AHMED ALLY AMJIBU MANARA KUHUSU KUBEBA UBINGWA 'Wao wanashida Mhala, Sisi tunafikria Kimataifa....

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 3 дек 2024

Комментарии • 46

  • @yakoubhajijuma1099
    @yakoubhajijuma1099 2 года назад +4

    Jamaa anajua kuusema mpira hongera sna ahmed ally

  • @salimnondoTv
    @salimnondoTv 2 года назад +3

    UKWELI WASAFI NAWAPA BIG UP SANA WATANGAZAJI MUKOPOA

  • @009biafra8
    @009biafra8 2 года назад +4

    Ahmed Ally SEMAJI LA CAF. You're bright and brave enough. We Glad to have you guy in our Team 😊

  • @emmilianlukaye3125
    @emmilianlukaye3125 Год назад +1

    Momo eeeeee 😂😂😂,
    Acha bwana unatuvunja mbavu 😂😂😂, huwiiiii
    Nimpe hongera Ahmed kwa namna avyojuwa kujibu maswali 😅😅😅

  • @jubilatemanase9050
    @jubilatemanase9050 2 года назад +3

    Professional sports man speak 👏

  • @nemesapollo4846
    @nemesapollo4846 2 года назад +1

    Ndio Ahmed ally uko sawa

  • @barakajkadu7089
    @barakajkadu7089 2 года назад +4

    Watu washakubal yanga ndo bingwa yangaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa hoyeeeeeeeeeeee

  • @akidajulius8397
    @akidajulius8397 2 года назад +2

    Hamedi Leo Kawa mpole sana, sema anajua kujieleza kimpila,

  • @Itc_henly
    @Itc_henly 2 года назад +2

    SALUTE

  • @jasondalulo1689
    @jasondalulo1689 2 года назад +1

    Hujuwi kitu wew

  • @aliabdi3212
    @aliabdi3212 2 года назад

    Mbona umefilwa kwenye penalty umbwa panya akakufia soweto unjani mfetu pirates ni noma

  • @placidiasilvanus9113
    @placidiasilvanus9113 2 года назад +1

    Today umeongea point

  • @daudkhatib4678
    @daudkhatib4678 2 года назад

    Wachaa .kujmsifiaa. Huyoo. Muhamedi. Aly

  • @timotweymalashi9285
    @timotweymalashi9285 2 года назад +1

    Huyu jamaa uko vzur tatzo Hana kishawishi

  • @amanichisso945
    @amanichisso945 2 года назад +1

    kanzu na kapelo sio kweli momo

  • @abiaslimadyanse1842
    @abiaslimadyanse1842 2 года назад +1

    Washakiri tuwaache jamani

  • @mapitotv6837
    @mapitotv6837 2 года назад +1

    🇧🇮🤝🤝🤝🇧🇮

  • @jafnasog1493
    @jafnasog1493 2 года назад

    Walo muelewa Ricardo momo tujuane tafazali 🙏

  • @halimajuma2340
    @halimajuma2340 2 года назад +1

    Tumekupata semaji

  • @web2.095
    @web2.095 2 года назад

    Maneno ya mkosaji..."ni yeye Ndio aliwai kusema kuna bla bla za mpira na kuna uhalisia,...leo kapiga bla bla...utafikiri simba hawalitaki kombe la ligi kuu😁

  • @najumongdeoxcar6728
    @najumongdeoxcar6728 2 года назад +1

    Momo axha umama

  • @yassinsalum1864
    @yassinsalum1864 2 года назад +1

    Ahmed jifuze kwa manara manara umuwezi

    • @009biafra8
      @009biafra8 2 года назад +1

      Labda kuropoka

    • @sixbertmwakaluwa5665
      @sixbertmwakaluwa5665 2 года назад

      Shh hamuwezi na hawa ni watu wawili wenye perception tofauti ila shz angalia ni nani kati yao perception take iko too marketable

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 2 года назад

      AKQJIFUNZE NINI USALITI????

    • @gibsonjosephat6352
      @gibsonjosephat6352 Год назад

      Huwezi kujifunza kwa Mfungwa wewe.

  • @martinmhina5596
    @martinmhina5596 2 года назад

    Eboo hajatetema tena leo

  • @jasondalulo1689
    @jasondalulo1689 2 года назад +1

    Huyo nipumbav

  • @broka_genius3615
    @broka_genius3615 2 года назад +2

    Huyu jama hana nyota

    • @hanifaomar7438
      @hanifaomar7438 2 года назад +1

      Anayo bwana 😂😂

    • @hastatz
      @hastatz 2 года назад +2

      Wew umeangalia wapi na Mimi nikaangalie yako

    • @stephanomoses7694
      @stephanomoses7694 2 года назад

      @@hastatz 😄😄

    • @009biafra8
      @009biafra8 2 года назад +1

      Mamaako anayo nyota kweli ndo maana aliolewa na babaako mweny mapengo nq kitambi

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 2 года назад

      @@009biafra8 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @psuccess9624
    @psuccess9624 2 года назад +1

    Tazama alichokisema Benard Morrisson leo khasubui kuhusu mechi ijayo ya Simba Vs Yanga 👉🏻👉🏻👉🏻
    ruclips.net/video/2rKtgjxtdko/видео.html

  • @hussseinmasangya7130
    @hussseinmasangya7130 2 года назад +3

    🤣🤣🤣🤣

  • @oscarjeckonia-9757
    @oscarjeckonia-9757 2 года назад

    Nimengi lakini tusisahau huyu anaye muwezesha Sande Manala👇👇👇
    ruclips.net/video/t9VNQgkbbxM/видео.html

  • @ap_elvin
    @ap_elvin 2 года назад +1

    😂😂😂😂😂😂