Haya maneno ni makali sana na yanaujumbe mzito sana yanapaswa kuwaingia vichwan mwao na kujua ukiwa Yanga utataniwa na mtu wa simba na ukiwa mtu wa simba basi utataniwa na mtu wa Yanga sasa huku tunakoelekea tunaua utan wetu wa jadi ambao sio vizur kwa afya ya mpira wetu
Kuipa club kashfa ya kutumia sindano ni sawa?unajua madhara ya kutumia sindano kwenye mpira kwenye club na ngazi ya Taifa?kama Ally kamwe kakosea na Ahmed kakosea sana ile ni kashfa na mashabiki wa simba wameishikilia hiyo bila kujali madhara yake,huo utani wa jadi ufe kabisa.
Manara nakupenda sana unavyo Jenga hoja lkn kwenye hili umenipa kazi ya kukufikiria kivingine. Juzi ulifanya interview yako na kusema vijana watafute maneno ya kusema na ukaamini Sandaland anastahili na aombwe radhi na wewe ukashiriki kumuombea Ally Kamwe kwa Sandaland kwa kuwa uliamini alikosea. Haya maneno ungeyasema juzi ulipo sema. Lakini una yasema leo kwakuwa Yanga wameshitaki? My Brother hata wewe ni mdogo sana kwa watu wa mpira wa nchi hii. Unapo waambia watu wote ni WAGENI ina maana Mpira utausemea wewe tu? Bro una maana sana kwangu lkn kwenye hili inaonekana wazi huna msimamo na una thamini sana Sandaland kuliko Yanga. Mbona humuombi Yanga kufuta kesi ya Hemed Ally unamuona kakosea tu. Pitia tena Clip yako utaona lugha zako nyingi ni zenye kutufikirisha wapenzi wa Yanga. Utani wa Simba na Yanga enzi kabla ya Baba zenu ni mchezaji wa Simba au Yanga kutoenda timu pinzani hizo. Leo hii mpira haupo kama zamani. Utani utakuwepo lkn na usasa lazima uwepo. Kesi zote ziende la sivyo usiwakosoe hata hao wasemaji maana kimsingi ni watuhumiwa ambako kote kuna hoja.
Hajj unajua mpila vizuri we ndo unaue jua maana ya Utani wa jad mpila siyo uadui mpila ni urafiki Ali kamwe na Ahmed Ally mnaharibu maana ya Utani wa jadi
Nyie munae uliza kuwa Simba Ina kosagani kwani Alie shitkiwa ni Simba au Hmed Ally Kwa kuwaongelea wachezaji WA yanga mbovu kuwa wanatumia sindano kama wanaziwia mimba maneno mengi ya ovyo kayaongea
Haji unamadin flan hiv amazing unaijua history vzr xaaafiii
Uko vzur sana mzee sarut❤❤❤
Kipindi unamuombea msamaha ulikua aujuwi ayo
Manara football unaijuw kk
Haya maneno ni makali sana na yanaujumbe mzito sana yanapaswa kuwaingia vichwan mwao na kujua ukiwa Yanga utataniwa na mtu wa simba na ukiwa mtu wa simba basi utataniwa na mtu wa Yanga sasa huku tunakoelekea tunaua utan wetu wa jadi ambao sio vizur kwa afya ya mpira wetu
Mbona hatukuskii ukimuombea msahama Ahmed Ally mbona saiv waongea kiujumla tu
Huyo hana kosa wamemuonea
@@neemamwijagehata Ally kamwe hana kosa alikurupuka tu kuomba msamaha huyo sandaland aende mahakamani,bwana sanda ni nani?
Ahmed hana kesi ya msingi . Ni kuhangaika kwa Yanga tu baada yakuona msemaji wao kajishenyenta kwenye kokoto .
Kuipa club kashfa ya kutumia sindano ni sawa?unajua madhara ya kutumia sindano kwenye mpira kwenye club na ngazi ya Taifa?kama Ally kamwe kakosea na Ahmed kakosea sana ile ni kashfa na mashabiki wa simba wameishikilia hiyo bila kujali madhara yake,huo utani wa jadi ufe kabisa.
Manara nakupenda sana unavyo Jenga hoja lkn kwenye hili umenipa kazi ya kukufikiria kivingine.
Juzi ulifanya interview yako na kusema vijana watafute maneno ya kusema na ukaamini Sandaland anastahili na aombwe radhi na wewe ukashiriki kumuombea Ally Kamwe kwa Sandaland kwa kuwa uliamini alikosea.
Haya maneno ungeyasema juzi ulipo sema. Lakini una yasema leo kwakuwa Yanga wameshitaki?
My Brother hata wewe ni mdogo sana kwa watu wa mpira wa nchi hii. Unapo waambia watu wote ni WAGENI ina maana Mpira utausemea wewe tu?
Bro una maana sana kwangu lkn kwenye hili inaonekana wazi huna msimamo na una thamini sana Sandaland kuliko Yanga.
Mbona humuombi Yanga kufuta kesi ya Hemed Ally unamuona kakosea tu.
Pitia tena Clip yako utaona lugha zako nyingi ni zenye kutufikirisha wapenzi wa Yanga.
Utani wa Simba na Yanga enzi kabla ya Baba zenu ni mchezaji wa Simba au Yanga kutoenda timu pinzani hizo. Leo hii mpira haupo kama zamani. Utani utakuwepo lkn na usasa lazima uwepo.
Kesi zote ziende la sivyo usiwakosoe hata hao wasemaji maana kimsingi ni watuhumiwa ambako kote kuna hoja.
Hajj unajua mpila vizuri we ndo unaue jua maana ya Utani wa jad mpila siyo uadui mpila ni urafiki Ali kamwe na Ahmed Ally mnaharibu maana ya Utani wa jadi
Mashabiki wengi wa wakati huu wanajua kwamba simba na yanga ni maadui badala ya utani wa jadi hapo ndo shida inapo anzia
Huyu ni Ahmed Ally...kazidiwa
Nyie munae uliza kuwa Simba Ina kosagani kwani Alie shitkiwa ni Simba au Hmed Ally Kwa kuwaongelea wachezaji WA yanga mbovu kuwa wanatumia sindano kama wanaziwia mimba maneno mengi ya ovyo kayaongea
Sanda land ndo takataka tupu hawajui mpira 😂😂
Saf umeongea ukweli
🎉mm nakubali sana haji sijawahi kua chuki nae
je kosa la Simba liko wapi? maaana alikamwe ameshtakiwa na Sunderland sio simba
Sandaland hawezi kutoa notice kama simba hawajabariki,ndio maana yanga nao wakajibu mbona siku zote hawashtakiani?wakae wayamalize tu.
Ww na moro ndio mlioanzisha mambo ya kusema sema ovyoo Acha kujiosha. Utani gani uwambie watu wote hamnazo
Wewe ni ZUZU
Mumuuu man!!!
Duh kweli Huna akili
Bugatti unaleta hadithi sasa ..... nenda kwenye point pimbi wewe kujisifia tu kama mwanamke malaya
Kweli akili hauna
Unawashwa Nini!!
Shida ni yule Sunderland amelianzisha kisa Jez zake za mchongo
Tofautisha Brand na taasisi