Wanasiasa wanauza nchi, Dr. Ananilea Nkya, baada ya hotuba ya Freeman Mbowe,nchi inakwenda vibaya

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 11 дек 2024

Комментарии • 94

  • @RhodaLema-z8w
    @RhodaLema-z8w День назад +6

    Kongole sana dadaaang mpendwa Duuuuh uko vizuri sana Watanzania tunakuombea akulinde na akutunze ikiwezekana usiishie hapo uende viwango vingine Wawoo kweli dada umenena tumekusoma cha umuhimu ni Tume Bora

  • @faridsalehmohamed1230
    @faridsalehmohamed1230 День назад +3

    Wapinzani wengi wanafik wanaotumia wananchi kama ngazi ya kujipatia maisha bora

  • @kassimawadhi4383
    @kassimawadhi4383 День назад +5

    Mama kuongea point apewe maua yake

  • @RajabuMussa-h5n
    @RajabuMussa-h5n День назад +1

    Mama hongera uko vizuri

  • @IssaAlly-lp4uf
    @IssaAlly-lp4uf День назад +4

    Safi tuanze kuanzia sasa tukisubili miezi minne ndio uchaguzi watasema twendeni ivyo ivyo tukirudi kwenye uchaguzi tutaweka mambo sawa kumbe uwongo

    • @JosephTarimo-c5h
      @JosephTarimo-c5h День назад +1

      Mama ulijificha wapi muda wote wakati nchi inatupoteza tunakuomba uwape elimu hao wapinzani wajue wajibu wao kwa wananchi wanaowazapoti hongera sana mama mungu akubariki

    • @marieconnect6389
      @marieconnect6389 День назад +1

      Ruzuku hizo

    • @israelmpiluka-gu6vh
      @israelmpiluka-gu6vh День назад

      Huyu mama nimzalendo wa kweli hakika namuelewaga sana.

    • @EliyaPaulo-uf6hh
      @EliyaPaulo-uf6hh День назад

      Hawa majamaa hawana aibu hata kidogo ni miaka yote wanaiba uchaguzi kisha wanasema tugange yajayo,jamaa hawa kutoka inatakiwa tuwasimamie milango mwao watendaji wote

  • @mkondomkondo4721
    @mkondomkondo4721 День назад +3

    Jamani,naomba msimteke huyu mama, ni zawadi toka kwa mungu

  • @aliyageorge6794
    @aliyageorge6794 День назад +2

    Asante sana Shangazi...👏👏👍

  • @gowekogoweko5803
    @gowekogoweko5803 День назад

    NI. ANANILEA NKYA MWANAHARAKATI MAHARI KABISA. HEKO KWAKE🌹⚘️👏🏼

  • @AbdallaMwagora-sm1rj
    @AbdallaMwagora-sm1rj День назад +4

    CCM Haina nia njema imepoteza umaarufu Sasa tegemeo kuu lao ni kutumia watumishi wa umma kubaka democracy.

  • @YourMoor-px1rd
    @YourMoor-px1rd День назад +1

    KITU KINACHOSHANGAZA KWA NINI CCM INATUMIA SANA VYOMBO DOLA KUWAKANDAMIZA WANANCHI NA HAO POLISI PIA HAWAJIELEWI JINSI WANAVYOTUMIWA AU NDIYO KWA MANUFAA YAO?

  • @victorkisenha5933
    @victorkisenha5933 8 часов назад

    MAMA NAKUPENDANGA SANAAAAAAA!NATAMANI SIKU ZOTE NIENDELEEE KUKUSIKILIZA UKIFUNDISHA SOMO LA KATIBA,

  • @CosmasKavira
    @CosmasKavira День назад +3

    We ndo mama sasa,asante mama uko mia.

