MIRAJI| CHEMALONE ANGEKUWA MZAWA TUSHAMUUZA😂|IBENGE ALIWAKARIRI YANGA WAMEMGEUKA🤪

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 26 янв 2025

Комментарии • 167

  • @eliamanimfinanga3957
    @eliamanimfinanga3957 14 дней назад +33

    Ndugu zangu kutokana na majanga yanayo tokea kila simu mara moto mara ajali za ndege mara ajali za magari tumrudieni mungu tumuombe sana mwenyezi mungu

  • @nynyarugusumatukio255
    @nynyarugusumatukio255 14 дней назад +59

    Mtegemee MUNGU Kwa Kila jambo, pia jiepushe na dhambi ili uone uheri wa MUNGU milele. Kama umepokea ujumbe huu gonga like.

  • @edwardpeter5163
    @edwardpeter5163 14 дней назад +7

    Kazia hapo MKUBWA wake akienda ROBO
    Mdogo wake amesha enda Robo ya SHIRIKISHO
    MKUBWA na Mdogo amejulikana😂

  • @jumaibrahim476
    @jumaibrahim476 14 дней назад +7

    Hahahaha aise chagamba alishakuwa na sugu la bega maana si kwa mabanzi yale 😂😂

  • @ChenchiKing
    @ChenchiKing 14 дней назад +2

    Miraji Mtu Wa Mpira Kbs Ila Mlete Mzee Said Watu Tufurahi Na Kalakasheneee😂🎉🎉🎉

  • @MunaBintbadru
    @MunaBintbadru 14 дней назад +7

    Watu wampira aoooo safi sana so wachambuz manungaembe

  • @husseynomar9523
    @husseynomar9523 14 дней назад +2

    Miraji 🎉🎉🎉🌷🌹🌹🌷🏆❤😂😂😂

  • @Eddydaud-wl1jg
    @Eddydaud-wl1jg 14 дней назад +2

    Mzee said tunamtaka!!😂😂😂

  • @MohamedMalik-j2b
    @MohamedMalik-j2b 14 дней назад +5

    Jamani haya yote ni mambo ya dunia 2 tufanyeni tushabikieni ila pia 2simsahau allah ambae n muumba wa kla k2 hap ulimwenguni

  • @saumumaulidi8768
    @saumumaulidi8768 14 дней назад +3

    Tuleteh Mzee saidi ssa😁😁

  • @YassinGhost-n5z
    @YassinGhost-n5z 14 дней назад +1

    Kaka miraji unampiga sana bega hyo jamaa daa😂

  • @RabsonSalmon-ys7bf
    @RabsonSalmon-ys7bf 13 дней назад

    Mlete mzeee said bana

  • @AkelyMsigwa
    @AkelyMsigwa 14 дней назад +4

    kinacho nifuraisha zaidi mm miraji unampiga sana mabanzi ya bega chagamba ila anavumilia kwel ubaya ubwela😂😂😂

    • @FatumaMwage
      @FatumaMwage 14 дней назад +1

      mimi 😂😂nilimwambia chagamba àweke kigodolo began tusije kumkosa bure

    • @emmanuelmsafi9581
      @emmanuelmsafi9581 14 дней назад

      😂😂😂😂😂

  • @AbuuMsafi-j4q
    @AbuuMsafi-j4q 14 дней назад +3

    Watu wangu pendwa mzee said na miraji boy

  • @moussaaliabdallah1096
    @moussaaliabdallah1096 14 дней назад +2

    Mbona miraji hajasema kama ateba ameshika mpira kwa mkono kabla ya goli,na penalty ya wazi walionyimwa bravos

