Magoli | Simba SC 4-1 Geita Gold | NBC Premier League 21/05/2024

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 3 дек 2024

Комментарии • 220

  • @gustaphkadio5144
    @gustaphkadio5144 6 месяцев назад +11

    Tunao ikubari simba yetu kwa hari na mari tulike bhas hapa

  • @azizimuhibu7771
    @azizimuhibu7771 6 месяцев назад +4

    Pira safi,,chasambi ni hataree 🔥,,, muzamiru mnaona anachokifanya ni xavi + iniesta

  • @bbclondonulimwenguwasoka6126
    @bbclondonulimwenguwasoka6126 6 месяцев назад +6

    Saido aweanapata mechi za kupumzika kabla ya big match Ili afanye maajabu. Mie namkubali saana

  • @AllyAbdalla-d5w
    @AllyAbdalla-d5w 6 месяцев назад +39

    Kama Kuna anae angalia gongs like tujuwane Kwa mda huu

  • @lucaskanyamaha4885
    @lucaskanyamaha4885 6 месяцев назад +6

    Saido akikalibia kumaliza mkataba huwa anakiwasha sana😂

  • @allidehunter3223
    @allidehunter3223 6 месяцев назад +4

    Bora nione umuuu mana mwanzo nilikua tumbo juu nitakuj niwafie mm❤❤

  • @absm8084
    @absm8084 6 месяцев назад +2

    Huyu Chasambi aiseee mpeni nafasi kijana 🔛🔥🔛🔥🔛🔥🔛🔥🔛🔥

  • @SamweliJaphali
    @SamweliJaphali 6 месяцев назад +1

    Uyo ndo chasambi mwenyewe 💪💪 simba nguvu moja 🇹🇿

  • @EliezaLonjin-bv5yo
    @EliezaLonjin-bv5yo 6 месяцев назад +3

    ❤❤❤ Simbaaaaaaaa🎉🎉🎉❤❤❤❤❤

  • @ZaniaMohammed
    @ZaniaMohammed 6 месяцев назад +7

    Maskini saidoo hadi uruma anayoyafanya hayaonekani wanamsakama sana na ndo mana kawafunga midomo wakome kumuandama

  • @SuperJNG18
    @SuperJNG18 6 месяцев назад

    Up Simba from NYC! One of my favorite teams in Africa! Hope I can see a game someday.

    • @edithampoki
      @edithampoki 6 месяцев назад

      Welcome Tanzania and Simba sports club

  • @chusseboywcb2808
    @chusseboywcb2808 6 месяцев назад +3

    Mimi nasimba dam dam paka kiyama❤❤💪

  • @GeradiFaizi-je9me
    @GeradiFaizi-je9me 6 месяцев назад +1

    Kazi zuri sana timu yangu

  • @jamalmanishi7282
    @jamalmanishi7282 6 месяцев назад +3

    Geita sio mbovu msemaji wake ndio mbovu sana mdomoni nandio alieiponza sababu hana heshima akawaulize akamuulize msemaji wa Azam au wa horoya , jweneng Galax ukitaka kiki kupitia Simba utaumbuka Simba sio paka

  • @hajimahamudu7059
    @hajimahamudu7059 6 месяцев назад +2

    ❤❤❤❤❤simbaaaaaaa

  • @YunusStoper
    @YunusStoper 6 месяцев назад +2

    Ila goli la mwisho chasambi mh🎉🎉🎉

  • @EzraTemba-v5n
    @EzraTemba-v5n 6 месяцев назад +1

    Chasambi ana k2 hongera kjn

  • @SamhabadruOmar
    @SamhabadruOmar 5 месяцев назад

    ni htr kw kwl❤

  • @ChristinaAloyce-pp6vj
    @ChristinaAloyce-pp6vj 6 месяцев назад +1

    Safi sana simba❤

  • @abbassalum6824
    @abbassalum6824 6 месяцев назад +1

    Hiii simba ya Mgunda ni htr

  • @punchlinetz
    @punchlinetz 6 месяцев назад +2

    Left footer Chasambi ni suala la muda utakuwa unaanza kila game...