  • @suleimansamweli7316
    @suleimansamweli7316 День назад +1

    Wel said

  • @rasnchimbi
    @rasnchimbi День назад +3

    👇🏿
    #KATIBAMPYANISASA! #TUSIKUBALITENAKUSHIRIKICHAGUZIBILAKATIBAMPYA !Hiyo ni kushiriki Dhambi!✍️🏿

  • @MusaOgwoko
    @MusaOgwoko День назад +4

    Mama wa Taifa

  • @LemaliMeyasi-r4c
    @LemaliMeyasi-r4c День назад +2

    Dada upewe mauwa Yako upo sahihi kiukweli umeongea pointi safi sana wakina mbowe wanatukatisha tamaa hawapo imara

  • @LucianDevenus
    @LucianDevenus День назад +1

    Amekula

  • @rebekakulwa6159
    @rebekakulwa6159 День назад +2

    Jamani. Mafidiemu tunatakiwa tuyasghughulikie tuqche ujinga

  • @gaagwasaugustino2584
    @gaagwasaugustino2584 День назад +3

    Hongera mam mpambanaji Ananilea Nkya, Unaongea ukweli mama, Mungu akulinde, akutunze daima, Ameni.

  • @NgendandumweAlouise
    @NgendandumweAlouise День назад +1

    Mbona hujakemea wizi wakura na kuenguwa kwa upinzani utekaji na samia kukaa kimya kama sio rais

  • @patrinraura1397
    @patrinraura1397 13 часов назад

    ASANTE Msomi Mama.Maendeleo ya nchi yataletwa tu na Katiba mpya,lakini Pia katiba mpya ithibiti utiitiri wa Vyama ili kupata Vyama viwili vyenye nguvu kama Marekani Mfano mzuri ni Vilabu viwili vya Soka vya Simba na Yanga Pia kuruhusu wagombea Binafsi maana Tanzania tumesheheni VIONGOZI wazuri wenye uwezo mkubwa sio lazima kupitia kwenye Vyama.

  • @kwabinyanda4747
    @kwabinyanda4747 День назад

    👋👋👋

  • @suleimansamweli7316
    @suleimansamweli7316 День назад

    Well said

  • @IssaAlly-lp4uf
    @IssaAlly-lp4uf День назад +1

    Bora nasisi wapinzani tuombe jeshi la kuturinda kwenye kampeni adi uchaguzi kutoka kwenye mataifa yalioenderea tuko radhi kuchangia ili tufanye uchaguzi wa haki

  • @jerome3143
    @jerome3143 14 часов назад

    Shida watawala wamepora aki za raia

  • @JonathanTembo-f6j
    @JonathanTembo-f6j День назад +2

    Nchi hii bila vita ya wenyewe kwa wenyewe hatuwezi kueshimiana tutaendelea kuteseka sanaaa

    • @georgelyimo6067
      @georgelyimo6067 День назад

      pigana wewe na wanyumbani kwako akuna wajinga tanzania

    • @RestitutaNjau-k8x
      @RestitutaNjau-k8x День назад

      Tangu lini mtutu wa bunduki ukawa suluhu. Jifunze kwa wenzetu wa Sudan.Somalia na kwingineko. Hebu filiri kwanza kabla ya kusema

    • @sittatungu5340
      @sittatungu5340 День назад

      Kweli kabisa

  • @GadielKahemba
    @GadielKahemba День назад

    Mama una sema vema lakini tatazo lipo bungeni kwa kua wabunge ndio wanao lidhia mchakato ya kupitisha sheria na talatibu hao ndio wanao halibu.labuda ashuke mungu aingilie kati.

  • @BeatrriceMuya
    @BeatrriceMuya День назад +1

    Umeongea vizuri sana,

  • @peterhassan1372
    @peterhassan1372 День назад

    Sheria zipo tatizo kuzifuata na kusimamia, hivyo hata zikija zingine bado ni hivyo hivyo!

  • @thuwaybayahaya2582
    @thuwaybayahaya2582 19 часов назад

    Unaakili nyingi dada naomba namba yako.

  • @AbdallaMwagora-sm1rj
    @AbdallaMwagora-sm1rj День назад

    Ni kweli kabisa uchaguzi Bora ndio chuo kinacho zalisha viongozii Bora .Tume ya uchaguzi iwe huru zaidi ya jeshi la Wananchi wa Tanzania,isiingiliwe na upande wowote,uchaguzi uwe huru wazi na unaoaminika.

