BEHIND THE GRAM DIVA & SHEIKH - EPISODE 4

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 3 дек 2024
  • Usisahau ku"SUBSCRIBE" RUclips channel yetu kwa videos nyinginezo
    #zamaraditv #mambonimengi

Комментарии • 204

  • @Semnyawenda
    @Semnyawenda 3 месяца назад +1

    Kwa hiyo sheikh ni dr pia wa hedhi na uzazi! Toba!😂😂😂

  • @blandinamyinga9489
    @blandinamyinga9489 5 месяцев назад +5

    I love the way Abdul tries to explain certain things to Diva""if this is how he is in real life""woow lovely.

    • @Sam_me01
      @Sam_me01 3 месяца назад +1

      @blandinamyinga9489 that is how he is in reality show not in reality life my dear 😆

    • @blandinamyinga9489
      @blandinamyinga9489 3 месяца назад

      @@Sam_me01 that's why I put IF

  • @priscasaid4600
    @priscasaid4600 9 дней назад

    Huyu Mwanaume Alijua Kutesekaa😅😅😅

  • @steveabel5819
    @steveabel5819 5 месяцев назад +8

    Ila all in all atakama kunatofauti na mapungufu, diva na shekhe wanapendezeana i would really like warudiane and sort their things out.

  • @btylove1870
    @btylove1870 5 месяцев назад +7

    Sasa nimeelewa Abdul anawapataje hawa wanawake, na hivi ndivyo alivyompata diva. Wateja wake wengi watakuwa wameingiliwa sana na huyu sheikh ubwabwa! Very sad wallah☹

    • @Sam_me01
      @Sam_me01 3 месяца назад +1

      @@btylove1870 super sad for sure

  • @firdaussheikh4817
    @firdaussheikh4817 5 месяцев назад +4

    Diva amenichekesha aki , 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣they look good together❤❤❤❤ 🇬🇧

  • @ramhuudulla8921
    @ramhuudulla8921 5 месяцев назад +9

    Anajiona kitotooo cha miaka 9

  • @blandinamyinga9489
    @blandinamyinga9489 5 месяцев назад +2

    one thing i learned after watching few episodes of this show""ABDUL RAZAQ is very smart and calm""

    • @Sam_me01
      @Sam_me01 3 месяца назад

      @blandinamyinga9489 you didn't learn enough keep on watching more of his videos then you will definitely learn more than what you think you did

  • @nyanziratatou5404
    @nyanziratatou5404 5 месяцев назад +3

    Kweli Diva ni tahira kabisa😂😂😂

  • @priscasaid4600
    @priscasaid4600 8 дней назад

    Diva Hajiamini Na Mwili Wake😅😅

  • @فاطمهفاطمه-ش2ز9ج
    @فاطمهفاطمه-ش2ز9ج 4 месяца назад +1

    😂😂😂😂😂diva kapatikana af Abdulrazak mtu makin kwel😂😂😂😂😂atak utak utoto.

  • @mapishiyetumazuri2312
    @mapishiyetumazuri2312 5 месяцев назад +2

    Harajajuwa dini shida ndo hiyo hata asilaumewe mungu amuogoze yy na ss

  • @HASSANBAKARI-q9c
    @HASSANBAKARI-q9c 5 месяцев назад +3

    WAKIPEWA INTV WANAPAKANA😊...WAKIKUTANA ZINAWAWASHA😊..ME APANA

  • @Naahlyan
    @Naahlyan 5 месяцев назад +13

    Tuseme ukweli diva na mume wake wamependezeana kiufup wanaendana naenjoy kuwaon

  • @verynice7879
    @verynice7879 5 месяцев назад +5

    Ila diva 😂😂😂😂 jinga kweli

  • @munaomar9532
    @munaomar9532 4 месяца назад +1

    😂😂😂😂mjanja diva 😂😂😂

  • @estherchou2899
    @estherchou2899 5 месяцев назад +3

    Jamani Abdul usipotoshe watu that is not the meaning of christmas tree 😢
    Jaribu ku google basi mue mnatumia akili ata kidogo ku Kashif dini ya wenzio sio poa kbsa
    Ww dili na uganga wako usicheze na Imani za wenzio