  • @justinndayiziga838
    @justinndayiziga838 6 месяцев назад

    Saido jamaniii ❤🎉❤❤

  • @HamisMghuna-fj3vz
    @HamisMghuna-fj3vz 6 месяцев назад

    Mashaaalah saido,

  • @DavalsonMarlony
    @DavalsonMarlony 6 месяцев назад +2

    Simba hii hapa hii

  • @SYLMASVISIONFORSCIENCE
    @SYLMASVISIONFORSCIENCE 6 месяцев назад +2

    Chasambi noma

  • @magomakabanja480
    @magomakabanja480 6 месяцев назад

    I love you
    Mgunda and Saido

  • @shakiramshule342
    @shakiramshule342 6 месяцев назад

    Simba ❤❤❤❤❤❤

  • @AlexPius-s6g
    @AlexPius-s6g 6 месяцев назад +2

    Nimengojea hii highlight mpk nikataka nilale😂😂😂

  • @AwesoMuya-ih6fp
    @AwesoMuya-ih6fp 2 месяца назад

    Simba

  • @BarakaMbwambo-hd5sf
    @BarakaMbwambo-hd5sf 6 месяцев назад

    This is simba brother

  • @ajoseph31
    @ajoseph31 6 месяцев назад +1

    Mechi ya jana wangeshinda magoli zaidi kufidia magepnya magoli na azam

  • @allysamjo2628
    @allysamjo2628 6 месяцев назад +2

    Mbona camera zenu mda mwingine sio safi

    • @salehkimamba8453
      @salehkimamba8453 6 месяцев назад

      Wana dharau sana awa asa ivi

    • @paulpaul380
      @paulpaul380 6 месяцев назад +1

      Nikajuwa simu yangu 😂😂😂😂

  • @aginesMushi
    @aginesMushi 6 месяцев назад +1

    Mngunda apewe hongera zake

  • @elishamwaitebele
    @elishamwaitebele 6 месяцев назад +4

    Mwanzoni mlikuwa wapii

  • @seifmohamedi9298
    @seifmohamedi9298 6 месяцев назад +1

    Chasambi kama Miquissone wa enzi zilee

  • @josephfrank4446
    @josephfrank4446 6 месяцев назад +1

    Saido ondoka yupo chasambi😂😂

  • @AmurJecha
    @AmurJecha 6 месяцев назад

    MACHO YAO HAYAONI KAMA NINAVYOONA MIMI HAYA MAGOLI YOTE YAMEFUNGWA KWA MIPANGO SIO KAMA YULE MSEMAJI WAO ALIVYOSEMA BUTUA BUTUA ISHALLA BADO KIDOGO TU TAWI LAO LITAANGUKA ❤❤❤❤❤❤

  • @newdreams1
    @newdreams1 6 месяцев назад +1

    Ila benchika malipo ni hapa hapa duniani😂

  • @brianbatoleki6531
    @brianbatoleki6531 6 месяцев назад +1

    Mgunda apewe timu, goli la Tatu zuri Sana. Mzamiru kabadilika sana

  • @KhamisHassan-ql5ut
    @KhamisHassan-ql5ut 6 месяцев назад +3

    KUNA MGONJWA MMOJA ETI YANGA MNA WIVU WALA HAIELEKEI MAANA YANGA WANAJIANDAA NA KUPOKEA KOMBE

  • @bbclondonulimwenguwasoka6126
    @bbclondonulimwenguwasoka6126 6 месяцев назад

