад

      Acha bangi wewe unajidanganyya hakuna mkristo anafata biblia

    • @zuberisalum2004
      @zuberisalum2004 18 дней назад

      Unaongea kwa uchungu kuma wewe

  • @m.e.ssofttech2806
    @m.e.ssofttech2806 22 дня назад +3

    Kwanini mnasherehekea Maulidi(siku ya kuzaliwa mtume Muhammad S.A.W). Wakati kwenye Quran hamkuambiwa mfanye sherehe. Wala hakuna sura wala Aya inayosema waislam washerekee siku ya kuzaliwa mtume wao?

    • @daawaonlinetv4486
      @daawaonlinetv4486 22 дня назад

      Aya gani imekataza kusherehekea Maulid?

    • @m.e.ssofttech2806
      @m.e.ssofttech2806 22 дня назад

      Tunataka aya iliyoruhusu sherehe za Maulidi ebo?, mbona sherehe zingine zimeandikwa Eid El Hajj, Eid El fitr n.k

    • @daawaonlinetv4486
      @daawaonlinetv4486 22 дня назад

      @m.e.ssofttech2806 Lete mfano wewe kwanza aya gani kwenye Quran imesema tusherehekee Eid, maana naona unakurupuka kama mtu anatoka usingizini

    • @Jamal22-o5n
      @Jamal22-o5n 22 дня назад

      @daawaonlinetv4486 QURAN INASEMA YESU NI NENO LA MUNGU, ROHO WA MUNGU NA MWOKOZI WA KONDOO WALIOPTEA. UKIBISHANA NA HILI, UMELAANIWA. KWA MUJIBU WA QURAN.

    • @m.e.ssofttech2806
      @m.e.ssofttech2806 22 дня назад

      @@daawaonlinetv4486 Kwahiyo ndio unathibitisha hakuna Aya ya kusheherekea kuzaliwa kwa mtume?Jibu kama Aya ipo au hakuna tufahamu?

  • @mbetenijumanne9576
    @mbetenijumanne9576 22 дня назад

    Nchi za kiarabu nyingi ukianzia Sudan wanafanya kazi siku ya Juma pili mapumziko yanakiwa Ijumaa hiyo Rasmi

  • @tanzanite9944
    @tanzanite9944 22 дня назад

    Kwani Ijumaa nani Kasema ni siku ya Kuswali Kwa Waislamu au siku ya kupumzika? Si ni Wanadamu vilevile wamechagua siku hiyo na kuifanya siku ya Msikiti Kwa Waislamu? Vilevile na kwa Wakristo siku za Jumamosi na Jumapili zilitruliwa katika Juma kuwa siku za mapumziko na Kusali.

    • @ThabitBunga
      @ThabitBunga 22 дня назад

      @@tanzanite9944 tupe andiko linalosema kuwa siku ya jumapili ni siku ya ibada

  • @Izikiel55
    @Izikiel55 22 дня назад +2

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
    Haki ya Mungu waislam polen sana😂😂😂😂😂😂

  • @binseif2216
    @binseif2216 12 дней назад

    Nimechunguza bible nikaona yesu kambambikiwa vitu vingi sana na kina mathayo,kwanza bible nani aliipokea?

  • @OmariShuli
    @OmariShuli 22 дня назад

    Na utabiri wowote unaoashiria atakezawa kwamba atakuwa mfalme, atairithi nyumba ya daudi, ufalme wake ni wa milele nk, utabiri huo haumuhusu yesu kabisa.

    • @williamsangiwa9923
      @williamsangiwa9923 22 дня назад

      @@OmariShuli we Ommy ww😁😁 yesu anaish milele na milele wengne wote walikufa😁😁 mckurupuke shehe wenu anajing'atang'ata yesu ni Mungu ni mtawala uweza wa kifalme

    • @OmariShuli
      @OmariShuli 22 дня назад

      ​@@williamsangiwa9923 Henoko na Eliya pia hawajafa. je mbona hamuwaiti miungu

  • @tospend
    @tospend 22 дня назад

    Sam Shannon ndo kiboko ya waislam dunia nzima kama unataka kujua uisilam sio dini ya kweli mtafute huyo

  • @simonkinyua-m1k
    @simonkinyua-m1k 22 дня назад

    😁😁😁😁😁ww kwli pia mwalimu?? Ai ata hujuui unacho kisema

    • @Frankgamanuel
      @Frankgamanuel 22 дня назад

      Hata Mimi Nimejitaidi kumsikiliza Nimeshindwa maan naona anapiga charamba tu Hawa ndio wapotoshaji wakubwa

  • @kajinjirashid5590
    @kajinjirashid5590 21 день назад

    UKRISTO BIASHARA TU.NDIO MAANA TULITOKA ..HUKO

  • @AmourHamza-m3j
    @AmourHamza-m3j 19 дней назад

    Amakweli kafiri yeyote hana akili badala ya kujifunza nikupinga2 na kukoment ujinga mala ngulue ni haram kama mnajua kama ni haram mbona mnakula

  • @Frankgamanuel
    @Frankgamanuel 22 дня назад

    Halafu wewe Msimulizi Badala kwenda kuwauliza kuhusu kitabu chao cha Quran we hunaenda kuwauliza mambo ambayo wanayakataa nakuyapindisha pindisha

    • @brothermuadhwam890
      @brothermuadhwam890 20 дней назад

      Acha chuki kitabu Chetu kimekamilika chenu kimetiwa mikono watu wanatafuta ukwel ww kaa tu apo usimtafute mungu wa kwel na dini ya kwel ukaingie moton kwa uzemb wako

  • @JaphetMoon-n4y
    @JaphetMoon-n4y 22 дня назад

    Waislam tulien mnajifanya wasomi no jesus no life jesus is God

    • @brothermuadhwam890
      @brothermuadhwam890 20 дней назад

      Saw amini ivo ww maan unaonekana bibilia huijui mwenzio anahoji apo ajue ukwel kwasbb bible imetiwa mikono Sasa ushajua imetiwa mikono maana Ake hakipo saw asilmia mia kwaiy huwez kujigamba na iyo dini

    • @brothermuadhwam890
      @brothermuadhwam890 20 дней назад

      Waislam ni wasom sana maan kitabu chetu kimekamilik

    • @binseif2216
      @binseif2216 12 дней назад +1

      Yesu Mungu alitahiriwa😂😂webunatofaut gani na wanaoabudu masamu?

  • @MichaelMbugi-m5c
    @MichaelMbugi-m5c 13 дней назад

    Yesu ndiye aliye leta amani duniani watu wengi walimsubili ili kuleta amani duniani amani iwe nanyi badala kupambana na shetani magombana nyinyi kwa nyinyi shetani anawacheka 😂😅😅😅😅