SEHEMU YA 1: SHEIKH MUHAMMAD IDDI AMJIBU KASSIM MAFUTA, MAWAHABI HAWANA DHEHEBU

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 7 фев 2025
  • Follow Us On:
    INSTAGRAM: / miladu_tv
    FACEBOOK: / babdeo miladu/
    TIKTOK: www.tiktok.com...
    RUclips: / @babdeomiladu

Комментарии • 441

  • @YusufMatianyi1388
    @YusufMatianyi1388 Год назад +3

    Shiekh letu Nakupenda Kupitiliza ,much love from Kenya ,Warekebishe mawahabi waache kupotosha umma .Allah Akuhifadhii na vitimbi vyiao in shaa Allah

  • @abuujibriltv5233
    @abuujibriltv5233 Год назад +21

    Shekh Muhammad idi usikae kimya muda mrefu . Tuna kupenda sana mwenyezi mungu akulipe, au refushe uhai wako katika kheri, akulipe na atulipe pepo ya juu aaamiin

    • @ayububakari9942
      @ayububakari9942 Год назад

      hawezi atakimbia mda si mrefu...

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 Год назад

      ​@@ayububakari9942akimbizwe na nani? Yani mawahabi mnajidanganya sana

    • @SugowFarah-up3db
      @SugowFarah-up3db Год назад +1

      Huyu ni asome kwanza ndipo aingie kwa ruduud

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 Год назад

      @@SugowFarah-up3db mawahabi ndo mkasome hamna mnachojua

    • @ayububakari9942
      @ayububakari9942 Год назад

      @@abiabi9353 we labda ndio umenunuliwa smart phone juzi tafuta mijadala kuhusu mwezi muandamo akijadiliana na Sheikh abulfadhli qaasim mafuta Allah amuhifadhi uone alivyokimbia AKIDAI AMEKATAZWA NA WAZEE WAKE !!

  • @OrondiYusuf
    @OrondiYusuf Год назад +1

    Alhmdulilah allaah akuifadhi zaidi shekhe abu idi kazi unayo fanya nikubwa twapaswa kukupongeza na kukuombeya saidi kwa allaah akuifadhi. unafanya hivyo kunusuru watu wasipotezwe nikazi kubwa sana allaah atakulipa. mimi ni mjukuku wa shekhe muhammad ayubu nimefundishwa kutoka kwa mwanafunzi aliye soma kwa shekhe muhammad ayubu.lazima nikupongeze na kukuombeya kwa allaah akuifadhi saidi.kazi unayo fanya nikubwa.allaah akuifadhi.na kila shari zote.

  • @yusufuheri6524
    @yusufuheri6524 8 дней назад

    Asante sana sheikh letu kwa mawaidha mazuri. Mungu akupe kauli thabiti na akuondoshee adhabu ya kaburi.

  • @HamiduMtandika-lc2tp
    @HamiduMtandika-lc2tp 17 часов назад

    Jazaka Allah khaira

  • @KhamisiOmar-v3h
    @KhamisiOmar-v3h Год назад

    Asante sana sheikh wetu kazi yako ni nzuri sana yakupambana na mawahabi.kwa kweli wamemwaga damu za waislamu kuwagawanya waislamu na kuwaingiza katika shirki ya kuabudu miungu mitatu wakishikiana na mayahudi na waengeza.

  • @rjqaasam4587
    @rjqaasam4587 Год назад +6

    شكرا لك وجزاك الله خيرا
    شيخنا الكريم

  • @hassanmadodi5396
    @hassanmadodi5396 Год назад

    Jamaa ananifurahisha sana, eti mawahabi walivyojipanga ipo siku watakuwa na muft wao na sikukuu yao.
    Maa shaAllah Hii inaonyesha ni namna gani haqi inavyo eleweka na inavyo kuwa juu na hii yote ni tawfiq ya Allah baada ya waislam kushajihishwa kusoma dini yao.

  • @rjqaasam4587
    @rjqaasam4587 Год назад +4

    Mwenyezi Mungu akupe Umri Mrefu Sheykh Muhammad Iddi

  • @ibrahimjumbe8121
    @ibrahimjumbe8121 Год назад +7

    Kutoka ndani ya moyo wangu
    Nampenda sana sheikh Muhammad abuu Idd

    • @ayububakari9942
      @ayububakari9942 Год назад

      kutoka moyoni simpendi kwa ajili "Allah"

    • @Ahmadasshii-raazy8888
      @Ahmadasshii-raazy8888 Год назад

      احبك الله الذي احببته فيه

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 Год назад

      ​@@ayububakari9942Sasa usipompenda wewe panya mmoja wakiwahabi ndiyo nini?

