MASAU BWIRE AMCHEFUA MANARA, AMPA DONGO WAZI WAZI "TUNAWAPAPASA HATA MKI...."

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 4 дек 2024

Комментарии • 50

  • @panchovalentino5922
    @panchovalentino5922 3 года назад +12

    Ahahaha Ngoja tumpige 3 Akili imkae sawa uyu 💛💚💛💚👏🙌🙌💪💪🔥🔥🔥⚡⚡⚡🔝

  • @emmanuelbonifas3517
    @emmanuelbonifas3517 3 года назад +3

    Nakupenda bure mzee masau bwire siku zote mkoa wetu unatoa watu makini sana kwenye kila idara wakondya sana masika

  • @mrafrica6402
    @mrafrica6402 3 года назад +8

    Haya maneno naomba ayarudie baada ya mechi

    • @hidayahassan8014
      @hidayahassan8014 3 года назад

      🤣🤣🤣🤣🤣nimecheka kwa sauti

    • @mwanahamis5487
      @mwanahamis5487 3 года назад +1

      😂😂😂😂😂😂Midomo imewaponza yangaaa kiboko Yao

  • @charlesmwilima5548
    @charlesmwilima5548 3 года назад +4

    Pole Sana bwire

  • @vibetz9991
    @vibetz9991 3 года назад +8

    Anavojiamini utafkiri ni msemaji wa Liverpool

  • @laurentshedrack4256
    @laurentshedrack4256 3 года назад +6

    Nyieeee masau bwileeeeee ................
    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🖐️,,,,,,,,,,,Daaaah!!

  • @hidayahassan8014
    @hidayahassan8014 3 года назад +5

    Hahahaaa huyu bhana haya tusubiri dk 90

  • @chollejr_
    @chollejr_ 3 года назад +3

    🤣🤣🤣 Barcelona Gani sasaaa???

  • @yohanalalusa4054
    @yohanalalusa4054 3 года назад +2

    We hayaa tuu

  • @felixmoto4088
    @felixmoto4088 3 года назад +4

    Sport arena

  • @musamgulila577
    @musamgulila577 3 года назад +4

    Huyu mwamba ana mikwala anawezana na manara

  • @vibestips
    @vibestips 3 года назад +2

    Moto wa mabua 😂😂

  • @anthonymussa6268
    @anthonymussa6268 3 года назад +4

    Mkwala tu huo

  • @jameskachalasimfukwekachal9459
    @jameskachalasimfukwekachal9459 3 года назад +3

    😃 😃 😃

  • @kamaratsalimsafari8838
    @kamaratsalimsafari8838 3 года назад

    Nani ata PAPASA mwenzie leo 🤣😜 si🦁 hatuna hofu kesho na namungo

  • @eliyahango4278
    @eliyahango4278 3 года назад

    Masau Bwire anaongea Kama mtu kabisa eti 😀😀😀😀😀😀😀😀

  • @neemaruhembe6360
    @neemaruhembe6360 3 года назад

    Kapapaswa yy yanga kiboko yao

  • @mwanahamis5487
    @mwanahamis5487 3 года назад +1

    Hahahaha watadhalilika. Umedhalilishwa umepigwa vitatu vitakatifu

  • @mazibaonesmo3128
    @mazibaonesmo3128 2 года назад

    Masawe usizime sim :::

  • @mustaphamilao7220
    @mustaphamilao7220 3 года назад +1

    Kama Ruvu ni kama barcelonawashafungwa barcelona mbovu

  • @innocentjoram4154
    @innocentjoram4154 3 года назад +3

    Usizime sim masawe maana wewe hukawii kubadirika ligi hii mtawala ni YANGA tu

    • @fortunmassawe5908
      @fortunmassawe5908 3 года назад

      Pole sana masawe bwireeee kalale basi na hizo goli tatu

  • @shigangamussa2967
    @shigangamussa2967 3 года назад

    Huyu mtangazaji kama msenge awe yeye kitenge ni mmoja tu hii dunia bhana Awe yeye asifosi kufanana na kitenge

  • @mustaphamilao7220
    @mustaphamilao7220 3 года назад +1

    Usije ukatoa bastora bastora hamna

  • @hajikishuwa1078
    @hajikishuwa1078 3 года назад

    mngemuhoji tena baada ya mechi

  • @pcpoint1224
    @pcpoint1224 3 года назад

    MBONA HAMUMLETI BAADA YA KUFUNGWA HUYO MBWIGA

  • @meckitridamichael6513
    @meckitridamichael6513 3 года назад

    Masau bwire ulimsasi oulima kisasikisasi ryumye ryanyoko

  • @mwanahawabakari718
    @mwanahawabakari718 3 года назад +1

    Wewe mtangazaji acha kumkopi kitenge huna jipya,tafuta staili yako mjinga Sana wewe unataka kutembelea nyota ya kitenge

  • @ambwenedaniel358
    @ambwenedaniel358 3 года назад +4

    😄🤣😂😆😄🤣

  • @ramadhanmahongole5663
    @ramadhanmahongole5663 3 года назад +1

    Kweli. utopolo ipo kama moto wa mabua tu

    • @fredikigodi4372
      @fredikigodi4372 3 года назад +1

      Ngojea tuwaone kamamta tufunga ombeni sana

  • @Eng2460
    @Eng2460 3 года назад +5

    😂😂😂

  • @hadijahaji9712
    @hadijahaji9712 3 года назад

    Masau bwire mshasimuliana goli tatu kasimulianeni.na wachezaji wenu

  • @elizabethmwaikuka4734
    @elizabethmwaikuka4734 3 года назад +2

    🤭🤭😋

  • @abboe955
    @abboe955 3 года назад +1

    😂🤣😂🤣😂😂🌻

  • @musanatv6759
    @musanatv6759 3 года назад +3

    ruclips.net/video/bYRz51o5ZDQ/видео.html umuhungu abonye igituba cya nyirabuja none arayagaye || ndaba ndeba nanjye amaherezo || Kugikunda bimukozeho pe!!!

  • @faisalswalehe5991
    @faisalswalehe5991 3 года назад +3

    😂😂😂😂😂

  • @happypius4192
    @happypius4192 3 года назад

    Mpira sio makelele wewe muokota makopo leo unasemaje sasa

  • @andreamichael7133
    @andreamichael7133 3 года назад

    Hahahha