SHEIKH ALHAD MUSSA NA SHEIKH MOHAMED IDDI WAMALIZA TOFAUTI ZAO

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 6 фев 2025
  • Please Like, Comment and Do not forget to Subscribe to Our Channel (www.youtube.co...)
    ....
    Also Connect with Us on Social Media Platforms
    Like our Page on Facebook : / sanatvtz
    ...
    Follow us on Instagram: / sanatvtz
    ...
    #SANATVTZ #SANATV #SHEIKHALHADMUSSA #SHEIKHMOHAMEDIDD

Комментарии • 367

  • @shaabanhmajid1923
    @shaabanhmajid1923 4 года назад +19

    Mashaallah huu sasa ndo Uislam
    Walokua wanasubiri season 3 basi ndo hii sasa, Alhamdulillah

    • @jimmy6016
      @jimmy6016 4 года назад

      Hahahaha

    • @ahmedsultan8561
      @ahmedsultan8561 4 года назад

      Tofauti ilikua ya kidini au ya kwao binafsi?jee kuomba muislam kwa jina la yesu ni sahihi?

  • @mamaabubakari2752
    @mamaabubakari2752 4 года назад +4

    Tunamshukuru Mw. Mungu kwa hatua hii. Mola atubariki umma huu na atupe amani. Lakini ni vyema pia Waislamu tuache kukemea jambo kwa maneno yanayopitiliza kiasi. Nimeipenda kauli ya kwamba kama binaadam tuna mapungufu. Tusameheaneni na tutafute namna njema zaidi ya kurekebishana mapema kabla ya kuacha jambo lichafue hali ya hewa. Mw. Mungu atusamehe pale tulipoteleza na mafunzo yaliyopatikana hapa yatujenge katika kuimarisha dini yetu, amin.

    • @saidkilapo7860
      @saidkilapo7860 4 года назад

      Wote wanafiki watup shida hawatak kuambian ukwel kwa mazingir hay hatun mashekhe kwa ss kubwa kufat kitabu kinasemaj

    • @mdoekibai3991
      @mdoekibai3991 2 года назад

      @@saidkilapo7860 shekh niww bac

  • @allyfutto8763
    @allyfutto8763 4 года назад +4

    Alihamdurillah MashaAllah, inatia moyo, bali mungu ana mbinu nyingi za kuturebebisha na itumiwe vyema kiufasaha bila ya fitina wala upendeleo kusafisha doa lililopo Dini ya mungu haimirikiwi na wanaadam wasimamizi wanapimwa kwa muonekano wa imanizao na tabia na matenzo yawe YAKUIGWA kinyumechake si sahihi, mungu ajaalie usahihi katika UISLAM Amin 🤲🏻🇹🇿

  • @binswedyhella5270
    @binswedyhella5270 4 года назад +1

    Hilo la dua liloleta mtafaruku linauwanja mpana sana kwa mapokezi ambayo shehe mussa na mohamad idd jins walivyopokea katika kupambanua..ibaki tu hvyo hvyo jins walivyopokea wallwahu aalam☝

  • @abdillahalburhaan5407
    @abdillahalburhaan5407 4 года назад +6

    Nimempenda sanaa sheikh muhammad idi kutukanwa hakujib tusi hata 1 wallh nayy alivy jiweka km hajafanywa kitu 😍

  • @saidhassanahmed4
    @saidhassanahmed4 4 года назад +3

    mashallah mungu awajalie pepo ya firdausi pamoja na mtu muhamad uo ndio uislamu tunawapenda mashekhe zetu nyinyi ndio mifano mungu azidini kukupeni mapnz

  • @cakesuke1235
    @cakesuke1235 4 года назад

    Mashekhe nyinyi mungu awabaariki Sana ila mlinikwanza Sana ukiangalia shekhe alhad wangu na shekhe abuu idi ni shekhe wangu dah nashukuru Sana alhamdulilah alhamdulilah alhamdulilah

  • @sadockandrea3789
    @sadockandrea3789 2 года назад +2

    Wasuluhishi wa jamii-nikuwaunganisha watu-Inter-faith(umoja wa dini)

  • @korogwetanga810
    @korogwetanga810 4 года назад +5

    Masha Allah Taabaraka Rahman Allah awajaze roho ya upendo na huruma mpendane mpaka kesho akhera