    • @noorululaatv8973
      @noorululaatv8973 Год назад

      ​@@ayububakari9942
      KICHAAA WEWE

  • @noorululaatv8973
    @noorululaatv8973 Год назад

    ALLAH AKUBAARIQ SANA ... MWLM UMEKAA KIMYA SANA KIASI KWAMBA MAWAHABI WAJIGAMBA UMESHINDWA

  • @abuuhudhaifa5134
    @abuuhudhaifa5134 Год назад

    Allah akujalie uendelee kujibu kwasababu watu wengi wasiojua sunna na bidaa wata bainikiwa na mambo mengi yalio zushwa ktk dini, na mawahabi nao wakibainisha basi sisi wanafunzi ambao tunajifunza dini yetu huwa tuna pata faida kwasababu yanaletwa majibu yenye nguvu kwadalili kutoka ktk Quran na sunna na ndicho tunacho kitaka

  • @SaidiKihela
    @SaidiKihela 10 месяцев назад +1

    Mungu akulinde nakula baya

  • @SalimuAbdala-sg9cw
    @SalimuAbdala-sg9cw Год назад

    Mimi sijaona kiongozi tanzania hii. Ambaye nikiongozi mkuu wawaisilamu anawaunganisha waisilamu au kuwatetea waisilamu .

  • @mwalimuyussuph6469
    @mwalimuyussuph6469 Год назад +3

    Wallahi nashukuru sana Allaaha, Huyu SHEKH WA kibid'a amezikubali jitihada za masafi

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 Год назад

      Hata ibilis ana jitihada

  • @SalamaKhamis-un8vn
    @SalamaKhamis-un8vn Год назад +2

    Mwendelezo ßhekh

  • @suleali4915
    @suleali4915 Месяц назад

    Nakukubali sana

  • @dezainermedia1035
    @dezainermedia1035 Год назад

    Jazakallah

  • @Ahmadasshii-raazy8888
    @Ahmadasshii-raazy8888 Год назад +3

    ASANTE SHEIKH WATU WAMESOMA KWA MASHEIKH ZETU WAO WAMEKUA NA ILMU

  • @abakibibi9917
    @abakibibi9917 Год назад

    UNGENIVUTA KWENYE MAULID KAMA UNGESEMA WATAKA KUYAFUTA MAULID MAWAHABI TULIOACHIWA NA MTUME (S A W)LAKINI WASEMA TUMEACHIWA NA BABU ZETU NA MASHEIKH WETU INA MAANA MTUME HAKUFANYA ZIRO HAPO

  • @mohdomar6760
    @mohdomar6760 Год назад

    Allah akuzidishie sheikh letu

  • @adamjutto5849
    @adamjutto5849 Год назад +2

    Hzo hoja alijibiwa,anarudia tena,mwenzio sheikh sameer anatweta hukoo😂

  • @JuchonlineTV
    @JuchonlineTV Год назад

    Maashaallhh

  • @HamidHilika-kq3xx
    @HamidHilika-kq3xx Год назад +2

    Allah akubarik sana shekhe na Allah akulipe kwa jitihada hii

  • @mwalimuyussuph6469
    @mwalimuyussuph6469 Год назад +4

    HAMNA CHA KUJIBU KWENYE MITANDAO NA NYIE SIO WATU WA KUITUMIKIA DINI.

  • @SaidAlly-uh4qw
    @SaidAlly-uh4qw Год назад

    Jazaaka llahu shekh

  • @SuleymanMohamed-b8l
    @SuleymanMohamed-b8l 9 дней назад

    إنا لله وإنا إليه راجعون

  • @allyhabibu3746
    @allyhabibu3746 Год назад

    mashallah ❤❤
    allah amrehm shekh letu shekh muhammad abubakar al burhan
    allah akuhifadh pya shekh abuu eidi

  • @rajabubilalimakau8529
    @rajabubilalimakau8529 Год назад +7

    Sababu za kujibu hoja zao umezibainisha vizuri sana Sheikh.

