🙏👍Hongereni sana Makamanda wetu kwa kujitoa kwa kulinda usalama wetu kiaminifu. Mungu awalinde na maadui na awabariki sn🙏🙏 tunawaombea usalama wa maisha yenu
Hongera sanaaaan makamanda kazi nzuri watu tupo kwenye kwenye maombi ya kuomba toba kwa Mwenyezi Mungu wengine ndiyo kwanza wanazidi kumchafua Mungu tutaponaje jamani charaza bakora za kutosha huyo mganga maana hawa ndiyo wale waganga wakuuwa maalibino pumbavu kabisa 👏👏
Pongezi kubwa kwa askari wetu kwa ujasiri,uzalendo,ukakamavu wote mlio uonyesha kwa pamoja.tupo tayari kufa kwa ajili ya taifa letu....🤝🏿💪🏿🙏🏿⭐⭐⭐hakika nyie ni wazalendo wa kweli..pongezi kwenu na mungu awalinde pia awajaalie ufaham mkubwa wenye maarifa na hisia kali za kumtambua adui.....never give up
Hongereni sana, big up👊🏾 polisi Arusha,Ila Mh mkuu wa mkoa,sio arusha tu ndio iwe salama zaidi kuliko mikoa yote,kila mkoa tuna haki ya kua na usalama wa hali ya juu kwa usawa,big up once again Polisi Arusha.
Tanzania hoooyeee nawapenda Sana kutoka serikali hadi ulinzi wataifa angalao Kenya ingeiga wangekua mbali Sana lakini wao wanajaza mmatumbo tu kutoka serikali hadi ulinzi ovyo kabisa Kenya I'm from South Africa more love tz
Waarabu ndio watu pekee wanalaza gar nje na hakunaga kitu mwiz wala jambaz, walala mageti waz wala mshipa hauwadundi Ila Tz bora mtu uwe maskn tyu mpk siku yako ifike ufe kifo ulichoandikiwa 😩
waendelee kuwamini wagaga ili wakamatwe vizuri😂😂😂uyo mganga kafanya vizuri kuwa kamatisha maana leo kwa mwezie kesho kwake maana jambazi hana urafiki ata kuja shangaa mara kesho anaibiwa mganga😂😂😂😂
Natoa pongezi kwa jeshi la polisi tz hongera jesh la polis kwa kzi nzur mungu awajalie afya na uzima mzid kufanya kazi hongereni sana hongera IGP SIRO hongera na rais wet
Daah hiyo chainiz mwisho wa ck itakuwa spinachi 😂hongeren sn jeshi la police mungu ibarik tz mungu ibariki Africa hiyo barakoa mkuu wa mkoa ni kibakuli au plastiki 😂
🙏👍Hongereni sana Makamanda wetu kwa kujitoa kwa kulinda usalama wetu kiaminifu. Mungu awalinde na maadui na awabariki sn🙏🙏 tunawaombea usalama wa maisha yenu
Hongereni jeshi la polisi kwa kazi mnazofanya. Mungu azidi kuwalinda kwa kazi mnazofanya.🙏🙏🙏🙏
Hahaaaa afande umenifurahisha eti " shikamo mzee na chuma kinaitika" umetisha ,,hongereni sana jeshi la polisi
Piga kelele kwa Arusha ake weeeweee!!!!Hongera sana kwa Askari wa A.town.
Hongera sanaaaan makamanda kazi nzuri watu tupo kwenye kwenye maombi ya kuomba toba kwa Mwenyezi Mungu wengine ndiyo kwanza wanazidi kumchafua Mungu tutaponaje jamani charaza bakora za kutosha huyo mganga maana hawa ndiyo wale waganga wakuuwa maalibino pumbavu kabisa 👏👏
Kazi nzur sana police wetu👏🏽mganga kawaingiza town
Happy sindani... Naomba kuzungumza nawe👋
@@mrtoshtosh4714 😂😂
Diamondback
Hawa jamaa noma had nimempenda rpc bigup police
Pongezi kubwa kwa askari wetu kwa ujasiri,uzalendo,ukakamavu wote mlio uonyesha kwa pamoja.tupo tayari kufa kwa ajili ya taifa letu....🤝🏿💪🏿🙏🏿⭐⭐⭐hakika nyie ni wazalendo wa kweli..pongezi kwenu na mungu awalinde pia awajaalie ufaham mkubwa wenye maarifa na hisia kali za kumtambua adui.....never give up
Tanzania Kwanzaa Mengine Baadae JPM Nambari 1
😀😀
Barakoa ya mheshimiwa nimeipenda.
