MCHUNGAJI CHAKA AJIBIWA.//JINA LA MUNGU LAJULIKANA KTK QUR'AN.//Ust. Baqir@

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 3 янв 2025

Комментарии • 50

  • @jafarikaoneka4890
    @jafarikaoneka4890 19 дней назад

    Maa Shaa Allah. Nadhani Diwani asipoelewa na hapa. Itakuwa ni ujeuri.

  • @komboali5874
    @komboali5874 19 дней назад

    mashaallah

  • @SalhaAlly-x8q
    @SalhaAlly-x8q 20 дней назад +2

    ALLAH AKUHIFADHI SHEKH WETU MTOTO WETU ,UWE MKUBWA SANA UTUONGOE KTK HATARI YA UJINGA KAZA MSULI MZEE

  • @hassanally446
    @hassanally446 20 дней назад +3

    Shekhe wewe unajua sana, Allah akulinde

  • @prochesernest5439
    @prochesernest5439 11 дней назад

    Wakristo tuna Imani iliyoanzisha Yesu kristo wabrania 12 :2 sisi Sio Kama nyinyi wenye Dini Moja na majini mapepo wachafu mashetani

    • @ahmadmzoa74
      @ahmadmzoa74 6 дней назад

      Bwana Yesu salama na Amani iwe juu yake, alipokuwa tumboni mwa mamake ulimwengu ulikuwa unaendeshwa nani.?

    • @ahmadmzoa74
      @ahmadmzoa74 6 дней назад

      Kabla ya Bwana Yesu salama na Amani iwe juu yake kulikuwa Mitume waliotangulia kama vile Nnabii Mussa na nduguye Haruna (Salama na Amani iwe juu yao).Na Alipewa Taurati ili uwe Muongozo. Je,ni nani alimpa hiyo Taurati?

    • @ahmadmzoa74
      @ahmadmzoa74 6 дней назад

      Nnakurai Soma vizuri Bible acha mihemuko itapunguza "IQ" yako.Mkiristo wa kweli sifa yake ni upole,unyenyekevu na busara.

  • @iddimutua420
    @iddimutua420 20 дней назад +4

    Baraka Allah fii.Mambo yote haya kayaleta Yussuf Diwani kwa kushindana kwake na wana wa zuoni juu ya aksaami tauheed kumempelekea yeye kukufuru na kuwapa kiki makafiri kuupiga vita uislam.

    • @mahadhikawia3610
      @mahadhikawia3610 20 дней назад

      Sawa kabisa, Mwl. Chaka na baadhi ya watu wengine eidha wakristo au waIslamu waliopwelea ki Elimu , Wana confuse neno Ilahu, na neno Allahu. Wao wanadhani ni neno moja.

    • @darajanida
      @darajanida 20 дней назад

      nanyinyi muloozusha bidaa hii halafu mkawalazimisha watu waiamini

    • @darajanida
      @darajanida 20 дней назад

      nanyinyi muloozusha bidaa hii halafu mkawalazimisha watu waiamini

    • @iddimutua420
      @iddimutua420 20 дней назад

      @@darajanida Bidhaaa gani??

    • @darajanida
      @darajanida 20 дней назад

      @@iddimutua420 bidaa ys tsksimu tauhid

  • @OmarMakame-j6q
    @OmarMakame-j6q 20 дней назад

    بارك الله فيك أخي الكريم

  • @wadimtwana7286
    @wadimtwana7286 20 дней назад

    Allah akubariki watu sahivi wanatafuta kiki tu lakin ukweli ndio huo

  • @HassanSalim-hl8qs
    @HassanSalim-hl8qs 20 дней назад +1

    Kijana nimempenda sana wallahi

    • @ABJADACADEMY
      @ABJADACADEMY  20 дней назад

      Nami nimekupenda pia na Allah atupende kwa mapenzi yake

  • @muhamadyabubakary6750
    @muhamadyabubakary6750 20 дней назад

    mashaaah

  • @othmanramadhani6962
    @othmanramadhani6962 20 дней назад

    (انني انا الله لا اله الا أنا فعبدني واقم الصلاة لذكري)
    Mungu amejiita kwa jina allah katika surat twaha akimuambia musa kua mm ndio mungu na hakuna mungu ispokua mm bac niabudu na simamisha sala kwaajili ya kunitaja mm,,