  • @kagalihussein1959
    @kagalihussein1959 Год назад +1

    Umeongea maneno chukuchuku bila Dalili...Elimu yako Ndogo Muhammad Eid

  • @nassirzamzam9312
    @nassirzamzam9312 Год назад

    Uislamu hauna dhehebu, dhehebu la muislamu ni kufuata mtume s.a.w.

    • @FarajiAbdallah-yw2wn
      @FarajiAbdallah-yw2wn Год назад

      ulimuona mtume ? au umeyapata mafunzo wapi ya dini bila kupitia wema na kwawatu ndio mdhehebu mamepatikana shika faida hiyo.

  • @salumhamed5074
    @salumhamed5074 Год назад

    Umechelewa sana

  • @bashirusalumbigapsana673
    @bashirusalumbigapsana673 Год назад

    Nakuelewa sana mzee wangu

  • @abuuhudhaifa5134
    @abuuhudhaifa5134 Год назад +1

    Lakini masufi mnatatiza Sana wafuasi wenu amejibiwa Shekhe lenu Alburhaaan mnalia kwamba "ooh anajibiwa hadi alie kufa" kwani nyinyi mkimsema vibaya ibn taimiyya mmesahau kua na yeye amekufa! Mizani yenu inapima vipi mbona hamna uadilifu,,,,, ndo mana mtaendelea kuwakosa vijana wengi ktk huo usufi wenu kwasababu watu welevu wanataka hoja na dalili sio porojo na michezo

  • @jumaciza461
    @jumaciza461 Год назад

    😂😂😂😂 Shukrani

  • @amirialimshamba9754
    @amirialimshamba9754 Год назад +1

    SHEKHE ungeanzia asiliyao tangia kipindi cha mtume (saw) mtume aliwatabiri vipi na happy najidi alipotokea muanzilishi wao abdul wahab

  • @AllyAhmad-zg2yp
    @AllyAhmad-zg2yp Год назад

    Amekudhuru aliekuhadaa abuu sikukuu

  • @ShekhSimba
    @ShekhSimba Год назад +2

    KAZI UNAYO - LKN SUNA IKO PALE PALE

  • @abuuuyaynah8801
    @abuuuyaynah8801 Год назад +3

    Sina shaka akijibiwa majlis moja tuuuuu anakimbia

    • @ramygichero1016
      @ramygichero1016 Год назад

      amna kitu mawahabi so watu wa maaana kabixa wanajionyesha sana

    • @naasibabuu
      @naasibabuu Год назад

      huyu kichwa ngumu sana kujibu maswali hawezi na ha hajajibu

    • @naasibabuu
      @naasibabuu Год назад

      ule mjadala wako na Sheikh Qassim Mafuta ungeupitia tena ujibu yale maswali mbona kama umepiga chenga ya mwili

  • @athumankalua501
    @athumankalua501 Год назад +2

    Tunakuombeaa Allah usimame juu ya kuwasambalatishaa mawahabi

    • @MusaMkata
      @MusaMkata Год назад

      Ubavu huo hana hata kdg mtu wa bidaa hawezi kumtengua mtu wa haqq

  • @shaabansheehabdallah8770
    @shaabansheehabdallah8770 Год назад

    Alafu sheikh ukizungumzia uislamu toa uraia wako, uislamu hauna mipaka ya kiichi za kitwaut

  • @AbuFawzaanAlly
    @AbuFawzaanAlly Год назад

    Umerudi tena ukiwa vile vile
    Sasa ngoja majibu yako kutoka kwa Sheikh... in Shaa ALLAAH

  • @OrondiYusuf
    @OrondiYusuf Год назад

    لا يؤمن احدكم حتى يكون هواه تبعا لما جاء ت به

  • @TwahirBurhan
    @TwahirBurhan 2 месяца назад

    HUYU SHEKH AKIKOSAGA MASLAHI BAKWATA HUWA ANAWASHAMBULIA SI KAWAIDA..

  • @FarajiAbdallah-yw2wn
    @FarajiAbdallah-yw2wn Год назад +2

    بورکت یا ابو عید کلام الراٸعة بارک الله فیکم

    • @ayububakari9942
      @ayububakari9942 Год назад +2

      یا أبا عید
      wacha kuvamia luga usomakinika nayo !! sema yaa Abaa Eid

    • @tellackyabdul9312
      @tellackyabdul9312 Год назад

      Kumbe ni يا af kisha ابو 😂😂😂😂
      يا أبا.......

