UTACHEKA VITUKO VYA AHMED ALLY WA MCHONGO AFUNGUKA UKARIBU WAKE NA SEMAJI/YANGA NA SIMBA NI BALAA..

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 16 май 2024
  • JISAJILI NA KUSHIRIKI PROMOSHENI ZA ROYAL SPORTS NA ROYAL WIN KUPITIA LINK HII 👉 pmbet.co.tz/en/auth/signup?ut...
    NA USHINDE ZAWADI MBALIMBALI IKIWEMO GARI AINA YA TOYOTA HARRIER NA NISSAN X-TRAIL
    TAFADHALI USISAHAU KU SUBSCRIBE RUclips CHANNEL YETU NA KUBONYEZA ALAMA YA KENGELE ILI UWE WAKWANZA KUPATA HABARI ZOTE AMBAZO TUTAKUWA TUKIKUSOGEZEA KARIBU
    INSTAGRAM @pmtvtz
    TWITTER @Pmtvtz
    TIKTOK @officialpmtv

Комментарии • 155

  • @james-lx6rf
    @james-lx6rf 6 дней назад +5

    kama unaona wanafanana hadi ndevu gonga like hapa

  • @kizurikinaua2242
    @kizurikinaua2242 7 дней назад +4

    Dada hongera Kazi YAKO mzuri tushakutana TANGA ngao ya jamii

  • @JosephLamau-yq1lx
    @JosephLamau-yq1lx 15 дней назад +15

    Hongera sana kijanga kwa kipaji ambacho Mungu amekupa unatisha mwanangu uko kama semaji la cafu . Simba nguvu mojaaaaaa ❤❤🎉🎉

  • @sumadashsumadash-yx8eb
    @sumadashsumadash-yx8eb 12 дней назад +6

    Huyu Mtangazaji kwambaaaali ana ujeni Kishai wa Mpenja Tv... Hongera sana kwako dada ushajipata Sasa kaza zaid

  • @salimmalaka256
    @salimmalaka256 15 дней назад +16

    SAFI SANA UMEJUWA NANI WA KUMUIGIZA ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @hassantupa
    @hassantupa 15 дней назад +10

    Big up Babu twende kazi mzee kaza Buti na Ahmed ally simba sports.

  • @SurprisedMacawBird-qh7dg
    @SurprisedMacawBird-qh7dg 12 дней назад +5

    One love from Geita Tanzania

  • @user-yz2iq1lx3d
    @user-yz2iq1lx3d 14 дней назад +5

    Kwanza mm naipenda Simba,pili nampenda semaji la Simba na Kila anaemigiza semaji Ahmed,mungu atusimamie na Simba yetu,tutakufa nayo

  • @mbaruksaid5775
    @mbaruksaid5775 15 дней назад +8

    Yupo vizuri kuigiza👏👏👏

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 15 дней назад +7

    Ama anafanana na Semaji wetu wa simba yetu safi sana❤❤❤❤

  • @saidysuddy3494
    @saidysuddy3494 14 дней назад +2

    One love My blood piga Kaz kaka💪🤝🙏

  • @JUU-lw2je
    @JUU-lw2je 15 дней назад +8

    Anamwezea vibaya mnooo😂😂😂😂

  • @mbaroukkillo1376
    @mbaroukkillo1376 13 дней назад +1

    Jamaa anajua hongera zke

  • @neemamwijage
    @neemamwijage 15 дней назад +3

    Naomba uwe shabiki wa simba

  • @user-wl4ip6oe1r
    @user-wl4ip6oe1r 15 дней назад +4

    Nice Nice... Burudani popote🔥🙌🏿

  • @georgegregory8414
    @georgegregory8414 13 дней назад +2

    Unajuwa sana na mtu unayemwiga na mtu wa maana sana

  • @mussastephano4938
    @mussastephano4938 6 дней назад

    Tenge Tengele, kuigiza uchizi we kweli Genious.

