Huyu mzee nadhani uchawi umemtawala lakini mwenyezi mungu hamtupi mja wake na ndio maana ukimtazama huyu kolo anaiombea yanga kupoteza mechi zote zijazo hata zile za kuiwakilisha nchi mungu mwaacheni aitwe mungu
WEWE KUMBE NI MPUMBAVU KIASI HICHO?SIMBA MPO SHIRIKISHO KOMBE LA TIMU ZILIZOFELI VIBONDE YANGA TUPO CLUB BINGWA AFRICA MABINGWA WA NCHI USITAFUTE KUTUKANWA
Daaa iv uyu na said Wana undugu chagamba???
Gusa achia twendge kwako Baki apo apo😂😂😂😂 Mbavu zangu mim jaman daa😂😂
hawa ndo wazee wakuhoji sasa mzee anawakera vyura wa kijani wanakoroma vibaya 😂😂😂😂
😂😂😂😂 gusa achia twende kwao lkn baki palepale 😂😂😂
Duh mode ya kisugu akizeeka😂😂😂
ha ha aha ha mzee anajua football😂😂
Ghagamba chagamba chagamba nimekwita mara 3 hapa ni mihambo Germany😂😂utakuja kufungiwa ulipo nipo salimia family 😀
Mzee said kwenye ubora wake😂😂😂😂
Mzee n mmoja 2 mzee saidi
Yetu macho.
Michoko msingi mji huu
Hawa ndy wazee kwl😅😅😅
Mzee masatu unapenda kuwauzi watu
Huyu mzee nadhani uchawi umemtawala lakini mwenyezi mungu hamtupi mja wake na ndio maana ukimtazama huyu kolo anaiombea yanga kupoteza mechi zote zijazo hata zile za kuiwakilisha nchi mungu mwaacheni aitwe mungu
Mhulize bwege magetoni amesha ifunga yanga mara ngapi .Sasa anasema atuwezi kupata point 👉 kwake iyo nikweli. 😊
Gusa achia baki pale pale huyu ana maneno ya shombo 😃😃😃
We Mzee umri wako ilipaswa uwe na busara ,Chagamba acha kuhoji wasioeleweka
😂😂❤❤
KAMA HUYU NI MBADALA WA MZEE SAIDI BORA SITISHA KIPINDI MPAKA AJE MZEE WETU😢
Subscriber mpya wewe eeh😅😅😅😅😅😅. Mzee Mtitu Amekua akiuwasha hapa FINEST ONLINE kitamboooo mnooo. We kaa utulie hpo sindano iingie, isije ikavunjikia humoo
Oyo polisi shida
Chagamba tunamuomba mzee said I tumemmisi sana
Gusa achia twebde Kwa mazembe mbovu
😂😂😂
Hapo kweny upande wa majani ndo nimecheka
Kutoka Lusaka ubaya ubaya ubwela
Hapa mwiko mbele wanaumia mpaka wanatukana
Au anaumwa?
Ila mzee masatu hatari kuza achia baki hapohapo
Mzee huyu hajui mpira zungumzia mpira acha usimba hapo ukipewa nafasi zungumzia mpira acha mapenzi ya tim
SKU moja umuhoji na hayo tumskie anae smama hapo pemben
Kundi lile la wafu ndo yanga wakose point hyu mzee sio mzima
Nyuma mwiko hana lolote hata hizo point nne alizonazo amejipatia kwa kibonde wake Tp mazembe hachukuwa popote.
Chagamba mzee said yuko wapi
Dawa yakujisikia kujisaidia ni kujisaidia tu! Cyo kulopoka. Pumbafu!
Huyo mzee wa pemben vipi
Mzee said Yuko wapi chagamba
Ujui kama anauguza baba ake
Huyu mzee anazeeka vbaya km ana watoto wampeleke milembe 😂😂😂
Kwasababu kachoma kwenye mfupa
@ZabibuMwenda anaongea pumba haziendani na umri wake
Daaa zangu ubaya ubwela nipale liki zang leo wa 1 leo kuazi saa 12 mamb ya simba na mm leo hahaha
WEWE KUMBE NI MPUMBAVU KIASI HICHO?SIMBA MPO SHIRIKISHO KOMBE LA TIMU ZILIZOFELI VIBONDE YANGA TUPO CLUB BINGWA AFRICA MABINGWA WA NCHI USITAFUTE KUTUKANWA
Chagamba unajuwa ww unapendelea kuhoji unahoj watu wa simba tuu hapo hakuna mpira ni mapenzi sasa angalia utakosa views badilika
Chagamba mwambie mzemasatu mimi ananikosha nikichekochake bigapusana kwakazinzuli kaka usisahau kumpahai malamoja mwambie namkubali sana