    • @tellackyabdul9312
      @tellackyabdul9312 Год назад

      ​@@ayububakari9942
      بارك الله فيك أخي

  • @fatibra7768
    @fatibra7768 Год назад +2

    Shehe aumwa na uharo. Hatuliiii.

    • @malikiwaziri3429
      @malikiwaziri3429 Год назад

      Huku ni kukosa adabu Kwa mashekh zetu,kweli uwahabi umekuja kugawa waislamu Hadi unaandika hv Kwa shekh kama huyu,subhaanallah

    • @mwalimjecha6893
      @mwalimjecha6893 Год назад +1

      Wewe hujijui hujitambui

    • @mwalimjecha6893
      @mwalimjecha6893 Год назад

      Wewe hujijui hujitambui

    • @fatibra7768
      @fatibra7768 Год назад +1

      @@malikiwaziri3429 Ahsanteeeeeeeeeee kijana mweny adabu kwa mashaaikh

    • @mwalimjecha6893
      @mwalimjecha6893 Год назад

      Wewe hujijui hujitambui

  • @husseinsaid8021
    @husseinsaid8021 Год назад +1

    Sheikh Abu Eid unakaa kimya sana unatukosea sana tunaishi kama wanyonge

    • @shazyahya4121
      @shazyahya4121 Год назад

      Sheikh wako amerithi maulid kwa masheikh zake si ibada bali ni mira 😅 msikilize vizuri Sheikh wako Ana hoja zaifu sana

    • @shabansaid2323
      @shabansaid2323 Год назад

      Kumswalia mtume si ibada basi ibada nini?

    • @shazyahya4121
      @shazyahya4121 Год назад

      @@shabansaid2323 kwanza unajua jinsi ya kumswalia mtume mohammad ( S.A.W ) tuanzie hapo sababu mtume mwenyewe ametoa maelekezo jinsi ya kumswalia na laukama utajua jinsi ya kumswalia mtume huwezi kua mtu wa maulid kwasababu Said jafar barzanji amejichanganya mwenyewe kwenye kitabu chake za barzanji kuna upuuzi wa kila aina ameandika tatizo Africa wengi hawajui kiarabu that's why Said jafar barzanji ametumia uwo mwanya kupotosha umma

    • @husseinsaid8021
      @husseinsaid8021 Год назад

      @@shazyahya4121 Kumswalia Mtume ni bidaa?

    • @shazyahya4121
      @shazyahya4121 Год назад

      @@husseinsaid8021 kumswalia mtume ni ibada lakn unamswalia kwa taratibu zipi na kwa maelekezo gani mtume mwenye ameshaelekeza jinsi ya kumswalia

  • @RamaRashid-t4h
    @RamaRashid-t4h Год назад

    Hawajui hao

  • @imamumohamedmalina6995
    @imamumohamedmalina6995 Год назад

    Allah akuhifadhi sheikh elimu nzuri sana umetoa

  • @mwalimjecha6893
    @mwalimjecha6893 Год назад +8

    Kweli kabisa shekhe wetu Allah atupe afya njema na nguvu ya kujibu hoja zao hatua kwa hatua.

    • @DonadiMwapule-he1je
      @DonadiMwapule-he1je Год назад +1

      Mshauri imara asiwe anarudi mambo aliyoshindwa kuyajibu
      Uko ulishindwa Iddy?

    • @ayububakari9942
      @ayububakari9942 Год назад

      mdanganyeni tu kwani alishakimbia hapo karudi sababu ya ushabiki wenu !!!

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 Год назад

      ​@@DonadiMwapule-he1jetupe mfano wa mambo aliyoshindwa.mawahabi kazi yao ni uongo tu

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 Год назад

      ​@@ayububakari9942alikimbia wapi.hivi nyinyi mawahabi mnahoja za kumkimbiza mtu kweli.nyinyi ndo mna historia ya kujikojolea mkisha banwa

  • @AbuwSuhaylahSalafiy
    @AbuwSuhaylahSalafiy Год назад +9

    Kwa hiyo Tofauti za ki FIQHI ni kuwagawa waislaamu? Yaani ulitaka watu wafuatane hata kwenye makosa kwa hiyo baba angu akiwa mtu wa Mawlid lazima na mimi niwe mtu wa Mawlid? Sasa ndo hoja gani hizo? Unaacha kuwabainisha ma Shia wanawatusi maswahaba kila kukicha, unakuja kuwazungumzia Salafiyuun? Harakati zako hazina afya ni kupoteza muda tu bora ukae darsa usomeshe hao unaowaita mawahabi wako busy kusomesha watu dini katika maraakiz zao ndio maana huoni RUclips wakiwasha Cameras kuongea ongea bila issue maalum acha ushekhe wa matukio.