  • @RasskinongoKinongo-ig1wd
    @RasskinongoKinongo-ig1wd 15 дней назад +1

    daaa kaka unaweza sana napenda sana♥️❤️❤️❤️❤️❤️💐

  • @salmamlokela1987
    @salmamlokela1987 14 дней назад +3

    😂😂😂kindege siooo

  • @zumbeshauri8114
    @zumbeshauri8114 15 дней назад +1

    Mashaallah anajua sana

  • @mwajabudegwa
    @mwajabudegwa 15 дней назад +24

    Mimi nampenda sana sana huyu jamaa sijui kwakua mimi n simba au😂😂😂😂

    • @saumumaulidi8768
      @saumumaulidi8768 15 дней назад +5

      Mimi ni yanga lakin nampend❤❤

    • @alexissaya9385
      @alexissaya9385 15 дней назад

      Mimi coast union lakin namkbal

    • @lowasakitwiyan7758
      @lowasakitwiyan7758 13 дней назад

      Mpe tobo

    • @user-my4dr5oq6v
      @user-my4dr5oq6v 13 дней назад

      Unampenda Kwa kuwa ww ni shoger

    • @user-qt1sf7eg9p
      @user-qt1sf7eg9p 10 дней назад

      😂😂😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉🎉😂😂🎉😂🎉😂🎉😂🎉😂😂🎉😂🎉😂🎉😂🎉🎉🎉

  • @thuraiyaabdallah8692
    @thuraiyaabdallah8692 15 дней назад +5

    😂😂😂Hadi sura wanataka kufanana

  • @karimumohamedi5421
    @karimumohamedi5421 14 дней назад +1

    Uko vizur sana ndugu yangu

  • @ignaskomba6905
    @ignaskomba6905 15 дней назад +1

    Uko vizuri sana mdau

  • @sarahmathias3518
    @sarahmathias3518 11 дней назад

    Aisee umetisha.

  • @adamumyala-js9fh
    @adamumyala-js9fh 14 дней назад +1

    Hongera sana kaka.

  • @JumaMohali86
    @JumaMohali86 6 дней назад

    All in all kijana yupo vizr lkn ushaur wangu kw tathnia aliopo lazima afatiliane mpira ndio atashine zaid

  • @karimumohamedi5421
    @karimumohamedi5421 14 дней назад +1

    Pamoja sana kaka

  • @victormkini2708
    @victormkini2708 6 дней назад

    Jamaa anaweka sauti ya Ahmed Ally na sio anaiga sauti

  • @abelimaganga417
    @abelimaganga417 13 дней назад +2

    Semaji la CAF na FIFA part 2

  • @PendoMatemba-ql1ng
    @PendoMatemba-ql1ng 15 дней назад +1

    Hongera sana

  • @hijambinji1048
    @hijambinji1048 15 дней назад +1

    Kazi nzur

  • @user-zs4qz4wm2n
    @user-zs4qz4wm2n 14 дней назад +1

    Yani huyu jamaa na watu wake wa garage ni kama alivyo miso misondo😂😂😂

  • @kabujeasukile5462
    @kabujeasukile5462 14 дней назад +1

    Jamaa kamuweza kweli Ahamed Ally🤣🤣🤣🤣

  • @chandeyusufu9570
    @chandeyusufu9570 11 дней назад

    Upo vizuri ndugu

  • @nderendere.
    @nderendere. 15 дней назад +1

    Kaka uko fresh San jap0 mimi ni yanga

  • @abdulshah918
    @abdulshah918 14 дней назад +1

    The best ever

  • @nicholausrutayuga4458
    @nicholausrutayuga4458 10 дней назад

    Sijui Hadi sasa bila Ahmed Ally tungekuwa wapiii, semaji linaloshusha stress zetu wanaSimbaaa

  • @challa2000
    @challa2000 14 дней назад +1

    Semaji la CAF

  • @user-qu1dz2ed1b
    @user-qu1dz2ed1b 14 дней назад +1

    Uyo ni amed aliy ni wa mchongo tu 🎉🎉🎉🎉😮😮😮

  • @kassimourio6879
    @kassimourio6879 13 дней назад +1

    Afu sauti ingine unayoweza kuiga ni hayati Kanumba....yaan hyo hata hutaitengezaaa😅😅😅

  • @shaabanramadhan
    @shaabanramadhan 8 дней назад

    Hongera sana kijana unamuiga mtu maarufu sana

  • @user-zu8ou2oe4c
    @user-zu8ou2oe4c 14 дней назад +1

    Herieli we jamaa unajua sanaa tembea na hilo hilo gep piga maokoto fanya mambo chap

  • @neemacharles9848
    @neemacharles9848 13 часов назад

    😂😂😂😂😂😂ila mbona anampatia kabisa semeji letu kongore ahmed

  • @SalimRamsei-ok9el
    @SalimRamsei-ok9el 15 дней назад +1

    Yupo good

  • @mussastephano4938
    @mussastephano4938 6 дней назад

    KICHWA TENGE KUMUIGA inahitaji moyo.

