Wazee wa yanga ndiyo wa kwanza walitaka kuaandamana kwenda ikulu kwa mama yanga washampiga muamuzi kwanini mnawalaumu wazee wasimba wakati wayanga ndiyo wameanza
SIMBA HAINA UKUBWA WOWOTE MBALI NA KUWASHA MOTO VIWANJANI, YANGA ANAJIVUNIA MAKOMBE NA USHINDI ..AHLY AU MAZEMBE WANAJIITA WAKUBWA SABABU YA MATAJI AFRIKA...SASA MIKIA FC MNAJIITAJE WAKUBWA KWA KUISHIA ROBO FAINALI TU! WAKATI YANGA KACHEZA SHIRIKISHO FAINALI NA HAJITAPI KAMA NYIE MWAKAROBO FC??
Ushamba tu HV ulishawahi ona ulaya wanafanya Mambo ya kipuuz Kama haya?mwafrika hasa watu wa yanga hakuna mwenye akil hata mmoja,wote wanatakiwa wapelekwe mirembwe
Tatizo Simba Mipango thabit ya Kwenye kamati za Hamasa. Hamasa za Yanga ndizo zilizoifikisha hapo ilipo ikipofikia. RAHA KWA YANGA MPAKA 2025 wakati tunafanya uchaguzi wa MADIWANI, WABUNGE NA RAIS. kuwa Yanga ni Raha Sana
Ushamba shambani kwetu Unyamani hivi vitu vya kawaida sana Kuna Tim champion luige kala Saba wiki lkn umetuona wapi tukiimba na Kuna Tim itakula kumi lkn kimyaaaa hauwezi tuona kelele
Kitu wanachokifanua yanga hamjui yanga wanafanya biashala ukiwa juz watu wamekunuwa supu ila wanachama wangap wamepata Kati za wanachama! Good aidia Ni mpka ya also a ya kutafuta kwaaajili zako na kuwashawishi kua na Kati za kidigitali ila kuondoka usafili inabid time zangu ziiihe huuu ndani listened aidia kuwakutanisha mashabiki na kuwaunganisha na Kati za wanachama😊
Eddo anaonekana wa kawaida kwa sababu kawekwa meza moja na na mashabik mandazi sio wachambuz ,ile combination ya wakina shafii dauda, eddo na wenzake ulikuw uchok kuwasikiliza unataman waongezewe mda wa kukaa hewan, sasa huu utumbo unao ongelewa hapa ata sio uchambuzi huu ni ubishi wa vijiwen tena kwa watu wasio lijua sola. Kuiga sio dhambi wafatilien clouds mjifunze wako very smart wale jamaa kwene uchambuzi
Mbona cjakuelewa hapa una maana gana hizo 9 kwa buyu ni kitu gan kama ni magoli ni tim gani ilifunga? na ni tim ilifungwa? na ni mwaka gani? nifahamishe nami nijuwe
Wasafi mko na mtu kama eddo ni mchambuz kwelii tumemjua toka kitambo na anajua mpira lakin huyu Oscar Oscar na babalevo hapo Amna kitu hakuna wachambuz hapo😂😂😂 toeni hao watu tafuten watu wa kukaa na eddo meza moja tusikilize uchambuzi
Sasa Maraa paah mangungu mkutano mkuu kamleta Mayele si ndo atapewa hati miliki ya club kama alimleta manzoki akapewa u chairperson kwa mayele akitua tu kwenye mkutano mkuu hati anakabidhiwa
Subirini aletwe Mayele kwenye mkutano mkuu ili mumkabidhi mangungu 🤣 hati miliki ya club kabisa .....Mara utasikia bwana try again ndo mkurugenz wa kudumu huyu mshazoea kupangwa pangwa kwenye mkutano yenu ya club drama kibao ....mnawez ambiwa wamemteka eng Hersi Kawa rais wao madunduka wakapiga na vigelegele 🤣🤣🤣
Wewe babarevo bado hujui mpira kwanza wakati simba inamfunga yanga ulikuwa bàdo hujazaliwa mwaka2012 yanga alipigwa golitano wewe ulikuwabado unanyonya
Wee kumbe kubwa ujinga kwani wee akili yk unazani yanga, simba ndo ilifungwa 9 kipindi cha kwanza,mapumziko awakurudi uwanjani. Soma viziri hiyo history.
