Masha Allah tabarak Allah kheri, Jazzak Allah kheri shekhe, kwakuwakimbuka wanazuoni wetu wa Africa Mashariki , jambo nzuri mno lakupendeza kwetu sisi , naomba mola ajalie jambo hili lidumu inshaallah.
ASALAM ALAYKUM WARHATULLAH WABARAKAT ALLAH AKUFANYIE WEPES AMINII YARABII VP KUHUSU KUFANYA MKABALA WA KWENDA MOROCCO KIMYA NA MASIKU YAMESOGEA AU UTAKUWA MMOJA WAKIJA
Masheikh ni Nuru ya Taifa letu. Allah awarehemu na kuwasamehe makosa Yao. Allah tupe ELIMU sahihi unayoiridhia wewe. Masheikh wanahitaji kuthaminiwa Kwa maombi na SiSi tujaalie upeo wa ELIMU pia. Hakika ELIMU ni Nuru.
Ahh nyie mashekhe kwani kwa sababu ya sala 5 au kusoma? na hao waliopita walikuwa hawajui kila kitu hapo mlipo mumejawa na viburi hata haki ikithibiti.
Hao mashekh anawaozungumzia mufti sio hao unaosema wewe,,,hao ni wale wachamungu kazi Yao ilikua kusomeshe Dua hawakua na tamaa ya ulimwengu ,,kabla hujakomenti elew mada inamaanisha nin
Kuwaombea Dua Masheikh na waisilamu ni jambo lamhimu sana na kupeana heshima waisilamu wote na kupendana ALLAH tujalie tuwe kama jengo moja Amuna
Masha Allah tabarak Allah Feeq , Jazzak Allah kheri mufti wetu Mola awalipe na abariki khafula hii izi na jambo hilitudumu nalo inshaallah.
Masha Allah tabarak Allah kheri, Jazzak Allah kheri shekhe, kwakuwakimbuka wanazuoni wetu wa Africa Mashariki , jambo nzuri mno lakupendeza kwetu sisi , naomba mola ajalie jambo hili lidumu inshaallah.
Daah.Mufti wetu yaani sijui hata nisemaje.Allah atakulipa kheri kwa juhudi yako
Maashaallah muftiwetu
ASALAM ALAYKUM WARHATULLAH WABARAKAT ALLAH AKUFANYIE WEPES AMINII YARABII VP KUHUSU KUFANYA MKABALA WA KWENDA MOROCCO KIMYA NA MASIKU YAMESOGEA AU UTAKUWA MMOJA WAKIJA
Mufti wetu masheikh lazima watadharaulika saana kwa sababu hawajui wajibu wao, wao wanajua utapeli wa dua za kuwaibia waumini
Hao unaosema wew siyo anaowakusudia Mufti.afu acha chuki
😂😂😂
Masheikh ni Nuru ya Taifa letu. Allah awarehemu na kuwasamehe makosa Yao. Allah tupe ELIMU sahihi unayoiridhia wewe. Masheikh wanahitaji kuthaminiwa Kwa maombi na SiSi tujaalie upeo wa ELIMU pia. Hakika ELIMU ni Nuru.
Hebu fafAnua Dua za kuwaaibia waumini ni zp
Ahh nyie mashekhe kwani kwa sababu ya sala 5 au kusoma? na hao waliopita walikuwa hawajui kila kitu hapo mlipo mumejawa na viburi hata haki ikithibiti.
Wee mbn umekuja kunya hapa hvii unajielewa ata tukikupeleka mbele ya mufti unaweza kuropokwa kama hvii
Hao mashekh anawaozungumzia mufti sio hao unaosema wewe,,,hao ni wale wachamungu kazi Yao ilikua kusomeshe Dua hawakua na tamaa ya ulimwengu ,,kabla hujakomenti elew mada inamaanisha nin
Mmmh
Mufti wetu pata siku tuzungumziye shule zetu zinazomilikiwa na bakwata kwalizinatuhuzunisha
Ni kama zimekufa hazina wanafunzi wakati zikosehemu nzuri kimazingiya
Mmmh