  • @kecha5251
    @kecha5251 4 года назад +1

    MaashaAllah.thats what we want as Muslims.may Allah leads u in right path; in shaAllah. Aamin

  • @sumayahfathi9413
    @sumayahfathi9413 4 года назад +6

    Alhamdulillah hilo ndo jambo zuri katika imani yetu,ila Al had uwe na Subra Kwani ulipo ona jambo hukutakiwa kutoa maneno makali , ila any way Mmeyamaliza Salaam Allah awafanyie wepes ktk Mazito,

  • @ajmilee4204
    @ajmilee4204 4 года назад +13

    Wallah! Nimefurahi xn! Allah awadumishe ilaa qiyaami ssa'a! Na waislam sooote!🙏🙏🙏🙌👊

  • @rajabungowo3306
    @rajabungowo3306 4 года назад +8

    Mlichokifanya leo ni kikubwaa kulikooooooo....mashaallah

    • @zainabuabduly7905
      @zainabuabduly7905 4 года назад +1

      Kwani huyu shekh kamkosea huyu shekh mwenzie au katukosea mungu na mtume wake pamoja na waislam wote?mana minaona km wameombana hawa wenyewe😮 ila OK.haina shida hatutaki kusikia tena shekh anatupangia kuchagua kiongozi watuache tuamuwe wenyewe kwani mtoto mdogo nani hapa asiyejua zuri na baya😵

  • @Skomi-0nedayyes
    @Skomi-0nedayyes 4 года назад +1

    Masha Allah, ila ulisema ukweli shekhe Mohammed kwa Dua ile hapana.

  • @hamdanfathersalum995
    @hamdanfathersalum995 4 года назад +1

    BaaarakaLLAHU FIIKUM .na huu ndio uislam.kila mkosaji sio lazima aombe msamaha watu wajue na anaejua zaid yaliyomo vifuani ni ALLAH SW.Tuilinde nakudumisha mwenendo tuliokabidhiwa na ALLAH alotuumba

  • @popobawa3700
    @popobawa3700 4 года назад

    Mashaallah jambo la kheri sana allah awasameh na pongezi sana kwa Sana tvtz munafanya kazi nzuri allah amuongoze shekh Hassan said chizenga

  • @mohammedi8850
    @mohammedi8850 4 года назад +3

    ALHAMDULILLAH nimefurahi kuona viongozi wetu wa dini wameelewana na hii iwe mfano kwa wengine kama wapo wamalize tofauti zao uislaam raha sana umoja ni nguvu na ni ushindi

  • @SaadiyaMohammad-og5bg
    @SaadiyaMohammad-og5bg 7 дней назад

    Alhamdulillah. Shikhe mungu akupea pepo huyo ndiyo uslamu

  • @salmabintuthman3243
    @salmabintuthman3243 3 года назад

    Kwani mulikua mnatafuta likes😞

  • @jumamzamilu3729
    @jumamzamilu3729 4 года назад

    Mashaallah huu ndio uislam na mafunzo ya kiongozi wetu mtume wetu m'ohamadi s.w.

  • @saidikaniki1632
    @saidikaniki1632 4 года назад +5

    MashaAllah imekaa vzr hii! Ila shehe Alhadi sasa inabidi auelezee umma wa kiislam ya Kwamba ile Dua si sahihi ktk Uislam. Hapo atakua amefanya Heri kubwa sana ktk dini. Kwa maana atakua ameifuta kauli yake potofu.

    • @ashnuhu1420
      @ashnuhu1420 4 года назад

      Kabisa maana anavyokaa kimya utazani anajuwa kila kitu yani walio mchaguwa kuwa shehe wa mkoa walikosea sana

    • @salummakame5086
      @salummakame5086 4 года назад

      Mm nlitaka kujua vp mmeyamaloz siy kwamab mseme tu mmeyamaloz .
      Hiv nan kakir hasa kuwa kafany makosa yan hapo sijafaham

  • @الزغويالزغوي-ض3ن
    @الزغويالزغوي-ض3ن 4 года назад +4

    ALHAMDULIL-LAAHI RAB-BIL'AALAMIINA,,, ILA MJITAHIDI KUA NA SUBIRA SANA KWA SABABU NAAMINI HAPO UNAONA AIBU ALHADI KWA ULIVYO MSHAMBULIA SHEIKH MUHAMMAD IDD !
    PIA MUWAFAKA WENU USIJE KUWAFANYA MNYAMAZIE MAKOSA PALE YANAPO TENDEKA ILI SISI WAFUASI WENU TUSIJE KUTATIZIKA .

