#ZaNdaaani
HTML-код
- Опубликовано: 13 июл 2023
- www.youtube.com/@Wasafi_Media...
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm - Спорт
Mzee wa kidere Brother mpaka kukuelewa inabid kutulia sana Big up
Nimecheka sana leo viongozi kusikia jangwani wamepagawa
🎉🎉🎉🎉🎉🎉ila nyie jamaa Mungu anawaona
Hapo rikado habari zako za ndani saivi siziamini nyingi unafeli saiv zamani kweli ulikua unatupa za ndani Ila saivi nawewe unachukua tetesi tu. Unazitumia. Hilo la chama Fanya utafiti tena
Daa yani nyie mnanipa rahaa sana aswa bwana mkubwa ukisikia tu Zandaaaaaaaniii ujuwe kunajambo mawili liwezuri kwetu yanga au liwe baya lakini hiili la jangwani kwetu zuri kila la kheri kwenye kazi yako inshaaala iko siku nitakuona usokwa uso
Hahahahhahahaaaa mwachen maslah yake maana hata Kwa Fei mlisema hivohivo na mchango mkachangiaa😂😂😂😂
Mmenifurahisha sana Kwa mjadala mpana huo
Ila we jamaa unjua kufukunyua mambo haahaa😂😂😂
Namkubari mzeee was zandaniii na kweri kweriiii
Yaaan kwa usajili wao tuu naona hawa pumui vzr
Eti,'lakini siyo modern taarabu'😂😂
Jamaa anajua sana kudadavua
Hapo sioni hoja coz contract arleady signed so ingekue hana mkataba asingekuw kweny sintofahamu so kama kuna timu inamtaka iweke ofa mezani na ivunje mkataba
Hahahah kuimba kupokezana... Si mlifurahiya ya fei.. Leo zamu yenu😂😂😂😂
Anavunja mwenyewe
@@akleidesideri7996 Mkataba una kipengele Kama wa Fei, asipo ongezewa haya anayotaka atasepa!!!
Chama anaitaka furaaha nafuraha ipojangwani wadau mnasemaje
Ni km unaota vile!
Aya tena wale wakudakia mambo ya watu na michango kuchangishana..kuleni chuma hikooo
Muongooo sanaaa ww alafuuu unapagawishaaa tuuu mashabiikii ww
Hana jipya huyu, kwani cha ajabu nini hapo
Fabrice luamba Ngoma huyo
momo kk umetish ap kweny saud arabia kosh ip kweny jangw 🤣🤣🤣🤣🤣🤣dah
Tafta njia ya kutafta helaa wew mshambaaa
Mwongo mwongo huyu dah!😂😂😂
yani kama ni chama basi nasi uongozi wetu utakua nao umeanza kukengeuka yule akija yanga ndio atacheza vizuri na atafanya makubwa ila kiukweli yule keshachoka umli umeenda afu anakiburi
Kama ni kweli nitakunywa flyingfish bariiiiiid walivyokuw wanampamp fei sasa yamewageukiaaa😅
Key and popote
Semaji la Caf Ahmed Ally
Mchezaji Chama
Chama
Ila kuna interview 1 Chama alisema anamuonea sana wivu Morrison...anafuraha mno...huyu Mwamba anaitaka YANGA.
Muruson uyo ila me simkubali ata kwakweli
Chama huyo
Zingekuwepo lak 2 wasingeokoteza uko uswahilin wachezaj walioachwa.😀😀😀
Huyo ni John Bocco😅😅😅
Ricardooooooo utawauaaaaa daaaaaah!!!! Hataeeeeeee waambieeeeeeeeeeeee!!!!!!
bado tumsubiri babalevo na zake za ndani jana na leo
Chama aondoke tumeshabmchoka yeyevnani bana nw muangalie pacome tukimtarajia
Asasa uyo mwamba akiondoka kuta kuwa na timu au kikundi cha masela
Jamaaa liongoooo
Momo hua unanifurahisha sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Hahahaha sema momo miyeyusho sana wewe eti wasoud wanaoishi jangwani
Chama anataka ufalme wake na kaona watu wa nguvu wamekuja..asepe
Aende tu kwani yeye nan
huyu mpeni kazi ingine hana jipya
huyu mwamba ilikuwa simuelewi ila toka alipoiyanzisha ishu ya Feisal na halaf akaja kuifunga WALLAH NIMEMKUBALI ANACHOKIONGELEA
Kama Ni chama sawa kuondoka akuna atakacho ongeza Simba
Ngoma huyoo
Karibu yanga chama😂😂
Haina haja ya mchezaji huyo.
