SHEKH YUSUF DIWANI KIKAANGONI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 3 янв 2025

Комментарии • 141

  • @GoodgoodNdambwele
    @GoodgoodNdambwele 14 дней назад +1

    Mwenyezi mungu amekunyanyua ili utubainishie ukweli.usikate taama.unatupa mawaidha ya kweli na huo ndiyo ushekhe sahihi.mwenyezi mungu azidi kukubariki.amen.

  • @zahraalbaloochi2841
    @zahraalbaloochi2841 19 дней назад

    Yusuf Diwani Allah atamdhalilisha hphp duniani kwa dhulma zake hasibbAllahu!!!

  • @zahraalbaloochi2841
    @zahraalbaloochi2841 19 дней назад

    Yusuf Diwan mwizi mkubwaa

  • @MgazaMhina
    @MgazaMhina 28 дней назад +5

    Nimetokea kukuelewa sana Shekhe wangu.

  • @Mja1rz
    @Mja1rz 27 дней назад +4

    KIJANA UTAKUWA SHEIKH MKUBWA INSHAALLAH. ZIDISHA BIDII TU KWENYE KUJIFUNZA. WEWE NI MWALIMU MZURI

    • @SalhaAlly-x8q
      @SalhaAlly-x8q 27 дней назад

      @@Mja1rz SANAA KABISA ,ALLAH AMJAALIE HUYU SHEKH WETU MTOTO LKN HUYU SI MTOTO TENAAAAAAA ALHAMDULILLAH TWAJIVUNIA SANA

  • @jafarikaoneka4890
    @jafarikaoneka4890 28 дней назад +3

    Baaraq Allah fyk

  • @SanuriAShefaya
    @SanuriAShefaya 24 дня назад +1

    Mnabishana mpaka mnaiharibu qur ani angalieni mwatafuta umaarufu duniani

  • @AbdallahNshimirimana
    @AbdallahNshimirimana 28 дней назад +3

    Naam sheikh Allah akulipe ushauriwako mzuri

  • @AbuuFardausmiraji
    @AbuuFardausmiraji 28 дней назад +3

    Naam ndugu yangu muongezee na ushahidi wa fir,aun alipoona anaangamia alibainisha wazi kua anamnyenyekea allah kwa maombi tena akataja kua anamaanisha anamuomba mola wa musa na banii israaiil ,
    Yusufu diwani hajawahi kukubali makosa asharejeshwa mara sabiini ni Shekh muhammad is,haqa na hakurerejea hata baada ya kuanguka kihoja yeye matusi tu, ana ishara za kibri allah amuongoe pamoja na sisi

    • @IsmailSanga
      @IsmailSanga 28 дней назад

      Huo ni UYAHUD,Mtume hakuwai kufundisha hayo mataksim.
      Mmeyazusha Nyie.

    • @MbarouksilimaJuma
      @MbarouksilimaJuma 27 дней назад

      Ww mche mola wko

  • @salimseif2427
    @salimseif2427 26 дней назад +1

    Hapo nlijua km Yusuf Diwani kachemka kabla ya kufanya bahthi

  • @TwahirBurhan
    @TwahirBurhan 28 дней назад +5

    Shekh Diwani elimu yake ya Dini amesomea zaidi Uganga na nyota

  • @jumabeja956
    @jumabeja956 29 дней назад +1

    جزاك الله خير الجزاء
    أحسنتَ

  • @Kzm-c9u
    @Kzm-c9u 29 дней назад +5

    Yusuf Diwani bora anyamaze tu maana anazidi kujidhalilisha tu😂😂😂

    • @SuolFat
      @SuolFat 28 дней назад

      Pole sana

    • @IsmailSanga
      @IsmailSanga 28 дней назад

      Anajidhalilisha na nini!,Hayo MABIDAAH yenu TAWHEED mmeyazusha nyie,Leteni hadith kama kweli nyie mnaongea kweli.

