@@clewis520 aya: Je! Nyinyi mnawaingilia wanaume, na mnaikata njia? Na katika mikutano yenu mnafanya maovu? Basi haikuwa jawabu ya watu wake isipo kuwa kusema: Tuletee hiyo adhabu ya Mwenyezi Mungu ikiwa wewe ni katika wasemao kweli. --al_`ankaboot 29 Hii aya inaongea uchafu walio kuwa wakiufanya watu walio kuwa wanaishi kwenye kijiji cha Nabii Lut’i walikuwa 1- wanafanyana wanaume kwa wanaume, They were gays 2- walikuwa ( piracies ) wanafanya uharamia, wanavamia wapita njia na kuteka nyara mali zao, ndio mana aya hapo inasema( mnaikata njia ) ndio mana ukisoma aya zote utaona kama Mungu aliwaangamiza. Haya niambie wewe umeelewa nini hapo?
@@clewis520 Hii aya inaongea uchafu walio kuwa wakiufanya watu walio kuwa wanaishi kwenye kijiji cha Nabii Lut’i walikuwa 1- wanafanyana wanaume kwa wanaume, They were gays 2- walikuwa ( piracies ) wanafanya uharamia, wanavamia wapita njia na kuteka nyara mali zao, ndio mana aya hapo inasema( mnaikata njia ). Haya niambie wewe umeelewa nini hapo?
Kazi nzuri simulizi na ustdh Mbogo somo nzuri Mimi ni mkenya mweke sawa huyo mwalimu Ndacha. Bw Simulizi twahitaji somo za ziada kwa mwalimu Mbogo 🙏asante
@fettymcharuko7341 Kwenye mambo ya msingi acha kuweka utani na kuweka emoji za kucheka maana kicheko hicho kitakuwa na mwisho hakika... Soma hapo usijekusema hukuambiwa, una swali uliza utajibiwa.... Yesu Kristo Ni Kwa ajili Ya Wokovu Ya Kila Mmoja, lakini sharti uamini kuwa YEYE ni Mwana Wa Mungu Mkuu Aliyeziumba Mbingu Na Nchi, Pasipo YEYE hutamuona Mungu Mkuu Yaani Yehova, Soma Warumi 3:29 [29]Au je! Mungu ni Mungu wa Wayahudi tu? Siye Mungu wa Mataifa pia? Naam, ni Mungu wa Mataifa pia; Is he the God of the Jews only? is he not also of the Gentiles? Yes, of the Gentiles also:
@@karimuabdala3234 Habari ndugu,,Ukiweza Nitumie namba zako nitakupigia, ni ushuhuda mrefu kidogo... Yesu Kristo Aliniokoa Kupitia Agano La Damu Yake Iliyomwagika Msalabani kwa ajili yangu ambaye nilikuwa katika uchafu sana lkn kwa upendo wake mkuu akaniokoa pamoja na mdhaifu yangu... Huyu ni Mungu wa Upendo sio wa uadui kati ya mtu na mtu, Huu ni ushuhuda.. Sitaweza kusahau tarehe na mwaka ambao aliniokoa nikamdhibitisha asilimia zote kuwa ni YEYE ndiye ameniokoa.... Tuacheni ushabiki lkn ifike mahali mtu binafsi apige magoti yake na kumuuliza Mungu maswali, kwamba ni nani hasa tupaswa kumwabudu ambaye ni Mungu wa Kweli na Mwenye Kuumba Mbingu na Nchi na binadamu na vyote vijazavyo nchi.. Ni naamini Mungu anatupenda sisi sote watoto wake hivyo atatujibu hakika... Hii ni hatma ya mtu binafsi baada ya maisha haya ya duniani.
