UST KINYOGOLI NA UST SHAFII-MJADALA WA QUR-ANI WAIBUA MAZITO KWENYE BIBILIA WAINJILIST WASHANGAA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 5 дек 2024

Комментарии • 41

  • @DegalgalSarah
    @DegalgalSarah День назад +1

    Mtumishi wa mungu mungu akulinde kwa jina la bwana yesu kristo mwana wa mungu🙏🙏🙏🙏🙏

  • @TreasureMagumba
    @TreasureMagumba 4 дня назад +4

    Wallahi nawapenda kwa ajiri ya Allah, aisee mmeanza kitambo sana kazi hii ya daawa Allah awalipe keri

  • @MohamedMeja
    @MohamedMeja 3 дня назад +2

    Masha allah mungu awapea nguvu na afya ilio njemaa

  • @adamsalim587
    @adamsalim587 4 дня назад +3

    Masheikh wanajitahidi sana katika kutangaza Uislamu, Allah awalipe kila la kheir In shaa Allah

  • @Amidupandasi
    @Amidupandasi 4 дня назад +3

    Muhadhara ulio Jenga nyoyo ya watu wengi sana Asante sana walimu zetu ALLAH awahifadh sana

  • @HusseinSaleh-e4y
    @HusseinSaleh-e4y 4 дня назад +2

    Allah awape mwisho mwema ma sheikh wetu

  • @Kachuba-w9p
    @Kachuba-w9p 4 дня назад +2

    Masha Allah ustadh shaf

  • @twahahassan-pr7rw
    @twahahassan-pr7rw 4 дня назад +4

    Kinyogoli mola akulinde shekhe

  • @saudaumar3354
    @saudaumar3354 4 дня назад +1

    Mashallah Allah awabariki awahifadhi Inshallah kafiri hana lake hasidi waroho yake

  • @AbubakarKi
    @AbubakarKi 2 дня назад

    Ameen

  • @adamsalim587
    @adamsalim587 4 дня назад +1

    mchungaji obama ana sarakasi kweli apo kwenye pamboo daah, akafanye tu comedy🤣🤣🤣🤣🤣

  • @niyorHamiss-yv4rm
    @niyorHamiss-yv4rm 4 дня назад

    mashallah mukiwa dongo kabisa❤❤❤❤

  • @bigmanfish6346
    @bigmanfish6346 3 дня назад +1

    YANİ WAKIRISTO HAWAONI UKWELI WOTE WANAPEWA? Ni WAJINGA KWELI 😂

  • @jumahenriquesgeraldo9837
    @jumahenriquesgeraldo9837 4 дня назад +1

    Enyi Masheik wachananeni na mapagani te kikristo watu hawana hoja na wanatukana Qur'an Tukufu mpaka hapo! Wacheni kujadiliana na vichaa

    • @charlesmapunda-g5l
      @charlesmapunda-g5l 4 дня назад

      Hakuna Kichaa hapo tulia usikilize ukweli na ukweli unauma. Kama mlikua hamjui huu ukweli kuhusu Quran yenu basi ndio huo, ni kitabu kilichoandikwa na walevi na kudanganya kuwa ni kitabu cha Mungu wakati ni uongo. Quran yenu yenyewe imekiri hilo ila Mashekhe wenu hawawaambii ukweli huo.

  • @salumsimai642
    @salumsimai642 2 дня назад +1

    😂😂😂😂 alievunjika nn marufuku kwenda kanisani?😂😂😂😂

  • @samxx411
    @samxx411 4 дня назад +2

    Ameogopa kuapa kwa kutumia msahafu akatia ujanja ili asiape..wallahi uislamu raha kweli

    • @Kachuba-w9p
      @Kachuba-w9p 4 дня назад

      Raha sana wallah tuwaombe hawa ndg zetu waijue hawa🙏

  • @AMINGULAMRASUL
    @AMINGULAMRASUL 4 дня назад

    JAMAA AMEJICHANGANYA KWENYE KUULIZA SWALI.