    • @tztanzania2262
      @tztanzania2262 27 дней назад

      Allah atamdhalilisha sana huyu diwan miaka ya nyuma sana alikuwa anatudanganya sana ktk aya Ile يهب لمن يشاء اناث......

  • @mohagurey2214
    @mohagurey2214 27 дней назад +2

    Hakuna watu wanaitwa mawahabi young man

  • @HajiHaji-r6n
    @HajiHaji-r6n 28 дней назад +1

    Sio Kila doctor ni doctor wa
    kweli Bali Kuna wtu huvaa nguo za madoctor na kukamatwa visu wakajitia upresheni kumbe ni wauwaji basi ndio mfano wa uyo yussuf diwani kujivalisha vazi Hilo LA ushekhe kwa kweli kakosea Sana.

  • @SalhaAlly-x8q
    @SalhaAlly-x8q 29 дней назад +2

    Shekh mtoto uko vzrkuliko diwan anaudhi mno mpe darsa

  • @iddimutua420
    @iddimutua420 29 дней назад +3

    A.aleikum
    kusema kweli faida ninayo faidika nayo kwa sheikh Yussuf Diwani ni Matusi nimesoma matusi mingi sana kutoka kwa Yusuf Diwani na ndugu yake.

    • @MgazaMhina
      @MgazaMhina 29 дней назад

      Hiv yule ni mwanae au mdogo wake

    • @mbjunior166
      @mbjunior166 28 дней назад

      ​@@MgazaMhinandogo wake yule😅

    • @suleali4915
      @suleali4915 28 дней назад

      Toto la bachu ndio limeanza matusi

    • @suleali4915
      @suleali4915 28 дней назад

      Ata mm mwenyewe ukinijia na kunidhalilisha naww lazima nikuzalilishe mpuuzi mkubwa ww

    • @iddimutua420
      @iddimutua420 28 дней назад

      @@suleali4915 Matusi kama yapi alioanza Bachu please tukumbushe

  • @SalhaAlly-x8q
    @SalhaAlly-x8q 29 дней назад

    JAZAAKA ALLAAHU KHAYR

  • @Bantu-u9m
    @Bantu-u9m 29 дней назад +1

    Hekima ya hali ya juu mashalla,jazakallahualkhair.

  • @khamisjuma7616
    @khamisjuma7616 28 дней назад +2

    diwano mwepesi ni mjanja wa mtaani

  • @izmamuizmamu6521
    @izmamuizmamu6521 29 дней назад

    Allah akubarik

  • @SalehRashid-f9r
    @SalehRashid-f9r 27 дней назад +1

    Kijana naenda kasome hunaelimu ya kumkosoa shekh diwani

    • @ABJADACADEMY
      @ABJADACADEMY  27 дней назад

      Ni mtume anapokea wahyi subirini akutieni motoni ndo mtajua

    • @FayeezAlbahassaney
      @FayeezAlbahassaney 25 дней назад +1

      Hujitambuw wew, kijana MASHAALLAH anafafanuwa vzr

    • @RashidiKasimu-uk5kz
      @RashidiKasimu-uk5kz 25 дней назад +1

      Zingatiya diniyako acha ushabiki, dini siyo mpira, diwani namkubali lakini kwenyeili kakoseya sana heshima ya ALLAH.

    • @shabanirashidi8528
      @shabanirashidi8528 22 дня назад

      Mashaalh sheikh upo vizuli nimekuelewa na Allah akuongoze kwa hekma

  • @IssabakarBakar
    @IssabakarBakar 29 дней назад +1

    Mashallah

  • @KasimuKiduba
    @KasimuKiduba 28 дней назад

  • @ahmadSeif860
    @ahmadSeif860 28 дней назад

    Wewe bwana sheikh umetumwa

  • @memaclaudi-qz4tq
    @memaclaudi-qz4tq 28 дней назад +1

    YAANI.WEWE NI MPUMBAVU KWELIKWELI SASA HAPO NDIYO VIGAWANYO VYA TAUHIDI

    • @idrisaabkar3760
      @idrisaabkar3760 28 дней назад

      punguza Jazba hii ni dini tufahamishe taratibu

    • @sahabatwalbu9586
      @sahabatwalbu9586 27 дней назад

      Mema uko sahihi hoja ya msingi hagusi anamshambulia mtu ili uwe unajua kweli leta ushahid wa tauhid 3 za kikatolic ktk uislam