Wasabato wanaamini waroma ni wapagani,na utatu mtakatifu ni upagani na siku ya Sunday waroma na wababbeli walikuwa wanaabudia jua yaani Sunday "amesahau kuwa waroma ndio walioanzisha ukristo uko antiokia "matendo 11.26,ili ukristo au usabato uwe sahihi aoneshe andiko yesu aliingia kanisani au alisema ukristo ni dini ya mungu
Ndacha is lair,but Tanzania Muslim are listening,for example sura2/116 wrong translation,it means they say God has son,who say,Mathias,mark and such of that,
Wewe unaedai Ndacha hamuwezi kwa lipi jipya la Ndacha uko kuongeza maandiko na kufupisha maandiko kwa ujanja ujanja tu ili aonekane ajua lakini hajui kitu ni ubisha tu
Ndacha hawezi kimbia huyu msanii. Ndacha amemaliza uongo wa Mazinge, Sule, Kinyogori, na wengineo. Huyu ni bure kabisa. Si rahisi kuitetea hii dini ya marehemu Muhammad
@husseinmohamed3980 Sasa quran imeandika dini ya ukristo imeitoa wapi? Fwata huo mjadala wa ndacha na mbogo utaelewa vizuri. Uislamu ni dini ya majini na hiyo imeandikwa kabisa
@@bustedislam3578 nyiye mnafatilia mjadala bilakuelewa, UKRISTO ni dini lakini sio DINI ya MUNGU ,swali ni je wapi imeandikwa kuwa UKRISTO DINI YA MUNGU?na UKRISTO kuandikwa ndani ya Qur'an sio kusema ni DINI ya MUNGU ao ni DINI Nzuri Kwa sababu ata SHETANI na FIRAUNI (FARAWO) wameandikwa pia ila sio viumbe vyema ao viumbe VIZURI
Simulizi washangaa kutajwa sabato katika Quran? Basi paka Imani za mayahudi na manaswara na yesu kua ni mtume na Allah ni mmoja wala Hana mwana na maumbile ya binadamu na mbingu na ardhi na watu kufa na kufufuliwa na mambo yatakoyokea kiama na Mambo mengi Ndio nawaambia wakristo na wasiokua waislamu isomeni Quran muone Allah alivoeleza mambo mengi Kwa undani zaidi
Na kwa wale waliosema sisi ni wakristo tulichukuwa ahadi kwao lakini wakaacha sehemu kubwa ya yale waliokumbushwa kwahivyo tukaweka baina yao wenyewe kwa wenyewe uadui,na bugdha mpaka siku ya kiama
Ndacha hamuwezi Ustadh Mbogo hata kidogo. Tuongee ukweli anajitahidi kidogo ila uwezo ndio hana. Kauli zake zinazidi kujigonga gonga.Biblia imeandikwa hivi yeye anaongea vingine
Mbogo ulishindwa kujibu hoja za mwalimu ndacha,ukashindwa kutibitisha utume wa muhamadi hivi leo umeanza tena kupanua mdomo haya ngoja utapata unacho kitafuta utabanwa na hoja nzito ya mwalimu ndacha,Anza tu tena
Alishajibu kilichotangulia ni kupewa Utume hawa watu wengine yeye ndo aliyewaambia kila kitu kilichotokea. Mke wake ka mwambi twende kwa ndugu yangu ni msomi wa Taurati atatuelezea zaidi juu ya haya yaliyokutokea walipofika akaelezewa na yeye . kwa elimu alosoma vitabu akasema hayo hayamtokei mtu Ila MTU yule ni nabii wa Mwenyezimungu. Sasa apo ndo unanata kapewa na Hadija unakuwa na akili au matope, hamna hoja hapo ni kukosa hoja na kujificha kwenye Shamba la karanga.
Jibu wewe, wapi aya ukristo ni dini? Au ukristo ni njia ya yesu . Quran 6:126 Na dini hii ya uislam ndyo njia ya mola wako iliyonyoka 3:19 Quran Bila shaka dini ya haki mbele ya Mungu ni uislam
Kwanini kusema mwenyewe? Ungekuwa shujaa ukae na Ndacha kwa mjadala. Ulishindwa sana kuitetea uislamu mbele ya ndacha, ukawa kama mtoto kabisa. Umerudiya hiyo hoja sana sababu uliumiya sana. Hii dini ya marehemu Muhammad ni balaa kabisa.
