KIKOSI KINASAFIRI LINI KWENDA ALGERIA?/MSIKIE SEMAJI AHMED ALLY AKIELEZA MIPANGO YOTE YA TIMU

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 3 дек 2024

Комментарии • 154

  • @agripinaapolinary1362
    @agripinaapolinary1362 18 часов назад +9

    Mungu awatangulie mashujaa wetu mfike salama,na mkapambane Kwa jasho na damu tupate ushindi mnono AMINA

  • @MahaSaeed-hf3gs
    @MahaSaeed-hf3gs 18 часов назад +9

    Mungu ibariki team yetu wasimamie wachezaji wote na makocha wetu na bechi lote la ufundi

  • @AsadAlly-f6w
    @AsadAlly-f6w 17 часов назад +6

    Simba yetu .....ALLAH afanyie wepesi .. INSHALLAH

  • @shakilakasilo9286
    @shakilakasilo9286 19 часов назад +11

    Namuomba allah awape afya njema inshaallah viongozi pamoja na wachezaji wetu inshaallah

  • @GidionMangazini-c9t
    @GidionMangazini-c9t 19 часов назад +7

    Unyamaaaaaa ❤

  • @AbelyTanganyika
    @AbelyTanganyika 20 часов назад +7

    Mwenyezimung awatangulie naipenda simba

  • @richarlsonkeane8412
    @richarlsonkeane8412 20 часов назад +7

    Simbaa oyee!!!!!

  • @JILBERTDaniford
    @JILBERTDaniford 19 часов назад +5

    1:Tunaomba okejepher aachwe AJE MTU mwenye UWEZO NAMBA 6 Ili Fernandez apande KWENYE NAMBA 8 AKE asilia. Kwa NAMNA hiyo mtaona pas hatari za Fernandez. Atachagiza kushambulia.
    2: Ngoma aachiwe Ili tupate MTU MWINGINE WA KUJA kucheza NAMBA 6 pia.
    3: mtale abadilishwe dilisha dogo ASAJILIWE MTU mwenye kitu.
    4: nafasi ya AYUBU aletwe striker wembe la MAGOLI zaidi ya kina ATEBA
    5: tuleteeni Feisali salumu abdallah.

  • @AloyceVictor
    @AloyceVictor 16 часов назад +3

    Simba nguvu moja🦁🦁🦁🦁💯💯💯💯❤️❤️❤️❤️

  • @MrishoHarun
    @MrishoHarun 14 часов назад +3

    ALLAH aijalie timu yetu ikapate ushindi simba nguvu moja.

  • @IssaJuma-o2q
    @IssaJuma-o2q 19 часов назад +4

    Mungu ibariki simba

  • @MarianaTairo
    @MarianaTairo 20 часов назад +5

    Simbanguvu moja❤❤

  • @AngelaMatiya-n3t
    @AngelaMatiya-n3t 7 часов назад +1

    Kila lilonjema Simba yangu❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @tumaini37
    @tumaini37 12 часов назад +1

    All the best Mnyama wetu, wishing us ushindi mneneee❤❤❤❤

  • @JosephMagodi-x2s
    @JosephMagodi-x2s 17 часов назад +2

    Simba nguvu moja ...🎉 ........mungu ibariki simba

  • @OswardBonitus-h7m
    @OswardBonitus-h7m 20 часов назад +9

    Wanasimba tunasimama nawewe semaji letu la caf

  • @CHEED_FAZY_CLASSIC
    @CHEED_FAZY_CLASSIC 19 часов назад +5

    🎉🎉🎉🎉simba is my favourite 🎉

  • @karimpeter3107
    @karimpeter3107 17 часов назад +2

    Kila laheri Simba nguvu moja 🦁🦁🦁💪💪💪

  • @Mchugatheogy66
    @Mchugatheogy66 20 часов назад +6

    Nasubiri kwa hamu kusikia hii taarifa🙏🔥🦁🦁

  • @ibrahimalharthi4599
    @ibrahimalharthi4599 17 часов назад +2

    Simba yetu kidogo ongeza spidi umahiri wa hali ya juu kwa vipindi vyote viwili na Mungu yupo pamoja nasi INSHAALLAH