    • @Semnyawenda
      @Semnyawenda 3 месяца назад

      😅😅😂😂😂😂😂

  • @fathiyahmuzney7367
    @fathiyahmuzney7367 5 месяцев назад +3

    Yan huyu diva kwel ziro kabisa

  • @fahzernyizzy2418
    @fahzernyizzy2418 4 месяца назад +1

    Eti rest in peace 😂😂😂

  • @NajmaJomy
    @NajmaJomy 5 месяцев назад +1

    Diva ww sasa upate maadili ya kiislam no Christmas only 5 daily prayers .follow Quran and hadth of the prophet Muhammad SAW. Only listen ur husband whatever he is telling you dont be stubborn about islamic religion am your sister in islam❤

  • @SuleimanKhdija
    @SuleimanKhdija 5 месяцев назад +6

    Sio sheikh huo ni Abdoul Razaq bhana 😊

  • @ummuwawili
    @ummuwawili 5 месяцев назад +3

    usichoke mwaya Abdul usichoke kumlingania atabadilika tu inshaa Allah mwanzo mgumu lkn pole Allah akuzdishie subra maana bila subra huyo mke wako utamchoka mapema maana ni mtihani😢

    • @rizikially9535
      @rizikially9535 5 месяцев назад

      Kweli 😊❤

    • @AmanaHussein
      @AmanaHussein 5 месяцев назад

      Atabadilika inshallah 🤲

    • @hadassahEmmanuel
      @hadassahEmmanuel Месяц назад

      kumbalisha mtu mzima ni kazi sana na pengine haiwezekani, ndo maana kuepuka hayo yote chagua mtu mwenye sifa unazotaka sio mtu ambaye utasema utambadilisha, kwanza sio haki

  • @mrokay1time958
    @mrokay1time958 5 месяцев назад +1

    😂😂😂😂😂😂 jaaamaaaniiii

  • @Zainab_salat
    @Zainab_salat 5 месяцев назад +6

    Diva mm na ww tunashare siku kuzaliwa na aina tabia zako kwann maybe malezi I hope unasoma my comment

  • @LuqKey
    @LuqKey 5 месяцев назад +9

    Huyu Abdul alikuwa na subra sana kuishi na huyu battery law

    • @khumayraabdulla96
      @khumayraabdulla96 5 месяцев назад

      😂😂😂
      Tatizo anajiona mchanga tu mapenz unaweza kuyapoteza kwa kujiona mchanga

    • @Sam_me01
      @Sam_me01 4 месяца назад

      Sibado wako pamoja?

  • @farhannahkulishwaburekunam5360
    @farhannahkulishwaburekunam5360 5 месяцев назад +3

    Huyo Hutu humuwezi mwanamke sasa nimefahamu abdul humuwezi diva hatakiwi kuelewesha ni mjuaji

  • @chunaabdullah1333
    @chunaabdullah1333 5 месяцев назад +5

    Aogi shee na katoka zoezi 😂😂

  • @chunaabdullah1333
    @chunaabdullah1333 5 месяцев назад +2

    Mbona usimfundishe dini kwanza huyu taira 😂😂

  • @Adje244
    @Adje244 5 месяцев назад +7

    Hili li Dada akili zake haziko sawa ni anamatatizo ya akili

  • @angelinamwakadi5226
    @angelinamwakadi5226 3 месяца назад

    Mbona isingekua leavemass na ni Christmas unajichanganya sheikh

  • @SalhaMwampagatwa
    @SalhaMwampagatwa 5 месяцев назад +4

    Mimi sipendi diva nauyu mumewake waachane kwasababu wamependezana sana nasiku wakija kuachana nitaumia sana mimi jamani

  • @salhamrishoi4943
    @salhamrishoi4943 5 месяцев назад +1

    Nimependa hii❤❤❤❤❤🎉

  • @aj-gw1rl
    @aj-gw1rl 5 месяцев назад +1

    😀 hawa sidhani kama wameachana

  • @blandinamyinga9489
    @blandinamyinga9489 5 месяцев назад

    Shekhe ukaoa diva""usijali kawaida drama lkn pia ukumbuke alikuwa nani before siyo rahisi mtu kuacha au kusahau vitu alivyozoea kuvifanya kabla hamjakutana au kuowana.