Wee yanga huwezi kutwambia eti mbumbuu waalaah utawakuta kwako nabakora ila simba walikubali kuitwa hilo jina yanga hawatiki ujinga siku moja nilimsika mzee wa kilige anamwambi arajige huu andelea kutufanyia vituko uwajani ipo siku utatukuta kwako refaa akaona mh hawa wameaza watafanya kweli sasa hivi kanyooka kidogo
Baba levoooooooooo unajua kumnyosha Oscar hadi raha
😂😂😂😂😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
nakupendaga bure baba levo hao simba ni washamba mlikua amjui jamani
Mna mashabiki mpaka wachambuzi mashoga wanajitangaza wapate wateja wa mashoga, mtajitangaza sana, wateja wa ushoga na usenge wako yanga,
Baba levo anaweza siku akawa msemaji wa yanga, kama unaamini gonga like
Ela baba levo bwana anawakela
Baba levo zawadi yako🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Utabaki kusema ukubwa wa Simba lkn hama kitu
Mbona mmesahau yanga muchukua mombe Afrika mashariki na kati1993
Hahahaha hatutowaamisha kwenye hii Nchi mtahama wenyewe tena wengine asubuhi wengine usiku usiku wa manane 😅😅😅😅😅
Wengine asubuhi wengine usiku usiku wa manane😂😂😂😂😂😂😂😂
Usiku usiku wa manane😂😂😂😂😂😂😂😂
Wazee wa yanga ndiyo wa kwanza walitaka kuaandamana kwenda ikulu kwa mama yanga washampiga muamuzi kwanini mnawalaumu wazee wasimba wakati wayanga ndiyo wameanza
SIMBA HAINA UKUBWA WOWOTE MBALI NA KUWASHA MOTO VIWANJANI, YANGA ANAJIVUNIA MAKOMBE NA USHINDI ..AHLY AU MAZEMBE WANAJIITA WAKUBWA SABABU YA MATAJI AFRIKA...SASA MIKIA FC MNAJIITAJE WAKUBWA KWA KUISHIA ROBO FAINALI TU! WAKATI YANGA KACHEZA SHIRIKISHO FAINALI NA HAJITAPI KAMA NYIE MWAKAROBO FC??
Oscar kazi ipo❤❤❤
Nataka kujua saa ya hichi kipindi jamani nakipenda sana
Ushamba tu HV ulishawahi ona ulaya wanafanya Mambo ya kipuuz Kama haya?mwafrika hasa watu wa yanga hakuna mwenye akil hata mmoja,wote wanatakiwa wapelekwe mirembwe
Sawà babaako ndio mwenye akili
Waooooooooooooooooooo mwambiye muraji nimuraleo murajanakalanini uuuuuuuuuiiiiiiiimunalia naLefa Simba ingefungaje?????🏐🏐🏐
Yanga wapo kibiashara zaidi
Ndo man mashabik wa simba wamepewa tunzo wanajitamvua utofauti ndo uo wasio jitambua na wanaojitambua
Mngejitambua mnhevunja vit mmpewa tunzo ya kujaza uwanja sio tunzo ya ustarabu nyauba wewe
Mngejitambua mnhevunja vit mmpewa tunzo ya kujaza uwanja sio tunzo ya ustarabu nyauba wewe
Ushamba broo umeiona Timu kubwa duniani wanafanyia ujinga huo..shinda Nena zako unampotezea Nani muda?
