MZEE SAID NA VITUKO VYAKE🤣|HATUNA WACHEZAJI KUTUPA MATOKEO UGENINI|YANGA WANAONGOZA KWA KUKATA TAMAA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 14 янв 2025

Комментарии • 128

  • @frankmalema5350
    @frankmalema5350 Месяц назад +2

    Kwa ahoua mzee Said nakupa big up anacheza mpira wa kitoto wakati tunaitaji mpira acheze mpira na akaze mguu.

  • @JosephChrisant
    @JosephChrisant Месяц назад +18

    Kweli kabisa mzee Saidi Yanga ya Gamondi pamoja na kupoteza mechi mbili mkononi mwake lkn ilikuwa inaaminika kuliko huyu kocha wa sasa. Huyu kocha tuliyenae hana uwezo.

    • @aliferuzi1537
      @aliferuzi1537 Месяц назад +3

      Hana uwezo kwa muda gani HATA wanaofanya ndoa huchukua, mda kupata mtoto

    • @JosephChrisant
      @JosephChrisant Месяц назад +2

      @aliferuzi1537 Mipango ya kocha ndani ya uwanja wakati mechi husika hatuioni kabisa bado tunatumia uwezo wa. wachezaji wetu tu.

    • @CikeTanzania
      @CikeTanzania Месяц назад

      ​@@aliferuzi1537 nashangaa ujue watz tunajifanya tunajua sana mpira.

    • @triceyanga
      @triceyanga Месяц назад

      haohao viongozi waliukupa furaha misimu mitatu ndo haohao mpk sasa wapo wao sio wajinga kumuondoa Gamond ukiona hivo kuna sababu kwani wao hawakuona aliyoyafanya kwann wameamua kufanya hivo emb jaribuni kupunguza mihemko sio kuropokaropoka na kuwapa faida wapinzani

  • @AhmediMakame
    @AhmediMakame Месяц назад +4

    mzeee saidi umezungumza hapa sakho na bwalya yaani umenikoshaaaaa❤❤

  • @RICHARDDOTTO-l8i
    @RICHARDDOTTO-l8i Месяц назад +1

    Mzee said unatisha sana nakuelewa ile noma sana🎉🎉🎉🎉

  • @idybwoytz8485
    @idybwoytz8485 Месяц назад +4

    😂😂😂😂😂😂😂 mzee saida bhn 😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @Jrfoundation-01
    @Jrfoundation-01 Месяц назад +1

    Israel mwenda💛💚🇹🇿🇹🇿💛💚✨️

  • @ibrahimally8073
    @ibrahimally8073 Месяц назад +4

    Badala ya pape ousman sakho eti Asumani sakho papo..🤣🤣🤣😂😂😂

  • @JohnAlagwa
    @JohnAlagwa Месяц назад +3

    😂😂😂😂😂 lupaso au lupso😂😂😂😂😂😂

  • @AhmediMakame
    @AhmediMakame Месяц назад +1

    mzeee side kufika mbinguni usahau muhogo unaitwa makopu kwa kizungu😂😂😂😂😂😂😂

  • @perepetuajohn
    @perepetuajohn Месяц назад +3

    Kweli Mzee wangu Said, unasema kweli wengine ni wanafiki tu wanafata upepo unapoelekea na wao wanakwenda hukohuko

