ABJAD# ACADEMY
ABJAD# ACADEMY
  • Видео 77
  • Просмотров 55 798
RAMLI ZIMEFELI//KWANINI WAHARIBIKIWA//QUR'AN YAWEKA WAZI//Ust. Baqir@ABJAD ACADEMY.
Kuna mambo mengi wapiga ramli wanashindwa kubainisha kwa ramli zao. Na hili ni kwasababu ramli si kipimo sahihi cha kutazamia matatizo.
Ramli kwa kiasi kikubwa hutumika kufitinisha wanandugu na jamaa. Ramli haina tabia ya kupatanisha.
Na kwasababu hiyo Bwana Mtume (saw) amekemea na kukataza kabisa kwa amri ya Allah (sw).
Просмотров: 495

Видео

UWONGO WA DIWAN PEUPE//JINA SI MAFANIKIO//UWEZO JINI MBELE YA BINADAMU//Ust. Baqir@ABJAD ACADEMY.
Просмотров 7357 часов назад
Hii ni rasharasha tu. Tutakuja kuelezea kwa kina zaidi kuhusu uwezo wa majini na binadamu. Ndugu yangu mtazamaji katika channel hii utagundua uongo mwingi ufanywao na usemwao na makuhani pamoja na madajjali waliovaa vazi la ushekhe. Ukitaka kujua ukweli usimwangalie mtu avaavyo au cheo ckake kwani wadanganyifu ni wengi sana zama hizi za mwisho. Subscribe kama bado na shea kwa wengine utakuwa ka...
SHEKH DIWANI APOROJA??? AWEKWA KIZUIZINI. APEWA ONYO KALI//Ust. Baqir@ABJAD ACADEMY.
Просмотров 1,5 тыс.12 часов назад
SHEKH DIWANI APOROJA??? AWEKWA KIZUIZINI. APEWA ONYO KALI//Ust. Baqir@ABJAD ACADEMY.
MASHEKH WAPIGA RAMLI MZOZONI.SIRI ZAO ZABAINISHWA//Ust. Baqir@ABJAD ACADEMY.
Просмотров 70812 часов назад
Ustadhi abainisha kuwa anachokisema ni kitu alichosomeshwa na kukifatilia kwa kina zaidi. Na amejaribu kutumia njia mbalimbali kuthibitisha uhakika wa fanni hii lakini alichogundua asilimia kubwa ni uongo, lakini hivy vya kweli asilimia kubwa ni ukafiri. Tahadhar ni kwa yule asomae haya masomo kuna hatar ya kuwa mtu mbaya, Allah atupe hidaya na atuongoze.
RAMLI NI HARAM JAPO AFANYA SHEKH. QUR'AN YABAINISHA HILO.//Ust. Baqir@ABJAD ACADEMY
Просмотров 1,8 тыс.16 часов назад
RAMLI NI HARAM JAPO AFANYA SHEKH. QUR'AN YABAINISHA HILO.//Ust. Baqir@ABJAD ACADEMY
MASUFI NI WAKATOLIKI??? NI UPI UKWELI KUHUSU HAYA?//Ust. Baqir@ABJAD ACADEMY
Просмотров 2,1 тыс.21 час назад
MASUFI NI WAKATOLIKI??? NI UPI UKWELI KUHUSU HAYA?//Ust. Baqir@ABJAD ACADEMY
WAGANGA WA NYOTA PEUPE.//UONGO WAO WABAINIKA//Ust. Baqir@ABJAD ACADEMY.
Просмотров 1,2 тыс.День назад
Kama hauja subscribe SUBSCRIBE sasa. Mengi tutakubainishia ili ubakie salama na matapeli hawa wa nyota za kichawi.
SHEKH DIWANI ASOMESHWA TENA//ALETA TAFSIR YA UONGO//Ust. Baqir@ABJAD ACADEMY
Просмотров 1,6 тыс.День назад
SHEA NA WENGINE WAFAIDIKE NA ELIMU ZA WANAZUONI WETU WALIOJITAHIDI KATIKA DINI.
SHEKH DIWANI ASOMESHWA SWARFA//ARUDI DARASANI//Ust. Baqir@#ABJAD ACADEMY
Просмотров 94514 дней назад
Huu ndo mtazamo wa wanachuoni wote, atakayepita jia isiokuwa hii ameenda kombo
SHEKH DIWANI NA MUNGU MPYA//AIKATAA QURAN AZUA TAFSIRI YAKE.//Ust. Baqir@#ABJAD ACADEMY
Просмотров 4,5 тыс.14 дней назад
SHEKH DIWANI NA MUNGU MPYA//AIKATAA QURAN AZUA TAFSIRI YAKE.//Ust. Baqir@#ABJAD ACADEMY
MCHUNGAJI CHAKA AJIBIWA.//JINA LA MUNGU LAJULIKANA KTK QUR'AN.//Ust. Baqir@#ABJAD ACADEMY.
Просмотров 1,3 тыс.14 дней назад
Ieleweke kuwa Qur'an neno Allah limetumika kikamilifu kumtambulisha Mwenyezi Mungu (sw). Na hii ndio tafsiri halisi ya wafasiri wa Kitabu cha Allah. Allah ni jina lilobeba maana yote ya ukamilifu kama ambavyo Yahwe/Yehova ilovyotafsiriwa na wanatafsiri wa Torati. Hivyo Mwenyezi Mungu ni mmoja tu, Yeye ndo Mungu wa wayahudi, wakristo na waislamu pia. Isipokuwa kalamu za waovu zimejaribu kubadili...