  • @NyerereSimsamba
    @NyerereSimsamba 14 дней назад

    Mzee said yuko wap😂😂😂😂

  • @bilalcharya4110
    @bilalcharya4110 14 дней назад

    Wachezaji kama wale usimalize maneno ishi nayo hiyo 😂😂

  • @pascalchipuza3836
    @pascalchipuza3836 14 дней назад +1

    Wananchi Tunamuomba Mzee Said😂

  • @MtoniNheba
    @MtoniNheba 14 дней назад +3

    Sasa itakuaje wachambuzi waliomaliza maneno mwanzoni mwa mashindano??😂😂😂

  • @michaelwilson679
    @michaelwilson679 13 дней назад

    Mzee Saidi yupo wapi

  • @MasoudAbdala
    @MasoudAbdala 14 дней назад +2

    Pole sana wanaoumia Kwa ushind wa yanga

  • @AzhadSaid-j1t
    @AzhadSaid-j1t 14 дней назад +1

    Mzee said gamba humleti

  • @faidayobinaryfrancis8858
    @faidayobinaryfrancis8858 14 дней назад

    Tunamtaka Mzee Said

  • @DanielChaula
    @DanielChaula 14 дней назад +1

    Chemalone atatu chelewesha sana ❤❤

  • @citymaidplus
    @citymaidplus 13 дней назад +1

    Citymaid plus ltd caribu

  • @AfyaYangu-yc7zw
    @AfyaYangu-yc7zw 14 дней назад +2

    Mzee said anauguliwa na mzazi wake alis3ma chagamba

  • @AraniJaphar
    @AraniJaphar 14 дней назад +1

    Shemaroni tumuache jamani gem ya pili hii anatufanyia ivyo au nae kama hinonga anamkataba anatembea nao😂😂😂

  • @GidionKusupa
    @GidionKusupa 14 дней назад

    Mzee Said wapi chagamba

  • @Khaleed5767
    @Khaleed5767 14 дней назад +14

    Miraji nakumbuka tena maneno yako... Ipo siku ( CHEMALONE ) atakuja kuichomesha SIMBA SC kwenye mechi muhimu sana..

  • @TomasiklistophaMwinuka
    @TomasiklistophaMwinuka 14 дней назад +3

    Mara moja chemaloni anatatizo gan matatizo hayohayo yanajirudia

  • @YohanaJumanne-v3v
    @YohanaJumanne-v3v 14 дней назад +2

    Chee malone apewe thanky Simba huyo kawa kamac Inonga😅

  • @falajijuma-f2m
    @falajijuma-f2m 14 дней назад +2

    Kwali miraji chamalo atatugarimiusana. Kwali Ali kariri misimu kwali miraji anajua mupira🤫🤫🤫🤫🤫🤫🤫🤫🤫🤫🤫🤫

  • @issataslima9846
    @issataslima9846 14 дней назад +1

    lete maneno Ya mzee Said jmaaani yuwapi

  • @KispanmeshiliMollely
    @KispanmeshiliMollely 14 дней назад +1

    Hapo umeongea kweli yanga mdogo wake Simba 😂😂❤❤

  • @saidimgasu1355
    @saidimgasu1355 14 дней назад

    Kesho tuletee mzee side bana

  • @vicesam
    @vicesam 14 дней назад

    Jmn tunaomba Mzee said please

  • @EmmanuliM.lugembe
    @EmmanuliM.lugembe 14 дней назад

    Mweweke hewanzee said chagamba

  • @mwanaidimatanoabdarahman9135
    @mwanaidimatanoabdarahman9135 13 дней назад

    Mzee said yuko wp

  • @EdwinKabasa
    @EdwinKabasa 14 дней назад

    Ndugu zangu Mungu awalinde mnachambua soka vizur

  • @VeronicaNyondo
    @VeronicaNyondo 14 дней назад

    😂😂 tupo pale

  • @saidsuleiman1753
    @saidsuleiman1753 14 дней назад +2

    Miraji umefanya sahihi kumrekebisha Chagamba kuwa Simba ndio mkubwa kuliko Yanga.

    • @WilliamHerman-e4r
      @WilliamHerman-e4r 14 дней назад

      Nyie Huwa wakubwa midomoni na magazetini kama wanawake lakini kwenye pitch papatu papatu fc.

  • @Is-hakameni
    @Is-hakameni 14 дней назад

    Tunaoikubali finest online tujuane hapa

  • @BilaliMikindo
    @BilaliMikindo 14 дней назад

    Mzee saidi please

  • @babilastv8872
    @babilastv8872 14 дней назад +1

    Muraji mimi ni Yanga familia lia lia ila huwa napenda sana kukusikiliza maana huwa unaongea mpira halisi. Mshauri Mchungaji aongee mpira

  • @amidubebedou3637
    @amidubebedou3637 13 дней назад

    Chagamba usituambii kama mzee saidi amesafiri tena

  • @ElastoThilia
    @ElastoThilia 14 дней назад +2

    Halikalili😂

  • @godfreybitakama9845
    @godfreybitakama9845 14 дней назад +4

    Miraji upo sahihi kabisa

    • @AkelyMsigwa
      @AkelyMsigwa 14 дней назад +1

      Kaka miraji napanda ulivyo mshabiki wa simba yaana unatunyooshea maelezo kaka tunakuelewa kinoma kaka

  • @davidtrezuget.379
    @davidtrezuget.379 14 дней назад

    Rigobert Song the Indomitable Lion captain, Did the same mistake like Che Malone in the AFCON 2008 final, which handed the Pharaohs the title.