  • @MagrethKyaruzi
    @MagrethKyaruzi Месяц назад +1

    Nilikumisss mnoooooo mzeee said😂😂😂

  • @JosephNgasa-j7l
    @JosephNgasa-j7l Месяц назад +3

    😂😂😂mzee said mhogo et makopapu utatuvunja mbavu

  • @MANIRAMBONAWilliam-r4c
    @MANIRAMBONAWilliam-r4c Месяц назад +5

    Daaaa sikunyingi kweri

  • @KidoBanks
    @KidoBanks Месяц назад

    Asante chagamba kwa kutultea mzee said

  • @zuhuranasoro8923
    @zuhuranasoro8923 Месяц назад +1

    HV NI NANI MWENYE KUIJABUA JABUA ROHO YA MZEE SAIDI😅😅😅

  • @lano_broo
    @lano_broo Месяц назад +1

    26:44 Makopap 😂😂 hiyo utajua juu kwa juu chagamba

  • @Shadia544
    @Shadia544 Месяц назад +6

    😂😂😂Ila mzee saidi jamaniii 😂😂Tuache kidogo 😂😂😂

  • @JaphethChuwa
    @JaphethChuwa Месяц назад

    Mazembe anapigika vzr tuu tubet wote😂

  • @maikomatayo2794
    @maikomatayo2794 Месяц назад

    Mzee saidi bhna eti mtu kapigwa kanzu 😂😂😂😂😂😂

  • @khamisiyjr7886
    @khamisiyjr7886 Месяц назад +1

    Muogo kwa kizungu unaitwa makopapu 😅😅😅😂

  • @Boniphacetz-w9x
    @Boniphacetz-w9x Месяц назад +1

    Hapo kwenye muhogo 😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅

  • @jaffarishabani
    @jaffarishabani Месяц назад

    uyu mzee Saidi bana 😅😅😅

  • @AchileusNshekanabo
    @AchileusNshekanabo Месяц назад

    safiiiiiiiii sana we n mtu na nusu mzee said

  • @godfreyvicent355
    @godfreyvicent355 Месяц назад

    Mzee alitak kulopoka tako mbooo😂😂akashtuka tako mwili😅

  • @allymwashambwa5920
    @allymwashambwa5920 Месяц назад +1

    ila huyu mzeee ni shida😅😅😅😅

  • @angellomarcel5677
    @angellomarcel5677 Месяц назад

    😂😂😂😂😂 mzeee Saidi duh

  • @mikelazaro4479
    @mikelazaro4479 Месяц назад +1

    MVPL 😂😂😂😂😂 Side bhana dah

  • @karimkibasa2001
    @karimkibasa2001 Месяц назад +3

    Mzee Said wewe ni prof.

  • @AbdulhalimMohamed-o8x
    @AbdulhalimMohamed-o8x Месяц назад

    Ila mzee saidi 😂😂

  • @JohnsonAmos-py3wf
    @JohnsonAmos-py3wf Месяц назад +1

    asumani sakho papoo😂😂😂😂😂

  • @ChenchiKing
    @ChenchiKing Месяц назад +1

    Mzee Said Bana😂😂😂😂

  • @deejaywaltertherealmkristo6474
    @deejaywaltertherealmkristo6474 Месяц назад

    Atomtza mzeee anakwambiaa wananchi tumekamilika kila idara mpaka kwenye vitasa🤣

  • @jacobgeay984
    @jacobgeay984 Месяц назад +2

    Mzee said noma saan lete raha😂😂

  • @HamisMdamu-en5fe
    @HamisMdamu-en5fe Месяц назад

    Ila chagamba mbona mzee saidi alivyosema MVPPL umegeukia camera😂😂😂😂😂😂

  • @JosiaMazigo
    @JosiaMazigo Месяц назад

    Aaaaa mzeee we hatar

  • @KhadijahMustapha-g8y
    @KhadijahMustapha-g8y 14 дней назад

    Mzee nmpenda huyu

  • @FatmaHaji-x4r
    @FatmaHaji-x4r Месяц назад

    Nampenda.mzee.said

  • @abdallayunnus3475
    @abdallayunnus3475 Месяц назад

    Nkubali mzee said na chagamba

  • @WachuWamboga
    @WachuWamboga 8 дней назад

    Tumemumis mzee wetu

  • @felixmgaya8487
    @felixmgaya8487 Месяц назад +1

    Asuman sakho papoh 😂😂

  • @ngwilunyiga2447
    @ngwilunyiga2447 Месяц назад +1

    ila mzee said muogo sana

  • @mnyongeiddi2454
    @mnyongeiddi2454 Месяц назад +8

    English ya Mzee said hatari sana 😀😄😃😄😄😃😃
    Mhogo unaitwaje makopabu.

