MAWAHABI NA WAKRISTO NI SAWA?| VIGAWANYO VYA TAUHIYD| Muhammad Bachu | BWAJUMWALI KENYA 11/12/2022.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 7 фев 2025

Комментарии • 77

  • @dhahirdin
    @dhahirdin 2 года назад +7

    HAKIKA ya ALLAH akuhifadhi na akulinde na akupe afya njema na akupe hitaji lako na akupe mwisho mwema na akuingize PEPONI Tena Firdausi Yani umefasili vyema wallah mieuku nimekosheka sana Tena mno

    • @mudybeka6698
      @mudybeka6698 Год назад

      Aamin

    • @MohammedOmars
      @MohammedOmars 9 месяцев назад

      ​@@mudybeka6698😅😅😅😅😅😅😅😅😅😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😅

  • @RashidMohamed-f9s
    @RashidMohamed-f9s 3 месяца назад

    Sheikh hawawezi kukuelewa masufi kwa sabab waanzilish wa mataasul ni wao sasa sisi ambao tunakuelewa ALLAH akuhifadhi Sheikh

  • @RamadhaniShembilu-l1e
    @RamadhaniShembilu-l1e 28 дней назад

    Wallahi ambae hajaelewa bas aidha nimnaafiki au ni juha kupitiliza,allah akulipe shekhe letu,twakupenda sana ❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @chigoboy38
    @chigoboy38 2 года назад +4

    Shekh nakupenda kwa ajili ya Allah acha kusema mungu, au mwenyezimungu,

  • @omarally6819
    @omarally6819 2 года назад +3

    Shekhe Muhammad maashaa Allaah umejibu vizuri sana Allaah akulipe kheri

  • @IsmailOmar-h6g
    @IsmailOmar-h6g 5 месяцев назад

    M a chwakupenda Sanaa shekh langu Muhammad bacho

  • @ramadhanihamisi3977
    @ramadhanihamisi3977 2 месяца назад

    allah akuhifadhi shekh muhammad bachu

  • @salumhassanallymkurdistan7006
    @salumhassanallymkurdistan7006 3 месяца назад

    MOHAMED ACHA KIBURI MCHE ALLAH

  • @HassanAli-eq8ko
    @HassanAli-eq8ko 2 года назад +1

    Mashaallah jazakumllah kheir ust uko p

  • @mwaramimwarami1479
    @mwaramimwarami1479 2 года назад +2

    Baaraka llahu fik, shukran sheikh Mohammed

  • @shabanimataka8418
    @shabanimataka8418 2 года назад +1

    Shekh tumekuelewa sana na allah atupe pepo yake kwa neema zake, ila mungu sio jina miongoni mwa majina ya allah...

    • @mudybeka6698
      @mudybeka6698 Год назад

      Aamin

    • @AllyHussein-so1hr
      @AllyHussein-so1hr 4 месяца назад

      BIDAA hii ya utatu inapigiwa Debe Sana ingawa mtume s. a.w. hakuifundisha

  • @MohamefMullah
    @MohamefMullah Год назад +2

    Tawhid ni moja tu kumpwekesha M.mungu hakuna sababu ya kuzungukazunguka wakati wa mtume hakukuwa na tauhid tatu mumetowa wapi mbona jibu lenye akili hutowi

  • @ShuaibuMsofe
    @ShuaibuMsofe Год назад

    Mnafanya bid aa

  • @omarally6819
    @omarally6819 2 года назад +3

    Na mwisho tunasema laa hawla walaa quwwata illaa billaah.

  • @abubakarabdulrahman286
    @abubakarabdulrahman286 2 года назад

    MAA SHAA ALLAH ALLAH AWABARIKI MASHEIKH

  • @kaliskaguzkalis4424
    @kaliskaguzkalis4424 2 года назад +1

    Basi na sisi Tumpwekeshe Allah SW katika ibada zote tusije tukalaumiwa km walivyolaumiwa Mayahudi na Manaswala

  • @hamdiabdi1420
    @hamdiabdi1420 2 года назад

    Hata katika manaswra pia wamegawanyika katika utatu....... fahamu Hilo

    • @ramaadam3551
      @ramaadam3551 2 года назад

      Kichwa chako kigumu kama ujaelewa apo kwenye hiyo aya autaelewa mbaka unakufa Kaa kiushabik shabik hivyo hivyo tu

    • @hamdiabdi1420
      @hamdiabdi1420 2 года назад

      @@ramaadam3551 hamasa Ni za za Nini mahemko Ni ya Nini Realx Mimi Ni Swali tu nimeuliza uzuri ulikua unijibu Na unyamaze tu

    • @ramaadam3551
      @ramaadam3551 2 года назад +2

      Sasa Kwan shekh kajib swal gan apo si Ilo Ilo lavigawanyo na kachambua vizur na ajatumia akil yake ni Aya ya Quran ndio imegawanya sio yeye we unavyoona mgawanyo huo aliouweleza ALLAH apo kweny hiyo aya na mgawanyo wamanaswara ni sawa? Kama sio sawa yanin kuludie swal ambalo lishajibiwa

    • @FaruukHbalil
      @FaruukHbalil 28 дней назад

      Hao wanao uliza hawajaweza kutafautisha nini tawhid naninani Alla ,ndio maana wanasema "Alla amegawika" Baadae wafafanulie hiyo Aya ya utatu wa ukirsto, labda watafahamu Ahsant sh.muhammad.