  • @StanleySewando-nb4xm
    @StanleySewando-nb4xm День назад +1

    Wewe mama mwenyewe umeenda mahakamani kuhusu nani asimamie uchaguzi lkn maamuzi ndo hayo Sasa unataka chadema wafanyeje njia sahihi ni kudai haki kisheria siyo fujo

  • @akramissa3393
    @akramissa3393 День назад

    Kweli hawa wakina mboe wanaleta michezo hawapo aggressive, wakishapata pesa basi

  • @davidsimbeye1548
    @davidsimbeye1548 День назад +1

    Kama utawalaumu Chadema utakuwa hujawatendea haki kabisa, unataka wafanye nini, Chadema hawa ndiyo walioshinikiza tupate katiba mpya, matokeo yake ndo tukapata rasimu ya Warioba. Wanaostahiri kulaumiwa ni wananchi wenyewe, mara kadhaa Chadema wameitisha maandamano wananchi wakaacha viongozi pekee yao

    • @adelinelyaruu3036
      @adelinelyaruu3036 День назад +1

      It is easier said than done. Watu hawafahamu, what the other side is doing and what they stand for

  • @tumainimwaifunga3884
    @tumainimwaifunga3884 День назад

    🙏🙏

  • @alphoncekazeba3958
    @alphoncekazeba3958 День назад

    kuongea hua ni vyepesi kwel kwel mnasahau kitu kimoja iv,
    1tuna wananchi ambao hawaon umuhim wa katiba na mifumo mizur ya kiuchaguz.
    2.tuna ccm na polisi ambao hawatak kuona mtu yeyote ambaye anawachalenji,mkiandamana ,mkikosoa mnapigwa na kutekwa, sasa haya yote ni changamoto kwetu,
    wakulaumiwa sio wanasiasa tuu jaman kuwen na huluma

  • @BozaNassoro
    @BozaNassoro День назад

    Bi Mkubwa Nimemuelewa Sasa Sana Hata Mm Kwa Maneno Haya Ya. Bi Mkubwa Wanasiasa Ndio Tatizo

  • @gaagwasaugustino2584
    @gaagwasaugustino2584 День назад +1

    TUNATAKA KATIBA MPYA ILIYO BORA NA TUME HURU YA UCHAGUZI!
    Wananchi amkeni,Amueni UCHAGUZI WA 2025 "BILA KATIBA MPYA HAKUNA UCHAGUZI KUFANYIKA!

  • @elizabethsaibo3658
    @elizabethsaibo3658 17 часов назад

    Upinzani wanajitahidi kudai ktb mpya ila mnajua mabomu ya machozi , virungu na kwenda jela ndio watu wanarudi nyuma kwaiyo uwoga wetu ndio umasikini wetu

  • @AbdallaMwagora-sm1rj
    @AbdallaMwagora-sm1rj День назад +1

    Kosa la kuiba kura Lina zaa mauwaji.

  • @mkanjimamkanjimamkanjima2043
    @mkanjimamkanjimamkanjima2043 День назад

    Huyu mama Anania nampenda vibaya mno kwn ni mama mkweli asiependa kupindisha mada yeye kama ni njano ni njano tu hawezi sema nyeupe

  • @victoriabernard5287
    @victoriabernard5287 День назад

    Vyama vya upinzani hiyo yenu. Inawahusu. Wananchi tuangalie nani anafaa kuanzia sasa atoke chama chochote

  • @willsoniissaya
    @willsoniissaya День назад

    Shida sisi wananchi wakawaida nimazuzu atujierewi mama nkya wewe pambana tukiambiwa tushinikize tunakaa pembeni tunawazogoa wapinzani tenawengine wanajirekodi kabisa eti nitadai sasa tena ikiwekana msijisumbue mama nkya

  • @AnnaFelix-p1z
    @AnnaFelix-p1z День назад

    Yani kweri dada lakini ccm ndo bala ya inchi ni umbwa mwitu watu wamekata tama ya kuchaguwa ccm ni wabinafusi

  • @eliasnganira7661
    @eliasnganira7661 День назад

    Nimesikiliza mara 3 na ninapanga kuisikiliza tena

  • @edistidiusmutalemwa5758
    @edistidiusmutalemwa5758 День назад

    Kama hakuna mabadiriko hayo,chama kitachukua hatuo. Ndg mtangaza maneno hayo kayasema bro Mbowe. Na kweli hakutaja ni hatua gani zitachukuliwa. Swali hilo kwanini usimuulize Mbowe badala ya kumuuliza Da Ananilia?