  • @NuruKambo
    @NuruKambo Месяц назад

    😮😮😮😮😮makopap

  • @mamastan4497
    @mamastan4497 Месяц назад

    Nilikumis mzee saidi nimecheka balaaa

  • @stevensimbeya2212
    @stevensimbeya2212 Месяц назад

    Mzee saidi mungu akupe maisha malefu

  • @januarysungura8119
    @januarysungura8119 Месяц назад +1

    Alafu chagamba tutakuja kukupiga mambo yakumlet mzee saidi dakika za jioni

  • @YohanaPetro-xv9tp
    @YohanaPetro-xv9tp Месяц назад +2

    Naenda MahakamaniMahakamani kumushitaki Chagamba Kwanini kamleta Mzee Said Dk Zajioni

  • @VeronicaNyondo
    @VeronicaNyondo Месяц назад

    Mzee said nae😂😂😂

  • @shaibundege7046
    @shaibundege7046 Месяц назад

    Ahou anqtuumiza bhana

  • @BekaJoo
    @BekaJoo Месяц назад

    Mzee side😂😂😂😂

  • @Minjum-j5m
    @Minjum-j5m Месяц назад +1

    Simba nguv moja❤

  • @bilolove23
    @bilolove23 Месяц назад +1

    why you take long 😂😂 we be missing this man

    • @monifrank347
      @monifrank347 Месяц назад

      Andika kiswahili bana wakenya wakisikia watakukaanga 😂

  • @CikeTanzania
    @CikeTanzania Месяц назад

    Mpira dakika yoyote ukifanya kosa tuu unafungwa.

  • @AzhadSaid-j1t
    @AzhadSaid-j1t Месяц назад

    Ahhaha tulikua tunamsubir mzee said

  • @silvanuskisinza4303
    @silvanuskisinza4303 Месяц назад +3

    Uaohua hana kitu wala hastahili kucheza simba ni mchezaji mbovu. Cha ajabu kocha kampa dakika 90.

    • @superwomen233
      @superwomen233 Месяц назад +1

      Acha ufala uwo kwani hujuwi kwamba timu inajengwa

    • @mohamedsalum3112
      @mohamedsalum3112 Месяц назад

      sijui kwa nini hawamuoni Awesu Awesu , Awesu yupo sawaa kuliko Ahowa , tatizo hatuwaamini wachezaji wetu Wazawa

  • @AbdusidMohammed-hi5ib
    @AbdusidMohammed-hi5ib Месяц назад

    Wew Mzee said unajua mpila

  • @allymnyama1386
    @allymnyama1386 Месяц назад

    Mzee Said we kwel unajua saf hatar na nusu

  • @FAUSTINAULEDI-ln5fi
    @FAUSTINAULEDI-ln5fi Месяц назад

    Ila chagamba unanifurahisha unavyomchagiza huyu Mzee

  • @alexthadei
    @alexthadei Месяц назад

    😀😀😀😀😀

  • @SudyMohamedy
    @SudyMohamedy Месяц назад

    Kikweli ohua simuelew

  • @HamisMdamu-en5fe
    @HamisMdamu-en5fe Месяц назад

    Makopap😂😂😂😂

  • @AmiriShamte
    @AmiriShamte Месяц назад

    Mm mshabik wa Yanga ila mzee said ameongea ukweli kuhusu Yanga sio rahis kutobowa

  • @JuliusMbikilwa
    @JuliusMbikilwa Месяц назад

    Ni kweli Yanga inao wachezaji wenye uwezo kuliko timu ya Simba,sema wanapotia wakati magumu tu Kwa sasa

  • @HassanEnericko-h3h
    @HassanEnericko-h3h Месяц назад

    MVVP 15:35 PR ndo himenichekesha sana😂😂😂

  • @harounzuberi8179
    @harounzuberi8179 Месяц назад +3

    Hiyo akili yako mzee Yanga ijayo mtakimbia ligi

  • @JamesKalory
    @JamesKalory Месяц назад

    jaman ila saidi ukifa nitalia sana ludia muogo

  • @Mloka_designer
    @Mloka_designer Месяц назад

    Ila Mzee said cassava😂 eeeeeh

  • @vicentsagudasheyi564
    @vicentsagudasheyi564 Месяц назад

    😁😁😁😁😁

  • @RaymondsSambala
    @RaymondsSambala Месяц назад

    Nilikmic we mzee said wewe yaan ata nikiwa na mawazo vip ani nikikuskia 2 mzee wangu said mawazo yoote kwisha

  • @yucuphmsuya1514
    @yucuphmsuya1514 Месяц назад +1

    Mwambie side muhogo unaitwa cassava

  • @salummakadi311
    @salummakadi311 Месяц назад

    Changamba uweke kipindi angalau siku moja kwa wiki Cha saidi maana anatufurahisha Sana na pia anaongea ukweli ntupu hongere Sana

