Hakuna kusamahewa kwa sababu asipokamatwa asingetoa siri angekuuwa hata wewe kwa hiyo afungwe naisha ili iwe fundisho kwa wengine kwa sababu ukimwachia atarudiya tena
Huyo hata sura yake inaonyesha hyo kaz hajaipenda sema ni hal tu ya maisha jaman muacheni msimuuwe ila apewe adhabu nyingine pia awasaidie kuwakamata hao wengne please
Jambazi kumamamae auliwe msipoteze mda kwa nn aachiwe na yy alishadhuru watu wengi mm ninja polic hawamwachi au kukosa kifo ended jela maisha yake yote yaliyobaki .ASANTE NAIPENDA NCHI YANGU TANZANIA
Subscribe alafa Share😊
Pp
P
Jeshi letu lipewe pongezi za zatiiiiii
0:11 0:11 0:11 0:12
mmmmmm mmmmmmmmmmm mmmm. mmmmm😅 0:50 0:50 0:50 0:50 0:50 0:50 0:50 0:50 0:50 0:50 0:50 0:50 0:50 0:50 0:50 0:50 0:50 0:50 0:50 0:50 0:50 0:50 0:50 0:50
Duuuuuh jamaa huyo atal sana Sheria ichukue hatua
Tz vijana awataki kufanya Kaz wamekalia mondi na simba tu bas kwa heri yakuonana brother god bless you uko uwendako ndugu Yangu
Wafungeni kifungo chamaisha ,msiwauwe niwtt wetu hawo ,wameshapatwa namitihani 😢ijapo nao wanakosa huruma wakifanya uhalifu wao ,Innalillah😢
Siwezi nikadanganya uongo jamn😊
Huyo ni.jambazi sugu.sheria.ichukue.mkondo.wake ili.wanainchi.waishi.kwa.amani
Fanya kazi kijana achana na ujambazi
Kaka mdog mnzr jmni Mungu tutetee watoto wetu
Vijana mnakalia kuiga life style ya. Masuper star matokeo yake usengeee 😂😂😂😂
😂😂😂😂
Tufanye kazi vijana
Huyu ata ukiwa morio anakupeana live😂😂
Uzuri tunaezafungwa Si wote ju amejiseti pia😂
Simba na yangu
Sasa kweli mnamuhoji kwenye kadamnasi ya watu wengi hivi si unaharibu upelelezi
Mwizi ni mwizi, wauwawe tubaki salama
Alaf kijana hasitaili kuwa na ujinga huo alf huyo mkimpga vizur anapajuwa kabisa
Kichwa Cha habari na video ya nani tofaut,punguzen huongo kweny vyombo vya habari
Mwacheni kijana ,huyo, msimwue,jamani kasema ukweli wote, mchukuweni mpeni ajira ya kukamata waarifu wengine
Toa utatuzi sahihi baada ya kujua UKWELI na KWA haki ifuate msumeno wake, komesha tabia chafu kitaifa..
Hawa wauliwe tu na wao, tunduma imejaa matukio ya kikatili kila siku
Uyo sio jambazi sema tz ki2 kidogo mna zusha huyo ni dugu ye2 alisigizi a na serkali ya tz
Anahitaj kusamehew huy kaka na sio kuuliwa mwenyew anasem ukweli maskin
Anajitetea tu siku akiachiwa anaendeleza kazi haramu
Gari
Akiulizwa swali , na yeye anauliza eti Nanii😅😅😅
😁😁😁
Da a tunduma jamani majizi hawaishi tuu polisi pambaneni sana muwamalize jmn
Hakuna kusamahewa kwa sababu asipokamatwa asingetoa siri angekuuwa hata wewe kwa hiyo afungwe naisha ili iwe fundisho kwa wengine kwa sababu ukimwachia atarudiya tena
Fanya kazi vijana jaman na pia tumuombe mungu
Auliwe maana akilud mtaani anaweza kuleta madhala
Huyu anajifunza ujambazi ndio maana anasema ukweli
Mungu atuteteage sisi vjna wa kiume
Huyo hata sura yake inaonyesha hyo kaz hajaipenda sema ni hal tu ya maisha jaman muacheni msimuuwe ila apewe adhabu nyingine pia awasaidie kuwakamata hao wengne please
