Shekh Alhad ametumia maneno makali sana yasiyokuwa na unyenyekevu katika imani ya kiislamu, hakuna sababu ya kumshambulia muislamu kwa maneno ya matusi na jazba. Allah isimamishe hakhi katika jambo hili viumbe hawa wanakiuka maamrisho mema ya Mtume wetu Muhammad (S.A.W).
Wallahi allah kwa jambo hili atahukumu kwa hukkmu ya waz waz tusubiri tuone maan haya ni madhra makubwa mm bnafs nahuzuni kwa uhasama huu maan UISLAAM UNATUACHA
Mimi ni mkristo lakini nampenda sana huyu shekhe mkuu wa mkoa wa Dar es salaam. Watu wanaotaka kumchafua huyu shekhe wangu Wananiudhi sana. Huyu ni mhimili mkubwa sana katika nchi hii. Ana busara sana huyu shekhe. Sipendi watu wamchafue nitawachukia sana.
Subhanalah, hizi siasa za kidunia zisitufarakishe. Nyie na viongozi wetu, baba zetu,walezi wetu Wa kiimani ni vyema makakaa na kumaliza tofauti zenu ndani kwa ndani bila kurushiana maneno makali mbele ya waumini. Sisi maamuma tutakuwa katika hali gani. Hii ni kuwapa nafasi maadui Wa uislamu. Mwenyezi Mungu awateremshie rehema muone njia sahihi ya wajibu wenu. As-laam alyekumu.
Jamani mimi sina elimu sana ya dini ila ni muislamu,naumia sana kuona waislam,wanalumbana,kwa dharau,nyodo,ila naomba niulize ktk majibu ya mufti,hakuna kitu kinachoitwa RIA?
Bismilahi Rahmani Rahim namshukuru mungu mpaka sasa alhaamdulilaah na yeye ni mfalme hakuna mwengine zaidi yake Amin Amin yaaraab Amin duuu kibri Kwa Muslim ni mbaya na kiongozi mungu anakuonaa shekhe wa mkoa mnaafki Sana subhaanaalhaah mtihani mkubwa subhaanaalhaah
ASSALAMU ALAIKUM NDUGU ZANGU WA KISLAMU HIVI KWANINI HAWA MASHEKHE WETU WA TANZANIA WANATUCHANGANYA SANA MASHEKHE BAZI YAO WANALUMBANA WALA HAKUNA SABABU ZA MSINGI MUNATUCHANGANYA SANA SISI WAUMINI WA KISLAMU HEBU UNGANENI MUTANGAZE YA ALLAH ILI TUPATE FAIDA SIO KUBISHANA MITANDAONI ALLAH HAPENDI HIVYO
Allah Azza Ajaalla, Azidi kukupa Upeo na Maono Utuongoze Waislamu Wenzio. Sisi tulio Maamuma tunaona Jukhdi na Vita zinazo elekezwa kwenu. Laakin Allah ndie Mlinzi wa Kweli. Amen Thumma Amen!
Huyu syo shekh ni kibaraka na jabbar bc kibri kimemjaa wafikiri weye cheo chako kitakufaa nn mbele ya Allaah kwanza ulicgaguliwa na nan twajua waz kuwa nikibaraka wa makafiri na serikali tubia ww Alhad
Mimi ninavyojua wenye elmu na hekma wanapotofautiana Huwa wanaitana na kukaa kuyamaliza. Mazali mmeingiza dini katika mtandao maneno mnayoongea na kuchafuana imekuwa kama mipasho. ALLAH awanusulu maana amuelimishani bali mnachafuana.
Asalam Aleikum warahamtullah wabarakatuh hivi munajuwa dunia nzia unawapa maco subuhanallah munatiya aibu habari zaugomvi wenu munauweka inje inje umbea Watu wasikiye Allah akbar
MBONA KWENYE MAANDIKO ALLAH ANATWAMBIA MKITAKA KUOMBA MUOMBENI ALLAH NA MKITAKA MSAADA TAKENI KWA ALLAH WW DUA YAKIPEKEE UMEIPATA WAPI KWA HADITHI AU ULAAMAA,YYTE WW HUNA ISHU TOA JIBU
Ww sheikh acha porojo, hapa hoja umekosea na umeukachifu usilamu na kuwakafichu waislam, what we want to hear apologies toward your fellow faith. By the way ww unaonesha una beef na huyu Muhammad, mbona hujamtaja Sheikh Sharif ambae nae hajakubaliana na ww. Listen I am listening to you and all I can acknowledging from you that hunahekima wala huna maadili ya dini, mcha Mungu waukweli hawezi kutuma lugha hii nakuaza kumita msha cjuwi unavuta bangi, just prove a point and treat your fellow Muslim with respect cos no one is above the law of God will.
Asalam aleykum ndugu zangu katika iman] tumuogopen mungu kwasababu nyie mambo kama haya nikuitana sehem munaongea mnamaliza yanaisha msisimangane mnawapa naFsi wakwilito mnazalilisha din haiko ivyo malaika wanaandika mema namabaya
Huyu jamaa haikuhusu kuwataja watu wengine , km aligombana nao yeye imekuwa anaita wenziwe washamba yeye umji gani alonao? Kuvunja nyumba za wanaume wenzake . Mnafiq na huyo mufti pia kibaraka
Kwani yeye kaja na hoja? Huyu jamaa mpotoshaji na kaekwa makusudi kuwapotoa waislamu. Ni mnafiq yeye jana alikuja kwenye media kutoa kashfa tele za mwenziwe ikisha alipokwisha wamekutana na kusameheana . Kutafuta kiki tu , huyu sheikh wa mkoa choko basi hana elmu hiyo
asalam aleiykum warahmatuh wabaraqatuh kwa hakika shekhe kesho nyinyi mtakua masuuli mbele ya allah mtume salalahu aleiyh wasalam wakati anafanya hijjatil wadaa ktk kauli yake aliusia kushikamana na vitu viwili kitabu quraan na suna zake sasa vipi vinywa vyenu vinataka kuwapotosha jamii msilimini mnatukanana mnaambiana lugha za kihuni ambazo haziendani maadili ya dini kwanini mnahukumiana nyinyi allah mpeni nafasi yake majigambo na kujifaharisha na kuitana majina mabaya fanyeni istaghafar acha matusi hakuna mbora juu mwingine mrudieni allah wewe shekhe acha maneno mengi
Huyu sheikh wa mkoa anapotosha duwa yoyote lazima iwe na mwenendo unaoendana na sunna ya mtume.na huwezi omba kwa jina LA yesu wala mtu yeyote .mungu amesema msiombe kwa jina lingine isipokua yeye Allah.
