SHEKH DIWANI NA MUNGU MPYA//AIKATAA QURAN AZUA TAFSIRI YAKE.//Ust. Baqir@

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 8 фев 2025

Комментарии • 121

  • @hijahamadi5793
    @hijahamadi5793 Месяц назад +2

    Maashaallaah
    Jazaaka allaahu khyraa

  • @TRIPLE.3Rs
    @TRIPLE.3Rs Месяц назад +1

    Shukran Usatdh kama unamjuwa Yusuf Diwari muusie akae kimya maana kila akiongea twamuona mweupeeee zuzuuuuu.vila anavyo ongea mwambie awe mwana habari.

  • @OmarAlly-iz8ot
    @OmarAlly-iz8ot Месяц назад +3

    Akhuy Allaah akubariki umeongea vyema kabisa Maashaa Allaah

    • @omarabdi3604
      @omarabdi3604 Месяц назад

      @@OmarAlly-iz8ot uyo uta mwita ata anti lakin hamna kitu humo

  • @NuruJuma-zv3yz
    @NuruJuma-zv3yz Месяц назад +1

    We kijana, nakupa maua yako🎋🎋🎋 Allah akuongezee elimu na hekima

  • @nassoraliy3871
    @nassoraliy3871 Месяц назад +3

    Sasa allah ametujaribu kupitia so mtihani mdogo huu

  • @IddiMakame-i2l
    @IddiMakame-i2l Месяц назад

    JAZAKALLAHU KHEIR

  • @AliJussa
    @AliJussa Месяц назад

    Allahu Yaalam

  • @balkissMuhammad-sk1ic
    @balkissMuhammad-sk1ic Месяц назад

    Bismillah

  • @LoySamueli
    @LoySamueli Месяц назад +1

    Kijana tuna kusikiliza

  • @wadimtwana7286
    @wadimtwana7286 Месяц назад

    Maashallah Allah akubariki

  • @LuluAquai
    @LuluAquai Месяц назад

    Baaraka llahu fik

  • @mirajimsigiti7317
    @mirajimsigiti7317 Месяц назад +9

    ALLAAH AKUHIFADHI SHEKH WETU,USIJALI KWA COMENT ZA MATUSI ZA HAWA MASUFI NA AHLULBIDA'A , WALIANZA KUMTUKANA BACHU HUMUHUMU KWAMBA HANA ELIMI LAKINI LEO AIBU IMEWAJAA, ALLAAH AKUHIFADHI

    • @YahyaRashid-t5w
      @YahyaRashid-t5w Месяц назад

      Unajua kwamba huyu sheikh wako ni shia

    • @HasaniSasi
      @HasaniSasi Месяц назад

      Ivi Diwani shida yake ni nini mbona anapotea anataka awe na mwisho mbaya

  • @RamadhaniShembilu-l1e
    @RamadhaniShembilu-l1e Месяц назад

    Alla kukuzidishie kaka uzidi kubainisha ukweli, SHIDA YA DIWANI HAKUBALI KUKOSOLEWA IJIFANYA YEYE NI MTUME ALLAH AMUONGOZE NASISI

    • @omarabdi3604
      @omarabdi3604 Месяц назад

      @@RamadhaniShembilu-l1e acha kupata dhambi za bure kajifanya lini kua mtume kazi zenu kukufurisha watu tu

    • @omarabdi3604
      @omarabdi3604 Месяц назад

      @@RamadhaniShembilu-l1e je nyinyi masalafi ni yup ambae anakubal kukosolewa baina yenu ndio nyie munao jua kila kitu

  • @yassinmkubwayassin688
    @yassinmkubwayassin688 Месяц назад +2

    Nakushauri kijana wetu achana na mijadala isiyo na faida Waisilamu wana matatizo mengi ya kijamii ikiwemo umasikini hivyo tumieni muda wetu kutatua matatizo kama hayo.

  • @konandawise4550
    @konandawise4550 Месяц назад

    @abjadacademy - Akhy Allah akubarik na azidi kukuthibitisha kwenye haki na akupe ikhlas - Naomba ktk muendelezo wako tutolee somo kuhusu ukaswanywaji wa bibilia na lini iliandikwa ili tubainishe upotofu wake .