  • @jdhassanhassan929
    @jdhassanhassan929 28 дней назад

    Hakuna hadithi inayosema من قال في القرآن برأيه فاليتبوأ مقعده من النار

  • @HajiHaji-r6n
    @HajiHaji-r6n 28 дней назад +1

    Sio Aalim bwana

  • @Mohdakhi
    @Mohdakhi 7 дней назад

    Kweli shekh Yusuf diwani NI jahili WA majahi

  • @IsmailSanga
    @IsmailSanga 28 дней назад +1

    Wenae umeshaanza kupokea hela kutoka SAUDIA!
    Hayo mmeyazusha nyie MTUME hakuwai kufundisha hayo mafundisho ya kikristo.

    • @SalhaAlly-x8q
      @SalhaAlly-x8q 28 дней назад +1

      @@IsmailSanga MFUASI WA DIWANI USIYEJUA NINI TAWHID UNAHASARA KUBWA,ZIMEGAWANYIKA MAKUMI YA FUNGA ITAKUWA MATATU YA KUPWEKESHA ALLAH?KITU KAMA HUKIJUI USISHANGILIE UTAONEKANA MAJUNUN BUREEEE

  • @AliJuma-k2t
    @AliJuma-k2t 26 дней назад

    Kwani Huyukijana nishekhe au niwalewapigadufu ya harusi?😅😅😅😅😅😅

  • @SuolFat
    @SuolFat 28 дней назад +1

    Sheikhe yusufu diwani ni zawadi kutoka kwa Allah kuja kwa waumini hata mkimpiga vita hamtomuweza ivi ww kiberenge huoni uovu wa mawahabi

    • @SalhaAlly-x8q
      @SalhaAlly-x8q 28 дней назад +2

      @@SuolFat ZAWADI KUTOKWA KWA IBILISI IPOKEE ITAKUSAIDIA WEWE

    • @SuolFat
      @SuolFat 28 дней назад

      @SalhaAlly-x8q hizo Tena ni chuki zako Ila ukweli ndio huo sheikhe yusufu diwani hata mkimfanyia fitna Allah atamlinda

    • @SalhaAlly-x8q
      @SalhaAlly-x8q 28 дней назад

      @SuolFat WENGI TUMEONA ANALINGANIA KWA SHETANI ILA WEWE NA WENZIO MNAOFANANA NAE KWANI HATA SHETAN WANAWAFUASI ,HAIWEZEKAN SHEKH KUMWAMBIA MWENZIWE MWANA WA HARAMU ,,,,ALAFU ALIVYO MUONGO ANAFUNGA UPANDE WA MAONI ANAJUA ANCHOKIFANYA LKN KWA MWENYE ELIMU YULE HAFAI KUWA SHEKH HATA WA KUSWALISHA MAAMUMA

    • @HamzaAmani-b5j
      @HamzaAmani-b5j 27 дней назад

      Nikweili yusufu diwani anamaarifa makubwa sana unajua hatamimi nilitaka kuwa mjinga kama mawahabi kwayusufudiwani amenifumbua mcho shida watu wanaushabiki hawataki kusoma kwani kukosea kwakipengele hicho ndio kimfanye hajui kusoma nawengi wanao komenti namaalifa machache

  • @saidmohamed6543
    @saidmohamed6543 28 дней назад

    Huyu yusufu diwani yaani simuelewi kabisa

  • @HamzaAmani-b5j
    @HamzaAmani-b5j 27 дней назад +1

    Kwakweli nashukuru kwahekima zako ila yusufudiwani nishekhe mkubwa anajua ila katereza kama anavyo tereza mtoto wabachu ila ukitaka kujifunza usiweke mapenzi fungua akili naukiwa na akilikubwa ndio utamuelewa yusufu diwani