Babdeo nakuomba usije ukasababisha watu tu unsubscribe tafadhali!!!HUU UPUMBAVU WENU NA MASHEKHE UNAOCHUKUWA CLIP ZAO ATHARI NI MBAYA KULIKO MAFIKIRIO YAKO! NAKUOMBA NAKUOMBA!TUTAZUNGUMZA NA KUWAVUNJIA HESHIMA YAO HAO MASHEKHE AMBAO TUNA HISTORIA NAO NJEMA!AMBAYO UNAIHARIBU!!!
Haya yote ya nini? Muhimu umekosea omba msamaha kwa allah na uombe radhi kwa uislam hakuna haja malumbano alhad umekosea usijifanye msomi sana na unajua sana kwa hili ulikosea
ALF WEWE SHEIKH ALHAD, MNAMTETEA KISHKI ANAQUR'AN, LAKINI SIWEWE KWENYE DIBETI YA KINA MAZINGE ULISEMA MAWAHABI HAWANA LOLOTE UTAWAOMBEA ALBADRU, WAANGAMIE. WEWE SEMA TU UNAWAOGOPA WACHUNGAJI NA SERIKALI. NA IN SHAA ALLAH ABUU EID ATAKUA MUFTI BADALA YAKO. MAANA KATIKA WATU WANAOTOA HOJA ZA KIUME NI ABUU EID. WEWE UPO HAPO KWENYE CHEO KWA MCHONGO TU. ELIMU HUNA. TULIA UPEWE UKWELI WAKO TU.
Wewe Alhadi kuomba kwa jina la Yesu ni kujipendekeza kwa binaadamu mwenzako kwa tamaa ya cheo cha hapo ulipowekwa.InshaAllah Mungu atakufedhehesha si muda mrefu.Allah akulpe maradhi na uombe kwa jina la Yesu upone.
Shekhe hayo majigambo ati Mohammed mshamba,wewe ndio ume.leta mjini, yanahusu nn. Unatangaza aibu na msaada uliotoa kwake,hii ni desturi ya uislam?maneno hatafai mitandaoni kwani uongozi hakuna?shekhe maneno yako yako yamepita kiwango hayana hekima na busara jamii inajifundisha nn kutoka kwako shekh alhad (kumbe hata mashekhe ni mabingwa wa mipasho)lahaulaaa
Unawataja mashekhe wengine ili iweje wakuunge mkono au tena unataja mpaka siri za marehem,inahusiana nn huna siri, kwa maneno yako shekhe alhad unatatizo kweli shekhe tena wa mkoa unazungumza maneno kama haya,alhamdulilah,wewe ndie haswa kwa maneno uliyozungumza umekosea, kwa kuzungumza na kuwataja baadhi ya mashekhe mbona hapo mwanzo hukuzungumza?
@@nourzahoro3178 Yaani mara mia angenyaza, hayo majibu ya Sasa kazidi kutuudhi na kutukera .. Halafu anasema kabisa kuwa kuna watu wakiwemo na mashekh mbalimbali wamemwambia asijibu, anashindwa kuelewa kuwa wana maana au busara gani kwa kumshauri hivyo,, Kwa akili yake mbovu anajua wapo pamoja nae ku support upumbavu wake, Halafu anataja mashekh wengine ili apate utetezi wao, kwa kuwa wao waliwahi pia kukosolewa, Yaani Sasa linatengeneza fitna za kimji, Huyu jamaa nina hakika kapumbaa akili, ana matatizo ya kichwa sio bure
Yani wow shekhe katika siku uliyonichefua leo unamtusi mwenzio wakati yy hajakutusi kwa kifupi hufai kuwa shekhe wa mkoa wa dar jamani huyu shekhe hafai hana hekima hata kidogo masiba huu kwa waislamu
@@ummylawheen8731 anjtia ana akili.alf hyo kumbe akli wnywe kazkalia.hyo na nyngn zp tmbni asbriwa apew tart tu na.mgfuli aende akaongoze kwaya hya kanisani kwa mama yao mariya😄😄😄😄😄
Mashekhe mm nawaomba sana sana mukitofautiana kwa makosa yeyote yale nawaomba muitane nakukaa kwa sili muyazungumze muyamalize musiwe munaongea ktk mitandao kuanikana matatizo yenu hiyo siyo kweli mungu katufundisha mufanyenn pindi mukitofautiana sio kuanikana hazaran munashusha heshima na uthaman wadiniyetu huwa hatupendi sisi mnachokifanya tunachukia sana ila tunashindwatu uwezo wakuwafikishia kutokana na tunakoishi ni mbali na nivijijin .naomba fuateni kitabu na sunna ilikutatua migogoroyenu acheni kutatuamigogor kwa akilizenu munaharibu na munabomoa mafundisho allah muogopen mungunyie walimuwetu
Tumsalie mtume mashekhe wetu.ningewaomba zitumike sana busara kumaliza hili.tusipo kuwa na subira na umakini.tutaufedhehesha uislaam.hembu tumuogopeni allah.