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 5 месяцев назад +5

    Ila diva anautoto sana

    • @Jojo-lz7lq
      @Jojo-lz7lq 5 месяцев назад

      Na anapenda mashindano🥹😂

  • @khairyaalamri4002
    @khairyaalamri4002 4 месяца назад

    Dada nimbaya hyu duh,sura Pana pia nzito

  • @salhawaziri1668
    @salhawaziri1668 5 месяцев назад +3

    Mwanamke jinga huyu khaaa

  • @leaherasto929
    @leaherasto929 5 месяцев назад +2

    anawashika shika ndio maana anawalala ovyo

  • @salmatuleteesehem71jmnmahm59
    @salmatuleteesehem71jmnmahm59 4 месяца назад

    Usijiite sheikh kwasababu ungekuwa Sheikh haswa basi usingemuoa huyo mwanamke we sema tu wewe ni muislam tu kwenye usheikh hapana mwanaume haswaa muislam anaejitambua hawezi kuoa mwanamke km huyo

  • @khamismohammed2582
    @khamismohammed2582 5 месяцев назад

    Bongo kuna watu wanaibiwa kizembe. Shekh anawaibia sana mtoto karizika anachezewa tumbo

  • @فاطمهفاطمه-ش2ز9ج
    @فاطمهفاطمه-ش2ز9ج 4 месяца назад

    😅😅😅😅babako anaishi apa ndan!??

  • @Sam_me01
    @Sam_me01 4 месяца назад +2

    Hello guys mi niko na swali naombeni munielekeze ofisi ya sheikh iko wapi?

    • @Semnyawenda
      @Semnyawenda 3 месяца назад +1

      Unaenda kutafuta majanga? Hauoni jinsi anavowachezea wanawake kama pipi!😢😅😅

    • @Sam_me01
      @Sam_me01 3 месяца назад +1

      @@Semnyawenda hahahaaaa nataka nikamuone kwani ananini hasa cha kuwachanganya hawa wanawake hivi mana mi sijaona cha ajabu 😁😁

    • @Semnyawenda
      @Semnyawenda 3 месяца назад

      @@Sam_me01 kwa kweli hakuna cha maajabu, janja janja tu! NAO wanaingia cha kike!

  • @HajratHajrat0501
    @HajratHajrat0501 5 месяцев назад +3

    Nijibuni wameachana au wapo pamoja 😂😂😂😂😂mbona wanachanganya

  • @Bashitetako
    @Bashitetako 5 месяцев назад +1

    Una jidanganya huyo sio Beyonce unaishi na mwehu anaehisi yeye ni Beyonce

  • @witnessmlay7415
    @witnessmlay7415 5 месяцев назад +13

    Umeshindwa kumfanya mkeo avae ijabu/asivae nywele bandia unaangaika na mti kweli? Upo serious Mganga? Hehe

  • @mapishiyetumazuri2312
    @mapishiyetumazuri2312 5 месяцев назад +1

    DIVA anasekesha

  • @khalsasalim7930
    @khalsasalim7930 5 месяцев назад +1

    Et beyonce 😂

  • @hasinaaljabri1502
    @hasinaaljabri1502 5 месяцев назад +1

    Sasa nikweli ao filem

  • @farhannahkulishwaburekunam5360
    @farhannahkulishwaburekunam5360 5 месяцев назад +1

    Hiyo culture imekujaje na wewe una mume mwaislam na ushakuwa mwiislam huyo bado hajakuwa Muslim kamil bado anamambo yake ka kisto nawamekutana wote wasemaji na diva hawezi kuelewa na huyo bwana ni tomuch mjuaji sana na bado hajafata dini ni jina tu