  • @hindamir2008
    @hindamir2008 Год назад

    Hujajibu swali

    • @MuhammadMuhammad-lq2um
      @MuhammadMuhammad-lq2um 4 месяца назад

      Ana zunguka sana hajaongea kitu na hawezi kutete hio hoja maisha yake

  • @IbrahimIsmail-te7mw
    @IbrahimIsmail-te7mw Год назад +1

    Alouliza swali ilo ni mchungaji au myahudi

  • @mudarrib5427
    @mudarrib5427 2 года назад

    shukran

  • @omarally6819
    @omarally6819 2 года назад +2

    Na mtihani utabakia kwa waislamu wasioijua Dini yao kwa uhakika balu wanakwenda kwa kuiga na kuzingatia walivyo waona wazee wao na mashekhe zao wakifanya na kuamini

  • @Ustadhihamza
    @Ustadhihamza 11 месяцев назад

    Jibu swali uliloulizwa acha kujikanyagakanyaga

  • @SaidKhalifa-x4o
    @SaidKhalifa-x4o Год назад

    Bachu wangonjwa mambrui ukatete itikadı yk😂😂

  • @alimasiga8422
    @alimasiga8422 Год назад

    Haya matamshi ya tawheed ni Mungu 3 km wakiristo imenezwa sana na watu wa Twarika kuaribia watu wa Sunnah na kueneza propaganda.

  • @benjaminkangolo2017
    @benjaminkangolo2017 2 года назад

    Allah Akbar

  • @hamdiabdi1420
    @hamdiabdi1420 2 года назад +1

    Na la kigawanyo hicho Ni Sawa mbona hakufanya mtume sallallahu alaihi wa alihi wassallam?
    Mbona hakufanya maswahaba?
    Mbona hawakuyafanya watu wa qarne Bora,?
    لوكان خيرا لسبقونا إليه
    لوكان خيرا

  • @ramadhanihamisi3977
    @ramadhanihamisi3977 2 месяца назад

    swali limejibiwa tena kwa vitendo lakini mtu anatuma sms anasema swali halija jibiwa jamani tumche allah na tuache ushabiki ktk dini ya allah

  • @Nevershot
    @Nevershot Год назад +3

    Ninachompendea sheikh Muhammad ni maelezo yake ni muruwa kabisa

  • @AbdallahMtimkavu-gk8bh
    @AbdallahMtimkavu-gk8bh Год назад

    Swali halijajibiwa swali kwnn mgawe tawuhidi

  • @IsmailSanga
    @IsmailSanga 8 месяцев назад

    Swali ninani alieigawanya hi tawhid mara 3?ni Mtume au Maswahaba?
    Mtume alishasemaga RUBUBIA,ASMAA WASIFAT,ULUHIA?
    Lete kitabu chenye kuonyesha Mtume ametamka hayo maneno.

  • @G.r.e.a.t.I.Q
    @G.r.e.a.t.I.Q Год назад

    Kwa ilmu hiyo mbona iko wazi kabisa kwamba haihusiani na trinity(utatu) wanao uabudia wakristo?
    Huyo Sheikh aliye uliza, kapata wapi na vipi cheo hicho?

  • @athmanbabusa8020
    @athmanbabusa8020 2 года назад +1

    Athman akiwa na sifa ya upishi. Je, ni watu wawili tofauti?

  • @makameally1962
    @makameally1962 2 года назад +2

    Rabbi ndo ilah na ilah ina sifa ndo hiyo hiyo moja haina haja ya kuigawanya

    • @abdulrahmanabubakar5127
      @abdulrahmanabubakar5127 2 года назад

      Hakujagawanywa kitu isipokuwa imefafanuliwa ....na hapo kaleta Aya ambayo imefafanuwa ....usikubali ujinga ukutawale utafeli maishani

    • @makameally1962
      @makameally1962 2 года назад

      @@abdulrahmanabubakar5127 jee mtume kagawanya tawheed??!

    • @abdulrahmanabubakar5127
      @abdulrahmanabubakar5127 2 года назад

      @@makameally1962 tawheed haijagawanywa mara tatu , ni imefanunuliwa zile njia ambazo unafaa kufanya tawheed , kusema kwamba yeye ni Muumba peke yake, hakuna wakuabudiwa Ile yeye na asiitwe mwengine kwa jina ama sifa ambazo ni zake yeye..... Haijagawanywa

    • @ramaadam3551
      @ramaadam3551 2 года назад

      Kwan shekh kachambua maneno yake au kachambua Aya ya Quran? ALLAH ndio aliesema yeye ndie rabbi na yeye ndie anaestahik kuabudiwa na majina yake yaliokuwa mazur Sasa ilikuwa haja gan Aya kueleza yote hayo siingeixhia tu kweny rabbi ssamaawat wal'ardhw wamaa baina hhumaa shekh hii din jaman tuache ushabik shekh kaichambua aya inavyosema

    • @makameally1962
      @makameally1962 Год назад

      Tawhed haiwez kugawanywa

  • @BushDoctor-dw8el
    @BushDoctor-dw8el 4 месяца назад

    Kwanza hakuna kauli ya tawhihidi ndani ya Qur'an bali ni الدين الخالص
    Unaposema tawhidi ni ku unite ...kuunganisha kuwa kitu kimoja.