    • @abuumaisarah6595
      @abuumaisarah6595 Год назад +2

      SHEIKH WA MCHONGO HUYO HHH

    • @AbuwSuhaylahSalafiy
      @AbuwSuhaylahSalafiy Год назад +2

      @@abuumaisarah6595 Ana feli sana. Halafu kuna ma jahl wengi wanamsifia kwenye comments.

    • @KhamisiOmar-v3h
      @KhamisiOmar-v3h Год назад

      Kwani nyie mawahabi ikiwa kama kweli mpo sahihi sini sawa kama mtazungumzia kuusu hao maswahaba kutukanwa na watu watwarika kuzumzia maulid kuli kuwatusi wanachuoni na kuwaita makafiri.

    • @AbuwSuhaylahSalafiy
      @AbuwSuhaylahSalafiy Год назад +1

      @@KhamisiOmar-v3h Mwanazuoni gani kaitwa Kaafiri?

    • @AbuwSuhaylahSalafiy
      @AbuwSuhaylahSalafiy Год назад +2

      @@KhamisiOmar-v3h Na wewe unavyotuita ma Wahabi unajua unaponda kumbe unatukweza "Al-Wahhab" ni katika majina ya ALLAH.

  • @shaabansheehabdallah8770
    @shaabansheehabdallah8770 Год назад

    SubhannAllah umesema kweli sheikh, kumbe mumerithi maulid kwa masheikh na wazee wenu???? Poleni saana matwariqa. Tafuteni elimu kutoka kwa Mtume Muhammad Swallallahu Alleyhi Wassallaam nyie

  • @WastarYoussuf-wb7fz
    @WastarYoussuf-wb7fz Год назад +5

    Uko sahihi sana Muhammad iddi

  • @abdallahal-khaify
    @abdallahal-khaify Год назад

    Ndio dhehebu lao ni qaala-llaah wa qaala-rrasuul kwa ufahamu wa wema waliotangulia(maswahaba, mataabi'i na mataabi'i taabi'iina) .
    Umesema sawa shekhe wa mnyamani.

  • @SaidKondo-rw8wb
    @SaidKondo-rw8wb Год назад +2

    Muhammad iddi kaka ,maulid yapo madhehebu Gani? Kama mawaHabi hawana madhehebu,

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 Год назад

      Hata kiongozi wenu kafiri ibn taymiyah pia anayakubali maulidi

    • @SaidKondo-rw8wb
      @SaidKondo-rw8wb Год назад

      @@abiabi9353 weee jamaaa hiii dini,sio mpira usifanye hivo,usiseme hivo ,kama hujui kitu nyamaza,umekosea kaka ,usimkufurishe mtu.ni jambo kubwa,hiii dini ni taaluma ,

  • @ahmadSeif860
    @ahmadSeif860 Год назад +2

    Ao mawahabi sindo vbaraka wa mayahudi

  • @jordan.3109
    @jordan.3109 Год назад +1

    Mashia mtapiga kelele sana watu washaelewa Sunnah

  • @Mariam99-ld4gw
    @Mariam99-ld4gw Год назад

    ❤❤❤❤😂Wachapeni. Haswa

  • @swahilitherapytv3846
    @swahilitherapytv3846 Год назад

    Jisufi LOPOLOPO

  • @jumaajambiamusa8214
    @jumaajambiamusa8214 Год назад

    maashaaallaaah ndug shekh wangu mola akujaze heri

  • @ishakakhalid
    @ishakakhalid Год назад

    MITANDAO BADO INAREKODI MASWALI HOJA 19. HAZIJAJIBIWA.. JIBUUUUUU😂😂😂😂😂

  • @mustafaramadhan5941
    @mustafaramadhan5941 Год назад

    Yaani jamaa ana matatizo yasiyoelezeka hapa duniani hakujibu hoja alizoulizwa na Qassim mafuta ss kaamua kuja na upuuzi mwengine na akibainishiwa usawa anakimbia tena miaka mitano km alivyokimbia kujibu hoja huku nyuma zaidi ya miaka miwili ss
    Shortly tumechoka na ubabaishaji wako muhammad iddy