  • @thedriver.michael.3975
    @thedriver.michael.3975 День назад

    Maandamano na mtayazuia pia

  • @TomasiklistophaMwinuka
    @TomasiklistophaMwinuka День назад

    Ukwer kabisa mama

  • @KaidiMajengo-sv7dd
    @KaidiMajengo-sv7dd День назад +3

    Katiba nimaliya, wananchi, sioyavyama,tusilaumu,vyama,tuunganekutaka,katiba,kwafaidaya,wote,,,,,utengenezwe, umojawakudaikatiba, kulaumu,taasisi,mojani,udhaifutuu,

    • @marieconnect6389
      @marieconnect6389 День назад +1

      Wnalaumiwa wanaozuia mchakato kwa.kutumia madaraka.yao. walitaka.wanaweza kufnay.iwezekane.

    • @marieconnect6389
      @marieconnect6389 День назад +1

      Pemgina ni Mungu anavuta vuta kwa sababu anazozijua yeye ili wakati sahihi ukifika itakapukuja ije kwa manufaa ya taifa zima na so watu wachache wanasiasa. Ije kwa.manufaa ya.fiture ya tanzania

    • @marieconnect6389
      @marieconnect6389 День назад

      Kweli ukisikiliza utaona kinachopiganiwa.zaidi.ni.vyeo na ruzuku siyo maslahi mapana ya wananchi na.taifa

  • @mbagalacharambe114
    @mbagalacharambe114 День назад

    Inapangiwa matumizi na Nani? Bunge au hewani

  • @DiwaniMwafongo
    @DiwaniMwafongo День назад

    Huyu mama ni kama namuelewa vile!!

  • @piusprospa8832
    @piusprospa8832 День назад

    mmmmh

  • @ShesheKaoneka
    @ShesheKaoneka День назад

    Jonathan tembo njaa yako ni mbaya sana, kama umeshindwa kulea mwili wako na hali hii bora ujinyonge mwenyewe kuliko kuombea vita ili uishi kwa kwenda kupora Mali za waliotafuta.

  • @georgelyimo6067
    @georgelyimo6067 День назад

    sasa mama uyu uwa yuko wapi ndio mwamke anaestaili

  • @MchungajiNzelani
    @MchungajiNzelani День назад +1

    Hawa waache tu siasa watoto wa watu wanaumizwa wao hawaguswi kweli dada upo vizuri

  • @mndambokilavo2502
    @mndambokilavo2502 День назад

    Mi hili suala katiba mpya ni upumbavu kenya wamebadilisha katiba yao leo wanagombana na diamond hamna cha maana ukisikia katiba mpya ujue mbowe na kundi lake wanataka kurudi bungeni hamna kingine

  • @PrinceHendry-hp8vv
    @PrinceHendry-hp8vv День назад +1

    Mama unasema ukweli

  • @mxfsedtirz
    @mxfsedtirz День назад

    Huamini wanasiasa, unamwamini nani?
    Wewe kama mwandishi mwenye weledi una mchango gani katika upatikanaji wa katiba mpya?
    >>CDM kosa lao nini?
    Waandishi wa Habari ukiwemo wewe mchango wenu katika kuishinikiza serikali kupata TUME BORA YA UCHAGUZI ni upi?
    >>Huamini ni wanasiasa hata wa upinzani kama CDM,mnaaminiana na nani? Mmefanya nini? Kwa faida manufaa ya nani?
    >>Kulalamikia kila mtu au kila Taasisi bila wewe kufanya cho chote huoni kuwa ni aibu kubwa zaidi?