Hizo Dola laki 2 😂😂😂😂
😂😂😂😂😂momo hatriii
Unamuongelea nani mafumbo sasa ongea kiume weka wazi mbn unakua muoga
Code ime funguliwa alipo tajwa semaji la CUF.
Huyu mayele , jamaa msengelema sna
Daaaaah Yanga tamu jaman
Hii ime enda nime iangalia x3. Mpaka sasa na comment yangu ya pili
Jumatatu yeye baleke onana na Ngoma wote wanelekea uturuki na Luis Miquissone pua😅😅😅😅😅
Ww likado momo utawatoa watu loo kaka acha izo bhana watakuloga kaks
Huyo muongo sana
Jamaa anachekesha sana , wasaudi wa jangwani no wapi hao
😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂hiyo imeenda
Moses phili 🔰
Momo haswa mbea😂😂😂😂
Momo senge tuui ndo maana mke wako watu wanatomba
Mwanamke kawaida t mbona ayo mambo ulitaka uliwe wew sas
Mayele huyoo kasepa
Uyo chama ata akisepa asepe tu
Leo umechamba
Kipindi kwenye TV huwa siku gani na nisaa ngapi? Tafadhali kufahamishwa
Chama niwakawaida sana ck iz wapo wachezaji wengine wanacheza Zaid wake
Mmeanza kumkataa kisa tetesi
Sikia chama ameanza kusema ivyo mapema kabla ligi aija Anza ili aongezewe mshahara mapema Mana ana ona namba anaenda kukosa kabx
Chama tumemchoka AONDOKE tumemchoka maneno mengi aondoke timu kubwa inawachezaji wengi wazuri yy aende some Simba kubwa kuliko yy aondoke hata kesho asepe tuuuu
Fala wewe
Hatumuuzi
Chama ni nani aisee mkumbuke Simba ni kubwa sana aondoke saivi hana jipya.
Mmbwa nyie Leo simba kubwa kuloko chama wakati chama alikuwa mkubwa kuliko kocho yeyote
HUYU JAMAA NIMIONGO SANA
Ngoma😂
Ngoma 😂😂
Baleke
Ah😂
Momo 🙌🙌🙌😆😆
Utatoa watu roho ww😂😂
😂😂😂😂😂😂
We ni shabiki wa yanga huna jambo
Msuva
Dube huyo
Nitakuzarau asipoenda yanga
😂😂😂😂😂😂 ya leo kali
SASA SIMBA KWANN MSIMMALIZIE CHAMA? TAFADHALI MSIMPOTEZE MALIZANANAYE JAMANI ABAKI SIMBA.
Akidai tunafurahiiii😅
unakula bundle za wana
Mchukueni asee Tulifanya vizuri bila UWEPOWAKE hata mwenzie misim yote kaondoka na bado tunafanya vyema SIMBA ni kubwa kuliko yeyoteee
Asepeeeeee
Chama kama Manara tuu
Kramo huyo
RAHAAAAAAAAA
tumemchukua mkude yupo kama choko ....tusichukue wachezaji kwa mihemko
Momo 2 nakufatilia ila wewe una una u yanga sn
Wasenge nyie iv mmekosa lakuongea iv kunamwaka ambao yanga awajawai kumsajli chama kwenye mitandao achen ukuma nyie
INAWEZEKANA UKAUJUA MPIRA LAKINI UKAWA HUJUI JINSI YA KUUONGELEA.
😂😂😂 milakiii
Momo nawe muongo muogo tu
Ela ya kumpa chama IPO ila yakumuongezea mayere akuna? Bongo bahati mbaya
Balele
Haaaaahaaaaa
Tunawajua mnapewahela kwaajili ya propaganda kuuwa inshu ya mayele kuondoka yanga
hahahahaha
Mchambuzi wamchlngoooo😂😂😂
Momo 😂 hataree
Hizo zimewashinda kumpa Mayele
Kwaiyo we unataka kusemaje 😂