Innalillahiw wainna ilayhir raajiun! Hakika masheikh wamekwisha. Dini imebaki na Wahuni. Hata waimbaji wa taarabu nafuu. Siyo wanafiki na wachafua haiba ya uislam kama Hawa.
@@nourzahoro3178ni kweli hizi ni fitna tu , uislamu unatwambia ukitoa kwa mkono wa kulia hata mkono wa kushoto usijue . Sasa yeye kaja kuyaanika kwenye media kuwa alimsaidia halafu anajiita sheikh. Ama kweli usheikh wake huyu una mashaka
@@fakihmohammed3923 huyu jamaa hana hoja yamsingi maana aloyafanya ni makubwa anashindwa hata kujitetea . Kabaki kusema mambo yasomuhusu. Hata km yalitokea matatizo na hao kina kishki hakuwa yeye msemaji na hayakuhusu kuyaleta hapa .
Alichohoji ni wewe , jibu uliloulizwa . Hivi watu wakisema huyu jamaa msenge kumbe kweli . Alikuja kwa sababu hiyo ni kazi yako wewe si ndio sheikh wa mkoa?
Kila muislam ana haki ya kuwa msemaji katika dini na siyo lazima aseme sheikh wa mkoa sheikh wa mkoa hawezi kuwa sawa kwa kila jambo ushauri turudini kwa mungu wetu tuacheni unafiq
Wallah Wallah Wallah mazungunzo yako hayaendani na title yako. Unaonesha dhahir kwenye macho yako na sura hujui kujiekeza unaongelea chuki tu hapa sio kuelimisha. Nakuomba rudi kwa muumba wako haraka sana before to let. Please sura zako jamiil ila ninashaka na Imani yako. Pole sana kama nimekukwaza, ila nakuonea huruma juu ya dhamana yako kama hujaitendea haki itakudhuru duniani,wakati wa sakarat lmaut,kaburini na siku ya hisabu, ila nakuhakikishi bado unao wakati wa kujisafisha. Tafadhali fanya hivyo
Sheikh anaeleta mipasho ya taarabu tena subhanallah.. sasa huyu atanipa nasaha gani ya kufata subhanallah.. halafu eti ni sheikh wa mkoa duuuh 🤣🤣🤣 Masheikh wameingia kwenye mipasho. Huyu sheikh vile vile nae ni mkosa. Sheikh mzima huwezi kuongea au kutupiana madongo mitandaoni... maneno anayozungumza anatufundisha nini??? Wallah hawa masheikh wamekuwa vichaa. Wema ulioufanya unautangaza dini gani hiyo.. eti sheikh. Bila shaka nae huyu atakuwa anavuta bangi vilevile. Yani huyu sheikh wa mkoa wenu kanichefua kweli. Najuta hata kutazama hiyo clip. Masheikh wanatupiana maneno utasema watoto wakike. Jinga kabisa
Sheikh Muhammad Iddi Allah akuzidishie ilmu na hikma ili uwaongoze hawa wanafiki
Liangalie Kwanza huna lolote toka unatu malizia mb zetu akuna shehe apo kwani wewe na ponda Nani kakosea unazidi kutia watu asila
Huyu ana elemu kait0lewa wp mashkhe wa mjini hawa hawana elemu wanakua wanapenda sifa tuu wana0na wamefika hpa dunian
Yeye mwenyewe pia ni mnafik, hao wote ni wapotoshaji na ni mashekh maslah.
Yani we ungekaa kimya tu... Unazidi kujiharibia. Maana kila aliyemsikiliza abuu idd kamuelewa vzuri. . Ushauri kaa chini ushahadie upya
Ppp
Yaani anazidi kukosea sanaaaaaaaaa
Kabisaaa
Njaa itakupeleka Motoni wewe mjinga.
Yaani wewe, Alhad ni muhuni sana.
BORA UKAE KIMYA..!!
TUBIA KWA ALLAH, ACHA KIBRI ALHADI MUSSA.
Jibu hoja na sio mambo binafsi
Huyu mbwa siyo shehe
Upo Sahihi Sana Progesa
Ombamsamaha urimtisha mange kimabe Sasa umenzamiposho
Kweli nimeamini nilikuwa nakuona bonge lashekh kumbe bonge la tutusa
Hapana sheykh hapa ujinga mtupu
Huna hata hikma fala ww
Shekh Alhad ametumia maneno makali sana yasiyokuwa na unyenyekevu katika imani ya kiislamu, hakuna sababu ya kumshambulia muislamu kwa maneno ya matusi na jazba. Allah isimamishe hakhi katika jambo hili viumbe hawa wanakiuka maamrisho mema ya Mtume wetu Muhammad (S.A.W).
Wallahi allah kwa jambo hili atahukumu kwa hukkmu ya waz waz tusubiri tuone maan haya ni madhra makubwa mm bnafs nahuzuni kwa uhasama huu maan UISLAAM UNATUACHA
Asante Hadi kwakumpa makavu,amebebeshwa mavitabu hajui ndani yananini
Wewe Nahuyo msemaji Akili Zipo Sawa. Akili Kubwa Haishindani naakili ndogo
Mohd IDD yuko sawa wacha uchafu wa Roho
Mimi ni mkristo lakini nampenda sana huyu shekhe mkuu wa mkoa wa Dar es salaam.
Watu wanaotaka kumchafua huyu shekhe wangu Wananiudhi sana.
Huyu ni mhimili mkubwa sana katika nchi hii. Ana busara sana huyu shekhe.