@daawaonlinetv4486 Ndiyo hiyo mada lakini anarudi kwa mada iliyopita sana sabau alishindwa kabisa kabisa. Yaani alilemewa kiasi kwamba anapashwa ajitetee tena akiwa mwenyewe. Ni inalilahi kabisa
Mungu ndiye alianzisha siku ya sabato si MTU na kila MTU anatakiwa afuate magizo Yake mwenyezi mungu aliitakaza siku ya sabato na akaibariki Kwa kila MTU na yesu ndiye bwana wa sabato mbogo hakuna kitu unasema Elen G White nikueendeleza aliendeleza sabato ataujui unasema nini mbogo hakuna hiyo Elimu achia Ndacha akufunze
9:28 Qur-ani Enyi mlioamini!Hakika washirikina ni najisi,kwahio wasiukaribie huo msikiti mtukufu baada ya mwaka wao huu.Nakama mkihofia umasikini,basi karibuni hivi Mlmungu atakutajirisheni kwa fadhila zake akipenda.Hakika Mlmungu ni mjuzi na mwenye hekima
Hv sheikh povu mbogo mbn nyny mnamadhebu ndaniii ya waisilamu kwa nn?? Usianzie hapo kwa waanzilishi wa madhebu yenu na Nani amesababisha mgawanyiko huo!!!
MASHALLAH SHEKH MBOGO KAFUNDISHA ILA NAKUSHAURI SIMULIZI KWA HII MADA JADILIANA NA USTADH SHAFY PIA
Upo sawa ata mie nilishamshauri cjui anaogopa!
@@FadhilZaharan Tuendelee kumshauri hivo hivo ataenda inshallah
Ustadhi Mbogo Allah akupe swiha njema wewe na Simulzii .Simulizi nigeomna Usilimu ili usalimike.
Kwa kazi unao fanya.
…
Ukislimu ujue umekwisha ingia kwa shetani.
@@clewis520Kivipi umekwisha ingia kwa Shetani? Lete dalili
@ ….soma Quran 29:9.
@@clewis520 aya: Je! Nyinyi mnawaingilia wanaume, na mnaikata njia? Na katika mikutano yenu mnafanya maovu? Basi haikuwa jawabu ya watu wake isipo kuwa kusema: Tuletee hiyo adhabu ya Mwenyezi Mungu ikiwa wewe ni katika wasemao kweli. --al_`ankaboot 29 Hii aya inaongea uchafu walio kuwa wakiufanya watu walio kuwa wanaishi kwenye kijiji cha Nabii Lut’i walikuwa 1- wanafanyana wanaume kwa wanaume, They were gays 2- walikuwa ( piracies ) wanafanya uharamia, wanavamia wapita njia na kuteka nyara mali zao, ndio mana aya hapo inasema( mnaikata njia ) ndio mana ukisoma aya zote utaona kama Mungu aliwaangamiza. Haya niambie wewe umeelewa nini hapo?
@@clewis520 Hii aya inaongea uchafu walio kuwa wakiufanya watu walio kuwa wanaishi kwenye kijiji cha Nabii Lut’i walikuwa 1- wanafanyana wanaume kwa wanaume, They were gays 2- walikuwa ( piracies ) wanafanya uharamia, wanavamia wapita njia na kuteka nyara mali zao, ndio mana aya hapo inasema( mnaikata njia ). Haya niambie wewe umeelewa nini hapo?
Kazi nzuri simulizi na ustdh Mbogo somo nzuri
Mimi ni mkenya mweke sawa huyo mwalimu Ndacha. Bw Simulizi twahitaji somo za ziada kwa mwalimu Mbogo 🙏asante
mashallah sheikh mbogo suleiman kwakazi nzuri ❤❤❤❤
Kazi ni nzuri shehe. Tanzania full shangwe🤣🤣
Simulizi upo vizuri watafute wahadhiri wengine kila mtu anamajibu tofauti kulingana na elimu yake kwako ni kutoka huko uwe muisilamu.