SHEKH YUSSUF DIWAN AUMBUKA.//UCHAWI KUSOMESHWA HADHARANI.//Ust. Baqir@#ABJAD ACADEMY.
Просмотров 2 тыс.14 дней назад
SHEKH YUSSUF DIWAN AUMBUKA.//UCHAWI KUSOMESHWA HADHARANI.//Ust. Baqir@#ABJAD ACADEMY.
SHEKH DIWANI APIGIKA HADHARANI//KITOTO CHATANGAZA VITA YA ELIMU//#Ust. Baqir#@ABJAD ACADEMY.
Просмотров 4,5 тыс.21 день назад
SHEKH DIWANI APIGIKA HADHARANI//KITOTO CHATANGAZA VITA YA ELIMU//#Ust. Baqir#@ABJAD ACADEMY.
SHEKH YUSUF DIWAN AADHIRIKA //APATA KICHAPO KIZITO //#Ust. Baqir@ABJAD ACADEMY.
Просмотров 3,5 тыс.21 день назад
SHEKH YUSUF DIWAN AADHIRIKA //APATA KICHAPO KIZITO //#Ust. Baqir@ABJAD ACADEMY.
SHEKH YUSUF DIWANI KIKAANGONI#Ust Baaqir AMJIBU KWA HEKMA///ABJAD ACADEMY.
Просмотров 4,2 тыс.21 день назад
SHEKH YUSUF DIWANI KIKAANGONI#Ust Baaqir AMJIBU KWA HEKMA///ABJAD ACADEMY.
MADHEHEBU NYUMA YA PAZIA LA.....//SIRI NZITO YAFICHUKA//MASHEKHE TAHARUKI#Ust. Baaqir#@ABJAD ACADEMY
Просмотров 58628 дней назад
MADHEHEBU NYUMA YA PAZIA LA.....//SIRI NZITO YAFICHUKA//MASHEKHE TAHARUKI#Ust. Baaqir#@ABJAD ACADEMY
MADHEHEBU NI UKAFIRI!!?//#SIRI YAVUJA#MASHEKH WASHTUKA//#by Ust. Baqir@ABJAD ACADEMY.
Просмотров 1,5 тыс.Месяц назад
MADHEHEBU NI UKAFIRI!!?//#SIRI YAVUJA#MASHEKH WASHTUKA//#by Ust. Baqir@ABJAD ACADEMY.
MIMI SI MWANAHARAMU WA ELIMU. Ust. Baaqir AJIBU KWA UKALI.#@ABJAD ACADEMY.
Просмотров 4,9 тыс.Месяц назад
MIMI SI MWANAHARAMU WA ELIMU. Ust. Baaqir AJIBU KWA UKALI.#@ABJAD ACADEMY.
JE, MASUFI WASHIRIKINA???#Kwa kupinga TAUHID???#By Ust. Baaqir.//#ABJA#ACADEMY.
Просмотров 1,1 тыс.Месяц назад
JE, MASUFI WASHIRIKINA???#Kwa kupinga TAUHID???#By Ust. Baaqir.//#ABJA#ACADEMY.
UONGO WA MASUFI WABAINIKA.#By Ust. Baaqir//#@ABJAD# ACADEMY.
Просмотров 2 тыс.Месяц назад
UONGO WA MASUFI WABAINIKA.#By Ust. Baaqir//#@ABJAD# ACADEMY.
SUNI NA SHIA NI CHANGAMOTO.#Mimi ni nani???//#By Ust Baaqir//ABJAD ACADEMY.
Просмотров 1,4 тыс.Месяц назад
SUNI NA SHIA NI CHANGAMOTO.#Mimi ni nani???//#By Ust Baaqir//ABJAD ACADEMY.
TAUHID NI TATU TU BACHU HUJAKOSEA, HAWANA HOJA ILA MATUSI TU.#Ust Baaqir.#ABJAD#ACADEMY.
Просмотров 10 тыс.Месяц назад
TAUHID NI TATU TU BACHU HUJAKOSEA, HAWANA HOJA ILA MATUSI TU.#Ust Baaqir.#ABJAD#ACADEMY.
MIDAHALO NI KAMPENI ZA VYAMA VYA SIASA.#Ust. Baqir.#@ABJAD# ACADEMY.
Просмотров 267Месяц назад
MIDAHALO NI KAMPENI ZA VYAMA VYA SIASA.#Ust. Baqir.#@ABJAD# ACADEMY.
MASHIA KUPATANA NA SUNNI#Ust. Baqir#ABJAD# ACADEMY.
Просмотров 236Месяц назад
MASHIA KUPATANA NA SUNNI#Ust. Baqir#ABJAD# ACADEMY.
MAAJAABU YA KUSHANGAZA YA QIYAMA.#By Ust. Baqir#ABJAD# ACADEMY.
Просмотров 412 месяца назад
MAAJAABU YA KUSHANGAZA YA QIYAMA.#By Ust. Baqir#ABJAD# ACADEMY.
HAMU YA UMAUTI NA ATHARI ZAKE.#By Ust Baqir.
Просмотров 362 месяца назад
HAMU YA UMAUTI NA ATHARI ZAKE.#By Ust Baqir.
QIAMA KINAVYOSISIMUA NYOYO.#By Ust. Baqir.#Tafadhali subscribe kama bado
Просмотров 362 месяца назад
QIAMA KINAVYOSISIMUA NYOYO.#By Ust. Baqir.#Tafadhali subscribe kama bado
JINSI YA KUMSHINDA ADUI YAKO.#UST. BAAQIR
Просмотров 312 месяца назад
JINSI YA KUMSHINDA ADUI YAKO.#UST. BAAQIR
SAYANSI YA HIJRA YA MTUME(SAW).#By Ust Baqir
Просмотров 422 месяца назад
SAYANSI YA HIJRA YA MTUME(SAW).#By Ust Baqir
NINI CHANZO CHA MATOKEO MAZURI NA MABAYA?#By Ust. BAQIR.
Просмотров 332 месяца назад
NINI CHANZO CHA MATOKEO MAZURI NA MABAYA?#By Ust. BAQIR.