    Benchika , Mungu anakuona

  • @jafaridriving1278
    @jafaridriving1278 6 месяцев назад +1

    Hili goli nimeliangalia mara 3 chasambi kaipiga sana

  • @DominickIfunya-tm6pi
    @DominickIfunya-tm6pi 6 месяцев назад +3

    Refa amebeti ili simba ashinde

  • @AyubuKaduma-w3q
    @AyubuKaduma-w3q 6 месяцев назад +1

    Kwamba anatuziba midomo aucy😂😂😂

  • @tezuramziray8700
    @tezuramziray8700 6 месяцев назад +1

    Utawasikia Saido bonge la mchezaji

  • @aminaabdalla-uo9zq
    @aminaabdalla-uo9zq 6 месяцев назад

    I'm here❤

  • @Merrymerry-l4n
    @Merrymerry-l4n 6 месяцев назад

    ❤❤

  • @mr.lawimagupa3914
    @mr.lawimagupa3914 6 месяцев назад +3

    Uyo ANDUNJE KWENYE NAFASI 10 ANAFUNGA GOLI 2 ZA KUTE GA AF ANAMFUNGA NAN MDOMO, NA ANGEFUNGA CHUMA KAMA ZA CHASAMBI S KANGEVUA NGUO KABISA. NI KWAMBA KAMEZEEKA KAONDOKE..😢😢😢😢😢

  • @mgetaofficial
    @mgetaofficial 6 месяцев назад +1

    Mbona mna upload bila sauti siku hizi shida nini

  • @africaendlesscruisingltd
    @africaendlesscruisingltd 6 месяцев назад +1

    Hee, mbona hii nafasi ya pili imekua ngumu hivi kupatikana?! 😢😢😢😢

  • @shinkywinkyaman7265
    @shinkywinkyaman7265 6 месяцев назад +2

    Eneo la penati cio eneo la penati area 😢😢😢😢

  • @bahatimshali2731
    @bahatimshali2731 6 месяцев назад +3

    Malalamiko FC huwa wanaumia sana SSC ikishinda. Eti sio penalt. Kwani, sheria ya penalt inasemqje?

    • @LeoniaLyimo
      @LeoniaLyimo 6 месяцев назад +1

      Aende Tff wakamwelekeze kanuni. Simba ❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @petercostakisoka
    @petercostakisoka 6 месяцев назад

    Saido apewe mauaa yakee congratulations

  • @paulinakiria7918
    @paulinakiria7918 6 месяцев назад +1

    Wameyatimba leo

  • @joelandekile3933
    @joelandekile3933 6 месяцев назад

    IF YOU ARE HERE IN 2090,,,I WERE HERE IN 2024

  • @simonzelote5998
    @simonzelote5998 6 месяцев назад +1

    Nafikiri kocha anatakiwa kuwa makini kwenye kikosi kwa mfano jobe jamani kashindwa kufanya kazi kabisa

  • @BennyMtwevetz
    @BennyMtwevetz 6 месяцев назад

    🦁❤❤👏👏👏

  • @magomakabanja480
    @magomakabanja480 6 месяцев назад

    Kocha wa Heshima Jumaa Mgunda

  • @DeusiMorisi
    @DeusiMorisi 6 месяцев назад

    Mashabiki ninyi mnatukana wachezaji eee

  • @HassanKangwa-sz4gn
    @HassanKangwa-sz4gn 6 месяцев назад +1

    Walikuwa wapi zamani

  • @GgwalalaCosta
    @GgwalalaCosta 6 месяцев назад +1

    Mnatafta ushind wa 2

  • @TwahirBurhan
    @TwahirBurhan 6 месяцев назад +3

    MIKIA FC NAFASI YA 3 NDIO NGUVU ZOTE HIZO!!

    • @Rukaiya-lt3hm
      @Rukaiya-lt3hm 6 месяцев назад

      Hata iwe nafasi ya kumi wewe isikuhusu sana

  • @magrethkiswanta9259
    @magrethkiswanta9259 6 месяцев назад +3

    Watuachie cocha wetu mgunda japo kwa msim mmoja time anaipeleka vizur baaadae mnampokonya tumuache kidogo jaman sio ajee mzungu atamuona ana mana Tena mgundaaa mtooo!!!

  • @rashidmaulid7312
    @rashidmaulid7312 6 месяцев назад

    Jamaa wallcheza rough sana

    • @JastinAlphonce
      @JastinAlphonce 6 месяцев назад

      Watu roho inakaribia kukata unategemea nn 😂😂😂

  • @obedwilliam5906
    @obedwilliam5906 6 месяцев назад

    Hii rahaaaa

  • @ANZURUNAMAN
    @ANZURUNAMAN 6 месяцев назад

    One energu

  • @MchomvuMchomvu
    @MchomvuMchomvu 6 месяцев назад +1

    Abaki

  • @Makemkem57
    @Makemkem57 6 месяцев назад +4

    Dogo chasambi anajua hvy vilabu vkubwa wasiwakandamize wachezaji wa ndani kulipwa mishahara midogo kwani wapo wachezaji wa ndani wanauwezo kuliko hao wa nje mfano huyo miksoni na chasambi nani Bora??

