MIHEMKO NA KIFO CHA ABUU IDD///Na Ust. Baqir@ABJAD ACADEMY

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 2 фев 2025

Комментарии • 24

  • @SalhaAlly-x8q
    @SalhaAlly-x8q День назад

    MAASHAALLAH TUNAMSHUKURU ALLAH KUKULETA WEWE

  • @mohammedi8850
    @mohammedi8850 День назад +1

    MASHAALLAH SHEIKH kijana.. ALLAH AZIDI KUKUONGEZEA ELMU NA MAARIFA

    • @mohammedi8850
      @mohammedi8850 День назад +1

      Na AKUPE NGUVU ya kuunganisha UMMA WA KIISILAAM

    • @SalhaAlly-x8q
      @SalhaAlly-x8q День назад

      ​@@mohammedi8850 NI KWELI KABISA

  • @MussaAyubu-z9i
    @MussaAyubu-z9i День назад

    Allah akujalie katika kuipambanua haq

  • @darajanida
    @darajanida День назад

    masha allah ust kunabaadh ya clipu.zako nilikutolea maneno makal sana ila naomba unisamehe leo nimegunduwa kuwa unaiswaf ya hali yajuu nalengo lako nikiweka umma wakiislam pamoja.allah akufanuie wepesi.insha.alla niswameh sana ndugu yangu

    • @ABJADACADEMY
      @ABJADACADEMY  День назад

      @@darajanida Usijali najua ni katika sehemu ya ubinadamu ndugu yangu.

    • @darajanida
      @darajanida День назад +1

      @ABJADACADEMY nashukur kwakunielewa kuwanzia leo sitomkejel muislam wa aina yoyote kwa misimamo ya kimadhehebu alla atufanyie wepesi insha allah

    • @SaidSeif-d4y
      @SaidSeif-d4y День назад

      naam... Allah amfanyie wepesi ABUU'IDDI BIN IDDI..

    • @SalhaAlly-x8q
      @SalhaAlly-x8q День назад

      ​@@ABJADACADEMY SHEKH NAOMBA NAMBA ZAKO IKIWEZEKANA

  • @faridmohd2819
    @faridmohd2819 День назад

    Asante sheikh tutajie ivo vitabu vya hao wanaowasifia maimamu wao

    • @ABJADACADEMY
      @ABJADACADEMY  День назад +1

      Miftaahul jinaan,
      Albidaayat wannihaayat
      Taarikhul baghdaad hilyatul auliaa

    • @IsmailSanga
      @IsmailSanga День назад

      Ndo maana Mohammed Bachu Na Kassim Mafuta wamesoma wote maka chaajabu wote hawaelewani nakuitana JADIDA,HIZBI!!!!!

  • @HassanIddy-v1b
    @HassanIddy-v1b День назад

    Shukrani,

  • @UmmuaishaJuma
    @UmmuaishaJuma 5 часов назад

    Sikweli baba umesoma vizuri lkn mada hiyo nihisia zako nakuomba nyamaza

  • @abubakarnyerere5263
    @abubakarnyerere5263 День назад +1

    Nimekuelewa kuliko wengi

  • @mohagurey2214
    @mohagurey2214 День назад

    Sisi watu wa sunnah hatufanyi ibada yeyote ya bid'a kama iko niambie akhi

    • @ABJADACADEMY
      @ABJADACADEMY  День назад

      @@mohagurey2214 akhy watu walionusurika ni wale waliokataa ulinganizi wa vikundi vikundi visivyokuwa kikundi cha Bwana Mtume (saw). Na hawa hawana bidaa ama wale walinganizi wa vikundi vyao hawa hawajasalimika. Hivy tuangalie daawa yetu ipo wapi

    • @mohagurey2214
      @mohagurey2214 21 час назад

      @ABJADACADEMY wewe ulisema sote tunafanya bid'a, nani nakuuliza nipe ibada moja bid'a yenye tunafanya? Ama wewe wafanya ibada gani ambayo ni bid'a?

    • @mzeerajab9154
      @mzeerajab9154 10 часов назад +1

      Usijifie kwamba wewe ni mtu wa sunna.Allah ndie anaekujua kwa uhakika kutuambia sisi haisaidii chochote.

    • @ABJADACADEMY
      @ABJADACADEMY  10 часов назад

      @@mohagurey2214 nitumie namba yako na mahali ulipo Akhy

    • @mohagurey2214
      @mohagurey2214 9 часов назад +1

      @@mzeerajab9154 mm ni mtu ya sunnah kwa sababu najihadhari na bid'a na natenda sunnah pekee