tatizo lilipo lenge tatuliwa ibada ni mwenyezi mungu kutaka namna Gani aabudiwe wenye vigao hivi vya tauhidi wanatwambia sisi waja ndio tunoamua kumpwekesha vipi m,mungu turejee kwenye mahubiri yake Muhammad bachu sehamu nyingi na kosa jengine kusema makafiri wanampwekesha m,mungu kwenye sehemu ya tauhidi qur,ani haikubali hivo m,mungu anatwambia makafiri wanauliza hasa ni nani mwenye uwezo wa kufufua mfupa ulokwisha oza na Aya nyingi zinaeleza makafiri hawaamini kufufuliwa Sasa Imani hii aloileta na bwana anaipigia debe halafu anajisifu ati ana sanadi bwanamkubwa naamini umesoma tulia Tena kwenye maktaba Yako inshaallah lililo ndilo utalijua na sanadi ulotupa aza hapohapo Kwa dahalani utueleze vizuri asala alaykum
@@jumafaki2891 inshaallah nitafanya hivy, na nitawaletea klip itakayochambua vigawanyo hivyo, ila usisahau kusubscribe na kugusa alama ya kengele ili uipate klip ijayo inshaallah.
Shekh wangu umezungumza haki Allah akuongoze masufi niwatu hawajui mwanzo Wala mwisho pia dini Yao niushirikina tu wanachuoni wote wasuna Toka mwanzo tawhidi ni Moja ila ndo utaikuta vigawanyo humo nikama fiqhi ila ukisoma ndo utakuta Babu swiyamu Babu swala Babu tayammamu yote ni fiqhi masufi waovyo someni acheni ujinga
Ww kijana wacha kelele tauhidi tatu ni uzushi wacha kupotosha watu hizo nasabu zako haijawa sababu kuwa si mwanawaharamu vitendo vyako tu vitakufanya kuwa mwanawaharamu
@@ABJADACADEMY maan kama umkweli ungekileta hiko kitabu kilichokufunza wewe taqsiim tawheeed mwongo mkubwa ww yaan n bora uwataje hao hao wakin diwani lakini s maahadi yangu kwa ubaya hatujawahi kufundishwa taqsimu tawheed tamta tena koma.
@AbdulIssa-o7e eti elimu ndogo kwaio mtume elimu yake ndogo au man yy hajalisem hilo wal hajafundish msitubabaish katik zile karne bora alotaj tauhid tatu ni karne ipi ukijib ilo tutaelewan usiniletee fauzan km dalili iwe fauzan ndokamzid mtu kielimu au dah jamaa wanapat tab kutetea bidaa mbovu ten mbaya kweli kweli hamchomok kwa hapa
@ABJADACADEMY shekh istbatwi ilifanywa kwenye nguzo za swala haipingani na aya wala hadith lakin ugawaji watauhid muliogawa mawahab unapingana na kitabu na suna tatizo ndo lipo hapo
@LwPrintingProsaya zinashiria kuwa makafir hawana tauhid ugawaji wenu umewangiza katika tauhid makafir na nguzo za swala au faradh za udhu wanawazuoni wamezichukuwa kwenye naswi za kur ni na hadith na hazina mgongano
Kuna hadithi kutoka kwa mtume saw iliyogawa nguzo za sala na udhu? Zinduka wewe jahil, wanavyuoni ni warithi wa mitume. Hiyo elimu ya tauhid imo ndani ya Quran.
Nyumba Moja kugombea fito kwa Nini au Kuna maslahi wenzetu waliunganisha umoja waislam bila kukufrishanaa
tatizo lilipo lenge tatuliwa ibada ni mwenyezi mungu kutaka namna Gani aabudiwe wenye vigao hivi vya tauhidi wanatwambia sisi waja ndio tunoamua kumpwekesha vipi m,mungu turejee kwenye mahubiri yake Muhammad bachu sehamu nyingi na kosa jengine kusema makafiri wanampwekesha m,mungu kwenye sehemu ya tauhidi qur,ani haikubali hivo m,mungu anatwambia makafiri wanauliza hasa ni nani mwenye uwezo wa kufufua mfupa ulokwisha oza na Aya nyingi zinaeleza makafiri hawaamini kufufuliwa Sasa Imani hii aloileta na bwana anaipigia debe halafu anajisifu ati ana sanadi bwanamkubwa naamini umesoma tulia Tena kwenye maktaba Yako inshaallah lililo ndilo utalijua na sanadi ulotupa aza hapohapo Kwa dahalani utueleze vizuri asala alaykum
@@jumafaki2891 inshaallah nitafanya hivy, na nitawaletea klip itakayochambua vigawanyo hivyo, ila usisahau kusubscribe na kugusa alama ya kengele ili uipate klip ijayo inshaallah.
اللهم صل على محمد وآل محمد الطيبين الطاهرين ❤
ALLAH AKUHIFADH
We nae umeshaanza kupokea hela kutoka Saudia ili utete huo utatu mtakatifu.