Tatizo kazi vijana atufanyi tumekaria urimbukeni😢😢😢
Pigen huyoo k absa
Anaongea ukweli ili apone😢😢😢
Jambazi kumamamae auliwe msipoteze mda kwa nn aachiwe na yy alishadhuru watu wengi mm ninja polic hawamwachi au kukosa kifo ended jela maisha yake yote yaliyobaki .ASANTE NAIPENDA NCHI YANGU TANZANIA
Huyu jamaa anaitaji ulinzi ila pia anapangua kesi hawatumii bunduki ila wanatumia mikono
Sijuii ndo hiyo hiyo😂
Kuna mpaka mtu anaitwa godzilaa😅😅
😂😂😂😂
Nani anasema jamaa anamichongo feki lakin anaigopa kuandika
Maswal ya mtego 😂😂 hadi jamaa Anajaa
Jamani jamani msimuuwe jamani
Uyo sio jambazi ni mwanafunzi.... jambazi unatoa sili zakambi kila isi laisi ivo ata aujvuja damu yeyeto
Musimuwe wakati kakiri mpelekeni kisheria ana ahaki zake
Waandishi wa bongo achen njaa unapost kitu tofaut na mazungumzo ,,hovyo
😡😡😡😡
Uyo petro mchuweni wakaoneshe nyie msimuuwe 😢😢😢😢😢😅
Hawa ndo wanaiba Mali zetu washenz awa
Kama wanatumia bunduki kuiba awa kweli ni majambazi...ila uyu nijambaz gan mwoga uyu uyu nimwizi sio jambazi
jambazi muwazi huyu😂😂😂
😔😔😔😔
🤣🤣🤣
Lakini huyu jamaa anauwawa akiachiwa huru si wenzie wanamuua
P didy
Hafai
Kasema ukweli muacheni na musiwe wepesi wakuua
Mwampondo 😅🤣😂Mbona kama mnyaturu
Naomba huyo jambazi achukuliwe hatua
Jaman 😢😢 mximuue jamn
So aliuliwa ?
Kenya kungekua ivo ukora ingeisha juu kila mtu mwenye anafanya unyama akona buduki
uen jambazi tanzania ni nchi ya aman
Auliwe huyo baada ya kutoa ushuhuda
Mwizi mnamhoji ivo nyieee vipiii bwanaaaaa
Leo zamu ya Petro kukanwa😂😂😂
Ajali ya meli ziwa kivu
Kuua mwiz kabixa
Kanumba naludi nyumban
Movie yakanumba naludi nyumbani
Akufa uyo kumamaake
Fanya kazi kaka
Asubiliwe kuuliwa baada ya kutoa sir
Naniii ni kiunganishi au 😂😂😂😂
Auliwe tyuu huyo
Enti ukoo hatufahamiani jamani mfanye kazi vijana
Movie yakanumba naludi nyumb 4:36 4:37 4:38 4:39 4:39 4:40 5:00 ani
Fanyen kazi manina
Mwizi fisi
Achukuliwee atua zakiserekali kumujibu wa sheria ataukumiwa
Auwawe huyo jambazi
Mliza maswali hajimbui
Kapewa elfu 5😢
Wiz nimbaya
Huyu allingizwa uko ona ata mambo mengine hajuwi
Hawa ndo wanaowaharibia maskari wetu wa nchi utasikia askari kafanya hivi wamevaa.yunifomu kumbe.majambazi
Ni kwl jmn kasema ukwl wamuache2😂😂😂
Huko mangurueni Kuna vijana wanafanya matukio wengi xana jeshi la polisi limezidiwa huko kunawatukutu wakutosha
Manguruen hata mazingira yenyewe ukipita yanatisha
Mungu tupe uvumilivu
Mualifu mbona kachangamka hivyooo
Mwampodo na Godizilaaa😂
Mhuu zamwiz arubain
Godzila😢😢😢😅😅😅😅😊😊
Yanga vs kmc 0:51 0:52
Yaani huyo nikama hajitambui
Musimuue jamani 😢😢😢😢
Mbona wanataja mitaa ya tunduma vile
Fanya kazi wewe utakufa vibaya
Anaeleza vizuli
Vijan tujixhugulixhe vya bule havipo
Huyu hajui kitu anatumiwa bila kujua
Haoo watu waonywe kbisa laia hatuna aman
Naniiiiii😂😂😂
Duh . Ameeleza hadi akajisahau
Mungu atuponye na kizaz chetu
Atal
harmoniz
Jambazi anasema Kila kitu jambazi gani
Sio watu kabs majambaz
Wewe chenga 5000 unataka kikuua