MASKINI Chama Ashindwa Kujizuia, Tazama Kilichotokea Akikabidhiwa Rambirambi, Mwenyewe Afunguka

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 11 дек 2024

Комментарии • 27

  • @bundalajulius238
    @bundalajulius238 3 года назад +6

    Niupendo mzuri sana

  • @justinsylvester2965
    @justinsylvester2965 3 года назад +3

    Safi Wana Simba wenzangu

  • @dottocharles2374
    @dottocharles2374 3 года назад +1

    Pole sana mpendwa wetu chama

  • @zumbeshauri8114
    @zumbeshauri8114 3 года назад +3

    Simba wana upendo mkubwa sana kiukweli hongereni sana na ndio mana wachezaji wapo tayari kubaki benchi asiende popote

    • @jacksonedward
      @jacksonedward 3 года назад

      Bechi halina sifa ,kote mabenchi yapo

  • @yusuphsege7495
    @yusuphsege7495 3 года назад

    Nawaona Maustaz wengi Sana mkichangia pia mkumbuke kuuchangia tv na Redio Imani.

  • @fedjuma7513
    @fedjuma7513 3 года назад

    Nampa pore Xana chama jeara nimpango wa mungu

  • @nicksonruwaichi3426
    @nicksonruwaichi3426 3 года назад +4

    Ni upendo wa ajabu saf inapendez

  • @yohanakomando4942
    @yohanakomando4942 3 года назад +2

    Pole jembe

  • @issasoya6051
    @issasoya6051 3 года назад +2

    Niupendo tunamfaliji pole Sana mwamba walusaka

  • @gankatangatya261
    @gankatangatya261 3 года назад

    Pol ......................

  • @yusuphramadhan6492
    @yusuphramadhan6492 3 года назад +1

    Kwel wana simba mnatoa lambilamb uku mnapiga picha kutak kuonekana

  • @hamisisaidi2010
    @hamisisaidi2010 2 года назад

    Hamisi.salim

  • @suzanaandreya1269
    @suzanaandreya1269 3 года назад

    heeeheeee anachangiwa helayakulipa kwamganga maana mzimu wamkewake alikataa kulala

  • @marymfugwa847
    @marymfugwa847 3 года назад +1

    Tupeni namba ya boko

  • @saidiauni6068
    @saidiauni6068 3 года назад

    Sote mapito chama yeye kamaliza mwendo usiwe na majonzi makali maana utakufuru muumba kila nafsi itaonja mauti by jeremia daudi

  • @latiphaabubakar1509
    @latiphaabubakar1509 3 года назад

    MUNGU akutie nguvu

  • @jacksonedward
    @jacksonedward 3 года назад

    Mmemkumbusha mbali,hamkutakiwa kumkabidi uwanjani,Hana kwake au kambini,japo ni ubinadamu,tumewaona

    • @elinamwanjela364
      @elinamwanjela364 3 года назад

      wanadamu hamkosi cha kuongea ata wangempelekea nyumbani mngetafuta cha kuongea kwa iyo acha wanasimba wafanye walivyojisikia povu inahusu

    • @issahamis581
      @issahamis581 3 года назад

      mpumbavu wewe tuwache na Simba yetu

    • @komboomar8275
      @komboomar8275 3 года назад +1

      Nyumbani si kungejaa watu kisha hapo ndio sawa kabisa umekuja kuangalia mpira ukapata fursa ya kumuona na kuwasilisha mchango wako ukisema nyumbani ni mambo ya kutumia nauli nyengine tena na pesa yenyewe ngumu kupata

    • @jacksonedward
      @jacksonedward 3 года назад

      @@issahamis581 bro mpumbavu mwenyewe,comenti yangu sikutukana wewe unatukana

    • @fausterwilliam9236
      @fausterwilliam9236 3 года назад

      Pole sana chama Mungu akupenguvu katika kipindi hiki kigumu

  • @hamisisaidi2010
    @hamisisaidi2010 2 года назад

    Hamisi.slim