Stephano Jackson hunishindi Mimi nilivyoipenda
Sana yani nzuri sana
Ya RC au
@@bjzee1981 ya kamanda
Gari liliwapita kama mshale,,,, ongeren polisi wetu
Issangya hahaaaa
🤣🤣 kwa msisitizo
hongereni jeshi lpolisi poleni nakazi nnzito mungu atwasaidia
Shikamoo Mzee na marahaba ni balaaaa😂😂😂😂
😂😂😂
😂😂😂
Hongereni sana, big up👊🏾 polisi Arusha,Ila Mh mkuu wa mkoa,sio arusha tu ndio iwe salama zaidi kuliko mikoa yote,kila mkoa tuna haki ya kua na usalama wa hali ya juu kwa usawa,big up once again Polisi Arusha.
Hongera kwa kazi mliafanya kuwa kukamata wezi hawa bila shida "MUNGU awabariki kwa umri na afya wapolisi wetu". Asanteni sana.
Hiyo ni sanitizer yao 😁😁
Big up sana maaskari👏👏👏👏
Pongezi kubwa kwa askari shupavu. Majambazi noma hao wana mkasi unaitwa shikamoo mzee,
😂😂
Hahaaaaa
Tanzania hoooyeee nawapenda Sana kutoka serikali hadi ulinzi wataifa angalao Kenya ingeiga wangekua mbali Sana lakini wao wanajaza mmatumbo tu kutoka serikali hadi ulinzi ovyo kabisa Kenya I'm from South Africa more love tz
Hongera kwa majambazi..wanajitafutia..kazi ni kazi bhana.Majambazi ya kalamu hamuyaoni..wapo ofisin wanaibia raia kwa vyeo zao
Mungu awalinde polis wetu na ujasiri huo natamani niwe nanyi ila nafasi sina
Mnafanya kazi nzuri sana,ongereni sana jamani
Hongera sana jeshi la polisi Mkoa Arusha,na ni bidii za rais wetu mpendwa ,ktk kuimarisha uzalendo na uwajibikaji ktk kazi
Safi sana kamanda
Mshana hongera kwa kazi yako unayoifanya Arusha tunakukumbuka mwanza
Hawafai kwenye Nchi yetu ya Tz,hongereni jeshi letu
Polisi kweli mnafanya kazi hongera kazi si rahisi mungu hawalinde
Kamanda Shana umetisha na mask hyo hahaha
Hongereni sana hiyo ndio maana ya Ulinzi wa raia na Mali zao, Asanteni sana
Hongereni sana kwa kazi mliyofanya,majambazi hayo yabaki jivu
Hongereni sana sana jeshi letu mko vzr sana c kazi mdogo hiyo, Mungu awatunze
Jeshi la polisi Arusha tunawapongeza kwa kazi nzuri mliofanya
Jamn tunaomba wafungwe maisha yao yot, hongeren kwa kaz nzur
Mbona uyu babu kajiprotect sana kuliko hata wahudumu Wa afya.😂🤣
😂😂😂
😂😂😂😂
Kama kikato cha helmeti
Woga wa maisha huo
🤣🤣🤣ana jijali angalia Afande Masoud Mohamed alivyo tutoka ghafla
Hongera sana jeshi la Polisi kwa kazi nzuri. Mungu awalinde.
Big up"saluti kwa kazi nzuri sana mliyo ifanya jeshi la polis namiombea kila la kheli
Congratulations makamanda!
Gongalike kama umesikia sniper wazuri
Dm sniper ni mdunguaji. Hajakosea. Ulidhani kamaanisha sanitazer
@@roseberryhamoud6542 Mwenyewe nimeshangaa like zaombwa kwa kusikia neno sahihi kabisa sniper
R.P.G aliyo itaja hiyo ndo mwisho wa stori hta ndege inageuka jivu sekunde
Amepata sababu hizo barakoa kuziba uso 🤭😷😄
Shkamoo Mzee chuma kinaitika Marahaba....hakika Hongera jeshi la Polisi...
Shukran kwa kazi nzuri jeshi la Polisi
Hongereni sana jeshi la police kwa kazi kubwa mliyoifanya
Safi Sana'a vijana kazi nzuri
Safi sana. Ninge waona hao askari ninge wanunulia chai . Ila wange wa rarua rarua badala ya ku wa acha wanapumua
Ooh hongereni sana kwa hili 🙌 Nimeipenda Pigeni kazi
Munira mamb vp
Nawapenda sn polic wetu kwa kazi nzuri
Kazi njema nchi yetu tunailinda wenyewe . Hongera sana Askari wetu
Waarabu ndio watu pekee wanalaza gar nje na hakunaga kitu mwiz wala jambaz, walala mageti waz wala mshipa hauwadundi
Ila Tz bora mtu uwe maskn tyu mpk siku yako ifike ufe kifo ulichoandikiwa 😩
Sanaaa ndo mana hatufanikiw awaafica
Nmeipenda barakoa ya kamanda
Thank you Jesus kwa kuwasaidia polisi kumkamata shetani akiwa kazini na watenda kazi wake
Mganga alijifanya kinjekitile ngwale,🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kumbe na waganga wanasanitizer za kienyeji ili kukinga risasi😁😂😂
Safi saaaana wazee,,tumewasoma maana hao washenzi wanaturudisha nyuma sana
Mungu mkubwa 👏👏🙏🙏🙏
Hongereni polisi kwa kazi nzuri
Asanteni sana kwa kazi nzuri
Kazi nzuri
MBONA dawa zenyewe Kama sanitizer .