  • @Vallyc-hj1fn
    @Vallyc-hj1fn 6 месяцев назад

    🎉🎉🎉🎉

  • @ChikwekweGudluck
    @ChikwekweGudluck 6 месяцев назад

    🎉

  • @mndambokilavo2502
    @mndambokilavo2502 6 месяцев назад +1

    halafu kesho mnaenda kutafuta kocha mpya

  • @mcwaya
    @mcwaya 6 месяцев назад

    Wa kwanza

  • @AllyMakerTz-bd4bl
    @AllyMakerTz-bd4bl 6 месяцев назад

    Simba nguvu moya😂😂😂

  • @jimmyjustice7780
    @jimmyjustice7780 6 месяцев назад

    What are comeback

  • @ukuvukiland2387
    @ukuvukiland2387 6 месяцев назад +1

    Hii nafasi ya pili inatafutwa na mbeleko juuu

    • @godfreymasele8853
      @godfreymasele8853 6 месяцев назад

      Wakati mwingine kama huna chakuongea bora ukae kimya kukiko kujiaibisha kwa maneno ya kitoto. Mbeleko iko wapi hapo? 🐸🐸🐸

    • @ekiliangoliga644
      @ekiliangoliga644 6 месяцев назад

      Achana nae huyo, hamnazo

  • @hassanmhesi3868
    @hassanmhesi3868 6 месяцев назад

    Mi wa kwanza

  • @BabaLao-hq6sm
    @BabaLao-hq6sm 6 месяцев назад +1

    Unyama mwing

  • @JumaIssa-jx2hx
    @JumaIssa-jx2hx 6 месяцев назад

    So pw

  • @ashuramuhammed3257
    @ashuramuhammed3257 6 месяцев назад

    Simba mnaibeba sana

  • @colinjunior3043
    @colinjunior3043 6 месяцев назад

    😮😮😮😮😮

  • @VictorPascal-v8p
    @VictorPascal-v8p 6 месяцев назад +2

    Hongereni kolo kupigania nafaxi ya 3....hakika mmeipata

  • @tatujohn1040
    @tatujohn1040 6 месяцев назад +1

    Furaha yenu simba ni ya mawazo

  • @mohamedymwaim4284
    @mohamedymwaim4284 6 месяцев назад +2

    Biashara ya kuuza na kununua magori, hii ndo biashara inayotoka zaidi sokoni

    • @RaymondMshote
      @RaymondMshote 6 месяцев назад

      Sasa goli hapo limenunuliwa

    • @MACHOYATAI-jk6fu
      @MACHOYATAI-jk6fu 6 месяцев назад

      Hata hivyo waisilamu hamnaga akili

    • @sadih5333
      @sadih5333 6 месяцев назад

      Yanga wamenunua timu za ligi kwa kishingizio cha ufadhili, bora uwe mkweli.

    • @OthmoneyH
      @OthmoneyH 6 месяцев назад +1

      ​@@MACHOYATAI-jk6fuIs not fair your words bro😠😠

    • @mwanangusana
      @mwanangusana 6 месяцев назад +2

      ​@@MACHOYATAI-jk6fuduuh ndugu yangu wewe ni mtanzania kweli ? Aibu hii unajitia aibu na una uaibisha ubinaadam na thaman ya utu , acha kuwa na Iman za kishetani akili yako ndo ilokutuma au kiwango Cha pombe kimezidi ?? Pale Simba Kuna watu wa Iman tofauti ikiwemo ya iyo unayo idharau ila pengine sio akili yako ni pepo limekuganda .....