  • @CharlesMwazembe-u3p
    @CharlesMwazembe-u3p 19 часов назад +5

    Tupo nawe we kipenzi chetu❤❤ semaji retu ❤❤

  • @DavidNgowi-y7g
    @DavidNgowi-y7g 18 часов назад +3

    Mungu bariki Simba yetu

  • @ErickDamian-g3l
    @ErickDamian-g3l 17 часов назад +6

    Ubaya ubwela kama unamkubali semaji la caf like hapa

  • @FrancisCheyo
    @FrancisCheyo 18 часов назад +2

    Sawa 🎉🎉

  • @SamsonSamsoni-q9s
    @SamsonSamsoni-q9s 20 часов назад +5

    👏👏👏👏👏👏👏👏 Semaji la Caf 👏👏👏👏🙏🙏🙏

  • @kassimomari4786
    @kassimomari4786 15 часов назад +1

    I love you simbaa❤❤❤

  • @IzackfanuelMniko
    @IzackfanuelMniko 20 часов назад +4

    Mungu aitangulie simba yangu irudi na point 👉👉 3- amina

  • @MalickMoshi
    @MalickMoshi 20 часов назад +5

    Simba nguvu moja

  • @ikulunimahalipatakatifu7642
    @ikulunimahalipatakatifu7642 19 часов назад +4

    SIMBA KAMA SIMBA NGUVU ILE ILE MOYA!!!

  • @SamwelMakoye-x7j
    @SamwelMakoye-x7j 7 часов назад

    Msimbazi ni Unyama unyamai, Simba nguvu Moja yaan ni ubaya ubwela, mashabiki wa Simba tuzidi kuiombea timu yetu mungu ibariki Simba kwa michezo yote ya kombe la shirikisho na liku kuu amen

  • @ayubukiuya669
    @ayubukiuya669 20 часов назад +4

    SIMBA NGUVU MOJA 🦁

  • @MashakaRamso
    @MashakaRamso 19 часов назад +5

    Point 6 ni muhimu mungu atufanyie wepesi

  • @AsifiweSindila
    @AsifiweSindila 20 часов назад +5

    Sawaaa

  • @clemencekomba5072
    @clemencekomba5072 12 часов назад +1

    Fly higher simba

  • @VeronicaJohn-l5s
    @VeronicaJohn-l5s 14 часов назад +1

    Mwenyezi Mungu awabariki muwe na safari njema

  • @zydJm
    @zydJm 20 часов назад +3

    ⚽🔥♥️

  • @salimmnzava1883
    @salimmnzava1883 18 часов назад +4

    Mungu ibariki simba mungu ibariki Tanzanian

  • @MathewConstantine
    @MathewConstantine 20 часов назад +9

    Simba wanaumeeeeee❤❤

  • @EdwinKabasa
    @EdwinKabasa 18 часов назад +2

    Simba Nguvu Moja

  • @Blozz-be
    @Blozz-be 19 часов назад +3

    UBAYA UBWELA ❤❤❤❤❤❤

  • @benjaminmwesongo3758
    @benjaminmwesongo3758 19 часов назад +3

    nguvu moja semaji la Caf

  • @aminahhuawei1133
    @aminahhuawei1133 19 часов назад +6

    Mungu ibariki simba yetu tuweze kushinda❤❤❤ ameen

  • @SmilingDolphin-xg2kd
    @SmilingDolphin-xg2kd 11 часов назад +1

    Mungu ajalie ushindi simba yetu

  • @zuberymussa8778
    @zuberymussa8778 20 часов назад +3

    All the best lunyasi

  • @Lihaya04
    @Lihaya04 17 часов назад +2

    ❤❤

  • @barackmoses7003
    @barackmoses7003 16 часов назад +1

    Mungu akutangulie pamoja na timu kwa ujumla

  • @AminaMkumba-u3z
    @AminaMkumba-u3z 18 часов назад +7

    Mungu ibariki timu yetu,na Boss Mo,Semeji wetu❤❤❤🎉🎉🎉

  • @tawaqalmuniss2902
    @tawaqalmuniss2902 19 часов назад +6

    Nyuma mwiko wameanza kutoa milio uko semaji

  • @ARROWSTAR2024
    @ARROWSTAR2024 18 часов назад +2

    Mungu awape nguvu na afya

  • @Mchugatheogy66
    @Mchugatheogy66 20 часов назад +5

    🦁🦁🦁🔥🔥🙏🙏 bless Simba

  • @TerengoLaizer-h7p
    @TerengoLaizer-h7p 11 часов назад +1

    Mungu awatangulie na mradu na ushind mnono ubaya ubwela

  • @AndrewAristaricko
    @AndrewAristaricko 19 часов назад +4

    Ubayaaaa ubwelaaa

  • @majaliwaJumbe-123
    @majaliwaJumbe-123 9 часов назад +1

    Simba nguvu Moja ubaya ubwela 💙♥️🤍

  • @TriciaSambo
    @TriciaSambo 20 часов назад +8

    jaman ila ukweli latiba ni ngumu ikiwezekana tu zingine zivushwe wachezaji sio roboti itatugharimu

