Размер видео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показать панель управления
Автовоспроизведение
Автоповтор
Mechi hii ilikw ya kihistoria na ya umoja simba nguvu moja❤❤❤
Simba is one of best team in africa country
Africa isn't a country yo mor*n
Hongera sana wana simba tunashukru kutupa furaha
This is Simba
🔥
Kwahakika hii haitasahaulika maishan simba nguvu moja
Simba hii ilikuaga yamoto sana
Hii ndio ilikua simba
Wao simba
Hongera.simba
Dah!!! hii simba ilikuw balaaa yaan km wangekuw asernal wangekuf nying Najihis km naangalia UEFA CHAMPION LEAGUE kumbe simba sio level ya hapa Tz
🤣🤣
@@azizaalmas9624 💃msimbazi oyeeeeeeee
Ilikua balaa mliregezewa walipoona mmekaza macho yamewatoka kwa mechi wakaamua kufanya jambo lao dakika za mwisho
@@azizaalmas9624 L b lol pvgcd cz😋+5ⁿ8🤫🤫🤫
Miks
❤❤❤❤
Mlitisha wanangu , kimoyomoyo nikasema tutakaa kijiwe gani ikiwa mngeshinda , lakini Mungu hamtupo mja wake zikarudi na mkaongezwa 😃 nadhani hii mechi ndio iliuomn'goa Uchebe hapo. Lakini mlikuwa Nondo Mlitisha.
😅😅
Uchene❤❤❤❤
victory of club africa against club from Europe they always lost at end
Dictionary of chemistry
Goalkeeper wa Simba alituponza
Yani Simba Tim moja ya ajabu aaaah
Hongera simba
Mnyama kazin
Hii ndo ilikuwa Simba bora
Latiba ya Simba hatua ya makund
Matokeo yalikuwaje baada game kuisha
Good
2024🎉
Simba
Simba na nkana
Simbanasvla
Daah ilikuwa so poa
Simba waliingia na nguvu ya soda. Simba mlipewa mda wa kucheka na kushangilia ila dk 90. mzungu akaamua kukupa huzuni.
OK
Wewe unasema hivyo ni mshamba
Mm ni Dar young African ,damu damu lkn tuseme ukwel simba hawa walikuwa on fire!!! ,lkn xaiv ni unga 2!
Simba Ña yanga
Simba. Vs. Yanga
Ila tumetoka mbali sana
Kiukwel sevila Wanatumia akil snaa yaan wbaongo wanajaa golin wnaacha nafac za kupgaAlaf inaonekana kbis Sevilla walikuw wanawaacha Simba wawafunge wakitak kuzidi nao wanasawazishiaEbu aangalien mabao ya Sevilla vzur ynavyofungw
Mwafrica ni mwafrica tu hapendi la kwake!.Am from kenya na mie nishabiki wa simba!.ngeuza ubongo kaka upone!.
@@charlesmuema6442 true
wazungu wazungu tu na waaafrik watabaki kua waafrik
Maana yako nini sasa
Uwezo wako wa kufikiri ni mdogo
@@fromtheeastmakaveli5552 Maana yake wazungu wanatumia akili kuliko mwafrica ilo halina ubishi
Was this Sevilla G team
B
Simba nguvu moja
Mambo no
Mlikuwa conc sanaaa
Simba team kubwa mambo yake utayapendaa tyuuu
Magufuri
Hagar saaaanaaaaaaaaaaaa
Good san
Hawakuamini macho yao
Na mungewafunga tudingeongea
Ilikua mechi ya kirafiki ,majamaa walikua Wamerelax ,sasa mlanyasi alifanya kweli
Simba a nkana
days
simba nayanga
Ila tuliwanyoosha
Mungejaribu kuongeza DKK wakachapwa 25
Hahahaaa yaani mpira bwanaaaa..................
Ila Manula ni pazia kitambo sema tu ndo tulikuwaga hatuna kipa
saw bana
Simba ya leo hurudishi hizo gori
Simba wanatisha
I love you simba
Matokeo kidato cha nne
Huyu manula wala c kipa
Yan sijui kwann wanamuita Tanzania one hana lolote
Kumbe makolo walifungwaga😅😅😅
Bora Sivilla walishinda tusingepumua.