Комментарии

  • @Yu-jr9uf
    @Yu-jr9uf 13 часов назад

    assalaam alykum warahmatullah wabarakatuh, tunanufaika shekn na darsa zako na hakika zinatufunza na kuendelea kutusogeza mbali na shirki

  • @jafarikaoneka4890
    @jafarikaoneka4890 17 часов назад

    Waganga hutanguliza maslah yao kwanza ndio Allah baadae

  • @IssaLuhindi
    @IssaLuhindi 22 часа назад

    Allah Azidi kukihifadhi Sheikh. Muda sasa umefika Waisilamu waamke waache kudaganywa na Waganga na wapiga Ramli. Kwenye hili hakuna cha Wahabi wala cha Khurafi wala tusilete matusi, kilichoongelewa hapa ni Qur'an na Hadith Sahih. Baada ya hapo, yule atakayejisikia kuwa ana kifua cha kupinga Qur'an na Hadith Sahih, asubiri matokeo kwa Allah Subhana Wata'ala. Allah Atuhifadhi na Atuongoze sisi sote

  • @eidallyeidally5093
    @eidallyeidally5093 22 часа назад

    kichwa cha habar unaandika kihuni unahofia wino utaisha?

  • @ishakakhalid
    @ishakakhalid День назад

    ndioo. 😂

  • @ahmadSeif860
    @ahmadSeif860 2 дня назад

    Wewe mchumba kama kweli umsomi ebu tafuta Mada yako uizungumze /uifundishe, nasio kuparamia Mada za watu, unasubiri watu wazungumze Kisha na ww ujitie Kati Kati kama nzi, ebu jarbu kutafta Mada japo 1 yakwako utuoneshe kama kweli una elimu, acha ujnga ww Shoga, yan wewe huna tofauti na mauzinde, unaoenda sna kushoboka kwa sheikh diiwa,, sheikh Hana tabia ya kuparamia viuno vya wanaume, katafte mashoga wenzako wakuparamie,, acha kujipendekeza kwa sheikh diwan, Hana mda na ww,, ebu jua kukataliwa ww shoga. Hzo Aya zako hata mwenzako mauzinde anazijua,, mpumbav wa kikatoliki ww.

  • @yammuhamed736
    @yammuhamed736 2 дня назад

    Chakula chako kipo jikoni ewe mtovu wa adabu na mashekh zetu

  • @hanunahubbi
    @hanunahubbi 2 дня назад

    al akhy kazia hapo hapo allah akuongoze

  • @Mkombozi-j3p
    @Mkombozi-j3p 2 дня назад

    Shekh diwan hana hja yakukjb kikara gosi ww

  • @Mkombozi-j3p
    @Mkombozi-j3p 2 дня назад

    Mmmh kasome eti wa mradi Yusuf Diwan wji elewa kwn

    • @HassanIddy-v1b
      @HassanIddy-v1b 2 дня назад

      Alaaa kumbee umechomwa sindano😂😂 nitamu au chunguu😊 vumilia oo poleeeeee😂

    • @Mkombozi-j3p
      @Mkombozi-j3p 2 дня назад

      @HassanIddy-v1b shindano gn uyo Dogo anahoja gn kwn naon ni zuzutu hajui anacho sema

  • @Mkombozi-j3p
    @Mkombozi-j3p 2 дня назад

    Ust kanzu

  • @Mkombozi-j3p
    @Mkombozi-j3p 2 дня назад

    We kumbe huji elewii

  • @jafarikaoneka4890
    @jafarikaoneka4890 2 дня назад

    Diwani na Sule wanawafanya wakristo waamini Uislam ni dini ya Majini.