  • @nancyg8664
    @nancyg8664 5 месяцев назад +1

    lakini najaribu kumuelewa Abdul

  • @sund2553
    @sund2553 5 месяцев назад

    Mganga anatibu nin haki utapeli huuu😅😅

  • @HamisiForogo
    @HamisiForogo 5 месяцев назад +1

    Shida ni mti wa kristmas

  • @catherinekanono4298
    @catherinekanono4298 3 месяца назад

    Muongo huyu hujui maana ya Christmas tree

  • @lalafamily5290
    @lalafamily5290 5 месяцев назад +2

    Shehe muongo sana Christma😢s haina uhusiano na Cris, ni story ya kutunga kutoka kwenye uislamu kimtazamo!! Ukristo unapigwa mawe sana kila kona!! Christ not Cris au Kris!! Hizi kumbukumbu za kidini tu na siyo kama mihimili ya kiimani. Ramadhani ni tamaduni za kipagani ukifuatilia chanzo chake, ambapo utabishana na waislamu kuhusu hilo kidini. Ndiyo kama Christmas ilivyo kidini. Maswala ya kidini ni very contradicting.

  • @AmanaHussein
    @AmanaHussein 5 месяцев назад +4

    Niliskia diva Yuko na mimba mdomo koma🏃🏃🏃

    • @FirdausyAbubakary-bl2wo
      @FirdausyAbubakary-bl2wo 5 месяцев назад +4

      @@AmanaHussein aamiin nataman iwe hivo napenda saana Allah ajaalie woote wanaotafuta watoto wapate..haijalishi personal issues zao ziko vp

    • @AmanaHussein
      @AmanaHussein 5 месяцев назад +1

      Inshallah inshallah inshallah

    • @bennamush4616
      @bennamush4616 5 месяцев назад

      😂😂Sasa unakimbia Nini Kwan Kuna bayaa😂😂

    • @x7hia
      @x7hia 5 месяцев назад

      Kama kweli basi Usimtangazie mwenzio mambo km hayo hayatangazwi especially ikiwa yeye mwenyewe muhusika hajayaweka wazi, na kama ni uongo basi acha kusambaza uongo kwa faida yako na vizazi vyako

    • @AshuuuBakari
      @AshuuuBakari 5 месяцев назад

      Xinatoka masikini tumuombee apate nae inshallah

  • @nancyg8664
    @nancyg8664 5 месяцев назад +6

    😂😂ila diva ana sura kubwa

  • @GraceKente-l2c
    @GraceKente-l2c 5 месяцев назад +2

    Kumbe diva muhaya 😂

    • @FirdausyAbubakary-bl2wo
      @FirdausyAbubakary-bl2wo 5 месяцев назад +1

      Excuse me😂😂😂 mtanga huyoo jamaniii😂😂😂😂

    • @nancyg8664
      @nancyg8664 5 месяцев назад +2

      ​@@FirdausyAbubakary-bl2wo😂😂baba ake mhaya ye anakuaje mtanga

    • @FirdausyAbubakary-bl2wo
      @FirdausyAbubakary-bl2wo 5 месяцев назад +1

      @@nancyg8664 subhaanaAllah hii sampul uhayanii mmh😀😀😀😀

    • @sophiaalnuru45
      @sophiaalnuru45 5 месяцев назад

      ​@@nancyg8664ni mhaya ndio

  • @wemaMichael-fr4th
    @wemaMichael-fr4th 5 месяцев назад +1

    bwana kichaa bibi kichaa

  • @JudyHans-g8v
    @JudyHans-g8v 5 месяцев назад

    Kwahyo mas ni wingi Sawa, zile almasi tulikuwa tunakusanya na sumaku utotoni zinaitwa Al Ila Kwa mingi ndo almas😂😂

  • @righitkileo
    @righitkileo 5 месяцев назад +1

    Woooooooyi.jamn kwani bado mnaishi pamoja?? Ila hawa wote wanauqonjwa wa Akili. Woooooooooooyi.