  • @IbrahMiracle-em4sh
    @IbrahMiracle-em4sh Год назад

    Mamaa abuu idd baada yakuaibika mda mrefu ety kaamua kuja kupiga porojo tena pole utajibiwa vzr tena uje ujikanyage kama ulivo jikanyaga kama mtt mdogo

  • @adamjutto5849
    @adamjutto5849 Год назад +2

    Aliulizwa maswali kuhusu uwahabi hajajibu😂,leo anatuletea tena kidevu chake kma andazi,huyu ndo maana aliambiwa na ndugu yake wa twariqa mwenye adabu kua amerudia tena bangi😂,ila masuuuufiii😂😂😂

    • @naasibabuu
      @naasibabuu Год назад

      kipigo alichopewaga kwenye ule mjadala na Sheikh Qassim bado hajakisahau

  • @ramadhanmbwana5718
    @ramadhanmbwana5718 Год назад +2

    HII NI MUHIMU SANA MUHAMMAD IDI AMKIMBIA SHEKH KASIMU MAFUTA
    SIKILIZA HII HAPA ILI UPATE FAIDA ZAIDI NA UJUE KILICHO MKIMBIZA MUHAMMAD IDI
    ruclips.net/video/NxsrfgsvPXw/видео.htmlsi=-Q-lTcDHz8rFok8H

  • @salimmapande4668
    @salimmapande4668 Год назад

    Shekhe miaka hiyo uliyoitaja kulikuwako mashekhe wengi waliopiga vita maulidi akiwemo Sheikh Abdallah Salah Farisy na Nasor Bachu Allah awarehemu wote

  • @Ahmadasshii-raazy8888
    @Ahmadasshii-raazy8888 Год назад

    YAANI SHEIKH ABUU IDD UNAZUNGUMZA KAMA ULOPITA MOYONI MWANGU

    • @DonadiMwapule-he1je
      @DonadiMwapule-he1je Год назад

      Kwa hiyo umeamua kupiga Ramli eti kuna siku watakuwa na mufti wao.au unataka serikali iwashike? Nimeelewa kwanini Mashekh wengi wanapotea

    • @Ahmadasshii-raazy8888
      @Ahmadasshii-raazy8888 Год назад

      ​@@DonadiMwapule-he1jeWW NI MUISLAMU AMA?

  • @kaliskaguzkalis4424
    @kaliskaguzkalis4424 Год назад +1

    Kwa kheri

  • @TwahirBurhan
    @TwahirBurhan 2 месяца назад

    HOJA MFU KABISA HIZO KUSEMA MAWAHABI WANA MASHKH ZAO WKT SHKH WENU WA KISUFI KIDAWA JUZI KAVIKATAA VITABU VYA MASHEKH ETI NI BIDAA KUVISOMA...

  • @SaidKondo-rw8wb
    @SaidKondo-rw8wb Год назад +2

    Tatizo Lako hukawiii kukimbia,sisi tunataka ubaki na sisi mawaHabi Hadi mwisho

    • @Ahmadasshii-raazy8888
      @Ahmadasshii-raazy8888 Год назад +1

      NYINYI KUNA MWENYE ILMU AKIMBIE MAWAHABI, TUFANYE MJADALA MM NA WW UTAKAPO KWA MADA UTAKAYO

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 Год назад

      Yani mawahabi wanapenda kujikweza .hivi nyinyi mnahoja kweli za kumkimbiza mtu

    • @SaidKondo-rw8wb
      @SaidKondo-rw8wb Год назад

      @@abiabi9353 wee kwenye mambo ni mgeni ndugu,huyu Muhammad iddi alikuwa na mjadala na Qassin mafuta,alikimbia huyu Muhammad iddi

    • @SaidKondo-rw8wb
      @SaidKondo-rw8wb Год назад

      @@Ahmadasshii-raazy8888 mwenye elimu haongei kama wewe,hii sio siasa kwa kusikiliza sana mijadala na wewe Sasa una hoja za kuzungumza,hii ni dini tuliza mihemko hapa tunatafuta kitu chenye thamani kubwa .