  • @MuhammadHakiim-n4z
    @MuhammadHakiim-n4z 2 дня назад

    Assalam alaykum wazungumza nini????

  • @MuhammadHakiim-n4z
    @MuhammadHakiim-n4z 2 дня назад

    Assalam alaykum wazungumza nini????

  • @MuhammadHakiim-n4z
    @MuhammadHakiim-n4z 2 дня назад

    Assalam alaykum wazungumza nini????

  • @MuhammadHakiim-n4z
    @MuhammadHakiim-n4z 2 дня назад

    Shekh kwan wazungumza nin???

  • @mohagurey2214
    @mohagurey2214 2 дня назад

    Akhi watu wengi washajuwa hawa kina Diwani ni wachawi tu, endelea kudhalilisha wao. Na uongeze video ya dr. Sule ya juzi anadhalilisha watu kiwanjani

  • @mohagurey2214
    @mohagurey2214 2 дня назад

    Yeye mwenyewe anaomba vifaa kila siku pamoja na wanafunzi wake, mbona wasitumie nishati zao na kutafuta pesa kuliko kuomba watu daily

  • @kimchinakucha834
    @kimchinakucha834 3 дня назад

    Diwani nimuha analeta kabila lake kwenye dini mwisho wake ana kufuru kwakujua au kwakutojua allah amuongoze mshirikina huyo

  • @HassanIddy-v1b
    @HassanIddy-v1b 3 дня назад

    Diwani mpaka lini ataacha uhuni wake katika dini?!😢اللهم جنبنا فتنة هذا الرجل الخبيث Ewe mungu wetu wa haki(allaah) tuweke mbali na fitna ya huyu mtu mchafu wa matendo:

  • @SaleheKhamis
    @SaleheKhamis 3 дня назад

    Huyu sishekh nimuhuni anabaleghe tu

    • @kimchinakucha834
      @kimchinakucha834 3 дня назад

      Akiwaambia ukweli ndio ana balekhe kumbe

    • @HassanIddy-v1b
      @HassanIddy-v1b 3 дня назад

      Uchizi ni fani kweli😂 acha matusi lete hoja ya kielimu

    • @mohagurey2214
      @mohagurey2214 2 дня назад

      Anabalehe kwa njia ya haqi lakini kuliko uchawi wenu

    • @ahmadSeif860
      @ahmadSeif860 2 дня назад

      Hana njia ya haki hata moja, kama ni Aya anazoztoa znawalaghai bas waimbaj kwenye nyimbo wanatoa Aya, uyu mpuuz atafte pahala akasome nasio kupoteza muda hapa, asijiingze kwenye mambo ya kielimu wakat Hana elimu, kumkosoa mtu ni jambo kubwa sana, sio ukurupuke tu,,, tusifanye mchezo na elimu,

  • @memaclaudi-qz4tq
    @memaclaudi-qz4tq 3 дня назад

    WEWE NI KIJIKAFIRI KIDOGO TU KAMA VIJIKAFIRI VIDOGO VINGINE KASOME KWANZA

  • @memaclaudi-qz4tq
    @memaclaudi-qz4tq 3 дня назад

    DOGI RUDI KWANZA DARASANI UNAKUFURISHA WATU AMBAO WAO HAWAMO KTK HILO KAMA NYIE MAKFIRI WA KIHABI MNAVYOFANANA NA WALOKOLE

  • @salimmohamedakidzmoh6993
    @salimmohamedakidzmoh6993 3 дня назад

    Weee mbona naona wababaisha hata kiswahili hufahamu maanake huelezi dini wala hiyo teknologia huna walau taarifa yake ungetupatia bac hujaeleza chochote kululuma tu kama bajaji mbovu......