  • @MaryamShedrack
    @MaryamShedrack 4 месяца назад

    Kumbe diva mhaya jamani sasa mbona anasemaga msambaa

  • @SalmaMsangi-n2m
    @SalmaMsangi-n2m 5 месяцев назад +1

    Diva km jinga

  • @nayarichard5318
    @nayarichard5318 5 месяцев назад

    Yaani mm ingekua vita ananiitaje Beyonce yaani ananinanga?.....ila shehe nae anashida inshort mnajuana

  • @FocusNyari
    @FocusNyari 5 месяцев назад +1

    nyuma ya gramu

  • @NanaNana-oe5ft
    @NanaNana-oe5ft 4 месяца назад

    Uyo diva ashukuru mungu kastirika na nganga kweli ww kibibi

  • @mawlodafarida
    @mawlodafarida 4 месяца назад

    ❤❤❤❤❤

  • @dinalesmwakolo2131
    @dinalesmwakolo2131 5 месяцев назад +1

    Wa kwanza😊

  • @lastborn7810
    @lastborn7810 5 месяцев назад +1

    Mtu anaswali na nguo za gym loo si ungeoga kwanza 😂😂😂😂

    • @mejumaamwachirero7324
      @mejumaamwachirero7324 5 месяцев назад +5

      Hivi kwani jasho ni najisi ebu someni dini

    • @FirdausyAbubakary-bl2wo
      @FirdausyAbubakary-bl2wo 5 месяцев назад

      ​@@mejumaamwachirero7324😂😂😂

    • @lilasuliman552
      @lilasuliman552 5 месяцев назад

      Uislamu ni usafi​@@mejumaamwachirero7324

    • @lastborn7810
      @lastborn7810 5 месяцев назад

      @@mejumaamwachirero7324 lakini sio vizuri mbona kwengine haendi akiwa yupo na jasho anaoga ananukia ndo anaenda kwanini wakati kua na Allah asioge? Jasho si najis lakini inapendeza ibada kufanywa katika usafi

  • @AhmedAdan-po5ps
    @AhmedAdan-po5ps 5 месяцев назад

    Vichaa wawili waliochanganyikiwa

  • @hellensaronga4259
    @hellensaronga4259 5 месяцев назад

    Mwambie huyo mmeo, religion is one of the element of culture.
    Alafu akome kuongelea Christmas kwa upotoshaji maana hajui chochote.Ana chuki sana na dini za watu.
    I hate....

  • @rukaya-jg7hj
    @rukaya-jg7hj 5 месяцев назад +2

    Asa diva umeolewa lkn unapingana na mume

    • @nancyg8664
      @nancyg8664 5 месяцев назад

      yan mjuaji huyu mimi ningekua nalidunda balaa

    • @rukaya-jg7hj
      @rukaya-jg7hj 5 месяцев назад

      ​@@nancyg8664kama abdul ni mtu wa kupiga lingetolewa ngewe ilo diva

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 5 месяцев назад +2

    Inamana mazoezi yale yote shehe hujajamba kwer?? Sasa udhu utakuwepo kwer au? Mana kuinama kule lazima ujambe ujue

  • @catherinekanono4298
    @catherinekanono4298 3 месяца назад

    Kwani huyu ni daktari ama anawaambea

  • @lilianpeter1631
    @lilianpeter1631 5 месяцев назад +3

    Diva m'bish sana bichwa kubwa akili kisoda ndo mana akaachika anajifanya bado mtoto jitu zima

    • @nancyg8664
      @nancyg8664 5 месяцев назад +1

      anajikuta mtoto na sura ilivokua kubwa hvo😂😂

  • @Marjeby
    @Marjeby 5 месяцев назад

    😅Huyu jamaa aiseee wallah elimu ni muhimu sana huyuu fala hana elimi yoyote hawezi hata kumtibu mtu akiwa anaharisha tuu shenzi kabisa

  • @efrahfarahahmed8960
    @efrahfarahahmed8960 5 месяцев назад

    Eti tumpeleke mgomba 😂

  • @Maimu.J.8102
    @Maimu.J.8102 5 месяцев назад +1

    Hata hizo picha ameziweka hapo ukutani ni haram

  • @leokamil6284
    @leokamil6284 5 месяцев назад

    Kila kitu Namtaja Baba yake hivi huyu dishi lipo sawa kweli?