Sipendi watu wamchafue nitawachukia sana.
sheikh hii ni din sio taarab muogope Allah ukilekekebishwa kubali
Ndo inaonyesha wote hao ni maslah
Yani kweli imedhihiri kule kuto like eana aibu kurumbana ktk mitandao ya kijamii mwenye elmu anajua kuwa hatuna mashekh Allah atuhifadhi
Ushauri wng muft zuber tutafutie sheikh mwengine na allaah atakulipa inshaallah
Hivi mbona mnatukatisha tamaa yamani acheni mambo ya kijinga Sasa mmesoma nn maneno ya kijinga Sana hayo mnajiazilisha Sana
Aamiin
Yametimia
Subhanalah, hizi siasa za kidunia zisitufarakishe. Nyie na viongozi wetu, baba zetu,walezi wetu Wa kiimani ni vyema makakaa na kumaliza tofauti zenu ndani kwa ndani bila kurushiana maneno makali mbele ya waumini. Sisi maamuma tutakuwa katika hali gani. Hii ni kuwapa nafasi maadui Wa uislamu. Mwenyezi Mungu awateremshie rehema muone njia sahihi ya wajibu wenu. As-laam alyekumu.
Nimesoma comments za wengi hapa na inaonyesha wazi sheikh wa Yesu kristo Una mengi ya kujibu kuliko ya kujibiwa.
WEWE SHEIKH WA MKOA HUNA ZAIDI YA KIBURI.
ABUU EID ANAKUOSHA MBALI TU KIELIMU
Duh kwa kwel bakwata kwa hili la juz hadi sasa sina imani nayo na lazma itatupoteza waislamu tusipokua makini ALLAH ATUPE MWISHO MWEMA
Jamani mimi sina elimu sana ya dini ila ni muislamu,naumia sana kuona waislam,wanalumbana,kwa dharau,nyodo,ila naomba niulize ktk majibu ya mufti,hakuna kitu kinachoitwa RIA?
Bakwata hamna kitu.
ALLAH AMREHEMU SHEIKH WETU MUHAMMAD IBN AYOUB
M.mungu atupe mwisho mwema na atupe amani ndani ya dini yetu
Sasa huo ni ubea
Muogope mungu
Amenn
Aamiin
Aamiin
Mashekhe mnataka trending sasa hv daah..
WEWE ALHAADI NI MNYOO HUNA ELIMU YA KUTOSHA
Pro trick: watch movies at Flixzone. Been using it for watching lots of of movies recently.
@Chandler Brooks Yup, I've been using Flixzone for months myself :)
Bismilahi Rahmani Rahim namshukuru mungu mpaka sasa alhaamdulilaah na yeye ni mfalme hakuna mwengine zaidi yake Amin Amin yaaraab Amin duuu kibri Kwa Muslim ni mbaya na kiongozi mungu anakuonaa shekhe wa mkoa mnaafki Sana subhaanaalhaah mtihani mkubwa subhaanaalhaah
Kuonyesha hatumkubali shekhe huyu weka like ili aone hatukonae , na hana heshima hata kidogo mbele yetu waumini
Sheikh unajikweza
Uyu shekh hamna ktu jaman dooh
Shekhe anajisifia kuwa yeye ndokamleta mjini Shekhe iddi hamna ktu apa
Kwa huko tunako kwendea waislam
Tukiambiwa munapeana mipasho kama taraab jaman tunajisahau na dunia
Allah,mrehemu sana muft Hemed bin Juma bin Hemed,aliunganisha waislam,Leo hii ni mtihani.
Muogope Mungu Usione Damu Inatembea Ukajiona Mwamba Ipo Siku Yako
Daaah ! SubhanaLLAH,SubhanaLLAH.Yarabb twaomba khusnur khatma.Waislam hii ndiyo khatma ya kibri,Allah atunusuru.
masheikh haifai kulumbana kwenye mitandao.
kutaneni na mmalize tofauti zenu bila kupitia kwenye mitandao
Wacha walumbane awa mashekhe saivi hawapo kwa ajili ya ALLAH kila mmoja ajikumbizia kwake hawaangalii maisha ya watu wa angaliya matumbo yao tuu
Omary alikuwepo shehe pitia vzr hadith omary ndo alirud nyuma na kusema Abu bakar mm siwez kuwa amir wkt ww upo
Iyo serekal unayoiweka kipaombele juu ina mwisho wko shehe. Hii n dini ya Allah sio ccm serekal
Wallah Nazidi Kukushusha Thamani Shekh Wa Mkoa Yani Kulijibu Hili Nazidi Kukudharau Umefanya Makosa Jarib Kukubali Umekosea. Kenge Wewe Jitathmini Ujiuzulu
Nimegundua kuwa Shekhe wa mkoa wa Dar anamapungufu makubwa na nahisi sio mwislam halisi
Kabisaaaaaaa huyu maslahi
Ww Mbabashaji Mtu wa dili
Huyu kachangany dini na siasa ndio kosa na kwakuwa anapata maslahi huko CCM ndio kibri anachokipata
mshenz huyo
Huyu c ktk waislam
ASSALAMU ALAIKUM NDUGU ZANGU WA KISLAMU HIVI KWANINI HAWA MASHEKHE WETU WA TANZANIA WANATUCHANGANYA SANA MASHEKHE BAZI YAO WANALUMBANA WALA HAKUNA SABABU ZA MSINGI MUNATUCHANGANYA SANA SISI WAUMINI WA KISLAMU HEBU UNGANENI MUTANGAZE YA ALLAH ILI TUPATE FAIDA SIO KUBISHANA MITANDAONI ALLAH HAPENDI HIVYO
USHINDE KWA JINA LA ALLAH NA UPOROMOKE CHINI HUO UHUNI WAKO MIMI NILIZANI UTAOMBA RAZI KUMBE UMEZIDI TAKA ZA UJINGAA
Huyu kichaa mvuta bangi
We alihad mm ninayo clip unayomsifu makonda kuwa nizaid ya mtume nizaidi ya Allah ninayo anayoitaka 0653326771 what's up nimtumie kwaio tushakuzoea
Hajielewi
@@abowsudes210 nitumie mwalimu
@@abowsudes210 subuhanallah,, kumbe eee 🤔
Nampenda sana shekh Ponda kwa ajili ya Allah
Haburuzwi kw maslahi ya wachache
Huyu kijana ana kibri mpaka anamkufuru Allah.