  • @aliyseif8114
    @aliyseif8114 Год назад +2

    ماشاء الله تبارك الله. الله يعطيك العافيه

  • @abuuhudhayfah5108
    @abuuhudhayfah5108 Год назад +3

    Ungejibu kwanza majibu uloulizwa, sasa naona umekuja kwa stayl nyingen

  • @husseinibnuhassan1272
    @husseinibnuhassan1272 Год назад +1

    Maulid ni Nini? Je Mtume Muhammad ametuachia maulid?je Maswahaba waliitambua Mawlid?

  • @Sheba4651
    @Sheba4651 Год назад

    Ati mawahabi wakiachwa watafuta maulid, mimi nilidhani watafuta Quran.

    • @zeitunMohammed
      @zeitunMohammed Год назад

      Hata hiyo kubadilisha Quran mshajaribu,Kama mmetoa katika Quran Majid mkafanya fatiha kuwa na Aya Saba bila kuongeza Bismillahi,ati Aya ya Saba Ina anzia ghairil maghdhubi alayhim waladhwalin

    • @shamisahmed4806
      @shamisahmed4806 Год назад

      ​@@zeitunMohammed...Kweli wamejaribu ....Maulidi tutayasoma mpaka Kiama walijue hilo!!
      Kazi wanayo!

  • @ShekhSimba
    @ShekhSimba Год назад

    UISLAMU SI DINI YA MASHEKHE NI QURANI na SUNNA - TATIZO WEWE HUJIELEWI

    • @taurehassan7399
      @taurehassan7399 Год назад

      Ww ndo hujielewi Kuna jengine hujalidhihirisha hpo umeweka viwili tu

  • @mwambashiiddi9295
    @mwambashiiddi9295 Год назад

    Msikilize shekh muhammad ayyub Allah amrehem amsamehe
    ruclips.net/video/bpgl_cLmZKY/видео.htmlsi=tx8yrbzeKC8xH0Iv

  • @mwalimuyussuph6469
    @mwalimuyussuph6469 Год назад +1

    WE KUBAKIZA SHARUBU HUO SIO MTASHADIDI?

  • @AllyAhmad-zg2yp
    @AllyAhmad-zg2yp Год назад +1

    Hakki hukaa juu wala haikaliwi juu

  • @mustafaramadhan5941
    @mustafaramadhan5941 Год назад

    Jamaa nusu saa nzima anazungumza porojo tu hana moja la maana alilolisema

  • @yusuphsaad4349
    @yusuphsaad4349 Год назад

    Shukran sheikh Abuu idd... Upo sahihi sana

  • @malengajuma2694
    @malengajuma2694 Год назад +2

    Shukran sheikh,

  • @abuurayaan3902
    @abuurayaan3902 Год назад +1

    Usisahau zile hoja za Mawlidi Bado hujajibu
    Na usije ukakimbia kama ulivyo kimbia mwanzo

  • @bakariyusuph-uf7nc
    @bakariyusuph-uf7nc Год назад

    Mche allah muogope allah unatafuta uwongozi kwa nguvu muda mrefu ila allah hajataka upate uwongozi unaoutaka umefanya fitna baina ya waisilamu zimekurudia mwenyewe ninamuomba allah kama unakusudia ubaya kwa yoyote bc ubaya huo ukurudie mwenyewe.

    • @selemanahant5389
      @selemanahant5389 Год назад

      Ndugu unadanganya waisilamu wewe nimnafiki

    • @selemanahant5389
      @selemanahant5389 Год назад

      Hoja zako za hivyo una roho ndogo nenda ukasome

    • @bakariyusuph-uf7nc
      @bakariyusuph-uf7nc Год назад

      Sasa unafiki uko wapi nawakati ametuhumiwa wazi kuwa anahitaji uwongozi na akishindwa hoja anaingia kwenye maisha binafsi ya watu alete hoja mimi bado nakubali maulidi ila huwa sipendi hoja za upande mmoja na huwa sipendi mlinganiaji anae panic maana upoingia kwenye maisha ya watu na kuonyesha kama maadui hiyo siyo sawa

  • @nassirzamzam9312
    @nassirzamzam9312 Год назад

    Uislam Unapitia mafunzo kutoka kwa Quran na hadith za mtume maswahaba, maimamu na wanavioni, hakuna dhehebu la maswahaba wala la maimam, dhehebu ni la mtume s.a.w.