    • @ABJADACADEMY
      @ABJADACADEMY 3 дня назад

      @@salimmohamedakidzmoh6993 we kama waona ndivy shekh alivyosema unga mkono rai yake, lkn mie nasema kakosea, na kwakuwa amesema ataendelea na mimi nitaendelea kumpinga mpaka aache wenye akiki washajua km kaenda kombo

    • @salimmohamedakidzmoh6993
      @salimmohamedakidzmoh6993 3 дня назад

      @ABJADACADEMY aaah endelea kutafta umaarufu ndo mana uko busy kujibu comments views elfu likes kumi na tatu za wajomba zako nenda ukasoma ukiwasikilizisha watu yawe maneno yenye faida sio kutuharibia bundles kuskiza porojo tu.......tutakuita shekh comment hta shekh halikufai lakn mr. Comments litakufaaa

    • @ABJADACADEMY
      @ABJADACADEMY 3 дня назад

      @salimmohamedakidzmoh6993 uonavyo wewe unaweza kuniita, nami nitaitika kwa kuwa umependa kuniita hivy

  • @mohagurey2214
    @mohagurey2214 3 дня назад

    Yaani hii ni practical kwa kina Diwani

  • @hassanrangambo8007
    @hassanrangambo8007 4 дня назад

    Sheikh wewe tupe elimu Ili ubainishe elimu Yako zaidi hapo naona umezama kwenye kukosoa

    • @ABJADACADEMY
      @ABJADACADEMY 3 дня назад

      @@hassanrangambo8007 hata kukosoa ni kubainisha pia rejea clip zilizotangulis

  • @yassinmkubwayassin688
    @yassinmkubwayassin688 4 дня назад

    Sheikh unapaswa kutafautisha baina ya ukereketwa/ ushabiki na mfumo wa kitasisi… Sufism ni taasisi wakati matendo yafanyikao na ubinafsi wa mtu huwa ushabiki mfano Uisilamu unakataza kuiba hivyo muisilamu akiba huwezi kulaumu Uisilam na hivyo hivyo endapo yatafanyika makosa ya mtu binafsi tuseme msufi huwezi kuilaumu taasisi nzima ya Kisufi Kwa kosa la mtu binafsi nakushauri kijana wangu nenda ukasome zaidi lakini sasa hivi bado hujawa na uwezo wa kuhubiri ipasavyo unahitaji upatiwe mafunzo na ukitaka kuwa msomi mzuri jiepushe na mitizamo ya kimakundi na ushabiki.

  • @YacnAlly
    @YacnAlly 4 дня назад

    Alifu na lam wanadai imevuliwa ktk neno azlam na ile hadith sahih من وافق خطه فذاك unaipanguwaje kama na wewe umejiandaa na hii mada kikweli

    • @ABJADACADEMY
      @ABJADACADEMY 4 дня назад

      @@YacnAlly aahaad inaweza kuifanyia aya takhassus??? Hilo moja lkn pili ni khatwi gani zinazowafikiana na khatwi hizo ili tuseme yafaa??? La tatu kwa sanad gani yapokelewa riwaya hiyo??? La nne kama ni kweli ni upi msimamo wa wanazuoni juu fat-wa hii??? Tufanye tafiti

    • @ABJADACADEMY
      @ABJADACADEMY 4 дня назад

      @@YacnAlly ثم قال النووي : " فحصل من مجموع كلام العلماء فيه : الاتفاق على النهي عنه الآن " . " شرح النووي على صحيح مسلم " ( 5 / 23 ) . وقال ابن خلدون : " ليس في الحديث دليل على مشروعية خط الرمل كما يزعمه بعض من لا تحصيل لديه ؛ لأن معنى الحديث : كان نبي يخط فيأتيه الوحي عند ذلك الخط ، ولا استحالة أن يكون ذلك عادة لبعض الأنبياء ، ( فمن وافق خطه فهو ذاك ) ، أي : فهو صحيح من بين الخط بما عضده من الوحي لذلك النبي الذي عادته أن يأتيه الوحي عند الخط ، وأما إذا أخذ ذلك من الخط مجرداً من غير موافقة وحي فلا " . " مقدمة ابن خلدون " ( ص 112 ) . وقال ابن حجر الهيتمي : " تعلم الرمل وتعليمه حرام شديد التحريم ، وكذا فعله ؛ لما فيه من إبهام العوام أن فاعله يشارك الله في غيبه وما استأثر بمعرفته ... والحديث المذكور في مسلم يجب أن يحل على ما يطابق القرآن ، وما اتفق عليه إجماع أهل السنة ، وذلك بأن يحمل على الإنكار ، لا الإخبار ؛ لأن الحديث خرج جواباً على سؤال من اعتقد علم الخط على ما اعتقدت العرب ، فكان جوابه صلى الله عليه وسلم بأن ذلك من خواص علوم الأنبياء بما يقتضي الإنكار على من يتشبه به من الناس ، إذ هو من خصوصياتهم ، ومعجزاته الدالة على النبوة ، فهو كلام ظاهره الخبر ، والمراد به الإنكار ، ومثله في القرآن والسنة كثير . أو يحمل على أنه علَّق الحل بالموافقة بخط ذلك النبي ، وهي غير واقعة في ظن الفاعل ، إذ لا دليل عليها إلا بخبر معصوم ، وذلك لم يوجد ، فبقى النهي على حاله ؛ لأنه علق الحل بشرط ، ولم يوجد ، وهذا أولى من الأول . أو يحمل على أنه أراد : فمن وافق خطه فذاك الذي تجدون إصابته ، لا أنه يريد إباحة ذلك لفاعله على ما تأوله بعضهم ، وهذا يدل على أنه ليس على ظاهره ، وإلا لوجب لمن وافق خطه أن يعلم علم المغيبات التي كان يعلمها ذلك النبي ، وأمر بها في خطه من الأوامر والنواهي والتحليل والتحريم ، وحينئذ يلزم مساواته له في النبوة ، فلما بطل حمله له على ظاهره لزم تأويله ، وعلم أن الله تعالى خص ذلك النبي عليه السلام بالخط ، وجعله علامة لما يأمره به وينهاه عنه ، كما جعل لنوح عليه السلام من فور التنور علامة الغرق لقومه ، وفقد الحوت علامة لموسى على لقاء الخضر عليه السلام ، وما في سورة الفتح علامة لنبينا صلى الله عليه وسلم على حضور أجله، ومثله كثير . " الفتاوى الحديثية " ( ص 117 ، 118 ) . فتبين من كلام هؤلاء العلماء أن الحديث يدل على تحريم العمل بعلم الخط ، لا على جوازه ، كما يدل على بطلان طريقة الناس في علم الرمل ، وفسادها ؛ وذلك لأن الإباحة في هذا العلم معلقة بشرط لا يتحقق ، فأدى ذلك إلى عدم الإباحة ، فإن ذلك النبي له خط مخصوص ليس كخط هؤلاء ، أوحاه الله إليه ، وهو