  • @chng1990
    @chng1990 15 дней назад +2

    Mm nampenda kwa kuwa n yanga

  • @godfreyelkarim2586
    @godfreyelkarim2586 5 дней назад

    Mara alikamwe mshamba,mara anaongea huku amshike mdada bega...anaongea sana but ana kipaji ila bado ajielewi

  • @jameshagwe3063
    @jameshagwe3063 9 дней назад

    Hongera sana kaka, ubunifu mkubwa sana

  • @HalimaMaulidi-sv7le
    @HalimaMaulidi-sv7le 3 дня назад

    Kuwa shabiki wa cmba bhana kwa sababu ndio iliyokutoa haya ni mapito tu kaka usiogope kuwa cmba mbona ni timu nzur xana

  • @zainiamohd6234
    @zainiamohd6234 6 дней назад

    Hongera yako mwaya sio wa mchongo mwenyewe huyu

  • @ChenchiKing
    @ChenchiKing 15 дней назад +2

    Mwamb Anajuwa Kukopy Kwa Kweli Hata Mim Nqmkubalii

  • @AminaKassim-xl7kc
    @AminaKassim-xl7kc 15 дней назад +1

    Ahmed amejaliwa kipaji Sana hata ukinuna utacheka ana haki ya kuigwa namkubali .

  • @user-kd7mw6be5q
    @user-kd7mw6be5q 5 дней назад

    Kiufupi jamaa sauti anaingiza ya muhusika halafu unamkandia ally kamwe

  • @WestonMbuba-ff4jk
    @WestonMbuba-ff4jk 15 дней назад +4

    Mimi ni mwananchi ila dogo yupo vzr

  • @sabrinaaron4212
    @sabrinaaron4212 9 дней назад

    Ukiweka cm hapa weka kindege😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂mashaalah mkaka mzuri jaman ila hajamzidi mchaga wangu😛😛😛😛mume wangu natania ila kumbe nayy ni mangi mwenzio wachaga oyeeeee😂

  • @emmanueljackson5445
    @emmanueljackson5445 13 дней назад +1

    Jamaa machinooo Sana Sasa ati hata Ahmed hajui Yuko team gan kiburi tu

  • @SilvesterApolo
    @SilvesterApolo День назад

    Ndugu hicho kipaji kitumie vema kupigia pesa!

  • @FatumaShabani-mp9vt
    @FatumaShabani-mp9vt 15 дней назад +2

    Alikamwe anajua mpila kasoma mpila ndyo mana usimzalau ammed ajasoma Sasa unamkosoa je

  • @AbdullrazackHussein
    @AbdullrazackHussein 8 дней назад

    Simba day lazima utakuepo itafana sana

  • @fettymilly7664
    @fettymilly7664 8 дней назад

    😂😂😂😂😂😂😂 nakupenda weee kaka

  • @SurprisedMacawBird-qh7dg
    @SurprisedMacawBird-qh7dg 12 дней назад

    Mwamba yuko vizuri

  • @gabrielmoses6860
    @gabrielmoses6860 13 дней назад +1

    Dogo alivyomdiss Ally kamwe kazingua!!!

  • @MTUMZIMADAWA
    @MTUMZIMADAWA 15 дней назад +2

    ❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @danielpeter8085
    @danielpeter8085 11 дней назад

    Anajua jaamaa

  • @MezdDimoso
    @MezdDimoso 10 дней назад

    Talent 🎉

  • @ringstone5388
    @ringstone5388 10 дней назад

    Dah!!! Mpaka nachanganyikiwa😂😂😂

  • @DorahAlbert-eb9zv
    @DorahAlbert-eb9zv 15 дней назад +1

    Lkn mbona sauti ni ileile ya Ahmed Ally!?😳😳jamani watu Wana vipaji,ni Semaji mtupu kabsaaa,ad mwonekano kdg anafanana👏👏😄😄