  • @mutumwinkaashura1897
    @mutumwinkaashura1897 Год назад

    Hao mnao waita mawahabi, niwale ambao wanaisimamisha tauheed na kupinga bida'a Allah atujaalie tuendelee hio njia hadi Kufa. Na hilo jina la mawahabi mnalitunga tu ili kuchafuwa Allah awaongoze

  • @YusuphRashidi-p9k
    @YusuphRashidi-p9k Год назад

    Upo sahihi lakini vipi waislam kua na hospital, university, mahakama ya Kadhi hayo ndy mambo ya msingi coz waislam wengi wanapesa

  • @abuuyusra6139
    @abuuyusra6139 Год назад +2

    Tatizo lako mzee auchelewi kukimbia tulizani umekufa kumbe uwahai unaonaje sasa tukaanza pale kwenye maswali ulioulizw ukayajibu kisha ndo mkaanza maadaiii

  • @HassanJamada-pf4jt
    @HassanJamada-pf4jt Год назад

    Mzee jibu Yale maswali 10 uliyoulizwa kwanza ndio uingilie kadhia hii
    Ama kweli umekutana na mwamba usiopasuliwa na baruti ukakimbia kimyakimya mpk tukadhani haupo , kumbe upoo!
    JIBU MASWALI 10 ULIYOULIZWA NDIO UJICHANGANYE NA HUKU

  • @abeidkhamis6130
    @abeidkhamis6130 Год назад +1

    Hivi wa bantu wa Tanzania na Afrikaans mtajielewa lini? Hoja za hovyo ndizo mnazokalia

  • @kimingowameno4068
    @kimingowameno4068 Год назад

    Hua napenda sana mawaidha yake shekh abuu eid

  • @mchizisoo3953
    @mchizisoo3953 Год назад

    Mpaka leo unanyoa ndevu style ya O'' vipi unaweza kuongea haki watu wakakuelewa.. Allah akufaamishe haki uweze kuifata

  • @Ahmadasshii-raazy8888
    @Ahmadasshii-raazy8888 Год назад

    ANGALIA SASA HVI NDO TUNAVOTAKA MASHEIKH ZETU ALLAH AKUHIFADHINI NYOTE HAKUNA KUWAACHA WAKASEMA WAO TU ASANTENI

  • @nassirzamzam9312
    @nassirzamzam9312 Год назад +1

    Uislamu hauna madhehebu, but muislamu dhehebu lake ni kufuata mitume wetu mohd s.a.w ndio dhehebu la muislamu.

    • @AbubakarJambale-nx7te
      @AbubakarJambale-nx7te Год назад

      Andika jina la Mtume wetu kwa heshima sio "mohd" ni MUHAMMAD SWALA ALLAHU ALAIH WASALAM

    • @kasumunigwasa
      @kasumunigwasa Год назад

      Kasome we Bado Mjinga hujui ata dhehebu ni nini ? ivyo vitabu Vya fiqhi vyote Uwe unasoma muqaddimah ujue kua Kuna madh habi

  • @AllyAhmad-zg2yp
    @AllyAhmad-zg2yp Год назад +1

    Na makafiri walisema mtume aliwakuta watu ni wamoja ( ktk batili zao) akawagawa, je sawa nisawa kusema ujinga kama huu

  • @abuuhumeid-u6i
    @abuuhumeid-u6i Год назад

    Acha kueneza chuki mzee alafu soma maan ulivokuwa jahili huko nyuma umeweka picha 😭 Allah mustaan

  • @adamkilembwe.
    @adamkilembwe. Год назад

    Kweli kabisa,sheikh

  • @thabitsaidi1507
    @thabitsaidi1507 Год назад

    Safar hii usikimbie tena kama ulivyokimbia kipindi kile maana huchelewi kukimbia. Huna uwezo wa kumjibu Sheikh Qaasimu

  • @khamisothman1154
    @khamisothman1154 Год назад +2

    UPUUZI MTUPU

  • @abuuluqmaana8444
    @abuuluqmaana8444 Год назад

    Yaani toka alivyo pewa maswali ajibu mpaka leo ndio anajitokeza ama kweli ukiwa huna elimu halafu umewapoteza watu kwa kuwaaminisha kua wew ni sheikh kumbe sheikh kanzu sio elimu nafsi yakusuta

  • @abeidkhamis6130
    @abeidkhamis6130 Год назад +1

    Mbona umefuga masharubu kama mayahudi?