Kusema ukweli watu wa tz nashindwa kuwaelewa sijuwi hawajielewi au nikutaka kukiaribu chama?mfano wanasema mbowe kakawia kwenye kiti cha uhongozi wa chama lakini wanashindwa kutofautisha uhongozi wa chama na uraisi kiongozi wachama hafai kutoka kwenye chama kama wananchi bado wanaimani naye uraisi ndio unaukomo sio kuongoza chama, hivi niulize kama raisi wa tanzania akiongezewa miaka ya kuongoza nchi je ataweza kuachia uwenyekiti wa chama chake kweli? Nawaomba watanzania tumwache mbowe aongoze chama kwa amani mpaka wananchi wenyewe wataamuwa sio kujaribu kukuvuruga chama
Ivi unaona uchaguzi ulikuwa huru swali rahis nani aliandaa uchaguzi? Nan alisimamia uchaguzi Halafu usiwe mjinga sana hata kama hujasoma unaelewa uchaguzi haukuwa huru mtoto wangu wa miaka 12 anajua uchaguzi uliporwa wewe bibi hujui uchaguzi uliporwa au ni kiburu
Safi sana viongozi makini na wenye uweledi mkubwa mungu azidi kuwatetea katika harakat za kulikomboa taifa la tanzania
Mungu awabariki waandishi wote mmeuliza maswali mengi mazuri ambayo hawana majibu nayo.
Degree haijamsaidia muuliza swali.
Kwani uongozi wa kuchaguliwa unamhitaji Mwenyekiti kuandaa mrithi wake!!!
Kuna sababu ya kubàdili miitaala ya elimu
Waandishi wa habari wana maneno mengi ya upotoshaji.daima wawe straight
Mbona hawasemi ssm wamekaa miaka 60 hawapishi wengine munamsema mbowe tu
Moto umewaka
mwenyekiti huyo hajui hata anachokiuliza huyo ni kihiyo. kwani yeye hajui hamna hata swali lenye mashiko mnamchosha mwenyekiti
Sio kujipanga hawana majibu
Hiimyamba ni imara sana,,chadema ilijianda vilivyo,,
Waaandishi wetu naona mnaishiwa weledi Katika kulisiadia taifa hili kwa kuuliza maswali yasiyo weza kulisaidia taifa hili)7
mbowe kiongozi mkubwa sana unajua siasa zilizokoma ccm ivi Sasa wanafanya funika kombe sio misingi ya kizazi kijacho Cha taifa
Lisu ondoka kwenye hiyo meza na mchagaa hamuwezi toboa
Nawewe inaesema mlikoshinda hamna wezi wewe hicho kichwa chako kimejaa tope
Had afe ndio ataachia uenyekiti
Kusema ukweli watu wa tz nashindwa kuwaelewa sijuwi hawajielewi au nikutaka kukiaribu chama?mfano wanasema mbowe kakawia kwenye kiti cha uhongozi wa chama lakini wanashindwa kutofautisha uhongozi wa chama na uraisi kiongozi wachama hafai kutoka kwenye chama kama wananchi bado wanaimani naye uraisi ndio unaukomo sio kuongoza chama, hivi niulize kama raisi wa tanzania akiongezewa miaka ya kuongoza nchi je ataweza kuachia uwenyekiti wa chama chake kweli? Nawaomba watanzania tumwache mbowe aongoze chama kwa amani mpaka wananchi wenyewe wataamuwa sio kujaribu kukuvuruga chama
JEE KULE MLIKO SHINDA WEZI
WA KURA WALI KUWA HAWAPO? ACHENI KUDANGANYA WATU UKWELI HAMKUBALIKI NJE YA UKAWA HAMUIWEZI CCM ATA ÌJE KATIBA MPYA
Akili ilio lala
Ivi unaona uchaguzi ulikuwa huru swali rahis
nani aliandaa uchaguzi?
Nan alisimamia uchaguzi
Halafu usiwe mjinga sana hata kama hujasoma unaelewa uchaguzi haukuwa huru mtoto wangu wa miaka 12 anajua uchaguzi uliporwa wewe bibi hujui uchaguzi uliporwa au ni kiburu
Unauhakika, mlianzeje kutengua, pia kwa nini mlileta kura feki, ukweli ccm bila polisi, fasta kingekuwa nacho pinzani😂