MZEE MASATU |WAMEMUOMBA MSAMAHA MANARA WANAPATA MATOKEO| JOSHUA MUTALE NI MISUMARI TU AOMBEWE

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 10 янв 2025

Комментарии • 27

  • @MANIRAMBONAWilliam-r4c
    @MANIRAMBONAWilliam-r4c 18 дней назад +8

    Chagamba ukishatoka hapo mperekey mzee Said 🙏🙏🏽 nae tumsikie

  • @ThomasNyambibo
    @ThomasNyambibo 18 дней назад

    Mzee masatu nampenda sana anajua kuchambua sio mzee saidi

  • @jumakibadeni4258
    @jumakibadeni4258 18 дней назад +3

    Chagamba unaenda nje ya muda broo mtafute mzee Said

  • @JANE-jv4eq
    @JANE-jv4eq 18 дней назад +2

    Chagamba mlete mzee wetu mzee SAID

  • @stevenmwisuwa3727
    @stevenmwisuwa3727 18 дней назад +2

    Mutale ata kaasawa niswala lamda tu mungu atamsaidia

  • @RaymondsSambala
    @RaymondsSambala 18 дней назад +1

    Mzee said bhn tunamtka chagamba tumemmic sana mzee wetu yule

  • @weavergame
    @weavergame 15 дней назад

    Tunamtaka mzee saidi

  • @HusseinIdrissa-ed6tl
    @HusseinIdrissa-ed6tl 18 дней назад

    Mletee mzee said

  • @stevenmwisuwa3727
    @stevenmwisuwa3727 18 дней назад

    ❤❤❤❤❤❤ simba nguvu moja ubaya ubwela ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @Josephtibu-l9e
    @Josephtibu-l9e 18 дней назад +1

    SIMBA SPORT CLUB WAKALI WA KARIAKOO

  • @is-hakashawishi2119
    @is-hakashawishi2119 18 дней назад

    Mlet Mzee Said

  • @tilikahemela3333
    @tilikahemela3333 18 дней назад +1

    Mashabiki wa simba wanamatatizo sana

  • @mohamedkapera4515
    @mohamedkapera4515 18 дней назад +1

    MLETE MZEE SAID AISEE

  • @drdd774
    @drdd774 17 дней назад

    Mzee said
    Mzee said
    Mzee said
    Mzee said
    Mzee said TULETEE MZEE SAID

  • @songombingo108
    @songombingo108 18 дней назад +2

    Huyu Mzee Pimbi sana. Ushirikina bado upo kichwani mwake. Hamini kwamba Yanga wana Coach mpya na atachukua muda kuwapa wachezaji wake Falsafa yake. Hajui kwamba Fitness za wqchezaji zilishuka sana wakati wa Gamondi. Ikabidi Yanga watafute Kocha mpya wa Viungo (mazoezi) 😂😂😂

  • @VeronicaNyondo
    @VeronicaNyondo 18 дней назад +1

    Kumekucha 😂😂

  • @abelimaganga417
    @abelimaganga417 18 дней назад +1

    Hivi watu wa yanga mnamwelewa kweli huyu mzee hapo kwenye haji hlo kitu ni fact

  • @JumamusaOmar
    @JumamusaOmar 18 дней назад +1

    Nikweli unachokiona Kwa mutale asaidiwe abaki asiachwe yule kalogwa

  • @msongeomary6195
    @msongeomary6195 18 дней назад

    Changamba ebu achana na huo mzee tuletee mzee wetu said pendwa saaana kabla sijalala huku nilipo usk huu l

  • @msongeomary6195
    @msongeomary6195 18 дней назад

    Changamba sisi tunakufatilia tukia USA 🇺🇸 mji wa South Dakota ,Sioux Falls kwasasa hivi ni 1:35 za usiku Pls changamba achana na wazen wa Simba kuwahojo watakuja kukuhalibia ugali maaana vichwa vyao vibavu saaana hawakubali uboro wa yanga ta siku moja je waulize hivi walipigwa how many times na yanga ,halfu ushilikina tu ndowanaweka mbel achana nao utulitee mzee said na miraji ndoanajua boli wanaobaki wana simba hovyo kabisa haswa huo eti GB 64 pumba kichwan

  • @vumiliamgendi148
    @vumiliamgendi148 18 дней назад

    Haji hamumjui tu yule ni filimasoni

  • @BADILIJUSTUS-fs3oo
    @BADILIJUSTUS-fs3oo 18 дней назад

    Jembe langu masatu 5-2 chagamba amechelewa kukupost aise

  • @ibrahimuramadhani1912
    @ibrahimuramadhani1912 18 дней назад

    Mzee said yuko wapi mzee mnazingua au kafa husemi

  • @hamisimtupa7327
    @hamisimtupa7327 18 дней назад

    Mzee asio na akili aibu kwa watoto miaka yote ya mafanikio ya yanga haji alikuepo

  • @MANIRAMBONAWilliam-r4c
    @MANIRAMBONAWilliam-r4c 18 дней назад

    Ao sikuhozi hanamda?

  • @msongeomary6195
    @msongeomary6195 18 дней назад

    Changamba sisi tunakufatilia tukia USA 🇺🇸 mji wa South Dakota ,Sioux Falls kwasasa hivi ni 1:35 za usiku Pls changamba achana na wazen wa Simba kuwahojo watakuja kukuhalibia ugali maaana vichwa vyao vibavu saaana hawakubali uboro wa yanga ta siku moja je waulize hivi walipigwa how many times na yanga ,halfu ushilikina tu ndowanaweka mbel achana nao utulitee mzee said na miraji ndoanajua boli wanaobaki wana simba hovyo kabisa haswa huo eti GB 64 pumba kichwan