  • @AhishakiyeSahnun-by2yi
    @AhishakiyeSahnun-by2yi 20 дней назад

    Allah ni jina mwenyzimungu wa haki ni ijmaa ya wanazuoni ,wako wanaosema Allah ni Hamid halina cimbuko (asha ari) ahlul hadith wap wanaosema ni mushtak linacimbuko limetoka kwenye neno ilah kisha likageuka allah

  • @AhishakiyeSahnun-by2yi
    @AhishakiyeSahnun-by2yi 20 дней назад

    Nataka kujua maana ya rabi katika surat tawba aya 31 katika hiyo aya neno rabi limetafsiriwa kama ilah

  • @SaleheKhamis
    @SaleheKhamis 20 дней назад

    Ww mkatoliki mdogo we

    • @RamadhaniShembilu-l1e
      @RamadhaniShembilu-l1e 20 дней назад

      Kwenye hii dunia machizi na wenda wazimu kama wewe hamkosekani kwaio hatushtuki

    • @ABJADACADEMY
      @ABJADACADEMY  20 дней назад

      Kweli kakaangu hao ni ndugu na Chaka

    • @ahmadmzoa74
      @ahmadmzoa74 20 дней назад

      Muislamu sio mtu wa kulipuka. Huyu kijana anafanya juhudi usimtusi utapoteza busara. ​@@RamadhaniShembilu-l1e

    • @faridfrefre35
      @faridfrefre35 19 дней назад

      Acha utoto ww

    • @ABJADACADEMY
      @ABJADACADEMY  19 дней назад

      @@faridfrefre35 sawa mkubwa wangu

  • @AhishakiyeSahnun-by2yi
    @AhishakiyeSahnun-by2yi 20 дней назад +1

    Yussuf diwani alitaka kupinga tu ni ijmaa ya wanazuoni wote

    • @ABJADACADEMY
      @ABJADACADEMY  20 дней назад

      @@AhishakiyeSahnun-by2yi halaf kaulizwa swali kakimbia kujibu

    • @darajanida
      @darajanida 20 дней назад

      ​@@ABJADACADEMYmawahabi hamna maswali yakashinda majibu nyinyi munaeneza fitna tu

    • @SalhaAlly-x8q
      @SalhaAlly-x8q 20 дней назад

      @@AhishakiyeSahnun-by2yi DIWAN MGANGA YULE

  • @ner-bilmahfudh167
    @ner-bilmahfudh167 20 дней назад

    Diwani aliwatolea bibilia inayotumika na wakristo wa kiarabu imejaa neno Allah kuanzia mwanzo hadi mwisho akauliza huyu Allah wa hapa ni yupi? Hamkujibu bimaana waislam wenye hawakusoma wakisomewa bibilia ya kiarabu si watadhania Allah wa hapo ndio Allah wa haki? Tuache ushabiki na tujue elimu Allah wetu ako na sifa 99 na zingine anazojua yey licha ya Allah wa wakiristo na washirikina mwenye ako na sifa za kibinadamu ndivyo nilivyo muelewa diwani.. mbona haielezwi hii bibilia ya kikiristo ndio ndugu zetu wenye hawajui kiarab wasipotee kwa kuamin Allah inatumika kwenye mungu wetu waislamu tu. Kama venye firauni alipojiita Allah watu wakamuamin mpaka akatengeza pepo yake firaun au hiki.kisa hakitosh kufaham hilo?

    • @ABJADACADEMY
      @ABJADACADEMY  20 дней назад

      Firauni hakujiita Allah

    • @ner-bilmahfudh167
      @ner-bilmahfudh167 20 дней назад

      @ABJADACADEMY astaghfirullah sie yey alosema ikiwa musa anamungu wake basi mm ndio mungu wa mungu wake? Kando na hivyo hio bibilia mumeipitia jaman au ndo tunatoana kwenye mada husika?

    • @ner-bilmahfudh167
      @ner-bilmahfudh167 20 дней назад

      @ABJADACADEMY Surah Al-Qasas Ayat 38 (28:38) inasemaje io ayah?

    • @ABJADACADEMY
      @ABJADACADEMY  20 дней назад

      Ahsante

    • @ABJADACADEMY
      @ABJADACADEMY  20 дней назад

      @@ner-bilmahfudh167 sikutaka kumtajia kwanza kwasababu sijamaliza kumfafanulia klip itakayokuja nitamfafanulia