Kweli Ahmed ally ndo mtangazaji. Bora kwasababu yey ndo msemaji muongo kuliko wasemaji sikia hii CHAMA hawezi kwenda Clabu yoyote hap TZ mhhhhh na kweli hajaenda
Hawa wasemaji ni wasemaji upepo hawana upeo au akili au kujua kama wapo katika jambo la nchi ,wanaongea ujinga wao lazma wabadilike kiuhakika hii ni game ya taifa pumbavu zao
😂😂😂😂Hawa wahuni wanatengeneza combination nzuri Sana.
Kaka Ahmedy umetisha sna❤
Ali Kamweeeeee😂😂😂 Yani kitu pekee ulichoweza kuweka shingoni ni tai tu!😂😂😂
😂😂😂😂😂😂Nawapenda awa wakiwa pamoja uwa nafurai sana😂😂😂😂😂
Msdogo nawakubali sanaaaaaa
msemaji ni Ahmed Ally wengine mapoyoyo
Hujioni ww ulivyo mwehu😂
Alikamwe mbn kama anawasi wasi happ😮😮
Mnanichekesha jmn watoto wa azam sport nafurahi kuwaona mko pamoja
Watu muhimu Sana Hawa na hapa walikaa kwenye sehemu muhimu na walisema vitu muhimu.
Ahmed all anajua kuongea hao wengne wanalopoka tu
Yani hawa ni wahuni vichwa vyao vibovu😅😅
❤❤
Kweli Ahmed ally ndo mtangazaji. Bora kwasababu yey ndo msemaji muongo kuliko wasemaji sikia hii CHAMA hawezi kwenda Clabu yoyote hap TZ mhhhhh na kweli hajaenda
Ally kamwe ameshaongea mangapi ya kuropokwa na yakaenda tofauti na alivyoongea
Au hujui kuwa Ally kamwe mrookaji tu
Kwa timu iliyoitwa hasa langon tunashafungwa tyr mengin ni maajabu ya mpira
Ibwe na ahmed akili hamna mkichwaaa😴😢😴😢
😅😅😅😅😅😅😅😅😅
Kuna msemaji na waongeaji, hapo msemaji ni mmoja tyu wengine ni waingeaji
Ali kamwe usihoji umesha sikia ni waa wa😂😂😂😂😂😂
Huwa napenda sana utani wa hawa jamaa
Jaman kumbe hapa tz msemaji professional ni mmoja tu Ahmed aly tu check wengine wanaongea kama mademu wanatongozwa
timu ya taifa acheni mageti wazi watu waingie bure, Mwambieni Rais atununulie tiketi maana hili Sasa ndio Jambo lake kindakindaki
😂😂😂😂😂😅
Waandishi wengi mazuzuu😴!!!!!!
Watu mnaotowa maoni yenu hebu kuweni naadabu Ahmed tukitafuta wasemaji nayy msemaji? Hauna pwenti
tatz wew unauteam ndmn huon
Semaji ni mmoja tuu hapo Ally kamwe tu
sasa mechi Kama hii mnaweka kiingilio Cha nin weka bule tu waite watu waje uwanja mechi muhimu nyie mnaweka hela ya kiingilio
lakin nani nizaid
Hawa jamaa nawapenda mno
Hawa wasemaji ni wasemaji upepo hawana upeo au akili au kujua kama wapo katika jambo la nchi ,wanaongea ujinga wao lazma wabadilike kiuhakika hii ni game ya taifa pumbavu zao
Unajua maana ya utani?
@@frankhoffa8356 utani upo na sehemu zake ,au baada ya kufanya walicho itiwa ,but wao ni mwanzo mwisho
Ali kamwe unatixha kaka
Ali kamwe n mt w maan sana maan lzma aanze na shkran,na kuw falsafa nzri ya kuongea
Mtoto wa faida kwa Azam media ni Ali kamwe kweli ni pigo