Yesu Kristo Ndiye Njia Kweli Na Uzima, Full Stop.
😂😂ni njia Kwa Wana wa islael sio kwenu wagalatia nyie wafuasi wa Paulo tu😅😅
@fettymcharuko7341 Kwenye mambo ya msingi acha kuweka utani na kuweka emoji za kucheka maana kicheko hicho kitakuwa na mwisho hakika... Soma hapo usijekusema hukuambiwa, una swali uliza utajibiwa.... Yesu Kristo Ni Kwa ajili Ya Wokovu Ya Kila Mmoja, lakini sharti uamini kuwa YEYE ni Mwana Wa Mungu Mkuu Aliyeziumba Mbingu Na Nchi, Pasipo YEYE hutamuona Mungu Mkuu Yaani Yehova,
Soma
Warumi 3:29
[29]Au je! Mungu ni Mungu wa Wayahudi tu? Siye Mungu wa Mataifa pia? Naam, ni Mungu wa Mataifa pia;
Is he the God of the Jews only? is he not also of the Gentiles? Yes, of the Gentiles also:
Ni kweli kabisa swali je kwa nini wewe unafuata ukristo???
@@karimuabdala3234 Habari ndugu,,Ukiweza Nitumie namba zako nitakupigia, ni ushuhuda mrefu kidogo... Yesu Kristo Aliniokoa Kupitia Agano La Damu Yake Iliyomwagika Msalabani kwa ajili yangu ambaye nilikuwa katika uchafu sana lkn kwa upendo wake mkuu akaniokoa pamoja na mdhaifu yangu... Huyu ni Mungu wa Upendo sio wa uadui kati ya mtu na mtu, Huu ni ushuhuda.. Sitaweza kusahau tarehe na mwaka ambao aliniokoa nikamdhibitisha asilimia zote kuwa ni YEYE ndiye ameniokoa.... Tuacheni ushabiki lkn ifike mahali mtu binafsi apige magoti yake na kumuuliza Mungu maswali, kwamba ni nani hasa tupaswa kumwabudu ambaye ni Mungu wa Kweli na Mwenye Kuumba Mbingu na Nchi na binadamu na vyote vijazavyo nchi.. Ni naamini Mungu anatupenda sisi sote watoto wake hivyo atatujibu hakika... Hii ni hatma ya mtu binafsi baada ya maisha haya ya duniani.
Takbir Allahu Akbar ✊✊
Waislamu Wana Kula ngamia na mungu ameikataza Kwa Bible
😂ungelikuwa na moyo wa kukatazika kila ulichokatazwa na biblia ungekuwa ushaslimu saivi
Kwani biblia ameandika Mungu??? au mathayo na akina Luka??
Mbogo akutane na mwalimu Ndacha ili aelimishwe juu ya sabato.
Simuliz mtafute shekh kishk alaf mulize maswali yote yanayomuhusu mteme muhamad
Ulienda hapa kujitetea
Sheikh Mbogo hapo mambo na Masheikh ungemwwmbia vizuri sababu wakati wa watu wasabato walikua waislam hapakua na ukristo
Anaomuogopa ndacha huyu masikini
Ndacha yuko wapi?
Wasabato wanaamini waroma ni wapagani,na utatu mtakatifu ni upagani na siku ya Sunday waroma na wababbeli walikuwa wanaabudia jua yaani Sunday "amesahau kuwa waroma ndio walioanzisha ukristo uko antiokia "matendo 11.26,ili ukristo au usabato uwe sahihi aoneshe andiko yesu aliingia kanisani au alisema ukristo ni dini ya mungu
Mimi naamini mwalimu Ndacha ataliteguwa hilo kabisa.