Ww hufai hata kuongoza mbuz huna ushekh na muislam unatakiwa umstiri aibu yke na ww utastiriw 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Yaan ukijifanya sheikh alaf ukiwa muhuni Allah atakuumbuwa...ndio ww
Sheikh Alhad Mussa ulimpiga kwa database zako uko vizuri mno umemjibu kisomi na facts.
Alhamdulillah kwaupande wangu Shkh Mohd ni hodari sana
Kwa upande wako kwa upande wa dini je?
lazima ucheke kwakweli
Allah Azza Ajaalla, Azidi kukupa Upeo na Maono Utuongoze Waislamu Wenzio. Sisi tulio Maamuma tunaona Jukhdi na Vita zinazo elekezwa kwenu. Laakin Allah ndie Mlinzi wa Kweli. Amen Thumma Amen!
Ombaa radhiiii *SHEITWANIIIIIII WEWEE*
ALLAH akuongoze ujue baya na zuri akupe husnulkhatima
Subhallah Allah Istustiriy
Ww mwehu umekosea kusema dua maalum afu kwa jina la yesu ww mshenz sana ttz lenu mnachahuliwa na serikali
Yaani apa chanzo ni ccm allah atuepushe na ili janga huu sio usilaam alituachia mtume wetu
Dada wacha habari yaccm amekosolewa kuhusu dua aliyoomba kwa jina la yesu isa Almasih nimakosa muislamu kuomba kwa jina la yesu
Huyu syo shekh ni kibaraka na jabbar bc kibri kimemjaa wafikiri weye cheo chako kitakufaa nn mbele ya Allaah kwanza ulicgaguliwa na nan twajua waz kuwa nikibaraka wa makafiri na serikali tubia ww Alhad
Dah shekhe gan ww unatukana km malaya
Alhad NYOTE NYINYI WAJINGA sana MASHEKH GANI NYINYI NYINYI mashekh au wavuta BANGI HAMNA tofauti na mashangingi AIBU AIBU MUNGU awaondoe mkauze pombe
Maneno unayoongea inamaanisha dhahit ww sio kiongozi muadilifu unajitapa sana kuliko kuelimisha
Filimasne
Filimasne
Ni Kweli umezaa na dada hukutemeke
Bakwata ni vibarska
Wallahy anajifakhiri sana
Shehe mkuu Dsm Mungu akuongezee hekma nakukubali
Ombaaaa RADHIIIIII USIWEEEE *IBILISIIIIIIIII ombaaaa msamahaaaaaaa*
Mimi ninavyojua wenye elmu na hekma wanapotofautiana Huwa wanaitana na kukaa kuyamaliza. Mazali mmeingiza dini katika mtandao maneno mnayoongea na kuchafuana imekuwa kama mipasho. ALLAH awanusulu maana amuelimishani bali mnachafuana.
Hamna ktu apo uyo alhad ni msaka tonge tu! #rudia mawaidha ya sheikh ilunga Allah amrehem
Subhallah Akhera Kutakuwa Nakazi Jamani Na Sihoja Aalim Nahisi Wao Ndio Watakuwa Kuni
Sasa wewe kama ni shekhe unaejielewa kwanini unakua huna subira unamjibu jeuri mwenzako sio vizuri
Hajielewi huyo,, allah amsamehe
Huyu kichaa alikuwa akiuza Bangi huku Tandika
@@Burange666 hahaha
DUUU HUYU HAFAU JAMN HATA KAMA WAMEPATANA HUYU SIYO.AIBU TUUUUUUUU
Apo mnamtetea nani uyo Abu idi pia ni mbabaishaji wote njaa kali Abu idi hana busara hata moja yupo kama chizi
Asalam Aleikum warahamtullah wabarakatuh hivi munajuwa dunia nzia unawapa maco subuhanallah munatiya aibu habari zaugomvi wenu munauweka inje inje umbea Watu wasikiye Allah akbar
😭😭😭😭 huu ni msiba ata ww mbona umeshindwa kumsitili mwenzio ata we pia ufai kuwa shehe wa mkoa
Fitna wewe unayeleta habari hizi za kina kishki . Mufti gani? Mshenzi huyo naye mufti akachaguliwe na Magu ?
MBONA KWENYE MAANDIKO ALLAH ANATWAMBIA MKITAKA KUOMBA MUOMBENI ALLAH NA MKITAKA MSAADA TAKENI KWA ALLAH WW DUA YAKIPEKEE UMEIPATA WAPI KWA HADITHI AU ULAAMAA,YYTE WW HUNA ISHU TOA JIBU
Ww ktka UISLAM kosa halisubiri MTU maalum ndio akataze ktka khadithi Mtume (s.w.a ) anasema yeyote ataeona kosa aondoe kwa mikono yake au alisemee au achukie nahapo alipokukaribisha ilikua hujalewa madaraka sasaivi umelewa madaraka umekufuru Tamka shahada huna Uislam
Na Shekh Mohammed Iddi usishughulike kua na Msimamo huohuo ukiliona kosa LISEMEE USISUBIRI ASEME FULANI
Huyu hamna kitu asee elimu uchwara
Hujanidanganya bado.Maneno yako bado hana mashiko.Mche Allah.Hela itakupoteza broo.
Waaislamuh swamahenaneni muwee kitu kimojaaa na kuwa kitu kimojaaa.
Huyu njaa jamaa hana elmu tangu lini sheikh wa mkoa akachaguliwe na raisi tena mkiristo?