  • @natafutamatatizo4382
    @natafutamatatizo4382 4 дня назад

    DIWANI ANACHANGANYA POMBE NA BANGI HUENDA ANAKULA GOMBA WAKATI MWENGINE😂😂😂DIWANI POROJOO TUPUUUU🤣🤣🤣👁️👁️

  • @wadimtwana7286
    @wadimtwana7286 4 дня назад

    Sheikh Diwani kasome

  • @QureishMakame
    @QureishMakame 4 дня назад

    Diwani Mazuri anyo ila yame zidiwa na uongo wake

  • @abdallahdiriwo6612
    @abdallahdiriwo6612 4 дня назад

    Wewe sheikh tafuta mbinu zako mwenyewe ukiwa unao uwezo unatafuta watu kupitia uchambuzi wao na na uchambuzi wako uko wapi hapa wewe ndio huna maarifa.

    • @ABJADACADEMY
      @ABJADACADEMY 4 дня назад

      Uchambuz wa upotoshaj niukalie kimya

  • @yammuhamed736
    @yammuhamed736 4 дня назад

    We mtoto kuwa na adabu

    • @ABJADACADEMY
      @ABJADACADEMY 4 дня назад

      Sawa nishataaddab

    • @HassanIddy-v1b
      @HassanIddy-v1b 4 дня назад

      Wewe unadhania nikama huyo shehe ubwabwa aliokosa adabu!;

    • @ABJADACADEMY
      @ABJADACADEMY 4 дня назад

      @@HassanIddy-v1b yaani huyu kijan hana adabu kabisa, ananiita mtoto ili hali nikimtazama hanifikii hata kidogo.

    • @yammuhamed736
      @yammuhamed736 4 дня назад

      @@ABJADACADEMY mie naomba kama utakua tayari munaqasha na wewe juu ya tawhidi tatu pia we ni mtoto kielimu kifikra na vitu vingi na ni mshamba wa followers

    • @ABJADACADEMY
      @ABJADACADEMY 4 дня назад

      @yammuhamed736 Jisafishe kwanza ushirikina wa ramli na uganga kisha ndo uje, Kwa uwezo wa Allah nitakufundisha na utamjua Allah inshaalla

  • @SadickMussa-g6h
    @SadickMussa-g6h 4 дня назад

    Hata nuru usoni mwake Allaah ameshaiondoa, mwangalie tu vzr usoni mwake utaona

  • @HabibuUrasa
    @HabibuUrasa 4 дня назад

    Huyu ALLAH kamuondolea.ufahamu hajui anachoongea

  • @ShaabanDaud
    @ShaabanDaud 4 дня назад

    Wewe shekh mtihani sana unatafuta makosa ya wenzio tu then mambo ya Technology huna ujuzi nao nyamaza

    • @ahmadmzoa74
      @ahmadmzoa74 4 дня назад

      Unatumia makhudama? Mbona unamnyamazisha mtu anaewazindua watu kutokana na shirki.

    • @HassanIddy-v1b
      @HassanIddy-v1b 4 дня назад

      Nyinyi ndio walewale tu😢😢 vumilia sindano ni chungu

    • @ahmadmzoa74
      @ahmadmzoa74 4 дня назад

      @@ShaabanDaud Promotion ya kuwatumia makhudam wa kijinni.