  • @mozasaid3869
    @mozasaid3869 4 года назад +1

    Mashaallah , Safi sana! Waislamu wote ndugu👏👏👏👏👏👏👏👏👏

  • @fantsonmipango5805
    @fantsonmipango5805 4 года назад

    28 10 2020 Mashekh niwaombe kwa umoja wenu muungane na sisi ktk kupiga kura ya Uhuru khaki na maendeleo ya watu. Mkumbuke Mashekh zaidi ya 200 wako magerezani kwa miaka 5 sasa kwa makosa ya kubashiri, I hope tukimchagua mtu w ma khak atawaachia huru baada ya kuapishwa. Inshaalah

  • @loolaa1783
    @loolaa1783 4 года назад +7

    Anaona hata haya huyu anajiita kiongozi wa mkoa! Kwanza amemsema mabaya mengi kweli mwenzio wakati makosa niyake..uombee radhi kwa umma mzima ..ulisema mwenzio ni fitna husda ni njaa " mara alipinda mdomo yaa kosa 1 likafukua maneno 10000000

  • @tangaoldtv1067
    @tangaoldtv1067 4 года назад +2

    Safi sana mungu amiongize mtu anapo kosea akubali ili kuepuka adhabu ya allah hongeni

  • @hilalalhabsi2047
    @hilalalhabsi2047 4 года назад +1

    NAFKIRI KWENYE KOSA LISHAJULIKANA. ALHAMDULILLAH SHEKH ABUU IDI KWA HEKMA. WAISLAMU TUSONGE MBELE SHEKH WA MKOA SASA UMEENDA SAWA. INSHAALLAH NAWATAKIA KHERI ALHAMDULILLAH. ALHAMDULILLAH ALHAMDULILLAH. NIMEFURAHI JUU YA HILI.

  • @sumaali873
    @sumaali873 4 года назад +6

    Mashallah hapo masheikh wetu mmetufuza jambo kubwa

    • @hadijazuberi6049
      @hadijazuberi6049 4 года назад +1

      Alhamdulillah yameisha
      Ndivyo tunavyotakiwa kuwa
      Mashallah

  • @QaahtaQaahta
    @QaahtaQaahta 6 дней назад

    UNAONA WAUNGWANA HAO. TAKBIR. ALLAHU AKBAR

  • @khamistomohamed7079
    @khamistomohamed7079 3 года назад +1

    Haya bana!! afadhali pia hamukuwapa waandishi fursa ya maswali maana chanzo cha fitina ni kutokamana na wao. Poleni

  • @asianfadhil4282
    @asianfadhil4282 4 года назад

    Mashaallah umoja ninguvu na utengano ni udhaifu waislam tuwe kitu kimoja ww shekhe mkuu wa mkoa umetukosea waislam kuwa makini namdomo wako na upunguze kiburi Allah atusamehe sote na msichekeeane kinsfki apo

  • @sangararawarioba3016
    @sangararawarioba3016 4 года назад

    Mashallah, huu ndiyo uislamu, raha sana tena sana.
    Nakuombeeni kwa Allah awajalie kheri nyingi sana mashekhe zetu hakika mmekuwa kiigizo kizuri sana kwetu.

  • @mohdomar6615
    @mohdomar6615 3 года назад +1

    MashaAllah ni furaha kubwa kuona mashekhe zetu wako pamoja .Mabrouk alfu Mabrouk.

  • @akthammuhammad7844
    @akthammuhammad7844 4 года назад +10

    Lakugombana yameisha.Ombaa Msamaha kwa ulolitaja kuhusu dua.Usiruke madaaa.

  • @amourally5366
    @amourally5366 4 года назад

    Alhmdulillah tumefurahishwa na kitendo cha kuombana radhi Allah awalipe kheir. Ila shekhe Alhadi wacha kibri nawe muombe radhi mwenzio na simama hadharani kusema kama ulikosea nawe pia dua yako ulioiomba kwa jina la yesu hutopungua kitu nasi tutakupenda kwa dahat ya nafsi zetu.