😂
Azam vs simba
Sio poa
Uwez
Ingekuwa yanga wangekula 20
Simba na azam
Vipi
Mngeongeza dakika kama 10 tu mngejuta kucheza nao
issa Fundi mawazo ya maskin anahof akinunua gari itapata ajali
Kivp sija kuerewa
Ingekua maafa makubwa hao hawachoki kbs angalia fainal zao zooote za UEFA CUP hata zikiongezwa dk30 kasi yao ile ile tu
Simba na yanga
AmnA kitu
Wakari watabaki hakuna kama sevila
Baraka Matega hujaeleweka
Dr FdDrd
Yuko wapi kagere yule tulomzoea dah
Kagere uwezo wake umemalizwa na makocha niamini kagere ni bonge la striker
Kiba
hi
Nandy
yaani siku ile nilikuwa uwanjani kama sio kubadirisha sabu zote ,,tungewapiga nane hao jamaa
#Pangaclassictv #Mishashonlinetv #Rogathpangaonlinetv
Je? Mechi hiyo mo sara alicheza
Kiungo bora ulay
Ngolo kante
Kan
jahz
SIMBA tanzania
Chandrakantakiswahiri
Umfunge mzungu kirahisi hivyo mweee! Kachomoa zote na kabandika la ushindi ndani ya muda mfupi tuu
Hahahahahaa walivyoachiwa walijisifu na wangeshinda hao ingekua wimbo wa taifa mbona tungekoma jmn
@@sarahwalles2607 bongo sihami 😂😂😂
Kipa Kama museng
Simba fs leo
😢
Duuuu
HIYO SIMBA MMEIPELEKA WAPI VIONGOZI JAMANI!,MO HII SIMBA IMEKWENDA WAPI?,
Ubelgiji
Mani
Hahaha nilicheka sana siku hii yaani tusingelala wanayanga kwa mbwembwe za mikia ya kima
Sasa hilo jina limewarudia wenyew
@@aishasaid5702 Mbona nimejitahidi kukuelewa lakini wapiiiii
hii unafanyaje
Manula bn
Manula alikuwa tako ananyooka tu kama mshumaa
Hahahahahahaaaaa
Naomba msaada na kipaji changu
mdangaji
Tem kubwa zilikutana
Yanga& lipuli
taarabu
jahazi moden taarabu
السطر الاخير في حلة جديدة
Magoli yote manula anagalia tu
Balaa
Zingeongezwa dk 5 tu Simba wangepigwa tano tena maana waliichokoza nyuki harafu wakakimbilia kule upepo ulikokuwa unaelekea.
DAAH! Bongo bhana😂😂😂😂😂
Lmmmmmnnvj. 👻 on l
Yangasqo
Poor simba goalkeeper
Iu
They let them win , because they substituted all good players in the 2nd half.
Abwene mwasogwe
Masses y'all asili
Mechi hii ilikw ya kihistoria na ya umoja simba nguvu moja❤❤❤
Simba is one of best team in africa country
Africa isn't a country yo mor*n
Hongera sana wana simba tunashukru kutupa furaha
This is Simba
🔥
Kwahakika hii haitasahaulika maishan simba nguvu moja
Simba hii ilikuaga yamoto sana
Hii ndio ilikua simba
Wao simba
Hongera.simba
Dah!!! hii simba ilikuw balaaa yaan km wangekuw asernal wangekuf nying
Najihis km naangalia UEFA CHAMPION LEAGUE kumbe simba sio level ya hapa Tz
🤣🤣
@@azizaalmas9624 💃msimbazi oyeeeeeeee
Ilikua balaa mliregezewa walipoona mmekaza macho yamewatoka kwa mechi wakaamua kufanya jambo lao dakika za mwisho
@@azizaalmas9624
L b lol pvgcd cz😋+5ⁿ8🤫🤫🤫
Miks
❤❤❤❤
Mlitisha wanangu , kimoyomoyo nikasema tutakaa kijiwe gani ikiwa mngeshinda , lakini Mungu hamtupo mja wake zikarudi na mkaongezwa 😃 nadhani hii mechi ndio iliuomn'goa Uchebe hapo. Lakini mlikuwa Nondo Mlitisha.
😅😅
Uchene❤❤❤❤
victory of club africa against club from Europe they always lost at end
Dictionary of chemistry
Goalkeeper wa Simba alituponza
Yani Simba Tim moja ya ajabu aaaah
Hongera simba
Mnyama kazin
Hii ndo ilikuwa Simba bora
Latiba ya Simba hatua ya makund
Matokeo yalikuwaje baada game kuisha
Good
2024🎉
Simba
Simba na nkana
Simbanasvla
Daah ilikuwa so poa
Simba waliingia na nguvu ya soda. Simba mlipewa mda wa kucheka na kushangilia ila dk 90. mzungu akaamua kukupa huzuni.
OK
Wewe unasema hivyo ni mshamba
Mm ni Dar young African ,damu damu lkn tuseme ukwel simba hawa walikuwa on fire!!! ,lkn xaiv ni unga 2!
Simba Ña
yanga
Simba. Vs. Yanga
Ila tumetoka mbali sana
Kiukwel sevila Wanatumia akil snaa yaan wbaongo wanajaa golin wnaacha nafac za kupga
Alaf inaonekana kbis Sevilla walikuw wanawaacha Simba wawafunge wakitak kuzidi nao wanasawazishia
Ebu aangalien mabao ya Sevilla vzur ynavyofungw