  • @jafarikaoneka4890
    @jafarikaoneka4890 Месяц назад +1

    Sheikh tuwekee namba yapo tukupe swadaqa, Umefanya juhudi kubwa sana katika kuondoa shubha hii. Ambaye hajakuelewa Allah ampe ufahamu In Shaa Allah.

  • @izmamuizmamu6521
    @izmamuizmamu6521 Месяц назад +6

    Diwani anamatatizo sana kwahali ya namna hiyo

  • @MbwanaHusein
    @MbwanaHusein Месяц назад +1

    Tupe elimu shekh tupate kuelimika

  • @Islamiccontents_tv
    @Islamiccontents_tv Месяц назад

    Fanya Mambo Yatakayo Ufanya Ummah Uwe Pamoja Na Sio Kuwagawa Watu Kwakujifanya Ni Mjuzi Wao Mnoo...

    • @ahmadmzoa74
      @ahmadmzoa74 Месяц назад

      Anaelimisha,acha hasadi. Kama unaumia pole vumilia.

  • @NiyibiziIsaWangyu
    @NiyibiziIsaWangyu Месяц назад +1

    Mafasiriyo ya sheikh Muhammad bachu inatosha kufahamisha kiukweli bwana Yusufu diwani amepotosha jamii hivi Nani anayeweza kusema bachu akaongopea wakati akisema analeta dalili ya wanavyuoni wanaotegemewa kwenye Dini yetu ya uislamu na diwani mazungumzo yake hakuna dalili hata moja ama hata dalili ya uongo kama wafanyavyo watu WA maulidi waletavyo hadithi za uongo Kwa lengo la kukuza maulidi yao. Sheikh bachu nimempenda kwa ajili ya Allah na ili darasa lake kueleweka Zaidi amemfanya diwani kuwa ubao WA kuelimisha jamii na wanaelewa hivi nani awezae kusupport diwani akaacha Muhammad bachu?!!! Nashangazwa na mtu mwenye hajamuelewa Muhammad bachu anavyojitahidi kuupeleka ukweli Kwa hikma na busara minakasha kati yake na masufi imenifanya kutambuwa masufi ovyoooooo mawahabu ongera nasema tena ongera bwana Muhammad bachu umekuwa kwangu kisababu cha kuupenda uwahabi na masheikh wao na wewe bwana mdogo ongera kujitahidi kuuweka inje utapeli wa yusufu diwani maneno mingi na kelele zake zimewatapeli wanafunzi wake

  • @TRIPLE.3Rs
    @TRIPLE.3Rs Месяц назад

    Anayo sifa ya uganga na alisema kuwa Uganga ni sunna.

  • @sarboko
    @sarboko Месяц назад

    Mtu asijiami na elimu yake. Ukijiona unaelimu basi Jua kua yupo zaidi alokupita.
    Kisa maarufu cha nabii Mussa As na hindhir.
    Diwani nikiumbe mkaidi sana naasio na hekma hata kidogo.
    Kujuiona anajua nahau.
    Kumbe wapo watu wanakuangia tu.

  • @nassoraliy3871
    @nassoraliy3871 Месяц назад +1

    History hujui basi ya hamajina ya watu

  • @IssaLuhindi
    @IssaLuhindi Месяц назад

    SubhanaLLah. Allah Subhana Wata'ala aliahidi kuihifadhi Qur'an tukufu yeye mwenyewe. Na hii sasa ndio tafsiri ya Qur'an kunusuriwa kutokana na tafsiri mbovu zisizo na mashiko sahihi. Ndugu zangu Allah Subhana Wata'ala Anatisha. Huyu ndugu yetu aliyeitwa "kitoto kidogo" ndio anabainisha mapungufu ya wazi kabisa ya Sheikh Yusuf Diwani. Shughuli ya "kitoto kidogo" ndo hiyo! Haya akija mtu mzima tutaweka wapi nyuso zetu za ukaidi, matusi na inda? Turudini kwa Allah ndugu zangu. Sifa ya kukataa ukweli sio sifa nzuri kwa mu'umin. SubhanaLLah!
    Sheikh wetu Allah Akujaze Kheri kwa kutupatia Ilmu yenye manufaa na Akuinue daraja fii Dunya wal Aakhera. Endelea kunusuru dini ya Allah