Huyu muache achanwe maana m'bishi haelewi pia hafai kua sheykh wa mkoa
Ww sheikh acha porojo, hapa hoja umekosea na umeukachifu usilamu na kuwakafichu waislam, what we want to hear apologies toward your fellow faith. By the way ww unaonesha una beef na huyu Muhammad, mbona hujamtaja Sheikh Sharif ambae nae hajakubaliana na ww. Listen I am listening to you and all I can acknowledging from you that hunahekima wala huna maadili ya dini, mcha Mungu waukweli hawezi kutuma lugha hii nakuaza kumita msha cjuwi unavuta bangi, just prove a point and treat your fellow Muslim with respect cos no one is above the law of God will.
Asalam aleykum ndugu zangu katika iman] tumuogopen mungu kwasababu nyie mambo kama haya nikuitana sehem munaongea mnamaliza yanaisha msisimangane mnawapa naFsi wakwilito mnazalilisha din haiko ivyo malaika wanaandika mema namabaya
wallah we shekh ni mtafta tonge tu kwa jina la ushekh hata kama utaipata kwa kharam
Huyu jamaa haikuhusu kuwataja watu wengine , km aligombana nao yeye imekuwa anaita wenziwe washamba yeye umji gani alonao? Kuvunja nyumba za wanaume wenzake . Mnafiq na huyo mufti pia kibaraka
Toa hoja
Kwani yeye kaja na hoja? Huyu jamaa mpotoshaji na kaekwa makusudi kuwapotoa waislamu. Ni mnafiq yeye jana alikuja kwenye media kutoa kashfa tele za mwenziwe ikisha alipokwisha wamekutana na kusameheana . Kutafuta kiki tu , huyu sheikh wa mkoa choko basi hana elmu hiyo
asalam aleiykum warahmatuh wabaraqatuh kwa hakika shekhe kesho nyinyi mtakua masuuli mbele ya allah mtume salalahu aleiyh wasalam wakati anafanya hijjatil wadaa ktk kauli yake aliusia kushikamana na vitu viwili kitabu quraan na suna zake sasa vipi vinywa vyenu vinataka kuwapotosha jamii msilimini mnatukanana mnaambiana lugha za kihuni ambazo haziendani maadili ya dini kwanini mnahukumiana nyinyi allah mpeni nafasi yake majigambo na kujifaharisha na kuitana majina mabaya fanyeni istaghafar acha matusi hakuna mbora juu mwingine mrudieni allah wewe shekhe acha maneno mengi
Huyu sheikh wa mkoa anapotosha duwa yoyote lazima iwe na mwenendo unaoendana na sunna ya mtume.na huwezi omba kwa jina LA yesu wala mtu yeyote .mungu amesema msiombe kwa jina lingine isipokua yeye Allah.
Inna lillah wainna ilaihi rajiun. Wewe hufai kua shekh wa mkoa coz huna hekma wala busara,shkh Iddy hakukutukana wala kukudhihaki ila wewe ulimi wako umeshindwa kuulinda
mbona hujibu uchaguzi ulifanyika lini na wapi? unazunguka mbuyu.
Kachaguliwa na Magu ndio linaburuzwa kuchunga unga wake . Mnafiq wewe umefika kusema kuwa Magu ana sifa za Mungu .
Yesu mkuuu ata anachagua amtakae karibu shekhe
Babdeo nakuomba usije ukasababisha watu tu unsubscribe tafadhali!!!HUU UPUMBAVU WENU NA MASHEKHE UNAOCHUKUWA CLIP ZAO ATHARI NI MBAYA KULIKO MAFIKIRIO YAKO! NAKUOMBA NAKUOMBA!TUTAZUNGUMZA NA KUWAVUNJIA HESHIMA YAO HAO MASHEKHE AMBAO TUNA HISTORIA NAO NJEMA!AMBAYO UNAIHARIBU!!!
Aibu kubwa kua na viongozi wa kiislam kama hawa.
Innah lillah wainnah ilaihi rajiuna.
Me nahisi huyu ni mkristo kapandikizwa kwenye uislam
Kweliiiiiiiiiiiiii kabisa huyu ni mkristu
Ume chemka shekhe acha kuongea....
Huna akili kwahiyo mkigombana mkristu ndio kawakosanisha huu ni upuzi kbsa na uzandiki kbsa poor kbsa
Sheikh ALHAD tafadhali tufanye yameisha
Haya yote ya nini? Muhimu umekosea omba msamaha kwa allah na uombe radhi kwa uislam hakuna haja malumbano alhad umekosea usijifanye msomi sana na unajua sana kwa hili ulikosea
Sasa alhadi cc hatuhitaji michambo hapa tetea hoja,hakuna dua kwa jina la yesu
Michambo voo🙄
Lkn kweli Abuu idi mwehu
Subhanallah hii dini imekuwa ya majungu Allaha atuhifadhi kwa kila jambo lakini daaah hiii sjuw niseme ni kukosa hekma au vp SUBHANA ALLAH
Unapata dhambi hii sio dini ya majungu Bali wenye kuishika hii dini ndo wnamajungu, futa kauli
Astaghfirullah
Mohammed IDDY yupo sawa sawa kabisa .✅✅✅✅
Kwahiyo ufanye upumbavu watu wanyamaze tu eti sio wasemaji
Shekh unajibu mapigo
Unapo taja aibu yamwenzako kumbuka yakwako hivi huoni aibu shekh
Tumekujua wewe nimamluki Wala sigo shekh
Huyu shehe au mganga? 🤣🤣🤣
Kuburi kimemjaa, dah
ALF WEWE SHEIKH ALHAD, MNAMTETEA KISHKI ANAQUR'AN, LAKINI SIWEWE KWENYE DIBETI YA KINA MAZINGE ULISEMA MAWAHABI HAWANA LOLOTE UTAWAOMBEA ALBADRU, WAANGAMIE.
WEWE SEMA TU UNAWAOGOPA WACHUNGAJI NA SERIKALI.
NA IN SHAA ALLAH ABUU EID ATAKUA MUFTI BADALA YAKO.
MAANA KATIKA WATU WANAOTOA HOJA ZA KIUME NI ABUU EID.