  • @AmurJecha
    @AmurJecha 6 месяцев назад

    ACHA ULIMBUKENI WEWE INA MAANA UKISHAONDOA KICHWA NYAMA ZA PAJA NAFILLET HAZIFAI??!!! ❤❤❤❤❤

  • @RamazanSabuni
    @RamazanSabuni 6 месяцев назад +1

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤😂❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @StevenHava-vr8ep
    @StevenHava-vr8ep 5 месяцев назад

    Uny

  • @CharlesChacha-t4c
    @CharlesChacha-t4c 6 месяцев назад

    Fundi ladack juma chasambi nyuma kuna fundi mzamiru yassin

  • @helenambagale5570
    @helenambagale5570 6 месяцев назад

    ❤utopolonyu mnawivu imewachoma

    • @seciliamchalo5627
      @seciliamchalo5627 6 месяцев назад

      Pole tushabeba wa 30 unatuambia mambo ya wivu kwa kungombea nafasi ya pili?

    • @JastinAlphonce
      @JastinAlphonce 6 месяцев назад

      ​​@@seciliamchalo5627mwambie mwenzio jamn kasahau kwmb ubingwa wa round hii wametuchangia asilimia 💯

    • @JastinAlphonce
      @JastinAlphonce 6 месяцев назад

      ​@@seciliamchalo5627like it 🖤💚💛

    • @tezuramziray8700
      @tezuramziray8700 6 месяцев назад

      7-2 mpooooo

  • @chondecannibal6108
    @chondecannibal6108 6 месяцев назад +2

    Kwani hapa kinagombaniwa kitu gani maana kombe lishaenda jangwani

    • @shedrackjoshua834
      @shedrackjoshua834 6 месяцев назад +2

      Maswali ya kishoga haya sasa si mpira usingechezwa

    • @absm8084
      @absm8084 6 месяцев назад

      Ww ni 🐸🐸🐸🐸🐸🐸 na Utabaki kuwa 🐸🐸🐸🐸🐸🐸🐸🐸🐸🐸

    • @mihangwamasingija3754
      @mihangwamasingija3754 6 месяцев назад +1

      Ligi kuu siyo ubingwa tu bali kila nafasi kwenye msimamo wa ligi ina umuhimu wake kuanzia wa kwanza hadi wa mwisho ingekuwa ni kugombea ubingwa tu basi ligi ingekuwa imeisha kwa sababu bingwa ashapatikana kwa hiyo ni lazima mechi zote zichezwe

    • @chondecannibal6108
      @chondecannibal6108 6 месяцев назад

      @@absm8084 Sawa Pili na Tatu

    • @chondecannibal6108
      @chondecannibal6108 6 месяцев назад

      @@shedrackjoshua834 Jibu swali au ndio Pili na Tatu

  • @Msabi-cp7wy
    @Msabi-cp7wy 6 месяцев назад

    Chasambi is coming

  • @Liamtribalchief
    @Liamtribalchief 6 месяцев назад

    maqolo mnashangiliaga nini sasa dah 🤣🤣

  • @HassanKangwa-sz4gn
    @HassanKangwa-sz4gn 6 месяцев назад

    Saido abaki au aondoke

  • @yuzoooyuso583
    @yuzoooyuso583 6 месяцев назад +1

    Kama hayakuhusu humu kakojoe ulale

  • @SadamSarita-t7z
    @SadamSarita-t7z 6 месяцев назад

    Tumecheza na team3 geita gold Azam na uto

  • @bokemkulya6007
    @bokemkulya6007 6 месяцев назад

    Ssimbaaaaaaaa

  • @tallyromeous7076
    @tallyromeous7076 6 месяцев назад

    Huyu chasambi huyu

  • @DanielGood-m8l
    @DanielGood-m8l 6 месяцев назад

    Hawa waamuzi wapo chini ya viwango jamani dah

  • @youthssuccesstv3162
    @youthssuccesstv3162 6 месяцев назад

    Kipa mpira wa kupangua anataka kumeza duh

  • @mosesmjungwa8900
    @mosesmjungwa8900 6 месяцев назад

    Nguvu mojaaa

  • @JastinAlphonce
    @JastinAlphonce 6 месяцев назад +2

    Tunawashukulu kwa kutuchangia ubingwa wa msimu huu 😂😂😂