  • @MaalimKhatib
    @MaalimKhatib 4 дня назад

    Ww kijana inaonekana umekosa kazi ya kufanya wacha upumbavu ww shughulikia mambo yko

    • @OmariOmari-y8h
      @OmariOmari-y8h 4 дня назад

      Washirikina utawjua tu akipigwa jiwe lzima ajitokeze popote pale alipo haya mtafutiye Basi hiyo kazi

    • @kasimubangu1875
      @kasimubangu1875 4 дня назад

      Nawewe umekosa kapia huku umefata nini

    • @HassanIddy-v1b
      @HassanIddy-v1b 4 дня назад

      Embu kanawe Maji inaonekana ndio unatoka usingizini,wewe mwenyewe huna kazi kaziyako nikuwatetea washirikina hovyooo😊😊

  • @RamadhaniShembilu-l1e
    @RamadhaniShembilu-l1e 4 дня назад

    Huyu diwani ,aliambiwa na bachu allah atamdhalilisha. Ndo anadhalilika hivo

  • @RamadhaniShembilu-l1e
    @RamadhaniShembilu-l1e 4 дня назад

    Shukurani shekhe kwa kuweka wazi uzushi huu

  • @mahadhikawia3610
    @mahadhikawia3610 4 дня назад

    Shukran sheikh. Naomba msaada kwako juu ya jambo lifuatayo. Baada ya Mimi kupata mwangaza katika Darsa zenu , nimegundua au Nina shaka katika baadhi ya Dua au nyiradi ninemezoea kuzifata katika kitabu kidogo Cha Yasin (Cha zamani ),sijui ni majina yale au ni kitu gani. naomba ufafanuzi

    • @ABJADACADEMY
      @ABJADACADEMY 4 дня назад

      @@mahadhikawia3610 liandike jina moja tu ili nione inshaalla

    • @mahadhikawia3610
      @mahadhikawia3610 4 дня назад

      @ABJADACADEMY ya kahiyju ya kahkahiyju,, ya shamkhysha ya muwshatwisha-kama hivyo. Copy na paste Arabic imenigomea

  • @seifmsabah4384
    @seifmsabah4384 4 дня назад

    Jaman mm suali langu, " ivi nikwann hassa waislaam tukawa ni watu wakuzalilika sikuzoteeee?" Unamkuta shehee hatoi mada mpaka amuone mwenzake kateleza, hajibu hoja mpaka amuone mwenzake kateleza, haji hewani mpaka amuone mwenzake kateleza haleti vitabu mpaka aone fulani kateleza, kwaniiiiii sie tuu kila siku? Mbona hatuwasikii wakristo wakiwa na mfumo kama huuu, huez jua inawezekana ni mchezo tumechezewa kwann waislam tunashindwa kua kitu kimoja mpaka lini mambo haya? Kama yy kateleza ww njoo na fact achana na yeye kumtaja na kudili nae ww tueleze la usahihi halafu watu wataangalia na hiyo ndio kaz ya akili kupambanua wapi ni sahihi, lkn masheh wetu wanapenda "malumbano" sana sana sana, kwanini tunajishusha hadhi kama waislaam, ivi tumesahau maneno ya mtume wetu Muhammad s.a.w, aliposema, "addiinu nnaswiihatu" dini ni naswahaa sio malumbano, kateleza mfate au muite kaa nae chini mpe vitu mnapokuja kwenye media ss tunataka manufaa na nifaraja tutakapowaona mmekua kitu kimoja. Ishaa Allah

    • @HassanIddy-v1b
      @HassanIddy-v1b 4 дня назад

      Shukrani,lakini fahamu kuwa nasaha zinaangaliwa na mtu mwenyewe anaenasihiwa,hivi mtu kama y,diwani hapo unapomuona na hiyo jeuri yake unaweza kumfata ukampa nasaha akakuelwa? Na ilhali kaishatangaza vita kwa waislam watu wahaki na amewaita ni wakristo waziwazi😢 au wewe hujasikia hilo? Kwaivo mtu muovu Jeuri haki yake ni kutangazwa wazi ili watu wamjue hakuna kosa ktk hili,nadhani umenielewa,

    • @omarjuma3793
      @omarjuma3793 4 дня назад

      Halitowezekana hilo mpaka qiyamaa kwasababu mtume kashasema hivyo.

    • @seifmsabah4384
      @seifmsabah4384 4 дня назад

      @@HassanIddy-v1b hakuna shida kaka

  • @mohagurey2214
    @mohagurey2214 4 дня назад

    Umeuliza swali nzuri kabisa, mbona asifaulu mwenyewe kwa kutumia majini???