  • @RashidiAlly-cl7fo
    @RashidiAlly-cl7fo Месяц назад

    Nenda kasome,huna kitu katika elimu,na usitukane Maulamaa

    • @ahmadmzoa74
      @ahmadmzoa74 Месяц назад

      Kwani wewe na huyu bwana mdogo nani karuzukiwa ufahamu zaidi? Kaa sini bado hujachelewa. Acha hahasadi.

    • @ahmadmzoa74
      @ahmadmzoa74 Месяц назад

      Angalia hoja, na huu ndo ufahamu sahihi.

  • @Islamiccontents_tv
    @Islamiccontents_tv Месяц назад

    Onyo Kali Kwa Waislam Tunao Miliki Channel Za Kidini Tumuogope Allah Maana Tusijejitafutia Moto Wa Bure Kwakutaka Kukuza Channel Zetu...

  • @nassoraliy3871
    @nassoraliy3871 Месяц назад

    Usiwe na haraka na usheikh subir alau uote ndevu

    • @AmourAmour-ux3nm
      @AmourAmour-ux3nm Месяц назад

      Vip ND kigez ch usheh wew chukua hoja km n mfuatiliaji zifuatilie

    • @ahmadmzoa74
      @ahmadmzoa74 Месяц назад

      Acha hasadi. Watu wapate faida. Yeye amekwambia anataka ushekhe?Acha husda.

  • @Kzm-c9u
    @Kzm-c9u Месяц назад +3

    Mnajisumbua tu kumjibu huyo Mbumbumbu Diwani, hata masufi wenzake hawazingatii porojo zake za kiganga. Allaah amuongoze

    • @RamadhaniShembilu-l1e
      @RamadhaniShembilu-l1e Месяц назад

      Hahaha😂😂😂 kweli ndugu huyu jamaa masufi wenzake wamemkataa wasema nimweupee hajulikani kusomea wap

  • @SalimOmar-r4g
    @SalimOmar-r4g Месяц назад

    Halafu Muna mpatia likes

  • @Bantu-u9m
    @Bantu-u9m Месяц назад

    Sheikh , muhimize Sheikh Diwani afungue comments tumsaidie aache kukufuru.

  • @twaibumikidadi7377
    @twaibumikidadi7377 Месяц назад

    walaykum salam
    shekh weka namba zako tuchangie uendeshaji wa vipindi
    Jazakum Allahu khayran

  • @SalimOmar-r4g
    @SalimOmar-r4g Месяц назад

    Acheni ujinga Yani nyinyi watoto wasasa mukisha juwa kitabu Cha kimoja ndio mna jiona munajuwa kusoma

  • @ahmadSeif860
    @ahmadSeif860 Месяц назад

    Zidsha kuwapoteza hao mambumbumbu wenzako, naona unaooroja tu

    • @ahmadmzoa74
      @ahmadmzoa74 Месяц назад

      Huna hoja zaidi ya maradhi ya moyo.

  • @nassoraliy3871
    @nassoraliy3871 Месяц назад

    Umetoke wapi huyu

  • @QureishMakame
    @QureishMakame Месяц назад

    Ime kuwa vizuri umepata kamera
    Allah ukuzidishie rizki nyengine

  • @nassoraliy3871
    @nassoraliy3871 Месяц назад

    Masheikh mko wapi mpaka dini anazungumziwa na matahira?

    • @HamzaAmani-b5j
      @HamzaAmani-b5j Месяц назад

      Huyu mtoto kakaliliswa nami nilikua mjinga kama huyu

    • @ahmadmzoa74
      @ahmadmzoa74 Месяц назад

      Uislamu ni Dini ya dalili. Nenda kwenye na uzipinge kwa dalili. Acha kabobo zisizokuwa na mpango.