  • @marygregory7566
    @marygregory7566 3 месяца назад

    Hilo wigi sio la kiislam mbona humkatazi

  • @EmilyAlph
    @EmilyAlph 5 месяцев назад +1

    Ila Abdul alijitahidi sana kuishi na hili deri la barafu 🚮🚮

  • @mapishiyetumazuri2312
    @mapishiyetumazuri2312 5 месяцев назад +1

    Ss unakula mkate na Chai namazoezi wapi na wapi

  • @WilsonWaryoba
    @WilsonWaryoba 4 месяца назад

    Shehe anaonekana mtu wa comand ndomaana hawaelewani mda mwingi

  • @JokhaSaid-e1c
    @JokhaSaid-e1c 5 месяцев назад

    Hi I watu bado mnaenda kutibiwa mitaani

  • @NajmaJomy
    @NajmaJomy 5 месяцев назад

    Kwni swala ya asr wasoma na saut mpaka huku twasikia

  • @abasiramashoo5026
    @abasiramashoo5026 3 месяца назад

    Wewe unashika wanawaki tumbo hakiki wewe ni malaya

  • @WilliamSumuni
    @WilliamSumuni 5 месяцев назад

    Eti Christopher

  • @mrokay1time958
    @mrokay1time958 5 месяцев назад

    Niatari

  • @nicholauspeter9454
    @nicholauspeter9454 5 месяцев назад +22

    huyu ni mwanaume jaman kuishi na hili tahira si mchezo

    • @faridalihondo3322
      @faridalihondo3322 5 месяцев назад +2

      😂😂😂😂😂😂

    • @chunaabdullah1333
      @chunaabdullah1333 5 месяцев назад +2

      Nnacheka kaa fala aki anajitaidi sana sheikh 😂😂

    • @esterpaul5856
      @esterpaul5856 5 месяцев назад +4

      Tahira mama yako msenge ww

    • @MwanakomboNassor-bw3by
      @MwanakomboNassor-bw3by 5 месяцев назад +2

      Siyo tahira hajui jamani kama wewe muislam kweli ungejua wanaume kwetu wachunga na viongozi wetu ndani ya nyumba

    • @lindamaunga3901
      @lindamaunga3901 5 месяцев назад +2

      😅😅 nacheka km mazur nyie mbn tahira jmn 😂🙌

  • @UmmIlyaas-t9h
    @UmmIlyaas-t9h 5 месяцев назад +2

    Diva ATI muslim? Dayuth na mke wake mutabarijat.
    Minyuwele kama tambi, I don't even know why I am watching this rubbish.

  • @faridahalil4456
    @faridahalil4456 5 месяцев назад +1

    Iweje asharehekea Xmas na akiwa amesilimu????? Huyu hajaikubali dini ya kiislam. Ndoa yako Abdul haiko sahihi. She is a beach na Allah atampa mitihani maana anachezea dini ya watu.Stick to your ukiristo wako. Tena mjeuri sana unavyomjibu mume utakavyo? Rudi ukafundwe

  • @witnessmlay7415
    @witnessmlay7415 5 месяцев назад +5

    We Mganga kwan huo mti ndo unashida gan? Jinga kabsa, kuleta udini usiokuwa na maana

    • @thamani5842
      @thamani5842 5 месяцев назад +6

      Shida yy si mkristo mti wa krismas unamuhusu nini? LAKUMDINUKUM WAL YADIN

    • @witnessmlay7415
      @witnessmlay7415 5 месяцев назад +1

      @@thamani5842 alichofanya ni ubaguzi wa kidini, angeupotezea tu mana haumuhusu kwa chochote. Mke wake Diva una muhusu ndo mana aliamua kununua. Kwamba angesali hapo, sala yake isingefika ama?