  • @vicentsagudasheyi564
    @vicentsagudasheyi564 Месяц назад

    🤣🤣🤣🤣🤣

  • @aginsagins-jf4vz
    @aginsagins-jf4vz Месяц назад +1

    😂😂😂😂😂😂😂

  • @feisalomarakayesu
    @feisalomarakayesu Месяц назад

    😊😊😊😊😊

  • @kolosii4351
    @kolosii4351 Месяц назад +1

    Mzee said umenena kikubwa kuhusu kumuonya magoma. Watu sasa wapo na hasira.

  • @AbdulHajji-f9e
    @AbdulHajji-f9e Месяц назад

    Mzee said nakukubal sana Mzee wangu

  • @abdulrazaqjafary654
    @abdulrazaqjafary654 Месяц назад

    Mzesaidiiii uyooooooooo

  • @paulo1n0nly
    @paulo1n0nly Месяц назад +1

    Asumani sako papo 😂😂😂😂😂

  • @OMEGAZAZURA
    @OMEGAZAZURA Месяц назад

    MVPL hahaha😢

  • @SimoniEmmanuely
    @SimoniEmmanuely Месяц назад

    Acha kutusema mzee tupe ushauli tufanyejee

  • @AliHajji-w7w
    @AliHajji-w7w Месяц назад

    Mzee anajua kuchambua mpira

  • @HusseinHussein-f7n
    @HusseinHussein-f7n Месяц назад

    Mitajuwa wenyew km hana uwezo kachukuwen wa tabora

  • @Mumlion2624
    @Mumlion2624 Месяц назад

    Mzee said tulikumic

  • @experymassawe3521
    @experymassawe3521 Месяц назад

    Shida tanzania wanajifanya blazili pumbavu kweli

  • @saidmpunga-en6pf
    @saidmpunga-en6pf Месяц назад

    mzee said mimi nipo tu nitashinda tu mpira dk 90 mzee

  • @AnethKauzen-yz1ws
    @AnethKauzen-yz1ws Месяц назад +1

    Unaitwa casava

  • @michaelprofessional7574
    @michaelprofessional7574 Месяц назад

    simba day nilivyoona tu nikamuhaidi jamaa yangu kuwa simba ikifika nusu fainali nampa 50000, ikifika fainali 100,000 hapa nasubilia februyary ale pesa zangu

  • @ALOYCEATHANAS-kd8bb
    @ALOYCEATHANAS-kd8bb Месяц назад

    Hapo kweny makopap

  • @rajabumachemba7321
    @rajabumachemba7321 Месяц назад

    Masasi km unaenda newala Mzee said ndio unaenda lupaso

  • @NehemiahNdimgwango-i5i
    @NehemiahNdimgwango-i5i Месяц назад

    😅😅🎉🎉🎉

  • @avelinmussa4792
    @avelinmussa4792 Месяц назад

    Acousti yako mzee Wang nna Hela kwako

    • @avelinmussa4792
      @avelinmussa4792 Месяц назад

      Number yako nieke kdgo umgawie Mzee said

  • @HamisiRamadhani-p2d
    @HamisiRamadhani-p2d Месяц назад

    Mzee zungumzia mpira wacha utabiri maana unang'ang'ana na yanga tu we huna timu

  • @BenezethEmily
    @BenezethEmily Месяц назад

    Wamuachie timu kama asemavyo Mzee Said

  • @boniphacekajaba5138
    @boniphacekajaba5138 Месяц назад

    Pamoja

  • @lawboymaker2999
    @lawboymaker2999 Месяц назад +1

    😂😂

  • @dullywa9973
    @dullywa9973 Месяц назад +1

    never skipp Chagamba and mzee said interview😂😂😂😂

  • @KilapayaIbuni
    @KilapayaIbuni Месяц назад

    Ila huyu mzee side ni comedy

  • @fredyhacker7322
    @fredyhacker7322 Месяц назад

    Lupaso😂😂😂

  • @DanielChaula
    @DanielChaula Месяц назад

    Ubaya ubwela

  • @avelinmussa4792
    @avelinmussa4792 Месяц назад

    Kaka heshima kwKo chagamba