    • @ABJADACADEMY
      @ABJADACADEMY  27 дней назад

      Akili kibwa hiyo ni ya kiwango gani na mustawa gani hata asieleweke

  • @SuolFat
    @SuolFat 28 дней назад

    Sheikhe yusufu diwani ni shekhe mkubwa hamumuwezi kachaguliwa na Allah

    • @idrisaabkar3760
      @idrisaabkar3760 28 дней назад

      wacha upotofu hakuna ukubwa mbele ya kitabu na sunnah

  • @sahabatwalbu9586
    @sahabatwalbu9586 27 дней назад

    Mbona hujaleta Ushahidi wa hadithi hizo rububia uluhia na swafat wapi mtume kafundisha acheni ulaghai wakudanganya watu

  • @abuumaryam1922
    @abuumaryam1922 29 дней назад +1

    Shida nkwamba Watu Wanakosa ikhlasw ndo Maana wamekua waropokwaji Mathalan Yusuf Diwan na nduguye Allaah awaongoze Hawa jamaa Hawana khof na Allaah au sijui ndo ufinyu Wa Elim yan wao nikuropoka kutukan Yan Hawa jamaa me siwaelew kabisa Yan

    • @mzeerajab9154
      @mzeerajab9154 29 дней назад

      Waropokaji wapo wengi wao vipi?

    • @mzeerajab9154
      @mzeerajab9154 29 дней назад

      Na watukanaji mashuhuri wapo,wa majigambo na wao vipi?

    • @mzeerajab9154
      @mzeerajab9154 29 дней назад

      Mbona unaingia kwenye malumbano na wewe,au hujajua?

  • @MhabeshiMaluja
    @MhabeshiMaluja 28 дней назад

    Diwani na mwenzie wote hakuna dini wala uchamungu wahuni tuh kujibebesha mzigo ambao hauwahusu elimu hawana wamekariri matusi na ushabiki tuh bila elimu sifa nyingi elimu hakuna...

    • @IsmailSanga
      @IsmailSanga 28 дней назад

      Matusi alianza yule tarumbeta wenu,Mnaleta Ukristo kwenye dini.

  • @RamadhaniShembilu-l1e
    @RamadhaniShembilu-l1e 27 дней назад

    Kwani huyu yusufu diwani kusomea wapi jamani,? Au kasomeshwa na mvuta bangi? Mana kabobea kwenye matusi kuliko hojja

  • @shadhilfaki1457
    @shadhilfaki1457 29 дней назад

    Shukuran

  • @mohagurey2214
    @mohagurey2214 27 дней назад

    Madham ya mawahabi ni gani kwanza? Kama unatoa ilmu tumia lugha ya ilmu sio lugha ya barabarani

  • @mohagurey2214
    @mohagurey2214 27 дней назад +1

    Habeeb sisi sio mawahabi, sisi ni ahlul sunnah ama salafiyuun.... mambo ya uwahabi pelekea Yusuf Diwani na wale wanapinga sunnah na Kuwaita watu wa sunnah mawahabi... kisha afadhali wewe unataja wanazuoni wa tafsiri, Yusuf Diwani hajataja hata mwanazuoni moja bali alitafsiri na maoni yake tu Wala hatokusikiza ama kusikiza mtu yeyote

  • @jdhassanhassan929
    @jdhassanhassan929 28 дней назад

    Na hiyo ibara sio اخلصوا Kwa kasrah ni اخلصوا Kwa fathah ya swad

  • @ilahalladba9050
    @ilahalladba9050 28 дней назад

    Hapana kufunga coment c kua yy muongo laa bali unatakiwaa uvute fikraa kwa kilee walichokisema bila y kuifanya muhemko

  • @IsmailSanga
    @IsmailSanga 28 дней назад

    Mnatafuta kiki tu MABIDAAH yenu TAKSIM TAWHEED.
    Hakuna aya wala Hadith ya hayo matakisim.
    Wachenu UYAHUDI.