  • @rashid3562
    @rashid3562 2 года назад

    Hicho mnachokifnya hakifai

  • @i_gabbykisalo4280
    @i_gabbykisalo4280 2 года назад

    Wakristo wanaitakidi kwamba MUNGU BABA, MUNGU MWANA na MUNGU ROHO nikitu kimoja. Wenyewe hawasemi kwamba MUNGU ROHO ni Jibril hiyo ni tafsir yetu sisi waislamu.
    Wanasema wote hao nikitu kimoja japokuwa wamegawa sehemu 3.

    • @checkcheck5191
      @checkcheck5191 2 года назад

      Hiko kitu kimoja ndo kipi sasa?

    • @i_gabbykisalo4280
      @i_gabbykisalo4280 2 года назад +1

      Mungu baba, Mungu mwana na Roho mtakatifu vyote nikimoja. Wenyewe wanasema:
      HAPO MWANZO KULIKUWA*NENO*, NAYEYE *NENO* ALIKUWA KWA MUNGU, NA HUYO *NENO* NDO MUNGU.

  • @nasrarichadi2278
    @nasrarichadi2278 Год назад

    Tatizo ni kwamba hata adabu ya kielimu hauna

  • @golonguoyemchina4937
    @golonguoyemchina4937 4 месяца назад

    Adabu yako ni mdogo sawa aisee wewe kijana salaaaalaa

  • @hamisisalimu6908
    @hamisisalimu6908 16 дней назад

    Naomba dalili ya aya au hadithi, mtume hakutoa hata hadithi moja ya tauhidi tatu

  • @KameBakari-s2v
    @KameBakari-s2v 3 месяца назад

    Huyu ana bla blatu ujanja mwingiii

  • @hamisiomary9777
    @hamisiomary9777 Год назад

    Kusha kwama towa hadisi kamawewe inavyo washurutisha watu was maulidi

  • @Izikiel55
    @Izikiel55 2 месяца назад

    Shekh😂!! Roho Mtakatifu sio malaika Gibril shekh! Mnakwama wapiiii!!!? Iweje had leo hii kwa usomi wenu mkasema Roho Mtakatifu ni gibril!!?😅 Duh kwel sion shaka kuwa katika Kristo

  • @MohamefMullah
    @MohamefMullah Год назад

    Bachu jielewe usipayuke payuke ovyo kwani mtume amefundisha hiyo tauhid 3 au ni moja ya bidaa zenu za kiwahabi tu sema usikike

  • @MahmoudBabura
    @MahmoudBabura Год назад

    wacha porojo sheikh hiyo ndio bidaa safi

  • @salumjabir813
    @salumjabir813 Год назад

    🤣🤣🤣🤣

  • @fatmaomari7824
    @fatmaomari7824 2 года назад

    Yaani wewe ni majinun zifte yaani

    • @husseinmwiti2801
      @husseinmwiti2801 2 года назад

      Kua na Adabu wewe maana nyie mlipokosa kujua hili somo la tawheed manaenda kuombewa siku hizi makanisani na pasta ezekiel majaoni shenzi sana wewe

  • @KHALIFAMPYA-TV
    @KHALIFAMPYA-TV 2 года назад

    Kwan mtume S.a.w kaigawa hiyo tauhid. Mnatupiga changalamacho. Bado hoja zako hazilishi unaongea ongea tu kwa fikira zako.

    • @ahmedsaid-rx1bb
      @ahmedsaid-rx1bb 2 года назад

      Kasome vizuri mwalim

    • @KHALIFAMPYA-TV
      @KHALIFAMPYA-TV 2 года назад

      Wapi hadith kaigawa tauhid au hata aya Allah kaigawanya hiyo tauhid shida mnadandia treni kwa mbele hamjui mwanzilishi wa hicho kitu kakusudia kitu gani.

    • @ahmedsaid-rx1bb
      @ahmedsaid-rx1bb 2 года назад +1

      @@KHALIFAMPYA-TV Bado nakwambia tena zidi kusoma mwalim ili ujuwe kutumia elimu yako vizuri

    • @KHALIFAMPYA-TV
      @KHALIFAMPYA-TV 2 года назад

      Hamna kitu hapo we ndo ukasome

    • @KHALIFAMPYA-TV
      @KHALIFAMPYA-TV 2 года назад

      Hamna kitu hapo we ndo ukasome