  • @NyamhaniPeter
    @NyamhaniPeter 19 часов назад +4

    Maelezo ya Kagoma yapoje mara kapona mara Bado majeruhi. Lini anarejea

  • @SamwelMakoye-x7j
    @SamwelMakoye-x7j 7 часов назад

    Mungu aitangulie timu yetu kwa ujumula, mungu awape wepesi wachezaji wetu na uongozi wetu, semaji letu uko vizir mno tuko pamoja nawe

  • @Noelyptrck
    @Noelyptrck 13 часов назад +1

    Mungu awatangulie chamade langu

  • @salumutaida9452
    @salumutaida9452 19 часов назад +2

    Ushindi mwembamba alafu Tambo nyingi wakati uouo walitupelekea moto kipindi cha mwisho ilitakiwa kusahau na kujiona Kama tumepoteza ili kuongeza spirit ya kujituma

  • @EziraKagomba
    @EziraKagomba 9 часов назад

    Mungu ibariki Simba ifike salama

  • @JILBERTDaniford
    @JILBERTDaniford 19 часов назад +2

    NB : FERNANDEZ ATAFANYA ZAIDI KILE KIWANGO CHAKE CHA JUU AKICHEZA NAMBA 8 SIO KUKABA.
    TAFTENI NAMBA 6 WAGUMU 2 ONDOEN HAO NILIOWATAJIA.
    MTALE KAMA MKIONA UGUMU KUMWACHA KWA SASA ASUBILI DILISHA KUBWA

  • @Daudi-b3s
    @Daudi-b3s 18 часов назад +3

    Viingirio wanatangaza wakisha rudi Algerian

  • @boazondiegi2838
    @boazondiegi2838 9 часов назад

    Simba nawapenda sana tumu yangu damu❤

  • @AngelaMatiya-n3t
    @AngelaMatiya-n3t 7 часов назад

    Mungu awatunze msafiri salama mrudi salama, pia mkirudi na ushindi mnono mungu naomba isikie duayangu

  • @fatumasaid558
    @fatumasaid558 20 часов назад +27

    Semaji atanqaze vinqilio mapema zidi ya mchezo wa tarehe 15 nyumban iliwatu waanze kujaza uwanja mechi iliyopita uwanja haujajaa

    • @hawasafiki522
      @hawasafiki522 19 часов назад +6

      Kweli kabisa

    • @shakilakasilo9286
      @shakilakasilo9286 19 часов назад +3

      Mashaallah umenena

    • @fatumasaid558
      @fatumasaid558 18 часов назад +2

      Unajuwa mda hatoshi maana waondoka kesho wanarudi tarehe 10 yaan kutakuwa nisiku 4 zimebaki siku ya 5 ndio mchezo unachezwa hatuwezi kujaza uwanja kwasiku 4 mdahuu ndio wakutanqaza vinqilio

    • @SamaloveOg
      @SamaloveOg 17 часов назад +1

      👏👏👏 kweli kabisa

    • @NeemaMushi-wj1zn
      @NeemaMushi-wj1zn 17 часов назад +1

      Kwa kwel

  • @boazondiegi2838
    @boazondiegi2838 9 часов назад

    Mungu aibariki simba

  • @KhamisAlawi-n1k
    @KhamisAlawi-n1k 8 часов назад

    Semaji kwevile mmeshajua kua baridi IPO juu, kwa ushauri tu, itabidi wachezaji kabla ya kuanza mechi wanywe tangawizi ya moto, ili kupinguza ukali wa baridi, hii nadhani itawasaidia, Kila la kheri Simba nguvumoja💪💪💪

  • @JenniferBahaty
    @JenniferBahaty 9 часов назад

    Mwenyez Mungu awatangulie ktk hy safar

  • @Josephtibu-l9e
    @Josephtibu-l9e 20 часов назад +4

    MUNGU IBARIKI SAFARI YENU YA KUTOKA TANZANIA 🇹🇿🇹🇿🇹🇿 2 ALGERIA 🇩🇿🇩🇿🇩🇿

  • @SojaWaBrazil
    @SojaWaBrazil 19 часов назад +4

    Simba mnalaa msimu huu ilo alina ubishi ila sisi yanga tumesajili wazee ila simba kocha atawaangusha kuweka wachezaji wakubwa benchi kama mavambo na atebaaaaa

    • @SingaHamisi
      @SingaHamisi 11 часов назад

      Hicho kiswahili sasa kibovuuu eti mnalaa eti alina eti ilo du!