  • @fahmaali8945
    @fahmaali8945 4 года назад +2

    Wallahi.nimefurahi.sana.mwenynzi.mungu.awaweke.insha.allha

  • @abasmwika3432
    @abasmwika3432 4 года назад

    Huyu sheikh alhad mussa anatuvuruga sana waislamu na inaonekana masheikh wengine wameanza kumuogopa kwakua yuko karibu sana na utawala.ila Allah ndie mjuzi na kila kitu.unafiki mwingi umetujaa waislamu

  • @adamrajabu9107
    @adamrajabu9107 4 года назад +2

    Natamani hata mie nikienda tofauti nifanye haraka kama hivi hapo sasa ndo uisilamu wa kweli Allah akulipeni mashekh wetu.

  • @wastarayussufu9463
    @wastarayussufu9463 4 года назад

    Asalam alaikum wa rahmatullahi wa barakaatuh wallahi mimi binafsi nimefurahika sana kwa suluhu mmefanya hivyo nivyo allah anataka allah awabariki sana

  • @fahadomar6177
    @fahadomar6177 2 года назад

    Mashaallah hongereni sana Allah awazidishie

  • @Gee_Matick
    @Gee_Matick 4 года назад +3

    Alhamdulillah hata sie tuliowashambulia mwanzo tunaomba umtusamehe na Allah atusamehe

  • @fatwimatzahrau2327
    @fatwimatzahrau2327 4 года назад +1

    Nyote hamjamuelewa sheikh abuu idd hakupatana kwamba ameiruhusu ile dua nop amepatana ugonvi usiendelee bila shaka huyu shehe wapili hana ilmu angeenelea na ugonvi mbaya sana sasa sheikh abuu idd amehofia ujahil wake huyu shehe lakini hajairuhusu ile dua iendelee kabsaa sasa yy amejisafisha sasa ilobakia nihuyu shehe ajisafishe kwa ALLAH

  • @nadyaaliy2258
    @nadyaaliy2258 4 года назад

    Mashaallah Allah awalipe kheri,na waislam sote Allah atuzidishie mapenzi baina yetu hakika sote ni ndugu

  • @abedkarume9088
    @abedkarume9088 4 года назад +6

    Jazakallahu kheiran

  • @nguzomaalim
    @nguzomaalim 4 года назад +5

    MashAllah

  • @ayeshadada3850
    @ayeshadada3850 4 года назад +1

    Mashallah Alhamdulillah yani nimefurahi sana

  • @suleimanmohommed5209
    @suleimanmohommed5209 2 года назад

    Mimi sijaona ugomvi wenu hapo mmegongana Kielmu na Elmu ndiyo Dini yeyote atayekosea awekwe sawa Kielmu na sio kukashfiana, wa Hadha kadha’a Lillahi lhamdu.

  • @jumamzamilu3729
    @jumamzamilu3729 4 года назад +1

    Na wengine tulio kwaruzana ktk jamii zetu tufanye hivyo inshallah

  • @jumaayyoub2519
    @jumaayyoub2519 4 года назад

    Ma sha Allah.
    Allah awajalie kila la kher.
    Muzidi kutuletea mazuri

  • @alhamdulillah5796
    @alhamdulillah5796 4 года назад +4

    Na hapo ungeomba dua kwa kumtaja Yesu km kweli unajiona ulikua sahihi.

  • @charlesmihuwa6287
    @charlesmihuwa6287 2 года назад +1

    Allauakbar!

    • @charlesmihuwa6287
      @charlesmihuwa6287 2 года назад +1

      Mimi ni Mkristo kama nature ya jina langu nimefulahi Wallah kwa kitendo hiki na nimeamini kweli Uislam ni Dini ya Hakhi na Amani.

  • @j_gh812
    @j_gh812 4 года назад +1

    Mashallah Alhamdulillah..Allah awaongoze na awazidishie imani

  • @shebyomary8946
    @shebyomary8946 3 года назад +1

    Mashaallah allah awabaliki

  • @allyshabani4830
    @allyshabani4830 4 года назад

    Mashaallah, alhamdulillah! Huundo uislam tunao ujua, imependeza sana,.

  • @albertjames6845
    @albertjames6845 4 года назад

    Ni jambo jema kusameheana, ila epukeni pia kupenda social media, mkikoseana tafutaneni mwelekezane kwa upendo na upole kama mlivyofanya hapo badala ya kurekodi clip na kupost mitanadoni kwani video hizo kamwe hazifutiki hata mkishapatana. Mbarikiwe sana kwa kusameheana.

