MZEE MASATU | YANGA WALIONA MBALI KWA YUSUPHU KAGOMA|KILA SHABIKI WA YANGA ANATEMBEA NA CALCULATOR 😂

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 10 янв 2025

Комментарии • 30

  • @NicholausNgendwa-f3f
    @NicholausNgendwa-f3f День назад +1

    😂😂😂 da we mzeee nakukubali kwa kuwakeraa watu😂😂😅😅

  • @nicodemshello163
    @nicodemshello163 День назад +1

    Kwakweli masatu umenichekesha sana

  • @jofreymhagule7505
    @jofreymhagule7505 День назад

    😂😂😂😂😂 Mzee masatu bhana

  • @yugemasanza1008
    @yugemasanza1008 День назад +1

    Ama kweli ndiyo maana watu walikulilia uonekane Mzee Said

  • @perepetuajohn
    @perepetuajohn День назад

    Dua la kuku, halimpati mwewe😅😅😅😅☕😁😁😁😁 yanaona aibu Sasa we mzeee nenda Kwa makolooo achana na Yanga yetu

  • @leonardfungo
    @leonardfungo День назад +1

    Mzee Masatu nakukumbusha wewe ni wazamani Yusufu Kagoma namfananisha na Wachezaji walio cheza Simba Alluu Alli na Nikodamas Njohole hizo ndizo no sita mbili cheza wakati huo. Kagoma karithi.

  • @imamhussein1104
    @imamhussein1104 15 часов назад

    6:56 huyo big apo nyuma kachanganyikiwa

  • @nicoart5063
    @nicoart5063 День назад

    Huyu mzee anamaneno aisee ... eti yanga itabaki kama stool tu 😅😅😅

  • @Josephtibu-l9e
    @Josephtibu-l9e День назад

    UBAYA UBWELA😂😂😂😂😂😂😂 MUDA WOTE WAPO KWENYE MAHESABU

  • @GetrudasamsonSengerema-he7ob
    @GetrudasamsonSengerema-he7ob 2 дня назад

    Niliju MzeeeMasatu unaakili njema kumbenoooo, kwahiyo yanga nisituri yakukaria ngonjatuone itakuwaje kwenu

  • @VeronicaNyondo
    @VeronicaNyondo День назад

    😂😂😂 haya sasa

  • @CikeTanzania
    @CikeTanzania День назад

    😂😂😂 watu wanamaneno nyie.

  • @BensonGoodluck-f2i
    @BensonGoodluck-f2i 22 часа назад

    Dhaaaaaa Mzee Masatu buana Yanga inaweza baki kama stuli😂😂😂🎉🎉😅😊

  • @MAGRETHSANDO
    @MAGRETHSANDO День назад

    Huko ndani kuna shida gani...Kila saa mkono kwenye ...asitutanieee yanga..busha linashikwa Kila saa...

  • @mnyongeiddi2454
    @mnyongeiddi2454 2 дня назад +1

    Mzee masatu tuko na wewe
    Mpaka dakika ya mwisho

  • @samahakihange6421
    @samahakihange6421 2 дня назад +1

    Ila al hilal wanakimbia wale kama digi digi yanga ijipange sana

  • @DanielChaula
    @DanielChaula 2 дня назад +1

    God is good

  • @otmarykiowi4132
    @otmarykiowi4132 День назад +1

    Chagamba fanya tafuta mic mbili

  • @SalmaSonga
    @SalmaSonga 2 дня назад

    Wewe mzee huna akili uwende mirembe

  • @alimwatajiri1202
    @alimwatajiri1202 День назад

    Huyu mzee alisema yanga points zake mbili tu,sasa amegeuka ya vidole

  • @IldefonceNdemela
    @IldefonceNdemela День назад

    Wazee wa Yanga wanawakabaje teenagers wa Al hilal. Hapo uto ni kwishney!

  • @alitante4279
    @alitante4279 День назад

    Eti vidole vimekua virefu

  • @abouhudhaifambaruku
    @abouhudhaifambaruku 2 дня назад +1

    Usitukane Mamba kabla hujavuka mto ww

  • @dalmasokoth4190
    @dalmasokoth4190 День назад

    Tatizo Lao makolo ni Ka mdomo!! Sasa wanaamini yanga hawezi kumfunga al hilal na yanga wakishinda utasikia wamenunua mechi! Sema wakikumbuka na wao walipigwa wanapunguza kamdomo

    • @barbiepixie92
      @barbiepixie92 День назад

      Kama nyie mnavoamini hatuwezi wafunga bravo

    • @IldefonceNdemela
      @IldefonceNdemela День назад

      Utopolo anafuzu vipi kwa mfano?

    • @lazarogindo1752
      @lazarogindo1752 День назад

      Si kawafunga juz hao al hilal , mnatk mkashinde wap😂

  • @FeliazaKitwita
    @FeliazaKitwita 2 дня назад +1

    ❤😅😅😅😅😅