    • @ahmadmzoa74
      @ahmadmzoa74 Месяц назад

      ​@@HamzaAmani-b5jAliekaririshwa hawi hivi. Huyu amekaa chini akasoma. Kama wewe hujasoma kuwa mpole, vumilia tu dawa ipite kata msuli. Poleni.

  • @HamzaAmani-b5j
    @HamzaAmani-b5j Месяц назад

    Yani nimeamini kweli mawahabi uwelewa mdogo sana kila anavyo fafanua shekhe diwani hawaelewi ukweli nilichi jifunza watu awanaushabiki wakimadhehebu lakini shekhediwani kaelewika we mtoto hunaelim yakumkosowa shekhe diwani hatamimi nilikuwa kama wewe ila kwenyeukweli nabidi nikubali diwani yupo sawa sisemi unafiki

  • @MbanoMrage
    @MbanoMrage Месяц назад

    Katika hali ya namna hiyo Diwani atakua kaelewa ila ubishi ndio utakaofuata

  • @fadhilimusa9732
    @fadhilimusa9732 Месяц назад

    Bachu na diwani ni wanafunzi sheikh wao niwewe uliosoma vitabu viwili tata لفظ nimtihani

    • @umbopaday
      @umbopaday Месяц назад

      Hata ukiijua laa ilaha illa Allahu ni ilm kumbwa kuliko kusoma maktaba ya nchi nzima na ukawa ahlul ziada yaani unazidisha mambo ambayo hayapo kwenye qur’ani wala sunnah sahihi

    • @fadhilimusa9732
      @fadhilimusa9732 Месяц назад

      @umbopaday kwa akili yako .mtume kaambiwa soma hajaambiwa laailaaha ilalah inatosha someni muondokewe na ujinga

    • @umbopaday
      @umbopaday Месяц назад

      @ wewe kichwa buyu siwezi kupigigizana kelele watu mlio laniwa we piga ziada zako vidufu na vinginevyo mpaka ufe 🖐️

    • @Islamiccontents_tv
      @Islamiccontents_tv Месяц назад

      Dufu Unalijua Mdogo Angu...?​@@umbopaday

    • @umbopaday
      @umbopaday Месяц назад

      @@Islamiccontents_tv Mimi babu yako kuwa na heshima nenda kasome kwanza acha vidufu

  • @HajiHaji-r6n
    @HajiHaji-r6n Месяц назад

    Tatizo je mtu akubali kukosolewa

  • @SalimOmar-r4g
    @SalimOmar-r4g Месяц назад

    Halafu nyinyi mawahabi na viristoo hakuna tofauti Sasa ni sheikh Gani hyo lugha ya kiaribu hajuw

  • @nassoraliy3871
    @nassoraliy3871 Месяц назад

    Kaa kimya usitupigie kelele

    • @mohagurey2214
      @mohagurey2214 Месяц назад +2

      Umekomenti mara ngapi kaka, 😂😂😂😂 mwambie Diwani wako haqi lazima ibainishwe, penda usipende

    • @MbwanaHusein
      @MbwanaHusein Месяц назад +1

      Kwako ww mjinga nikelele utajo wa Allah lakini kwetuss nifuraha kutajiwa jinaili la Allaha kwetu ss nineema Allaha ndiyo kilakitu kwetuss naww usiyejitambuwa naoo wagangawako

    • @nassoraliy3871
      @nassoraliy3871 Месяц назад

      Wewe umekwenda alau shele ya msingi?

    • @nassoraliy3871
      @nassoraliy3871 Месяц назад

      Usijibu kabla kuelewa

  • @nassoraliy3871
    @nassoraliy3871 Месяц назад

    Tutakupa mtaji utulie

    • @Abuu-lr5bz
      @Abuu-lr5bz Месяц назад

      Mtaji aliopewa na Allah nibora mno kuliko huo mtaji unaotaka kumpa wewe

    • @Abuu-lr5bz
      @Abuu-lr5bz Месяц назад

      Makafiri waliopita pia waliwaambia mitume yao kua wampe mtaji wa maisha ili atulie lkn mitume waliwajibu kua alichotupa Allah nibora na kheri zaidi kuliko mlivyopewa nyinyi
      Na elimu ya kumjua Allah nibora kuliko mitaji ya maisha ya dinia