Umeona eee. Walikuwa wanajikinga na korona pia
Itakuwa wameweka kwa bbo ya sanitize
😂😂😂😂😂mwaka wa Mambo huu kumuomba tu mungu atujalie uzima tuzidi kuyaona
😃😃😃😃jmn
Hahaaaa Vibe
mnajitahidi sana ck hiz arusha arusha ilikuwa mbay sana hap nyuma walisha fanya ni kichaka chao cha kujificha
Hawatakiwi kutoka hao, wapotelee huko, hongereni sana jeshi la police kwa Kazi nzuri
Asanteni polisi kwa kazi zuri
Huyo mganga mdudu Corona tu amemshinda so wanategemea ndy smg itamkosa.. 🤣🤣🤣
Big up papa
Huu utawala mwingine mzee magu anamungu uchawi haufai saiv huyu baba mtu wa mungu majambazi bora wakalime
Ongereni sana mapolisi kwakazi zuli ila wanatakiwa kuwawa kwasababu iwefuzo kwa wezi wengine
Hongeren sana jesh LA polis
Hongereni askali wetu ,tunaomba serikali iwapatie siraha za kisasa
Police fanyeni Kazi vizuri sana
Hongereni Sana ,jeshi la police📢📢📢
Hongereni vyombo vya usalama,wanarudisha maendeleo ya watu nyuma majambazi hao..adhabu kubwa inawapasa,..
😢
Hongereni sana jeshi la police mungu awalinde sana
🤣🤣🤣eti Mgaga aliwaeleza hawawezi kamatwa duuh ...ujinga ngani huo
Hongera sana porisi wote hii nikazi kubwa
Mkasi wanaita shikamoo mzeee 1🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hongereni maaskari wetu, MUNGU awalinde
Kunawatu natakakunihu Julie na angel na alfredy nombo na matrin ni watu baya wanasheliki kunitoa huwahiwangu Richard Alfred ynombo
Kazi nzur mungu aendelee kuwapa nguvu
waendelee kuwamini wagaga ili wakamatwe vizuri😂😂😂uyo mganga kafanya vizuri kuwa kamatisha maana leo kwa mwezie kesho kwake maana jambazi hana urafiki ata kuja shangaa mara kesho anaibiwa mganga😂😂😂😂
Hao majambazi wana roho ya chuma nini? Watu tunaangaika na corona wao wanatuletea majanga mengine
Hawaogopi wako hospital ss akiwekwa na mgonjwa wa corona si kajitakia
Hapo sasa
Nandio mana wakaitwa majambazi mana hapo imani ata hawanayo wanajali kaziyao
ELIMOZE FT ABDUKIBA-MGENI WA NANI inaendelea kufanya vizuri ......
Hongereni Ila pia mpitie na huku mitaani vibaka wamezidi kwa wizi
Natoa pongezi kwa jeshi la polisi tz hongera jesh la polis kwa kzi nzur mungu awajalie afya na uzima mzid kufanya kazi hongereni sana hongera IGP SIRO hongera na rais wet
Peleka jela hao wanaorudisha maendeleo ya watu nyuma bila kutumia jasho lao
Ngosha kawaingiza jelaaa🤣🤣🤣
hongereni kwa kazi nzuriiii
Daah hiyo chainiz mwisho wa ck itakuwa spinachi 😂hongeren sn jeshi la police mungu ibarik tz mungu ibariki Africa hiyo barakoa mkuu wa mkoa ni kibakuli au plastiki 😂
Mh. Mkuu wa mkoa...barakoa yako...mmmh
Mungu awakumbuke maaskali wetu kwakukamata waaarifu
Kazi nzuri sahihi
Safi sana JESHI LA POLIS
Asante mh wetu
SAFI SANA MAKAMANDA KAZI NZURI BIG UP
Piga kelele kwa barakoa yakeeeeee RPC🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Imeregea iyooo! Sijui ameshaivaa Mara ngapi?
Upendo Enock upo huku😂😂
Yaaani mungu awatunze hawa polisi🙏🏽🙏🏽
shikamoo mzee hiyo ni noma
Pale nduruma darajani pana nni lakini,,
Mara ajali mara majambaz duuu☺☺☺
Hongereni jeshi letu
Mwukob vizur police wa Arusha Mungu awape uendelev pia awape afya njema mwuwez kulimwudu hili.
Hongera asikari wetu
Serikali makini
Hongereni makamanda
MNAKUJA KUIBA KWENYE JIJI LA WAHUNI,ASKARI WENYEWE WAMEPINDA DAKIKA ZERO TU UNAENDA PEPONI.
Mungu awape ujasiri na ulinzi jeshi la Tanzania
Nakukubali kamanda
Mungu ibariki Tanzania