  • @rukiahamad8435
    @rukiahamad8435 14 дней назад

    wapi mzee said

  • @Is-hakameni
    @Is-hakameni 14 дней назад

    Tunaoikubali finest online kutoka Zanzibar tujuane

  • @yasrikomba7874
    @yasrikomba7874 13 дней назад

    Yanga bingwa yanga robo fainal

  • @bhokebusiro3596
    @bhokebusiro3596 14 дней назад

    Hay 😂

  • @ChakuMasudi
    @ChakuMasudi 14 дней назад

    mbona hatujaona mahojiano ya mzee saidi

  • @jeansindayigaya1257
    @jeansindayigaya1257 14 дней назад

    Mlete Mze saidi chagamba

  • @evansmoshi1923
    @evansmoshi1923 14 дней назад

    Chemalone anazingua anakuaga na makosa ya kujirudia mara kwa mara yan habadiliki

  • @SalumRashid-b2s
    @SalumRashid-b2s 14 дней назад +1

    Mbona Mzee saidi inamficha siku hizi umetuonesha mara Moja tu

  • @slimomary4145
    @slimomary4145 14 дней назад

    Miraji leo kaluka luka kwenye kumuelezea mpazu tuambia alivyo toka mpanzu akaingia chasambi simba ilibadika kwa sababu gan? Hapo sasa kumponda mpanzu apana😂😂😂

  • @bensimon7330
    @bensimon7330 14 дней назад

    Chemalon nimamuluki tu

  • @juliusjkalela9164
    @juliusjkalela9164 14 дней назад

    Miraji anaujua mpira ila hapo kwa chemalone fondo atakuja kuwachomexha mach muhim sana

  • @Shubbykm
    @Shubbykm 14 дней назад

    Lakini malengo yenu si kujenga timu jamani!

  • @HamissiMaulidy
    @HamissiMaulidy 14 дней назад +1

    Tim yenyewe unashika nafasi ya 8 kwenye ligi yako ote vibonde

    • @RashidiMwiga
      @RashidiMwiga 14 дней назад

      Timu zilizowafikisha finally shirikisho zilikuwa zinashika nafasi za ngapi kwenye ligi zao na msimu huu ziko wapi? Acheni kuwa na vichwa vya ngili.

  • @fatumasophu5855
    @fatumasophu5855 14 дней назад

    Haaa sa mbona bandle ninalo na hamjachambua 😮😮

  • @MANIRAMBONAWilliam-r4c
    @MANIRAMBONAWilliam-r4c 14 дней назад

    Leo umperekey mzee Said

  • @abdallahsharif426
    @abdallahsharif426 14 дней назад

    Maana ya kupigwa mabega nini? Kaa chini au kuwa mfupi.

  • @karimkibasa2001
    @karimkibasa2001 14 дней назад +1

    No 2.

  • @MANIRAMBONAWilliam-r4c
    @MANIRAMBONAWilliam-r4c 14 дней назад

    Milaji mzuri kbs

  • @EnockLutonja-k2c
    @EnockLutonja-k2c 14 дней назад

    Milaji unakukubari sana

  • @ElimunaBurudani
    @ElimunaBurudani 14 дней назад +1

    Leo nenda Kwa mzee said chagamba tumsikiluze tumeshammiss

  • @mimiraia2531
    @mimiraia2531 14 дней назад

    NYIE ndio mnasababisha marefa watoe penati za UONGO dhidi ya Ruvu shooting. ETI TUSHAJIAMINISHA SIMBA BINGWA……..hii ni hatari sana

  • @mitinjemaziku
    @mitinjemaziku 14 дней назад

    Miraji safi sanaaa

  • @liberatuscrispine465
    @liberatuscrispine465 14 дней назад

    TULETEE MZEE SAID

  • @Feitoto-rk1tv
    @Feitoto-rk1tv 14 дней назад

    Miraji anajua sana

  • @AssaneSelemane-n5b
    @AssaneSelemane-n5b 14 дней назад

    Kwa upande wangu. Simlumu che maloni!kwa sababu nishacheza mpira na ninayajua makosa ya kiuchezaji.

  • @ngwilunyiga2447
    @ngwilunyiga2447 14 дней назад

    Ila foto

  • @mohammedmohamed9969
    @mohammedmohamed9969 14 дней назад

    Tunamtaka mzee said

  • @yahayaolomi1057
    @yahayaolomi1057 14 дней назад

    Tunamtaka Mzee wa boli . Mzee said

  • @jacksonstambuli4953
    @jacksonstambuli4953 14 дней назад

    mzee side mlete

  • @YassinGhost-n5z
    @YassinGhost-n5z 14 дней назад

    Mzee said anauguliwa na baba yake

  • @ruudsaleh
    @ruudsaleh 14 дней назад

    Chagamba huyo miiraji atakupa TB mdogo wangu...hiyo mikofi kunywa hata maziwa

  • @abdallahsharif426
    @abdallahsharif426 14 дней назад

    Sio ajabu chagamba akarudi mfupi zaidi...