  • @omarykaya9029
    @omarykaya9029 4 года назад +15

    Sisi tunaakili na tunajua hapo tatizo ni dua ya kipekee

    • @cydemanchester2368
      @cydemanchester2368 3 года назад

      Masheikh wameombana msamaha ila hawajatuambia hiyo dua ya kipekee ilikuwa sahihi ama si sahihi. Lakini cha ajabu watu wanashangilia masheikh kuombana msamaha ila hawajajua dua ilikuwa sahihi ama si sahihi?

  • @hadijazuberi6049
    @hadijazuberi6049 4 года назад +2

    Mashallah

  • @aminaomar9675
    @aminaomar9675 4 года назад +2

    Hujakosana na Mohamed iddiumemkosea Allah utubie ushahadie upya

  • @99graphix
    @99graphix 4 года назад +8

    Ma shaa Allah

  • @khamismwachuoh5401
    @khamismwachuoh5401 3 года назад +1

    Ndio maana nikasema si vyema kutumia maneno ya matusi katika kutofautiana rai, maana wadigo husema wakosanao ndio waelewanao.Sasa kama ulichafua mazingira kabisa kabisa inakuwa fedheha na inakosesha uhalisia na ladha ya jambo hata kama jambo lile ni la kheir.Tuwe waangalifu wakati wa kuongea hadharani.Hakika sisi tusiosoma tunawapenda sana mashekhe wetu na inatuuma sana tuonapo mandhari za kutatanisha na kuvunjiana heshma kama vile.

  • @athumanitanuke6795
    @athumanitanuke6795 4 года назад +1

    Vipi dua yako sasa ya kuomba kwa jina la yesu

  • @shabanhassan5928
    @shabanhassan5928 4 года назад

    Mashekh wetu mnatuweka njia panda sana waumini wenu maana hatujui nani mkweli inavyonekana ni maslahi binafsi tu yanatafutwa na si mtume muhamadi s.a.w .alivyoelekeza tupunguze njaa tunapotaka kueleza ukweli mnaharibu sifa ya baraza la waislam kwa njaa zetu mtaenda kuungua

  • @nenolako8522
    @nenolako8522 4 года назад

    Siasa ilishaingia hapo.
    Maadam mmeomba radhi, sasa tumwachie Maulana mwenyewe kama atapokea au la. Maana yeye ndo anajua fika chanzo cha mtafaruku wenu, na anajua kama huo msamaha wenu ni wa kweli au kuna mtu kabaki na fundo. Sisi tunaangalia tu, na maisha yanaendelea

  • @muhammadmpoyamboya2423
    @muhammadmpoyamboya2423 4 года назад

    Sheikh Muhammad una hikma ya kipekee hakika wewe ni mwana wa chuoni unaejitambua nawewe alhad axha qibry kibury jifunze kwa huyo mwenzio unapenda sana maneno ya kwenye kanga badilika Allah hampendi MTU mwwnye qibry

  • @mwajabukambangomaaashaalla8323
    @mwajabukambangomaaashaalla8323 4 года назад +6

    Maaashaaallah jazakallahu khyra

  • @allyndambwe4354
    @allyndambwe4354 4 года назад +3

    Umemkwaza nn wakati ulikuwa unasimamia haqi

  • @ahmed59122
    @ahmed59122 4 года назад

    Mhh haya kidini ni vizuri lakini huyu sheikh kibonge Muhammad Iddi.hanazo busara zaidi kuliko huyu mtoto wa mjini Musa..haya tutamwachia Mwenye binadamu wake. Yetu macho....i have a. Dream 🙏🏿🙏🏿

  • @barackjoshua6712
    @barackjoshua6712 4 года назад +4

    Kwa kweli nimefurahi sana mpaka nimetaka kulia kwa furaha.huu ndio uislamu jamani. Hakuna mkamilifu sote ni wakosaji

    • @cydemanchester2368
      @cydemanchester2368 3 года назад

      Unasema umefurahi! Ni sawa. Lakini je! Ni yupi kati yao alikuwa sahihi na yupi hakuwa sahihi. Baada ya kuomba dua kwa jina la Yesu na baraka za mtume Muhammad

  • @oswadikarugwemashaallaalla8654
    @oswadikarugwemashaallaalla8654 4 года назад +5