  • @mohagurey2214
    @mohagurey2214 4 дня назад

    Waislamu wako nyuma duniani sababu ya mtu kama huyo Diwani....akili za kichawi tu

  • @mohagurey2214
    @mohagurey2214 4 дня назад

    Hakuna tafiti anafanya wala hataki kufanya bali ni maoni yake tu

  • @iddimutua420
    @iddimutua420 4 дня назад

    A.alaikum sheikh nimegundua kua ukifundisha kuhusu ule uongo ulioko kwenye ilmu ya nyota ulikua unajifunika, Naomba utufundishe siri yake nini please??

  • @eddieeddie2755
    @eddieeddie2755 4 дня назад

    Mganga Diwani ana aibika kila siku ktk hali za namna kama hii😂😂😂.

  • @mokitaa8750
    @mokitaa8750 4 дня назад

    Na Bado Watakuelewa MTANGA MWENZANGU

  • @hassanmambomambo8442
    @hassanmambomambo8442 4 дня назад

    Kisha mbona wafatia aibu zake tu inamaana hana mazuri anayo yasema uyo unae muita shekh diwani mbona umekuwa nzi wafatia vibovu tu ndio usalafi huu wakutafuta aibu ibu tu ya mtu?

    • @HassanIddy-v1b
      @HassanIddy-v1b 4 дня назад

      Wewe unamatatizo😢😮nenda ukapimwe!Yani asirekebishwe kwa uwovu wake huu😮kisa anayo mazuri!!mbona kunasiku shekh aliesema anastafidi kwa darsa lake la balagha kwani hili sio zuri kalitaja?:japokuwa hata hiyo balagha kunasehemu anachapia huyo mzushi😂😂

    • @ABJADACADEMY
      @ABJADACADEMY 4 дня назад

      @@hassanmambomambo8442 ni kwasababu hizo aibu zinawapoteza watu je tuwaache watu wapotee

    • @ABJADACADEMY
      @ABJADACADEMY 4 дня назад

      @HassanIddy-v1b ahsante kwa kuwa shahid Allah atakulipa kheri

    • @RamadhaniShembilu-l1e
      @RamadhaniShembilu-l1e 4 дня назад

      Kwaio wewe wataka asirekebishwe azidi kupoteza watu ?ebu kua naakili

    • @OmariOmari-y8h
      @OmariOmari-y8h 4 дня назад

      ​@@HassanIddy-v1bakili kisoda kwa hiyo unatka apoteze watu halfu aachwe asirkebishwe waislamwaendelee kupoteya akileta uongo wake atapigwa nyundo mpaka aache uongo wake na ushirikina

  • @hassanmambomambo8442
    @hassanmambomambo8442 4 дня назад

    Sasa kama yeye nimuongo aya yalete yale yakweli kinyume na alio zungumza yeye lete taarifu yakweli sasa ili tuuwone ukweli wako

    • @seifmsabah4384
      @seifmsabah4384 4 дня назад

      Nahili ndio changamoto ya mashehe wetu, yy kadanganya wewe tupe fact lkn unarejea alichokifanya yy ss tushike wapiiiii? Kaz malumbano tuu wanarejesha nyuma uislaam, hawa wenzetu watatamani kujiunga nasi lkn watarudi nyuma kwan uislaam umekua sio dini tena ya amani kama inavyotambulika.

    • @kasimubangu1875
      @kasimubangu1875 4 дня назад

      Siohivyo kurekebisha palipokosea inamaana kubwa sana katka dini ukikosea kufundisha maana wanafunzi watayachukua yalemakosa nakuyafanyia kaz sasa maana yakukataza mabaya na kuamrishana mema itakuwa haipo tena​@@seifmsabah4384

    • @HassanIddy-v1b
      @HassanIddy-v1b 4 дня назад

      Hivi nyinyi mwajitambua kweli?embu angalieni clip za she bqir za nyuma ndio mtajuwa anapomrkebisha huyu mzushi Kisha analeta kilicho sahihi baada ya hapo,

    • @Daifar100
      @Daifar100 4 дня назад

      Dini yetu mtu akikosea anakosolewa, hao wanaotaka kuingia katika uislamu wajue kuwa dini yetu mpotoshaji anakosolewa sio kama dini za ajabu ajabu zenye manabii wa uongo, kwenye uislamu ni nyundo tu, huu ujumbe umfikie kila muislamu, hii sio dini ya kuchezea kabisa kabisa

    • @seifmsabah4384
      @seifmsabah4384 4 дня назад

      @@Daifar100 hhhhhhhhh hapana shee wng dini c mihemko, ww kama una uhakika kakosea unashindwa wap kumtafut aende kukuambia wapi kapita, dini inahitaj hekma, na ndio maana hutaona mtume yeyote ambae kapewa elimu tuuuuu, wa Muusa aatainaahu hukma wa'ilman, issah ni hivyo na wengine woteee hivi ndivyo walivyopewa lkn ss tumepata kimoja tuuu hekma kwetu ni mtihani, na ukitaka kujua hilo ww tu mwisho wa yote utashindwa kujibu hoja unaweza ukatukana hhhh