  • @Feitoto-rk1tv
    @Feitoto-rk1tv 14 дней назад +1

    Bega la chagamba kazi linalo

  • @AbuuMsafi-j4q
    @AbuuMsafi-j4q 14 дней назад +5

    Oya muwe mnawafundisha kuchambua mpila na wale wa kweny maredio wanaopig kelele kama wakina zuchu

    • @vicentnyanda828
      @vicentnyanda828 14 дней назад

      Wenye akili wanaitwa Abdul,Majinga kama wewe ndo yanaitwa abuu😂

  • @KilapayaIbuni
    @KilapayaIbuni 14 дней назад

    🎉🎉🎉

  • @DanieljumaDaniel
    @DanieljumaDaniel 14 дней назад +1

    Tuna subiri nondo hiyo

  • @RashidKashindi
    @RashidKashindi 14 дней назад

    Hacheni udaku nyiyeee nedeni kwa Mzee Said mwigizaj

  • @NehemiaThobiasAmos-d7p
    @NehemiaThobiasAmos-d7p 14 дней назад

    Binafsi napenda kuangalia anavyo pigwa mabanzi ya begani Chagamba.

  • @DStarTz-if2ko
    @DStarTz-if2ko 14 дней назад

    Kocha hamna Kila Tim anatumia maakili mengi hata bravo pia wakupga esabu ?

  • @AlexPaschal-x5b
    @AlexPaschal-x5b 14 дней назад

    Chagambaaa kimbia haraka tunamtaka Legend Mzee said 😂😂

  • @thomasmtobi6471
    @thomasmtobi6471 14 дней назад

    Chefondoh huwa ana beti ninyi hamjui tu

  • @ibrahimemmanuel1060
    @ibrahimemmanuel1060 14 дней назад

    2nakusapot san

  • @AbderehmaniJ
    @AbderehmaniJ 14 дней назад

    Nimechelewa leo nilikuwa SPORTSARENA

  • @NemaMsungu
    @NemaMsungu 14 дней назад

    Yanga bingwa

  • @manenomwahalende642
    @manenomwahalende642 14 дней назад

    Huyu chemalon uyu we subiri. Tutakuja kulia mi nawambieni

  • @mwajumampokileomckapela7541
    @mwajumampokileomckapela7541 14 дней назад +2

    Daima mbele nyuma mwiko button wananchiiiiiii 💛💚✅🖤

  • @gidionjoseph967
    @gidionjoseph967 14 дней назад

    MILAJII IYO MIKOFIIIII UTAMTEGUAA BEGAAA

  • @thomasmtobi6471
    @thomasmtobi6471 14 дней назад

    Baba miraji hilo bega la chagamba utalig'oa

  • @jijatvtanzania711
    @jijatvtanzania711 14 дней назад

    Umeiyona iyo hamaha ana piga sana sijui kwanini na siyo hapo tu natamani nimuone akiwa ana hojiwa ndani ya jengo azam tv nione atakavukua ana wabomoa

  • @kolosii4351
    @kolosii4351 14 дней назад +31

    Tuletee mzee said aliwaonya watu wasimalize maneno juu ya yanga yeye anajua mpira.

    • @maulidiKassa-lw1jz
      @maulidiKassa-lw1jz 14 дней назад +8

      Kwahiyo yanga ameshafuzu

    • @kolosii4351
      @kolosii4351 14 дней назад +7

      Sio amefuza ila watu walizidi sana kuukosea mpira heshima. Eti yanga akifunga al hilal waitwe mbwa.

    • @RoseAyubu
      @RoseAyubu 14 дней назад +1

      Yanga hafuzu.mzee take note

    • @IsmailKatala
      @IsmailKatala 14 дней назад +4

      ​@@RoseAyubuTarehe 18/01/2025 Yanga anafuzu tena kwa kishindo.

    • @EksamHassan
      @EksamHassan 14 дней назад

      Kawaachia tu ibenge,asante ibenge​@@maulidiKassa-lw1jz

  • @gchordsofficialtz614
    @gchordsofficialtz614 14 дней назад +1

    TUNAWAKUBALI SANA WAKUU PIGENI KAZI

  • @shijamakoye6013
    @shijamakoye6013 14 дней назад

    Chagamba muulize miraji kwamba hakuona ateba alirudisha mpira kwa mkono ndani ya 12 yake na ilitakiwa iwe penalty?
    Hakuona yeye?