  • @arafatmanga
    @arafatmanga 28 дней назад

    sasa hapo wanapoitupa miungu yao na kumuomba mungu wa kweli, hapo wanakua na tawhidi ipi?

    • @idrisaabkar3760
      @idrisaabkar3760 28 дней назад

      hii kumuomba Allah ni (fitw'ra ambayo Allah amewaumbia wanadamuwote).

  • @AhmedMattar-t8g
    @AhmedMattar-t8g 28 дней назад +1

    tatizo kubwa lililopo huyu bachu hana ilmu hajui lugha ni mpotoshaji tu bachu hajui hata analolisema yeye anawapotosha watu anasoma aya halafu anatafsiri sivo tatizo la yusuf diwani ni kutoa matusi tu ila yupo sahihi kwenye aya

    • @mikekhalifaali7510
      @mikekhalifaali7510 28 дней назад

      Bachu anayo ilmu ,ila huyu Diwan ni mihemko tu,

    • @DeadlyhandsomeJayzan-dq3bz
      @DeadlyhandsomeJayzan-dq3bz 28 дней назад

      Hujajijua kama umetiwa upofu na Allah ndomaana huoni haqqi,Muhamad Bachu yupo vyedi,acheni ujaahil

  • @YahyaAli-o9z
    @YahyaAli-o9z 27 дней назад +1

    ikiwa washirikina wanayo tauhidi rububiat hii aya ya 16 suratul hashir كمثل السيطان إذ قال الإنسان كفر فلما كفر قال إني بريء منك اني اخاف الله رب العالمين kwa maan hio iblisi nayeye anazo tauhid zote 3 mnazo ongea nynyi ? someni wachen kupotosha watu.

    • @ABJADACADEMY
      @ABJADACADEMY  27 дней назад

      Sasa tauhid hapo nani mbona hamfaham jaman

    • @YahyaAli-o9z
      @YahyaAli-o9z 27 дней назад +1

      @ABJADACADEMY mnatowa dalili الحمدلله tauhid uluhiaat رب العالمين tauhid rububiat الرحمان الرحيم asmaai wa ssifaat na ndani ya hio Aya iblisi kasema إني أخاف الله رب العالمين kwa ufahamu wenu nynyi haya maneno yanatofaut gan na hayo yaliopo katk suratul faatiha

    • @ABJADACADEMY
      @ABJADACADEMY  27 дней назад

      Comment hizo kakoment kwa bachu katika video hii sijazungumza kuhusu hilo hapo changia kuhusu mada

    • @YahyaAli-o9z
      @YahyaAli-o9z 27 дней назад +1

      @@ABJADACADEMY someni wacheni upotoshaji wenu kwa watu hakuna Aya hata 1 iliogawanya tauhid 3 tatizo lenu hamjuwi التقسيم na الجمع soma blagha ww usipotoshe watu

    • @YahyaAli-o9z
      @YahyaAli-o9z 27 дней назад

      Hakuna mshirikina mwenye tauhid Wacha upotoshaji Sasa ikiw washirikina wanayo tauhidi mtume saw kaletwa kutangaza nini?

  • @mahadhikawia3610
    @mahadhikawia3610 29 дней назад

    Q 5: 8 chuki isikufanye uchukie Haki Sheikh wetu.

    • @ABJADACADEMY
      @ABJADACADEMY  29 дней назад +1

      @@mahadhikawia3610 sijawahi kuchukia hakki Allah atufahamishe

    • @mahadhikawia3610
      @mahadhikawia3610 28 дней назад

      @ABJADACADEMY kwake sh. Diwani

  • @FunnyJumpingSpider-bz9dr
    @FunnyJumpingSpider-bz9dr 25 дней назад

    Mnapata faida gani kubishana kwenye mitandao?

