HIGHLIGHTS | AZAM FC V USYM | (3-0) PRE-SEASON FRIENDLY MATCH | 20-07-2024 |
HTML-код
- Опубликовано: 6 дек 2024
- Wakati tukiendelea na maandalizi ya msimu wa 2024/25, Tumecheza mchezo wetu wa kwanza wakirafiki tukiwa kambini Benslimane, Morocco, tukikipiga dhidi ya US Yacoub El Mansour.
Hongera mamadou samake
good team
Huyu jez no 15 asionekane kila penalt anaitaka yy other wise team impe majukum hayi 🙏🙏🙏
naona watu wenda mbio tu😂😅
Tulishinda 3 baba angu ila huyu nado ni mzigo
Kwani tulishinda ngapi
3-0
Fei xavi mtupu