  • @joachimkalungwana8654
    @joachimkalungwana8654 День назад +1

    Hapo mnawaonea chadema wakigoma kushiriki mnawalaumu Bure mbona wao ndio wanataka tume huru ya wachaguzi hakuna kuwaoa ushirikiano

  • @ChristerKok
    @ChristerKok День назад +1

    Siku zote dada Nanelia Nkya huwa si mnafiki.huwa ni muazi .

  • @BeatrriceMuya
    @BeatrriceMuya День назад

    Kama huyo mbowe hana lolote

  • @MwakaHappy
    @MwakaHappy День назад

    Kalee wajukuu zako usituchanganyie bamia na matembele mbona wewe hatujawahi kukuona. Kalale

  • @bahatishitindi
    @bahatishitindi День назад +1

    Mama wakulaumiwa hapa ni ccm na polisi zaidi

    • @marieconnect6389
      @marieconnect6389 День назад +1

      Hata wanasiasa wote wanaangalia matumbo yao kwanza. Tatizo.liko.hapo. wanasiasa wanakubali maridhiano halafu wanawauza wanachama.. hali ikawa.mbaya walipoona wamechuuzwa wakarudi ghafla kuanza kukimbizana na uchaguzi kumbe tayari wamechelewa kuweka mikakati. Ndiyo.maana hawakuweza kusimamisha wagombea kwenye viti vyote. Hawakujipanga kimikakati. Sasa alaumiwe nani?

    • @marieconnect6389
      @marieconnect6389 День назад

      Alikubali kuingia kwenye.uchaguzi wakijua watenda kushindwa sababu hawawakupigania tume huru wala katiba kwa umakini. Kama.siyo.viongozi alaumiwe nani? Maridhiano hayakuzaa matunda. Ikikuwa kwa maslahi yao na.siyo.ya nchi. ALAUMIWE NANI?

    • @marieconnect6389
      @marieconnect6389 День назад

      Hata viongozi wa upinzani hasa chadema alaumiwe pia

  • @faridsalehmohamed1230
    @faridsalehmohamed1230 День назад

    Viongozi wa upinzani wanaangalia pesa za uchaguzi wagawane

    • @faridsalehmohamed1230
      @faridsalehmohamed1230 День назад

      Kabisaaa yaani utashangaa wakalii kudai katiba ikifika uchaguzi wanaenda wanakupokea pesa

  • @HamzaHonero
    @HamzaHonero День назад

    Mm naomba kuuliza hivi Hawa wanasiasa wanatakiwa wafanyeje? Hebu hapa tutafakari vzr mana kama ni maandamano ya kupinga mambo mengi ambayo yanahisiwa hayako sawa wanasiasa hasa chadema wameitisha, je nikitu gani kinafelisha haya mambo na watu wafanyeje

  • @allyshaban406
    @allyshaban406 День назад

    Wewe ushiriki wako ni nini kwa hayo unayoyasema?

  • @JaphetMwandilawa-js2hh
    @JaphetMwandilawa-js2hh День назад +1

    Dr.Ananilea Nkya hatawewe haueleweki, Kwanini una walaumu wana siasa badala ya kuwalaumu wa Tanzania wote kwa kutokuchukuwa hatua? Jipange sawasawa unapopanda hewani usitumie hasila maana hasila ina funga ufahamu na kushindwa kufikilia mambo sawasawa!!

    • @IssaAlly-lp4uf
      @IssaAlly-lp4uf День назад

      Mbowe aliitisha maandamano akuna alietoka tulimuona mbowe na mapolisi mkoa mzima apo wakulaumiwa sisi wa tz

  • @muharamijuma1569
    @muharamijuma1569 День назад

    ACHA UÒNGO KAMA HUNA HOJA YA MSINGI KAA KIMYA

    • @JumaGishanga
      @JumaGishanga День назад

      Ndugu wewe ni kipofu huoni

    • @muharamijuma1569
      @muharamijuma1569 День назад

      @JumaGishanga KWA MWANA CHADEMA 2×2 ≈ 6 WENGI BENDERA HAKU NA SERIKALI ITAGAWA PESA PAMBANA ACHANA NA POROJO WAKATI HAUSUƁILI