    • @ABJADACADEMY
      @ABJADACADEMY  25 дней назад

      @@FunnyJumpingSpider-bz9dr tuanawaokoa watu katika upotovu na baadhi ya wanaojiita mashekhe wenye ndimi fasaha za kutamka lkn fikra batili

  • @zuberimussa5508
    @zuberimussa5508 29 дней назад

    Tatizo yusufu diwani kadata ndio maana kila baada ya maneno mawili anajiokoa na tusi

  • @SaleheKhamis
    @SaleheKhamis 29 дней назад

    Uliyekuwa huna elimu niww unataka umaarufu wala huupati

    • @conhecmintokujuwa
      @conhecmintokujuwa 28 дней назад

      Tak Allah. Kaka

    • @idrisaabkar3760
      @idrisaabkar3760 28 дней назад

      kweli huyu anataka umaarufu ila hapa ametuelimisha vyema.nadhani umaarufu ameupata kupitia hakki.

  • @khitamcaptainveca5045
    @khitamcaptainveca5045 28 дней назад

    Hakusema ati (kila anaskiya Allah inamanisha ni miungu yangine )
    Wewe kijana wacha ufala utulie usome

    • @ABJADACADEMY
      @ABJADACADEMY  28 дней назад

      @@khitamcaptainveca5045 ahsante

    • @idrisaabkar3760
      @idrisaabkar3760 28 дней назад

      huyu mwalimu wenu amewafungulua mlango wa matusi bila kumukhofu Allah. tak Allah.

    • @khitamcaptainveca5045
      @khitamcaptainveca5045 28 дней назад

      @@idrisaabkar3760 nyi nyi muko na kitabu ya kutusi ma sufi .
      Pia huku comoros hawa mawahabi kaziayawo ni kutusi watu .
      Kahio Mualimu wetu anatupigania vita

  • @HajiHaji-r6n
    @HajiHaji-r6n 29 дней назад +1

    Sheikh umekosea tafsir apo sio usisimamie uso na elimu nalo Bali usifuate usokua na elimu nalo.

    • @ABJADACADEMY
      @ABJADACADEMY  29 дней назад +1

      @@HajiHaji-r6n hicho ni kiswahili, ukisema usisimamie, usifutu,usihukumu, usifuate au.....au......yenye maelezo ya kufanana na hayo ni sawa. Ila ahsante ndugu yangu

    • @HajiHaji-r6n
      @HajiHaji-r6n 29 дней назад

      Nenda kwenyye asili ya kitendo قفى يقف wala sio قاف يقيف

    • @ABJADACADEMY
      @ABJADACADEMY  29 дней назад +1

      @@HajiHaji-r6n hebu tafsiri aya isemayo قاتلهم الله أنى يؤفكون

    • @KhalfanMakota
      @KhalfanMakota 28 дней назад

      Tasfir ya qurian imegawanyika katika sehem mbili ..tafsir ya neno kwa neno na tafsr kwa kilichokusidiwa

    • @ABJADACADEMY
      @ABJADACADEMY  28 дней назад

      @@KhalfanMakota tafsiri imegawanyika katika sehemu 3. Sio mbili. Na hiyo usemayo wewe ni tarjama nayo ndio neno kwa neno. Kilichokusudiwa ni taawiil.
      Na ndio maana nimekwambia tazama maelezo ya kiswahili yamelenga nini.
      Na kwa kuwa hukunifaham na hapa umeufanya ni uwanja wa challange ndo nikakupa hiyo aya uifasir ili tuone asili ya neno na jinsi utakavy tafsir kama italeta maana.
      Na ndio maana nimekwambia ahsante, lkn jambo uliloliingia sio saizi yako ndugu yangu.

  • @geographicalworld1994
    @geographicalworld1994 29 дней назад

    Kwakweli Diwwani kampa Sheikh Muhammad Bachu sehemu ya kumtwangia.
    Yaani huyu Diwani sijui anawaza kwa kutumia nini.

  • @JumaMachano-b8t
    @JumaMachano-b8t 29 дней назад

    Bachu anaropka tu na kupotosha hata akiwajibu salafi Hana elimu

    • @Bantu-u9m
      @Bantu-u9m 29 дней назад

      Ndugu Juma sio lugha nzuri, uwanja wa sheikh Baaqeer siwamatusi.