WEWE UPO HAPO KWENYE CHEO KWA MCHONGO TU.
ELIMU HUNA.
TULIA UPEWE UKWELI WAKO TU.
Kuna kitabu kina hadithi 40 hebu angalia hadithi ya 36-37 je Hawa wanasifa ya kuwa ndugu KATIKA uislam
al imam nnawawiy
Wewe Alhadi kuomba kwa jina la Yesu ni kujipendekeza kwa binaadamu mwenzako kwa tamaa ya cheo cha hapo ulipowekwa.InshaAllah Mungu atakufedhehesha si muda mrefu.Allah akulpe maradhi na uombe kwa jina la Yesu upone.
Allah pekee ndio ana nafasi ya simulizi kwa waja wake ...sio wewe kutaja kumsaidia Sheikh IDd
Hapa alichemka sana huyu Jamaa Al-hadi.. Maana Abuu idi alipiga msumari wa kielimu.. Kisha jamaa akajibu matusi....
Alhad muogope allah, kumbuka sisi mnaotuongoza tuna akili pia, usitutoe akili..
Majibu yako hayapo ktk hoja ya msingi..
Una mshambulia Shekh badala ya kushambulia hoja zake..
Shekhe hayo majigambo ati Mohammed mshamba,wewe ndio ume.leta mjini, yanahusu nn. Unatangaza aibu na msaada uliotoa kwake,hii ni desturi ya uislam?maneno hatafai mitandaoni kwani uongozi hakuna?shekhe maneno yako yako yamepita kiwango hayana hekima na busara jamii inajifundisha nn kutoka kwako shekh alhad (kumbe hata mashekhe ni mabingwa wa mipasho)lahaulaaa
Unawataja mashekhe wengine ili iweje wakuunge mkono au tena unataja mpaka siri za marehem,inahusiana nn huna siri, kwa maneno yako shekhe alhad unatatizo kweli shekhe tena wa mkoa unazungumza maneno kama haya,alhamdulilah,wewe ndie haswa kwa maneno uliyozungumza umekosea, kwa kuzungumza na kuwataja baadhi ya mashekhe mbona hapo mwanzo hukuzungumza?
Mie aniongoze pumba huyu huyu elmu hana na hakuna mnafiq kama wewe na bakwata ni genge tu ccm
@@nourzahoro3178
Yaani mara mia angenyaza, hayo majibu ya Sasa kazidi kutuudhi na kutukera ..
Halafu anasema kabisa kuwa kuna watu wakiwemo na mashekh mbalimbali wamemwambia asijibu, anashindwa kuelewa kuwa wana maana au busara gani kwa kumshauri hivyo,,
Kwa akili yake mbovu anajua wapo pamoja nae ku support upumbavu wake,
Halafu anataja mashekh wengine ili apate utetezi wao, kwa kuwa wao waliwahi pia kukosolewa,
Yaani Sasa linatengeneza fitna za kimji,
Huyu jamaa nina hakika kapumbaa akili, ana matatizo ya kichwa sio bure
@@nourzahoro3178 sheikh wa mkoa Ana laana huyo, ndomana anataka hata siri za marehemu
Subuhanallah
Allah huakbar Imani yetu ya kislamu watu unaenda wapi😭😭😭😭😭
Yani wow shekhe katika siku uliyonichefua leo unamtusi mwenzio wakati yy hajakutusi kwa kifupi hufai kuwa shekhe wa mkoa wa dar jamani huyu shekhe hafai hana hekima hata kidogo masiba huu kwa waislamu
Senge Wewe Hivi Mufti hamuoni Huyu Baba Atolewe Kwenye Ushekhe Wa Mkowa ,, Anatuchanganya Bana
Ao walio mchagua wote ni usalama wa taifa
Hawez kumtoa ni mkwewe
Shekhe gani huyu hafai hata kuadhini kwa fatua yangu mm hyu anataka maslahi tu lkn subr mwka uishe uta0na nn
Unalewa sana sifa Alhad wew mwenyew hutosh hatakuwa sh.wa nyumba kumi
Unamsaidia Mtu unamsimanga Daah wewe Mwisho Mufti Yaan unatukana Muumin hatukani...
Sheikh musa kubali kosa, umekosea, sheikh Mohammed Iddi ajakosea
N.ww.hutoshi ata kuwa sheee wa nyumba puuuzi kbw sna ....
Ww unafaa kuw askofu tu 😳🤔🤔🤔
sio wa nyumba...hawezi hata kua sheikh wa kujiongoza yeye mwenyewe mjinga huyu
@@ummylawheen8731 anjtia ana akili.alf hyo kumbe akli wnywe kazkalia.hyo na nyngn zp tmbni asbriwa apew tart tu na.mgfuli aende akaongoze kwaya hya kanisani kwa mama yao mariya😄😄😄😄😄
@@alfeshhassan4181 🤣🤣🤣🤣🤣hawa ndo wanatuletea corona nchini
@@ummylawheen8731 tena hee si mchz yani tan antletea corona kw jna la yesu wke 😄😄😄😄😄
Asalam alaykum mashekhe zangu mimi sina elimu ya fatwa lakini nyinyi viongozi wetu mnatupiana vijembe sana mnatupeleka wapi je mnatufundisha nini?
Mashekhe mm nawaomba sana sana mukitofautiana kwa makosa yeyote yale nawaomba muitane nakukaa kwa sili muyazungumze muyamalize musiwe munaongea ktk mitandao kuanikana matatizo yenu hiyo siyo kweli mungu katufundisha mufanyenn pindi mukitofautiana sio kuanikana hazaran munashusha heshima na uthaman wadiniyetu huwa hatupendi sisi mnachokifanya tunachukia sana ila tunashindwatu uwezo wakuwafikishia kutokana na tunakoishi ni mbali na nivijijin .naomba fuateni kitabu na sunna ilikutatua migogoroyenu acheni kutatuamigogor kwa akilizenu munaharibu na munabomoa mafundisho allah muogopen mungunyie walimuwetu
Hili kosa lilifanywa hadharani watu tukashikwa na butwaa tungejuaje kuwa haifai kama si kosa kubainishwa hadharani
Safi kabisa
Tumsalie mtume mashekhe wetu.ningewaomba zitumike sana busara kumaliza hili.tusipo kuwa na subira na umakini.tutaufedhehesha uislaam.hembu tumuogopeni allah.