Siku hivi ukisoma kidoogo tu basi unafungua yutube na kuanza kujisifia na kujiita shekhe 😂😂😂
Shekh wangu umezungumza haki Allah akuongoze masufi niwatu hawajui mwanzo Wala mwisho pia dini Yao niushirikina tu wanachuoni wote wasuna Toka mwanzo tawhidi ni Moja ila ndo utaikuta vigawanyo humo nikama fiqhi ila ukisoma ndo utakuta Babu swiyamu Babu swala Babu tayammamu yote ni fiqhi masufi waovyo someni acheni ujinga
WEWE NI MPUMBAVU KWELI
YAANI SWAUMU NA HIJA NA ZAKA NI SAWA NA TAUHIDI!!?
Washirikina ninyie ambapo mnaleta utatu mtakatifu,Allah wala Mtume Haujui huo utatu wenu.
Ushuziiiii.....
Allah akuhifadhi Kwa juhud zako shkh wangu
@@seifsaid9905 amin
ALHAMDULILLAH
Mawahabi kaeni musome myaka elfu mutazidi kujigongatu nakugawika
Kasome kwanza acha kuingilia mambo usiyo yajua
Toa elimu kijana toa elim
Nenda kasome acha utoto na historia nyingi elimu huna
Uyu mtoto vipi jamani mbona tatizo lingine hili
Haa kumbe kuna wapuuz.wapya.
@@RajabuMsumari-dh5jb kheir inshaallah Allah atatubainisha
Kafiri nae anatauheed loooh haya jaman hapo kwenye mifano yenu mtihan
HAKUNA MTU ALIYESOMA KWA WATU HAO UNAOWATAJA HAPO HALAFU AWE NA UCHAFU KAMA HUO WAKO
Acha itikadi za itatu mtakatifu
Utakuwa umeokota matango pori.hakuna utatu katka uislam
Hawa mayahudi mnaona mnaeza kutetea utatu
Nyinyi masufi ni wapumbavu uzushi wa maulid na shirki mnazikubali ila elimu ya tauhid mnaipinga wakati elimu imo ndani ya Quran
@@mohdkhatib223kur ani ipi iyo
Aya ya 65 surat Mariam tauheed imegawanyika sehem3😊
Acha uongo hakuna aina za tawheed tatu
Ww kijana wacha kelele tauhidi tatu ni uzushi wacha kupotosha watu hizo nasabu zako haijawa sababu kuwa si mwanawaharamu vitendo vyako tu vitakufanya kuwa mwanawaharamu
Acha uongo wako
Ukweli si ule unaokubalika na wewe tu
@@ABJADACADEMYmunapambambana kutetea utatu mtakatifu lakin hamuez
Nani kakwambia kuwa wnachuoni WOTE wanasema tauhid ni 3.Kama ni hivyo kusingekuwa na ktafautiana.
Acha uongo tamta hatuna watu wa hovyo kama wewe
@@JabirBakar-ys8dw ndo mimi nilipita kabl yak
@ABJADACADEMY nitajie hicho kitabu cha kishamsiyyah kinachothibitisha vigawanyo vya tawheed mwongo mkubwa ww
Wataka nilipita hutaki nilipita chuki haisaidii kitu
@@ABJADACADEMY mtu mwongo ni munaafiq na munafiquun wote ni motoni kijana hapana maarifa ya tamta kichwani kwako wacha kudanganya watu ewe munaafiq
@@ABJADACADEMY maan kama umkweli ungekileta hiko kitabu kilichokufunza wewe taqsiim tawheeed mwongo mkubwa ww yaan n bora uwataje hao hao wakin diwani lakini s maahadi yangu kwa ubaya hatujawahi kufundishwa taqsimu tawheed tamta tena koma.
sitak upuuz mie kafir hamuamin mung anakuwa na tauhid vip msituletee ukafiri sisi
@AbdulIssa-o7e eti elimu ndogo kwaio mtume elimu yake ndogo au man yy hajalisem hilo wal hajafundish msitubabaish katik zile karne bora alotaj tauhid tatu ni karne ipi ukijib ilo tutaelewan usiniletee fauzan km dalili iwe fauzan ndokamzid mtu kielimu au dah jamaa wanapat tab kutetea bidaa mbovu ten mbaya kweli kweli hamchomok kwa hapa
Sasa wewe ndio unatoa dawa kwa matusi? Unatarajia utampata nani
sasa wanawazuoni ndo mtume tunataka hadithi iseme tauhid zimegawika sehemu tatu
Wapi mtume amesema nguzo za udhu
@ABJADACADEMY shekh istbatwi ilifanywa kwenye nguzo za swala haipingani na aya wala hadith lakin ugawaji watauhid muliogawa mawahab unapingana na kitabu na suna tatizo ndo lipo hapo
@LwPrintingProsaya zinashiria kuwa makafir hawana tauhid ugawaji wenu umewangiza katika tauhid makafir na nguzo za swala au faradh za udhu wanawazuoni wamezichukuwa kwenye naswi za kur ni na hadith na hazina mgongano
@LwPrintingPros mfano wanawazun wakisema faradh za udhu ni sita wamefanya istbatwi kwenye aya iliomo ndan ya suratu lmaida
Kuna hadithi kutoka kwa mtume saw iliyogawa nguzo za sala na udhu?
Zinduka wewe jahil, wanavyuoni ni warithi wa mitume.
Hiyo elimu ya tauhid imo ndani ya Quran.