Oscar kaumia sana Simba kufunga hooo
Tatizo Ni Ubunifu Simba Hawana
Siyokama Hawapendi Wanachofanya Yanga Hapana
Walipeleka Vibegi Mlimani Waka zindua WhatsApp Ndiyo Ubunifu Wao
Tatizo Simba Mipango thabit ya Kwenye kamati za Hamasa. Hamasa za Yanga ndizo zilizoifikisha hapo ilipo ikipofikia. RAHA KWA YANGA MPAKA 2025 wakati tunafanya uchaguzi wa MADIWANI, WABUNGE NA RAIS. kuwa Yanga ni Raha Sana
Ila bb levo unajuwa kumkera Mzee wa kaliua😂😂😂
Baba levo anaota anakunya
Tabu,leeeree,raaaha
Ushamba shambani kwetu Unyamani hivi vitu vya kawaida sana Kuna Tim champion luige kala Saba wiki lkn umetuona wapi tukiimba na Kuna Tim itakula kumi lkn kimyaaaa hauwezi tuona kelele
Pole inawezekana ulifunga mtu 7 lakini huna furaha
Wanatutia Aibu yanga
Simple Simba hawana ubunifu
Na 2012 je walifungwa ngapi 5-0 na je 5-1 5-0 ipi ina mata hapo na 2-1 kipi kinaumiza ,mtulipe 5-0 kwanza ndo muanze kupiga mikelele yenu
Kitu wanachokifanua yanga hamjui yanga wanafanya biashala ukiwa juz watu wamekunuwa supu ila wanachama wangap wamepata Kati za wanachama! Good aidia Ni mpka ya also a ya kutafuta kwaaajili zako na kuwashawishi kua na Kati za kidigitali ila kuondoka usafili inabid time zangu ziiihe huuu ndani listened aidia kuwakutanisha mashabiki na kuwaunganisha na Kati za wanachama😊
Eddo anaonekana wa kawaida kwa sababu kawekwa meza moja na na mashabik mandazi sio wachambuz ,ile combination ya wakina shafii dauda, eddo na wenzake ulikuw uchok kuwasikiliza unataman waongezewe mda wa kukaa hewan, sasa huu utumbo unao ongelewa hapa ata sio uchambuzi huu ni ubishi wa vijiwen tena kwa watu wasio lijua sola. Kuiga sio dhambi wafatilien clouds mjifunze wako very smart wale jamaa kwene uchambuzi
Kwani Osca tim gani
😂😂😂😂 baba levo jamani ni ww tuuu huwa unanifanya niifatilie hiki kipindi
Je Mihogo
Sisi ndo yanga
Huyo eddo mnafiki sana waliitwa Wala mihogo hatukuwaona kwenye majumba yao
We ndo hamnazo
Faya iifo. Kabisa. Mwanaichi. Safii.
Ila Baba Levo anasumbua khooh, Sasa huyu ndio awe msemaji 😂😂😂 balaaa tupu
Yanga wanatia haibu
Ahaaaaa safi kumbe tunasherekea mpaka mwaka mpya powa
Na kweli tukichukua ubingwa wa CAF
champion tunawahamisha makolo wote
Unafikiri lile ni kombe la matako ya looser cup
Simba kaangalie vikombe pale kwenye makumbusho
Raha ya ushabiki ukere weeee 😂😂😂😂 sio ty ukere yani umkere mtaniii
Baba levo bwana sikupendagi ila keo umenifurahisha😂
leo jamn nimekua wa kwanza .
sasa mbona mnajiita Mabingwa wa ki historia wakati historia Hamuitaki
Ya kale hayanuki
Usitupangieee🤣🤣🤣🤣🤣
Mbona Simba ilisha fungwa na yanga 9 -0
Baba levo kasomea wapi mambo haya jamani ushikaji kwenye kazi za kiufundiiiiiiiii
Oscar akimwangalia baba levo anatamani amnyamazishe ila basi tu
Oscar bwegeeee😂😂😂
Safi sana Edo
Na bado mtaona mengi kwa yanga hiii
Kwakweli ata atujazaliwa woiiii atuelewi iyo bana wakubali tu5
Wasiwaumize vichwa limbukeni utamjua kwa tabia zake
Kwani huko zamani hakukua na mashabiki?