Ah !!! Subhannallah
Mtume wetu (S. A.W.) alisema zizueni hasira zenu. Mbona nyie mnazipandisha?
Masheikh mnatuaibisha acheni...
Sisi hatutaki kujua mambo yenu binafsi, Allah tu anatosha, tusiwaone tena RUclips
Kua sheikhe wa mkoa sio kuwa kibri nakuipeleka dini kidunia sheikhe wa mkoa rudi kwa mungu
Sheikh wa mkoa wa Dsm hata uongee vipi hatuwezi kukuelewa
Fanya towba bado mapema acha kutangaza madhaifu ya wenzako
Innalillahiw wainna ilayhir raajiun! Hakika masheikh wamekwisha. Dini imebaki na Wahuni. Hata waimbaji wa taarabu nafuu. Siyo wanafiki na wachafua haiba ya uislam kama Hawa.
Kama ulimsaidia ulivyofika Dar kwahiyo Leo ndo unamtangaza duuuh subuhanallah
Tenda wema nenda zako au Ulitaka akulipe
Mambo unayozungumza hayafai maneno hayo yanahusu nn mbona tangu mwanzo hukuyazungumza aibu kubwa shekhe kwa unayoyasema.
@@nourzahoro3178 anazuga huyo,, aongelee jambo alilolifanya nasio kutangaza madhaifu ya watu
@@nourzahoro3178ni kweli hizi ni fitna tu , uislamu unatwambia ukitoa kwa mkono wa kulia hata mkono wa kushoto usijue . Sasa yeye kaja kuyaanika kwenye media kuwa alimsaidia halafu anajiita sheikh. Ama kweli usheikh wake huyu una mashaka
@@fakihmohammed3923 huyu jamaa hana hoja yamsingi maana aloyafanya ni makubwa anashindwa hata kujitetea . Kabaki kusema mambo yasomuhusu. Hata km yalitokea matatizo na hao kina kishki hakuwa yeye msemaji na hayakuhusu kuyaleta hapa .
Alichohoji ni wewe , jibu uliloulizwa . Hivi watu wakisema huyu jamaa msenge kumbe kweli . Alikuja kwa sababu hiyo ni kazi yako wewe si ndio sheikh wa mkoa?
Kila muislam ana haki ya kuwa msemaji katika dini na siyo lazima aseme sheikh wa mkoa sheikh wa mkoa hawezi kuwa sawa kwa kila jambo ushauri turudini kwa mungu wetu tuacheni unafiq
Kibri kibaya sana.. Allah atuepushe
Ana kibri kibaya sana huyu Shekhe.....Allah SWT amuongoze..
Wallahi kweli
Allahumma amiiin yarab
Sheikh abuu iddi upo saawaaaaa mzee pigakazi!
Huyu sheikh kuna kipindi tuliambiwa kuwa kaolewa , leo naanza kuyakubali yale maneno. Acha usenge ALHADI mrejee mola wako.
Umeongea maneno makali sana acha matusi
@@uledihassan6065 sawa nimekuelewa allaah atuongoze ila huyu sheikh anatia hasira wakati mwengine. Mi naona avuliwe hiyo nafasi aliyonayo.
Tutaona MENGI YOTE HAYA KWANINI YANAJITOKEZA KATIKA VIPINDI HIVI VYA SERIKALI HIZ
Mafarisayo ndo hawa sasa
Ww mjinga wachakutukana mwenzako mzee yusuf karibuni mjini
Wallah Wallah Wallah mazungunzo yako hayaendani na title yako. Unaonesha dhahir kwenye macho yako na sura hujui kujiekeza unaongelea chuki tu hapa sio kuelimisha. Nakuomba rudi kwa muumba wako haraka sana before to let. Please sura zako jamiil ila ninashaka na Imani yako. Pole sana kama nimekukwaza, ila nakuonea huruma juu ya dhamana yako kama hujaitendea haki itakudhuru duniani,wakati wa sakarat lmaut,kaburini na siku ya hisabu, ila nakuhakikishi bado unao wakati wa kujisafisha. Tafadhali fanya hivyo
Musikashifiane mnawapa nafasi maadui zegu
Subhanalllah tumefikia Huku kweli qiyama chatuijia
Alokupa cheo cha sheikh alipotea njia
Inna lillahi wainna ilayhi rajiuun
Shekh kuwa na hikma ukizungumza.
Sheikh anaeleta mipasho ya taarabu tena subhanallah.. sasa huyu atanipa nasaha gani ya kufata subhanallah.. halafu eti ni sheikh wa mkoa duuuh 🤣🤣🤣
Masheikh wameingia kwenye mipasho.
Huyu sheikh vile vile nae ni mkosa. Sheikh mzima huwezi kuongea au kutupiana madongo mitandaoni... maneno anayozungumza anatufundisha nini???
Wallah hawa masheikh wamekuwa vichaa.
Wema ulioufanya unautangaza dini gani hiyo.. eti sheikh. Bila shaka nae huyu atakuwa anavuta bangi vilevile.
Yani huyu sheikh wa mkoa wenu kanichefua kweli. Najuta hata kutazama hiyo clip.
Masheikh wanatupiana maneno utasema watoto wakike. Jinga kabisa
Hafai huyu shehe Alhad maana baada ya kuongea point ya maana anaongea ushuzi ushuzi kama wale vichaa