    Yani nyie mashekhe mna mitihani kweli alla awa nusuru kweli vurugu zote zile sasa yupi mkweli sasa hapo shekhe wamkoa au shekhe idi

    • @cydemanchester2368
      @cydemanchester2368 3 года назад

      Majitu yanaishia kutoa pongezi kwa kuombana msamaha ila hawana hata wanalojua kuhusu ni yupi yupo sahihi kati ya aliyepinga dua ya kipekee na aliyeomba dua ya kipekee

  • @husseinkassimal-ahdaly.3824
    @husseinkassimal-ahdaly.3824 4 года назад +15

    Vizur....ila shekh wa mkoa Akatubie

  • @Ibratz255
    @Ibratz255 4 года назад +1

    Sasa wale wengine uliowasema kina kishki je ?

  • @ashamustafa7567
    @ashamustafa7567 4 года назад +3

    Allhamdullillah mmefanya jambo LA heri mlitustua sana waumini wa kiislam

  • @sadockandrea3789
    @sadockandrea3789 2 года назад

    Kwahiyo umekubali kuwa kuomba kwa jina la YESU ni sahihi.

  • @ahmedsoudathman5088
    @ahmedsoudathman5088 4 года назад +1

    🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 wasulhu kheyrun...
    Huu ndio uislamu halisi

  • @sharifahamisi9812
    @sharifahamisi9812 4 года назад +3

    Maa shaa Allah hii ndo raha ya uislam

  • @hamisimkima117
    @hamisimkima117 2 года назад +1

    Mmekwama Viongoz wenye kupenda Maisha ya Duniani na kuiweka nyuma Akhra yenu

  • @sharulchenja2167
    @sharulchenja2167 4 года назад

    Tatizo siyo kusamehana, tatizo tunataka kujua ukweli wa ile Dua....msitake kutuchanganya. Allah atawahukumu kwa ilo mnalofanya. Nyinyi mmesamehana ila kwa Allah je..???? Mmepotosha umma.

  • @cydemanchester2368
    @cydemanchester2368 3 года назад

    Tatizo halikuwa nyinyi kukwaruzana ama kukorofishana bali tunataka kujua ni yupi aliye sahihi katika maelezo yake ya awali. Na yupi kakubaliana na hoja ya mwenzake. Maana tatizo lilikuwa ni Alhad kuomba kwa jina la Yesu na Baraka za Mtume Muhammad. Idd akapinga. Sasa hapa wamesema wameelewana. Je! Ni nani alikuwa sahihi na nani hakuwa sahihi?!

  • @salimalhajri6399
    @salimalhajri6399 4 года назад +2

    Mashalh

  • @salehjuma866
    @salehjuma866 4 года назад

    Tunataka aseme kakosea mbele ya waislamu wote. Kwani bado hajafanya kitu. Sisi tumeona mumepeana mikono tu. Aseme magufuli sio zaidi Mtume na sio zaidi ya Mungu.

  • @rajabungowo3306
    @rajabungowo3306 4 года назад +2

    Alhamdulillah

  • @hemedahmed3094
    @hemedahmed3094 4 года назад

    29:11
    2:6-18
    4:137-145
    Qur'an

  • @hassanmohammed7811
    @hassanmohammed7811 4 года назад

    Mashaalah Allah akulipeni pepo(Firdausi)

  • @mroojnr.2756
    @mroojnr.2756 4 года назад +2

    Wanasumbuliwa na njaa tu wote hao. Mohamed Idd aliisema kweli, Alhad asitumie aya za ujanja ujanja na hadithi za ujanja ujanja kujaribu kutuaminisha kuwa alikuwa sahihi. Sisi tunasema kakufuru na mohamed Idd alimuambia ukweli.