  • @Shemahonge-ku7xx
    @Shemahonge-ku7xx 14 дней назад

    Mmefanana sana

  • @jumasharifu5837
    @jumasharifu5837 10 дней назад

    Mungu anajua aisee huyu jamaa ni shida

  • @FrugenceBahati
    @FrugenceBahati 9 дней назад

    😂😂 unaweza

  • @hamisimsosi6237
    @hamisimsosi6237 14 дней назад

    Dogo unaweza Sanaa 😅😅😅😅😅hongera

  • @ukhutfatumah1154
    @ukhutfatumah1154 14 дней назад

    Haaaa nimecheka sana aise chukua maua yako 🎉🎉

  • @SamsonTanzania
    @SamsonTanzania 15 дней назад

    👏👏👏👏👏

  • @honesthenry901
    @honesthenry901 14 дней назад

    Hahaha nakubal sana

  • @user-se9no4rg3k
    @user-se9no4rg3k 8 дней назад

    Anafana lakini tuseme ukweli

  • @bernaberna4159
    @bernaberna4159 14 дней назад

    Vibayaaa mnooo 😂😂😂

  • @KautharMartin-sc9cm
    @KautharMartin-sc9cm 14 дней назад

    Huyu anaingiza sauti ya ahmedy ally ila yeye anaiga vitendo t

  • @loishiyesamwel1374
    @loishiyesamwel1374 13 дней назад

    Huyu Bwana ni mbulula tu, hafuatilii mpira lkn sauti za wasemaji wote anawajua

  • @abdulhalilaly2906
    @abdulhalilaly2906 12 дней назад

    Kawaida ukifanya kitu kizur daima watu watakuiga tu

  • @ZakariaSimon-gp1gr
    @ZakariaSimon-gp1gr 14 дней назад

    Km huna tim kalale make inakuwaje unatuzungumuzia ss wana SIMBA 😊

  • @DeoPhilipo
    @DeoPhilipo 14 дней назад

    Atuthibitishie kama kweli hafuatilili mpira😊😅

  • @user-ps8uf3mr3n
    @user-ps8uf3mr3n 15 дней назад

    Kaina umependeza cn

  • @songombingo108
    @songombingo108 15 дней назад +3

    Comedian

  • @officialtenendejr360
    @officialtenendejr360 13 дней назад

    Inshot mwamba ana kitu ataendelea kufk mbali

  • @maikomatayo2794
    @maikomatayo2794 11 дней назад

    sasa chaajabu siyo sauti ata sura wanafanana kinoma

  • @AbdullrazackHussein
    @AbdullrazackHussein 8 дней назад

    Pia kafanana nae sana

  • @sosomacharles9920
    @sosomacharles9920 15 дней назад

    Huyu jamaa🤣🤣🤣 mshenzi kabisa

  • @innocentmmandago3029
    @innocentmmandago3029 15 дней назад

    Ana kipaji ila Hajielewi

  • @user-xi3xj2or7v
    @user-xi3xj2or7v 10 дней назад

    Unakipaji kikubwa sana

  • @sarahmathias3518
    @sarahmathias3518 11 дней назад

    Hakika kaka ile ni mashine.

  • @user-ec3iz6pg2i
    @user-ec3iz6pg2i 8 дней назад

    Kaka wewe umeramba damu ahsante

  • @Malemajrtv
    @Malemajrtv 15 дней назад

    Mtangazaji jifunze kiswahili siyo anafanyaga Sema huwa anafanya duu

  • @remidusmwanandenje-yy5gs
    @remidusmwanandenje-yy5gs 14 дней назад

    Izi nazo bangi 2 polic mpo wapi kamata sukuma ndani kipindi cha mavuno iki watu wakavune🙄

  • @idyjumanne9796
    @idyjumanne9796 15 дней назад

    Apigi Baki voko kwl

  • @user-pv2eu3rb7x
    @user-pv2eu3rb7x 8 дней назад +1

    Yaani mimi hata uongelee vyaujinga kama nivyasimba me nafurahii tuuuu

  • @lenoxbuhanza4926
    @lenoxbuhanza4926 15 дней назад

    Acha ubabaifu tobo lako hilo ongea fresh

  • @Edsonjoseph-qo1lq
    @Edsonjoseph-qo1lq 15 дней назад

    Kama VIP msajilini naye

  • @saidmbarouk3553
    @saidmbarouk3553 13 дней назад

    😂😂 WEWE NI YANGA

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 15 дней назад +2

    Lakini yeye simba mwenzetu?