  • @MartinDismas-ou5oy
    @MartinDismas-ou5oy 18 часов назад +1

    Tunawaombea SSC Mafanikio mema. Wabarikie waweze kushinda.❤❤❤ Amen.

  • @GidionMangazini-c9t
    @GidionMangazini-c9t 20 часов назад +1

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉

  • @rasterwangu9708
    @rasterwangu9708 20 часов назад +2

    Mnyama

  • @patrickwatson8432
    @patrickwatson8432 12 часов назад

    Mungu awatangulie

  • @khatibramadhan8740
    @khatibramadhan8740 19 часов назад +2

    Vipi hizo billion kumi

  • @augustinoyohana7115
    @augustinoyohana7115 16 часов назад

    mungu ibariki team yetu maana wachawi ni wengi

  • @AloyceVictor
    @AloyceVictor 16 часов назад

    ❤❤❤

  • @InosMakelemo-y9z
    @InosMakelemo-y9z 5 часов назад

    MUNGU aibariki Simba SC

  • @AbdallahMoudrick
    @AbdallahMoudrick 14 часов назад +1

    Duh mbona kagoma anakaa nje mda mref na hakuumia sana

  • @ShukuruMakoko
    @ShukuruMakoko 13 часов назад

    Kwaupendo wake wapekee Yesu kilakitu kinawezekana hakunachakushindikana katika dunia hii

  • @PaschalPius-b6s
    @PaschalPius-b6s 20 часов назад +4

    Jaman me nimemiss kumuona mpanzu kwenye uzi mwekundu nani mwingine kammisi nione lek

  • @FatumaIbrahim-u5k
    @FatumaIbrahim-u5k 15 часов назад

    Tunakupenda semaji letu tupo pamoja kwenye mapambano.

  • @InosMakelemo-y9z
    @InosMakelemo-y9z 5 часов назад

    Simba nguvu zote

  • @NdeonasiaMahava
    @NdeonasiaMahava 16 часов назад

    Tunawaombea kila la Mungu awasaidie mshinde Simba nguvu moja

  • @Johnsgervas
    @Johnsgervas 19 часов назад +2

    Unyam San semaj

  • @FlansHaonga
    @FlansHaonga 12 часов назад

    simba nguv moja

  • @Stormshadow-e6k
    @Stormshadow-e6k 16 часов назад

    inshaallah 2ko pamoja

  • @OlesiyamaArikadaMollel
    @OlesiyamaArikadaMollel 15 часов назад

    Umekuwa mpole sasa maskini wa mungu bilioni 10 utazipataje

  • @mwanahidsimba
    @mwanahidsimba 14 часов назад

    Mungu awatangulie jamani mungu awasaidie mkashinde

  • @sabinanjinga7406
    @sabinanjinga7406 13 часов назад

    Ubaya ubwela huu mwaka mpaka kieleweke💫🌟✨

  • @DAWENIGENERALSUPPLIER
    @DAWENIGENERALSUPPLIER 18 часов назад +1

    sante

  • @BussigaSaid
    @BussigaSaid 19 часов назад +2

    Lipa hera za watu

  • @MeshackErnest-qt6xi
    @MeshackErnest-qt6xi 17 часов назад +1

    Bil10 msemaji inamnyima raha. B10-B3=Ubaya Ubwela

  • @jamesraphael9581
    @jamesraphael9581 18 часов назад +1

    Semaji.letu usiwe.na noma tuko nawewe

  • @jumaali9243
    @jumaali9243 17 часов назад +1

    Simba ilicheza vibaya japo kuwa tulishinda wachezaji walikuwa out of performance

  • @MwasitySaidy
    @MwasitySaidy 17 часов назад +1

    sema semaji umepona toka uambiwa B10😂😂

  • @aminahhuawei1133
    @aminahhuawei1133 18 часов назад +2

    Mungu ibariki simba yetu tuweze kushinda❤❤❤ ameen

  • @DarajaniZanzibr
    @DarajaniZanzibr 8 часов назад

    Kila la heri mungu atawasaidia

  • @HappyBuoy-mi1yl
    @HappyBuoy-mi1yl 14 часов назад

    Kila lakheri Simba

  • @japhetmbuki8166
    @japhetmbuki8166 20 часов назад +2

    Kijili mbona hatumuoni

  • @TrainerSimbeya-i6t
    @TrainerSimbeya-i6t 19 часов назад +1

    like