    • @ABJADACADEMY
      @ABJADACADEMY  Месяц назад

      Nuru ya elimu inatosha maana sina dhiki na wala sijawahikumdhania Allah vibaya nikasingizia nyota kama mganga wenu

    • @ABJADACADEMY
      @ABJADACADEMY  Месяц назад

      Nuru ya elimu inatosha maana sina dhiki na wala sijawahikumdhania Allah vibaya nikasingizia nyota kama mganga wenu

    • @konandawise4550
      @konandawise4550 Месяц назад

      Kua na adabu nani alokuambia anashida na mtaji - kijana ana uhuru wake wa kubainisha na kutoa nasaha - acha kejeli

  • @mohagurey2214
    @mohagurey2214 Месяц назад

    Kumbe hata hio swarfa na balaqa na majazi tumechezwa😂😂😂 kisha sheikh Yusuf Diwani hakosei, mjue hivyo

  • @nassoraliy3871
    @nassoraliy3871 Месяц назад

    Haya mambo yameisha mbona unapenda sifa

    • @mohagurey2214
      @mohagurey2214 Месяц назад

      Hakuna kitu imeisha, mpaka haqi ikuwe wazi kwa wanaotaka, mliogopa kutusi watu tena😂😂😂o mkatoliki mdogo, o mwana haramu, mwisho mlichukiwa na watu wenu ikabidi muate matusi na hakuna kitu ingine mnaweza isipokuwa matusi 😂😂😂

    • @MbwanaHusein
      @MbwanaHusein Месяц назад

      Ww acha ujinga ayamambo ayajaisha mpaka wajinga wakimbiye

  • @nassoraliy3871
    @nassoraliy3871 Месяц назад

    Nenda tanga kasilimishe ndugu zako kwanza

    • @shabanihugo8332
      @shabanihugo8332 Месяц назад

      Shenzi wewe unatetea kafiri diwani,anayesema maneno ambayo hajawahi tokea hata siku moja ktk waislamu kusema hivyo

    • @darajanida
      @darajanida Месяц назад

      ​@@shabanihugo8332 anasema shekh mukbil mwenye kuwakufurisha waislamu huzingatiwa mbwa katika majibwa ya motoni

    • @shabanihugo8332
      @shabanihugo8332 Месяц назад

      @@darajanida chukia utakavyochukia

    • @shabanihugo8332
      @shabanihugo8332 Месяц назад

      Huyo ni kafiri

    • @darajanida
      @darajanida Месяц назад

      @@shabanihugo8332 sawa mimi na kunasih tu hilo nijambo zito sana kumkufurisha mtu nyinyi mawhabi pamoja na chafu mulionao kwenye aqudah lkin sisi hatuwakufurushi nyinyi kwasababu tunajuwa hatari yake kwahiyo wewe kama umechaguwa njia hiyo endelea

  • @Bantu-u9m
    @Bantu-u9m Месяц назад

    Sheikh Diwani hajamjuwa Alla, humuita hata ndugu yake Hussein alla, naye pia huitwa hivyo hiyo. Chunguza utaona mwazo wa video zao huitana yaalla.

  • @nassoraliy3871
    @nassoraliy3871 Месяц назад

    Huyu hana manhaj wala aqidah porojo tu

  • @iddimutua420
    @iddimutua420 Месяц назад

    A.aleikum
    Yussuf Diwani kila kitu kwake majibu yake matusi sasa kakatazwa kumtukana M.bachu sasa anaanza kututukana sisi tunao comment kibonzo huyu Yussuf Diwani badala alete majibu mazuri na yenye mashiko kwanini kafunga comment section yeye analeta matusi.Bure Kabisa huyu.

