KWANINI MZOZO UUPELEKEE KQENYE siasa ILI KUDOGOSHA TATIZO HUSIKA, WAKATI HIYO SIASA NDIO ILIMALIZA maisha Ya WATU! NA KAMA KULIKUA NA KAULI ZA UTETANISHI NANI AWE KIONGOZI NA MPAKA MTUME ANAONDOKA HALIPO WAZI, JE HUONI NIKUTIA KASORO KAZI YA MTUME KUA HAKUFIKISHA UJUMBE KAMILI!?
Ni jambo LA kumuhimidi Allah kunasibishwa kwa shekhe muhammadi Abdul wahabi mana ni mtu aliyelingania dini ya mitume ni mtu wa tauhidi ebu someni vitabu vyake,
So far so good,إنما نحن مستمعون،وينرار الى أين توجه
Asante Sheikh ❤
Mimi nishiaaaaaaa hata nikibaki pekeyangu ntaendelea kua shiaaaa ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
🎉
🎉
Fatuma, nitumie namba yako tafadhali
Mimi sina upande wowote, uwa lenye dalili nalikubali atakama aseme nani lakini lisilokuwa na dalili sema adi upasuke sikubali ng'o atakama asemenani
Allah akuongoze
Mashallah sheikh umejitahidi kueleza kielimu tofauti zilizopo
ahsante
Ulijuaje Kama ameongea kielimu
@@bagalucha unanisingizia ushia kwakuwa naelekea kugusa uwahabi video ijayo, hilo halitakusaidia kitu,
MANENO nimazima ila nakushauri tuu kama Allah amekupa mustawa wakutafta Elimu basi wacha mitandao kaa chini soma
KWANINI MZOZO UUPELEKEE KQENYE siasa ILI KUDOGOSHA TATIZO HUSIKA, WAKATI HIYO SIASA NDIO ILIMALIZA maisha Ya WATU!
NA KAMA KULIKUA NA KAULI ZA UTETANISHI NANI AWE KIONGOZI NA MPAKA MTUME ANAONDOKA HALIPO WAZI, JE HUONI NIKUTIA KASORO KAZI YA MTUME KUA HAKUFIKISHA UJUMBE KAMILI!?
Mzee acha tu kila mtu online tv nisheikh ukimsikiliza uyo anaejiita sheikh anaongea tyu utumbo
Ni jambo LA kumuhimidi Allah kunasibishwa kwa shekhe muhammadi Abdul wahabi mana ni mtu aliyelingania dini ya mitume ni mtu wa tauhidi ebu someni vitabu vyake,
@@AminerAlly HUJAKOSEA ALIJITAHIDI SANA
Kusomosha din kume washinda kutwa mitandaon
Mie narikod video baada ya swalatu ssubhi.
Kisha naenda kusomesha skuli mpka adhuhur kisha naingia madrasa mpaka jioni.
Niombee dua
@@ABJADACADEMYnenda ukasome kwanza kaa Kwa masheikh u some mzee
Nilicho gundua kuna wahabi
❤