  • @blazemt9487
    @blazemt9487 4 года назад

    Sasa ile dua lakini hamjatupa ufumbuzi sie mahamuma tushike wapi haifai Kislam dua kama ile ama inafaa..kuweni Wakweli hii dini tupeni majibu sahihi basi...?Allah azidi kutuunganisha pia tupendane na tupende UISLAM wetu ..sisi ni ndugu tofauti zishivunje udugu wetu..MUISLAM NDUGU YAKE NI MUISLAM

    • @KISAKI01TV
      @KISAKI01TV 4 года назад

      Mi nafikiri shekh Alhad alikwepa kijanja kumuomnea dua mtu yule kwahiyo akampiga changa la macho

  • @allyjumaallyjuma692
    @allyjumaallyjuma692 4 года назад +1

    جزاكم الله خيرا و احسن الجزء

  • @ashrafkhamis1051
    @ashrafkhamis1051 2 года назад

    Masha Allah 🤝🤝🤝

  • @blazemt9487
    @blazemt9487 4 года назад +3

    Masha allah huo ndio UISLAM sio chuki na visasi ....Allah atuongowe waislam ..Amin

    • @alhamdulillah5796
      @alhamdulillah5796 4 года назад

      Haikua chuki isipokua huyo sheikh aliekosea inaonekana hapendi kujishusha anaporekebishwa. Nilimsikia akisema alifatwa kwa siri akafahamishwa lkn nani mtandaoni angejua km amekosea na yy mwenyewe hakurudi mtandaoni kueka sawa? Ni bora ilivyochambuliwa wasiojua wakafahamu km ni makosa kuomba dua vile. Nawapenda sana masheikh wote lkn wanapokosea mara zote hawaeki sawa hata km watafatwa kisiri. Wanapoteza watu mitandaoni. Kuna watu hawajasoma wanaangalia sheikh kafanya nn anaona sawa na yy anaiga na kusambaza uovu.

  • @abuumuayyad7921
    @abuumuayyad7921 4 года назад

    Mashaallah huu ndio uislam wa kwel

  • @ibnuhajartvonline2448
    @ibnuhajartvonline2448 4 года назад

    Njaaa mbaya sana

  • @hasamjebe4685
    @hasamjebe4685 4 года назад

    Tunacho taka alhd awaombe waislam radhi amuombe mungu toba na afute kauli zake za kipumbavu ,,amjasoma peken ila waislam wengi sasa wana muamko was elim ,acheni usanii wenu ,,wa kuipenda dunia mpaka mnawakufurisha waislam ,,ombeni wote radhi ,,

  • @charleskuyeko4400
    @charleskuyeko4400 2 года назад

    Ni jambo jema sana. Sheikhe Massa angeenda akapatane na Dr Mwaka pia

  • @fatwimatzahrau2327
    @fatwimatzahrau2327 4 года назад

    Yani hawa wa tz wanapenda kiki sana sjapata kuona kila kitu wao wako mbele waimbaji niwao ushehe niwao wala hawakusoma dini lakini kila mtu unamskia akurupuka ni shehe hata juzi tulimuona mwengine pia alitafuta kiki aliingia akawa shehe akaenda makka kuhiji alafu akarudi tena kwa nyimbo mm hata nashindwa nahawa watu alafu wanazipenda pesa sanawanataka utajiri kwa nguvunguvu na umaarufu

  • @mohdsalum5986
    @mohdsalum5986 4 года назад

    Mashallah ila Allah katuonesha kuwa nyinyi nina na unachokifanya tunamshukuru Allah kwa kutujuza hiloo

  • @ahmedmohamedshaksy9471
    @ahmedmohamedshaksy9471 4 года назад

    Nimefurahi sana sana kuona wamesameana lakini ulikuwa si ugomvi ila alikuwa anarekebishwa lakini alikata kurekebishwa sasa twangojea aombe msamaha kwa waislamu maana alivuka mipaka.

  • @jumabakari5698
    @jumabakari5698 4 года назад +3

    Alhamdulillahi Rabil'alamin

  • @tangaoldtv1067
    @tangaoldtv1067 4 года назад +2

    Allah amipe kila la kheri sheh nimemkubali sna kukubali makosa lakini bado sheh mmoja mbishi anaitwa NURDIN KISHKI ndio haelewi ila mashaallah honereni

  • @abaafarhat9191
    @abaafarhat9191 3 года назад

    Mimi sijamuelewa huyu ugomvi wako na Alhad Musa ni upi tena mi najua ulikuwa unamrekebisha alikosea kuomba dua ile tofauti na uislam leo mmeondoa tofauti zenu kwa maana hiyo ulimkosoa kwa ajili yako sio kwa ajili ta Allah?

  • @asiakinia9344
    @asiakinia9344 4 года назад +1

    Mashaallah inapendeza Sana binaadam ukijua umejikwaa wapi

  • @awadhijumaa939
    @awadhijumaa939 4 года назад

    Mashallah 🤝