    • @omarabdi3604
      @omarabdi3604 Месяц назад

      @@iddimutua420 acha ujinga ww majibu mulete nyinyi wapi mtume sw ame gawanya tawhid 3 ama allah ame gawanya munahama mada munataka majibu ya nn sasa na nyie ndio wenye majib

  • @SalimOmar-r4g
    @SalimOmar-r4g Месяц назад

    Yan mtu anakaa anazungumza hata ushahidi hana ww ni sheikh kwel hahahaha kakojowe ulale

  • @nassoraliy3871
    @nassoraliy3871 Месяц назад

    Mitandao umetuletea jinamizi la majahiluun al murakkabuun kama huyu msegej wa tanga

  • @omarabdi3604
    @omarabdi3604 Месяц назад

    unaongea upumbavu hata elmu ww huna kwanza nenda ukasome ujifundishe tafsiri vizur sana

    • @mwalivanduabdul
      @mwalivanduabdul Месяц назад +1

      Mmmh ulikaa darasan angalau cku 2

    • @omarabdi3604
      @omarabdi3604 Месяц назад +2

      @@mwalivanduabdul sasa jiulize ww maaana kaz zenu dharu tu kila munae muona muna hisi hana elmu kwa sabab mume someshwa kubishana tu c jengine

  • @nassoraliy3871
    @nassoraliy3871 Месяц назад +1

    Kutaka umaarufu kutakupelekeni motoni

    • @HamzaAmani-b5j
      @HamzaAmani-b5j Месяц назад

      Nikweli zinamdanganya komenti huyu hajui

  • @fredyunga2138
    @fredyunga2138 Месяц назад

    Soma historia wewe. Neno Alllah lilitumika hata na wapagani kabla ya uislam. Acha uongo.

  • @nassoraliy3871
    @nassoraliy3871 Месяц назад

    Sio umri mdogo ata akili yako ndogo

  • @ahmadSeif860
    @ahmadSeif860 Месяц назад

    Wewe mshenzi tunajua unatafta viewers tu ktk Chanel yko, hvo unavyoongea inaonesha wazi umehifadhishwa maneo na Kuja kuporoja hapo, huna unachokijua ww mkatoliki, kafiri na huyo bachu wako,
    Hahahaha, napua lako Kama kwato la punda!! Acha ujinga ww mtoto wa kikatoliki.

    • @hajimasoud7210
      @hajimasoud7210 Месяц назад

      Nawewe ongea yako tuone Kama utaweza

    • @ShabaniWabiga
      @ShabaniWabiga Месяц назад

      Mche Allah

    • @ahmadmzoa74
      @ahmadmzoa74 Месяц назад

      Toa hoja. Muislamu wa kweli hatukani. Huyu kijana yupo katika juhudi. Kama umeumia, pole vumilia hamna jinsi. Jifunze ujibu hoja, acha matusi hayasaidii kitu.

    • @ahmadmzoa74
      @ahmadmzoa74 Месяц назад

      Huyu kijana ni mkatoliki??? Angalia ukatoliki usije ukakurudia....

  • @nassoraliy3871
    @nassoraliy3871 Месяц назад

    Kwani umepitia marakiz gani wewe ?

  • @nassoraliy3871
    @nassoraliy3871 Месяц назад

    Nenda tanga kasilimishe ndugu zako kwanza

  • @nassoraliy3871
    @nassoraliy3871 Месяц назад

    Kwani umepitia marakiz gani wewe ?

    • @mohagurey2214
      @mohagurey2214 Месяц назад

      Markaz ya sunnah sio zile za uchawi kama huyo sheikh wenu 😂😂😂

    • @ABJADACADEMY
      @ABJADACADEMY  Месяц назад

      @@nassoraliy3871 Markazi ya waja wema waliotangulia

    • @shabanihugo8332
      @shabanihugo8332 Месяц назад

      Shenzi wewe unachumia quruan

    • @shabanihugo8332
      @shabanihugo8332 Месяц назад

      Halafu unamtetea Yusuphu diwani kafiri huyo

    • @darajanida
      @darajanida Месяц назад

      ​@@shabanihugo8332kuwa makini na kukufurisha watu kama sikafir hilo neno haliend bure kwamujibu wa mtume s.a.w kwahiyo kuwamakin ila si hivo utachomeka