  • @ramadhanyusuf2401
    @ramadhanyusuf2401 3 дня назад

    Hapo kwa alievunjika mapumbu imenicheksha😅

  • @sonnyr1899
    @sonnyr1899 4 дня назад

    Bwana Daniel anatamani kuguto hio Ma*****U 😂😂😂😂😂😂
    Daaaa hawa jama hatuwawezi

  • @bigmanfish6346
    @bigmanfish6346 3 дня назад

    HAPA LIKUA NI SHAFI MWENYEWE

  • @bishingwemaxime3655
    @bishingwemaxime3655 10 часов назад

    Hakuna mtu anaejua biblia kama saidi kinyogori.hiyu wachungaji wanamuogopa sana

  • @akkidume8312
    @akkidume8312 2 дня назад

    😂😂

  • @AliNassor-qt6fm
    @AliNassor-qt6fm 4 дня назад

    Huu mdahalo ni WA lini?

    • @TreasureMagumba
      @TreasureMagumba 4 дня назад

      Ni kitambo sanaaaa si unaoma sura zao zilikuwa vijana sanaa😂

    • @Smart_jarm
      @Smart_jarm 4 дня назад

      2000

  • @francisjoseph1074
    @francisjoseph1074 4 дня назад +1

    😂😂 kweli waislam NI wehu sasa , mnafikili biblia ni kama utumbo wenu Quran? Biblia lazima usome Kwa akili ,na lazima muelewe mnasoma biblia Kwa ujanja ujanja , mnachukua maandiko waliokua wanaambiwa wayahudi then mnasema yanawahusu wamataifa kenge kweli nyie

    • @eliaihoo77
      @eliaihoo77 4 дня назад

      Usitukane watu wa dini ingine hata kama huipendi. Unaweza kuja kuwa na ndugu zako kisha wataingia kwenye matusi mfano wa ulilotaja.

    • @MoiWakitaa
      @MoiWakitaa 4 дня назад +1

      Ivyo ndivyo mnavyodangwa ili mladi tu msioji maamdiko iv andiko linasema usiabudu sanam sasa hapo unataka nini kuelewa

    • @francisjoseph1074
      @francisjoseph1074 3 дня назад

      @@MoiWakitaa Sasa Kama andiko lipo ndani ya biblia linasema usiabudu sanam sasa wewe Muislam linakuhusu nini? Biblia ni ya Wakristo we Muislam inakuhusu nini? Sababu hata Ukisoma huwezi elewa context au dhima ya maandiko kusoma biblia inaitaji akili na upeo sio kukurupuka, kichwa kichwa, Unaposoma bible lazima ujue nyakati na vipindi , au Agano jipya au la kale , na lengo

    • @mohamedhajimsingino2172
      @mohamedhajimsingino2172 3 дня назад

      ​@@francisjoseph1074NA HUYO MHADHIR WAKO WA KIKRISTO AYA ALIZOKUWA ANANUKUU ZA QURA'N ALIKUWA ANAZIPOTOSHA, ALIKUWA HATOI SABABU YA KUSHUKA, WAKATI NA MALENGO YAANI WANAOLENGWA NI KINANANI. WAKATI MWENGINE ALIKUWA ANANUKUU AYA AMBAYO INAMLENGA YEYE MWENYEWE LAKINI ALIKUWA ANAIPOTOSHA KTK MAELEZO YAKE

    • @mohamedhajimsingino2172
      @mohamedhajimsingino2172 3 дня назад

      HALAFU ACHA KUTUKANA.

  • @charlesmapunda-g5l
    @charlesmapunda-g5l 4 дня назад

    Kwa maandiko hayo yote yalio somwa kwenye Quran inatosha kuniweka mbali zaidi na uislam maana ni kitabu cha kihuni cha kiarabu kuanzisha Dini yao ya Uislam.

    • @Smart_jarm
      @Smart_jarm 4 дня назад

      Kichwa chako ni kibovu

    • @charlesmapunda-g5l
      @charlesmapunda-g5l 4 дня назад

      @Smart_jarm Wenye vichwa vibovu ni wale wanao sikia kweli ya Mungu na bado hawaelewi, watu hao hawawezi kumsikiliza mtu yoyote hata Malaika wa Mungu isipokua Majini tu ndio wanawasikiliza. Sasa hao ndio wanavichwa vibovu, Mungu ame yalaani Majini na kuyatupa kuzimu alafu kuna watu eti wao wanamuona Mungu hajitambui ila wao ndio waelevu wanawakumbatia hao Majini yalio laaniwa nakuswali nayo, ila kwavile wanamuabu Mungu Allah sio mbaya kwani Mungu muumba mbingu na nchi hawezi kuabudiwa na Majini.