Fanyeni yenuuu furahieni kibevuu
Shida tano moja wamefingwa akina Manula.Chama,Miqison,Inonga,Ngoma,Kapombe,Shabalala,KKanuti,Saido. hizo za kwenu mliwafunga akina Joshua😀
😅😅😅😅😅
Baba levo anakera sannah
Mbona injinia aliwatukana walichukua uamuzi gani?
Huyu baba levo Hana nidhamu kabisa
Adela ongea basi sauti yakooo!
Kiukweli yanga inamashabiki machizi kweli 😂😂😂😂 yani wanaprinti mabango ndo mtajua hamjui
Tumia azuma
Hujui kua shabiki wa mpira ni chizi???
Hivyo wanavyochukia sisi tuxidishe kuwaudhi
Kumbe Oscar simba
Yanga 9 vs o Simba
Namaanisha kwamba kama kweli wana yanga pamoja na huo baba levo wana akili histolia au histoles ni nn
Oscar mbona macho ty yamemtoka sana 😂😂😂😂😂 tabu lele
Oscar anataman kumumeza babarevo😂😂😂
Yanga washamba malimbukeni duniani matimu makubwa hawaweki mabango Simba imemfunga yanga 6 had 5
Kuhusu zilipendwa ht ss tuliwapiga 9kwa buyu, kwa hiyo usilete ukale kaa kwa kutulia.
Mbona cjakuelewa hapa una maana gana hizo 9 kwa buyu ni kitu gan kama ni magoli ni tim gani ilifunga? na ni tim ilifungwa? na ni mwaka gani? nifahamishe nami nijuwe
@@kisomekiguwa3706 mwaka 1974 yanga ilimfunga simba goli 9.
Kila mtu ana siku ya kuzaliwa, Kuna wengine wanasherehekea lakini wengine hawana muda
Baba levo mchokozi sana yaani Oscar anatamani kummeza ila hawezi tu
WEWE MBONA USEMI WA MIOGO
Mzee wa kaliuwa naungana na wew
Piga spana baba levo tupo nyuma yako😂
Wasafi mko na mtu kama eddo ni mchambuz kwelii tumemjua toka kitambo na anajua mpira lakin huyu Oscar Oscar na babalevo hapo Amna kitu hakuna wachambuz hapo😂😂😂 toeni hao watu tafuten watu wa kukaa na eddo meza moja tusikilize uchambuzi
Oscar kuwa muwazi tu kama baba levo kuwa ww ni shabiki wa Simba
inaonyesha ni jinsi gani utopolo mlivyo washamba wa kumfunga mtani wenu goli nyingi ... 🤣🤣🤣🤣 inaonyesha mlibahatisha na hamtakuja kushinda goli 5 tena
Oscar kuna muda nakuelewa lakn leo unaniboa
oscar amenifanya nicheke et😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Mokolo wao ata ukiwaletea picha ya manzoki wanakupa uenyekiti😂😂😂😂😂
Sasa Maraa paah mangungu mkutano mkuu kamleta Mayele si ndo atapewa hati miliki ya club kama alimleta manzoki akapewa u chairperson kwa mayele akitua tu kwenye mkutano mkuu hati anakabidhiwa
Baba Lev0 hapo studio" Nimtangazaji au shabiki wa Yanga? Kama ni Shabiki amuoni sio sawa, Kwa nini upande wa pili auna mwakilishi? Kituo mjitathimini
Mapua unabanduliwa
Sisi Simba hatuna uswahili wa kishamba uwo
Chupi no.2 ww
Ndo mana mnaletewa manzoki kweny kampeni na mnajaa king,,😂😂😂😂😂 kwel nyie makolo
Subirini aletwe Mayele kwenye mkutano mkuu ili mumkabidhi mangungu 🤣 hati miliki ya club kabisa .....Mara utasikia bwana try again ndo mkurugenz wa kudumu huyu mshazoea kupangwa pangwa kwenye mkutano yenu ya club drama kibao ....mnawez ambiwa wamemteka eng Hersi Kawa rais wao madunduka wakapiga na vigelegele 🤣🤣🤣
Huyu baba levo ana akili ya kuku au ya bata?