Kwa porojo zake
Ndacha mweupe sana hana hoja za msingi
Ndacha is lair,but Tanzania Muslim are listening,for example sura2/116 wrong translation,it means they say God has son,who say,Mathias,mark and such of that,
Utume WA Muhammad umetajwa mara nyingi Mfano
Quran 61:7-9
kipofu huyu
Mboga amejibu hoja zote za Ndacha ila Ndacha ameshindwa kujibu hoja anaweka viraka raka vya Ki sabato
Wewe unaedai Ndacha hamuwezi kwa lipi jipya la Ndacha uko kuongeza maandiko na kufupisha maandiko kwa ujanja ujanja tu ili aonekane ajua lakini hajui kitu ni ubisha tu
Mohammandi alipewa utume na mkewe….
Wale wa kabla yetu ni kina nani, maana sisi alituumba mara moja kupitia Adam
Au ndo hayo majini yenu
Utaikalia kuongea kwenye media si uchomoke?
Jitokeze tufanye garama ya mkutano kisha uongee hayo mbele ya Ndacha 😁😁😁😁😁
Sheikh Mbogo yupo tayari labda Mwalimu Ndacha akimbie
Ndacha hawezi kimbia huyu msanii. Ndacha amemaliza uongo wa Mazinge, Sule, Kinyogori, na wengineo. Huyu ni bure kabisa. Si rahisi kuitetea hii dini ya marehemu Muhammad
@@bustedislam3578sasa wapi Ndacha alitetea Dini ya UKRISTO kuwa ni Dini ya Mungu?aliisha wahi leta andiko kama UKRISTO ni Dini ya Mungu?
@husseinmohamed3980 Sasa quran imeandika dini ya ukristo imeitoa wapi? Fwata huo mjadala wa ndacha na mbogo utaelewa vizuri. Uislamu ni dini ya majini na hiyo imeandikwa kabisa
@@bustedislam3578 nyiye mnafatilia mjadala bilakuelewa, UKRISTO ni dini lakini sio DINI ya MUNGU ,swali ni je wapi imeandikwa kuwa UKRISTO DINI YA MUNGU?na UKRISTO kuandikwa ndani ya Qur'an sio kusema ni DINI ya MUNGU ao ni DINI Nzuri Kwa sababu ata SHETANI na FIRAUNI (FARAWO) wameandikwa pia ila sio viumbe vyema ao viumbe VIZURI
Simulizi washangaa kutajwa sabato katika Quran?
Basi paka Imani za mayahudi na manaswara na yesu kua ni mtume na Allah ni mmoja wala Hana mwana na maumbile ya binadamu na mbingu na ardhi na watu kufa na kufufuliwa na mambo yatakoyokea kiama na Mambo mengi
Ndio nawaambia wakristo na wasiokua waislamu isomeni Quran muone Allah alivoeleza mambo mengi Kwa undani zaidi
Ndacha ni chaliiiiii tu kwa mbogo
Na kwa wale waliosema sisi ni wakristo tulichukuwa ahadi kwao lakini wakaacha sehemu kubwa ya yale waliokumbushwa kwahivyo tukaweka baina yao wenyewe kwa wenyewe uadui,na bugdha mpaka siku ya kiama
Ndacha hamuwezi Ustadh Mbogo hata kidogo. Tuongee ukweli anajitahidi kidogo ila uwezo ndio hana. Kauli zake zinazidi kujigonga gonga.Biblia imeandikwa hivi yeye anaongea vingine
Simulizi hayuko fair! Anaegemea upande wa ukristo kuliko uislam
Yeye ni mkristo
Mbogo ulishindwa kujibu hoja za mwalimu ndacha,ukashindwa kutibitisha utume wa muhamadi hivi leo umeanza tena kupanua mdomo haya ngoja utapata unacho kitafuta utabanwa na hoja nzito ya mwalimu ndacha,Anza tu tena
Ni wewe kwa ufinyu wako wafikra ndio ulishindwa kuelewa
Alishajibu kilichotangulia ni kupewa Utume hawa watu wengine yeye ndo aliyewaambia kila kitu kilichotokea. Mke wake ka mwambi twende kwa ndugu yangu ni msomi wa Taurati atatuelezea zaidi juu ya haya yaliyokutokea walipofika akaelezewa na yeye . kwa elimu alosoma vitabu akasema hayo hayamtokei mtu Ila MTU yule ni nabii wa Mwenyezimungu. Sasa apo ndo unanata kapewa na Hadija unakuwa na akili au matope, hamna hoja hapo ni kukosa hoja na kujificha kwenye Shamba la karanga.