  • @JabirBakar-ys8dw
    @JabirBakar-ys8dw 29 дней назад

    Huyu hanikuti hata robo mm kisha ety anamdhukuru yusufu diwani

    • @omarykibunta4950
      @omarykibunta4950 29 дней назад

      Wewe ndio hata Mimi hunikuti kabisa

    • @NaimaAlkithiry
      @NaimaAlkithiry 29 дней назад

      Anaemuona diwani anajua bas yeye mwenyewe ni jahil murakkab

    • @conhecmintokujuwa
      @conhecmintokujuwa 28 дней назад

      Nenda kasome... Usipotezwe na waganga

  • @SaleheKhamis
    @SaleheKhamis 29 дней назад +1

    Mm huyu hata sitaki kumsikia hana lolote

    • @conhecmintokujuwa
      @conhecmintokujuwa 28 дней назад

      Muombe Allah. Akupe kichua chenhe ufaham ulio bora

    • @kasimubangu1875
      @kasimubangu1875 28 дней назад

      Sasa umefata nini ni dalili ya nini hiyo malizia mwenyewe

  • @Mohamedi.12
    @Mohamedi.12 29 дней назад

    acha ujinga wewe , mtukufu mtume s.a.w alisema uislamu utagawanyika madhehebu 73, madhehebu 72 ni motoni lisipokuwa moja tu .wewe utasema vipi kuwa madhehebu yote yana bidaa' ?

    • @ABJADACADEMY
      @ABJADACADEMY  29 дней назад

      @@Mohamedi.12 nashkuru mie mjinga, lkn dhehebu ni dalili na fikra za mwanachuoni, na fikra yoyote ina mizani, wewe kuwa mvumilivu usubirie hizo bidaa zitajwe inshaallah.

    • @SaidSeif-d4y
      @SaidSeif-d4y 28 дней назад

      mnamsingizia saana Mtume,,yaani Mtume ashabikie far'qa za makundi ktk uislam,,yaani Mtume asahau neno ktk Qur'an "waatasimuu''walatafarraquu" atakuwa waajabu sana .

    • @SaidSeif-d4y
      @SaidSeif-d4y 28 дней назад

      naam madheheb ktk uislam ni bid'aa ya ajabu.. lkn hamuwezi kuiona. Mtume alikuwa dhehebu gani???

    • @Mohamedi.12
      @Mohamedi.12 28 дней назад

      @@SaidSeif-d4y unamwamini mtume mtukufu Muhammadi Mustafa s.a.w? Imeandikwa katika sāhih Bukhari kuwa Hazrāt Khaataman nabiyyiina alisema kuwa "UISLAMU utagawika makundi 73 ,72 motoni ......" Kama Humwamini mtukufu mtume s.a.w basi umekufuru.Je hutaki kuamini kauli yake mwenyewe aliyetabiri hivyo ?kwani nani anapenda zinaa ifanyike ?mbona mtume mtukufu s.a.w kasema akherizamani zinaa itakuwa kwa wingi na watoto wa zinaa watakuwa wengi , kwahiyo unataka kuniambia sawa na hoja yako hapo ,mtume ame-entertain uovu ?(auzubillah mindhaaliq) .

    • @Mohamedi.12
      @Mohamedi.12 28 дней назад

      @@ABJADACADEMY ndio ni Mjinga kwasababu ndani ya sāhih Bukhari Imeandikwa kuwa akherizamani " kuna baadhi ya waislamu watashahabihiana na wakristo na wayahudi" halikadhalika alisema "waislamu watagawika madhehebu 73, madhehebu 72 motoni lisipokuwa kuwa dhehebu moja ambalo ndilo litakalokuwa salama na moto " kwa akili yako hata dhehebu Hilo alilosema Mtume Mtukufu s.a.w nalo litakuwa na bidaa ndani yake , auzubillah mindhaaliq yaani mtume kasema 72 ,wewe unasema yote 73 .Rudi dalasani