Kuchukuwa kombe 1993
Wewe babarevo bado hujui mpira kwanza wakati simba inamfunga yanga ulikuwa bàdo hujazaliwa mwaka2012 yanga alipigwa golitano wewe ulikuwabado unanyonya
Fully sherehe 😂😂😂😂
Pia langu sikio ningekua nalipia ndo nisikie babalevo leo unge nilipa helayangu kwasababu ku amuda unakuwaga boa kabosa
Hahaaa Wewe Unachuki Hufai Kuwa Mtu Wamichezo Huna Sport Hujuwi Kwasababu Unachuki Na Chuki Haileti Haileti Furaha Oskara
Kipofu kuona nuru. Man City aliyezoea kufunga kila siku eti afanye sherehe ya kunywa supu, ni kichekesho sana.
Chupi ww tulia hapo hapo mpaka utakapojitambua
Wakat mnabandika stika mji mzima tuliwaacha sasa acheni tuweke bango na zitakaa kila mahaliii😅😅😅
𝘿𝙪𝙣𝙙𝙪𝙠𝙖😜😜
Wewe ulitaka wale ng'ombe wakatupwe wasiliwe au wakafugwe, zwazwa kweli ww
Ivi kakakweli wanayanga munabakili histolia ni nn Kwa kiswahili au keakizungu
Hii ndo yanga bado amjasema
Mm mwafrka siwezi iga ulaya kaaba ww rahazngu zinausiana nn naulaya ww shoga nn yanga sio timu yakuiga nitimu yakuigwa mkia ww unaumia
Eddo unachmabua kimahaba Linda ugali wako sio hadhi ya mpira
Ninachokiona kwa yanga ni ushamba Tu
Mshamba ni wewe...acha watu na hela zao wale bata...kwenu hela hazionekani wanakula wenyewe😂😂😂😂😂
kwani huyu babakevi hajamzalia...
Yani unataka kutuambia kwamba hatujafika robo fainali au fainali uliona hili linajitokeza hapa tupo kwenye utani nyie machiz kweli
Ndo maana wanaitwa utopolo,hata walipochukua mapinduzi waliandamana
Kama unaumia tumia azuma kama huumii tulia
Kimewakuta huko sasa
Acheni wachapishe lakini wachapishe na yale yakutoingiza timu uwanjani
Wee kumbe kubwa ujinga kwani wee akili yk unazani yanga, simba ndo ilifungwa 9 kipindi cha kwanza,mapumziko awakurudi uwanjani. Soma viziri hiyo history.
Yaan hyu naye hajui kitu simba ndo waliogopa kurudisha team uwanjani alaf useme yanga tutachapisha na bango ambalo tuliwabeba makolo wasishuke daraja
Wee yanga huwezi kutwambia eti mbumbuu waalaah utawakuta kwako nabakora ila simba walikubali kuitwa hilo jina yanga hawatiki ujinga siku moja nilimsika mzee wa kilige anamwambi arajige huu andelea kutufanyia vituko uwajani ipo siku utatukuta kwako refaa akaona mh hawa wameaza watafanya kweli sasa hivi kanyooka kidogo
Wapi mbona mliitwa Wala mihogo mlichukua action gani acheni unafiki
😅😅😅😅😅tutawaaminishia