    • @faridalihondo3322
      @faridalihondo3322 5 месяцев назад +1

      @@witnessmlay7415haumuhusu ata uyo diva keshakua muislam

    • @AmanaHussein
      @AmanaHussein 5 месяцев назад +1

      😂😂😂😂

    • @busnaoman9981
      @busnaoman9981 5 месяцев назад +1

      Lakumdin kumwalyadin Kila mtu anadini yake

  • @Mariamsalim-m2v
    @Mariamsalim-m2v 5 месяцев назад +1

    Kwanza me niseme huyu nishekhe wa aina gani kaenda kuoa mke ambae hana dini halafu kashamuona mkewe wa aina hio mbna kashindwa kumuelekeza kwa njia ya sawa na kumpa mafunzo ya dini

    • @salhawaziri1668
      @salhawaziri1668 5 месяцев назад

      Ni mganga

    • @aairraahseif5648
      @aairraahseif5648 5 месяцев назад

      ​@@salhawaziri1668so"akiwa mganga hana dini?

    • @salhawaziri1668
      @salhawaziri1668 5 месяцев назад

      @@aairraahseif5648 elezwa nilichojib tafadhali

    • @AmanaHussein
      @AmanaHussein 5 месяцев назад +2

      Subhanallah hivi mnatoaga wapi nguvu za kuhukumu wenzenu😔

    • @aairraahseif5648
      @aairraahseif5648 5 месяцев назад +1

      @@AmanaHussein watu wanahukumu mpaka wanaona Abdul hana dini!si vizuri, ati Sio sheikh ni mganga!sasa mganga ndo hana dini? Kiasi wanajifanya wao wasafi sanaaa

  • @lissaseif4744
    @lissaseif4744 5 месяцев назад

    Mfunze mkeo kujistili kwanza ndo ukatae mti mpuuzeeeee wewe

  • @RutyNatalia-uu5uj
    @RutyNatalia-uu5uj 5 месяцев назад +2

    Kwan ametia udhu mbn anaswali bila udhu

    • @MariamKichawele
      @MariamKichawele 5 месяцев назад

      Hawezi onesha kila kitu ila pia hawezi kuswali bila udhu

  • @Zaburi-
    @Zaburi- 5 месяцев назад +2

    Script hizi

  • @RandB_Channel
    @RandB_Channel 5 месяцев назад

    Kwahiyi huyu jama amekera.mbona wa Islam ☪️ wengi wanakuwaga wanatiya huyo mti?? Mnajifanya kujuwa dini na ijapo mazambi nimengi sana zenye mko mnafanya byenye habiendane nadini mmm huruma

  • @StrongbowArrow2004
    @StrongbowArrow2004 5 месяцев назад +2

    Ila diva anamwili mmbaya 😂😂😂 umejaziana hovyo hvyo si ajifanyishe mazoez jmn khaa..

    • @estherpaul3864
      @estherpaul3864 5 месяцев назад +1

      Jaman duuh😅😂

    • @AmanaHussein
      @AmanaHussein 5 месяцев назад +1

      Hivi wewe umemwingilia Mungu kazi yake sawa

    • @StrongbowArrow2004
      @StrongbowArrow2004 5 месяцев назад

      @@AmanaHussein Hiiii..😳 kichaa wewe,Mungu na limwili kuliachia hovyo lijae jae bila mpangilio vinahusiana nn hapo,🤗 mwambieni afanye mazoezi nyie machawa wake msio lipwa..mxuuuu😏😏😏

    • @JacklineNamundengozi
      @JacklineNamundengozi 5 месяцев назад

      You sound stupid 😏

  • @UmmIlyaas-t9h
    @UmmIlyaas-t9h 5 месяцев назад +3

    Sheikh gani chumba Kimoja na mwanamke bila mahram wake. Apo bila camera wangekuepo pekeye Yao tu.

    • @nancyg8664
      @nancyg8664 5 месяцев назад

      kwan hukusikia anamtajia tarehe yule mfanyakazi wake alikuepo pembeni

  • @AishaHaji-jn7sg
    @AishaHaji-jn7sg 5 месяцев назад +1

    Ila diva 😂😂😂😂😂😂😂😂au ni anafanya tu drama ili wauze iii reality yao
    Hii mbona kama content tu jaman
    Abou nae punguza ukali mapenzi gani hutaki hata kushikwa

  • @nsajigwaburton
    @nsajigwaburton 5 месяцев назад +3

    jamaa muongo