Kaangalia vizr labd unamakengeza ndach alipew kibano mpk anasem ukristo c din
Huyo Ndacha yeye ndo alieweza kujibu...!?
Jibu wewe, wapi aya ukristo ni dini? Au ukristo ni njia ya yesu .
Quran 6:126
Na dini hii ya uislam ndyo njia ya mola wako iliyonyoka
3:19 Quran
Bila shaka dini ya haki mbele ya Mungu ni uislam
Kwanini kusema mwenyewe? Ungekuwa shujaa ukae na Ndacha kwa mjadala. Ulishindwa sana kuitetea uislamu mbele ya ndacha, ukawa kama mtoto kabisa. Umerudiya hiyo hoja sana sababu uliumiya sana. Hii dini ya marehemu Muhammad ni balaa kabisa.
Mada ni Sabato kwahiyo Sheikh Mbogo anaendelea na mada nyingine. Kwaajili watu wasome
@daawaonlinetv4486 Ndiyo hiyo mada lakini anarudi kwa mada iliyopita sana sabau alishindwa kabisa kabisa. Yaani alilemewa kiasi kwamba anapashwa ajitetee tena akiwa mwenyewe. Ni inalilahi kabisa
Mungu ndiye alianzisha siku ya sabato si MTU na kila MTU anatakiwa afuate magizo Yake mwenyezi mungu aliitakaza siku ya sabato na akaibariki Kwa kila MTU na yesu ndiye bwana wa sabato mbogo hakuna kitu unasema Elen G White nikueendeleza aliendeleza sabato ataujui unasema nini mbogo hakuna hiyo Elimu achia Ndacha akufunze
Mbona Mwankema anajita Shekhe na yeye si Muislamu
Nenda makanisani ukawaite ivyo
Uyu ni kelele tu 😂
unamatatizo sana w
Ndacha aje ajibu na hii tuone atatumia hoja gani
Kumekucha wazee
Quran 9:28 Muhammad alitoa sadaka kwa shetani
9:28 Qur-ani
Enyi mlioamini!Hakika washirikina ni najisi,kwahio wasiukaribie huo msikiti mtukufu baada ya mwaka wao huu.Nakama mkihofia umasikini,basi karibuni hivi Mlmungu atakutajirisheni kwa fadhila zake akipenda.Hakika Mlmungu ni mjuzi na mwenye hekima
Aya hio apo tuoneshe hio sadaka ilotolewa na shetani
Hv sheikh povu mbogo mbn nyny mnamadhebu ndaniii ya waisilamu kwa nn?? Usianzie hapo kwa waanzilishi wa madhebu yenu na Nani amesababisha mgawanyiko huo!!!
Lkn ibada ni moja na kitabu ni kilekile hakitofautiani
@@chikuiddy9946 sawa Kama kitabu kimoja mbn Kuna mgawanyiko
😂😂Ndacha ni comedian, he is good at it, lkn sio dini, wakiristo wengi wanampenda sbb hiyo lkn he is nothing kwenye field ya dini
Mi natamani nimuone huyo Simulizi halafu nijue yy ni dini gani na ni kwa nini anahoji maswali ya uhakika anataka kuwa nani ?
Mbona pekeyako usiwe usimuite ndio unaongopa
Ww ukiristo sio dini ukiristo ni waabudu masaanamu" tuu (wapagani)...
😂😂😂😂 Waislamu ndiyo waabudu masanamu JIWE JEUSI LILILOKO MAKKA kwenye Al Kaaba Al hajar Al aswad 😂😂😂😂
Tuache ushabiki mtume Mohammad wata Quran ndani ya baible katabiriwa someni kitabu chenu